Swahili Page 26

ਸਭ ਦੁਨੀਆ ਆਵਣ ਜਾਣੀਆ ॥੩॥
sabh dunee-aa aavan jaanee-aa. ||3||
(Then one realizes that) The entire world is subject to coming and going.
(Halafu mtu anagundua ya kwamba) Dunia mzima inatiishwa kuja na kuenda.

ਵਿਚਿ ਦੁਨੀਆ ਸੇਵ ਕਮਾਈਐ ॥
vich dunee-aa sayv kamaa-ee-ai.
Therefore, (instead of worrying about the transitory nature of the world) we should serve God by reciting His Name with love and devotion.
Hivyo basi, (badala ya kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya mpito ya dunia) tunafaa kutumikia Mungu kwa kukariri jina lake kwa upendo na kujitolea.

ਤਾ ਦਰਗਹ ਬੈਸਣੁ ਪਾਈਐ ॥
taa dargeh baisan paa-ee-ai.
Then, we shall be united with Him.
Basi, tutaunganishwa na Mungu.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਬਾਹ ਲੁਡਾਈਐ ॥੪॥੩੩॥
kaho naanak baah ludaa-ee-ai. ||4||33||
Nanak says, we shall be worry free (after uniting with Him).
Nanak anasema, tutakuwa bila wasiwasi (baada ya kuungana na Mungu).

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ਘਰੁ ੧
sireeraag mehlaa 3 ghar 1
Siree Raag, by the Third Guru, First Beat
Siree Raag, na Guru wa tatu, mpigo wa kwanza

ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One Creator God. realized by the Grace of the True Guru:
Mungu Muumba Mmoja, anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa kweli:

ਹਉ ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵੀ ਆਪਣਾ ਇਕ ਮਨਿ ਇਕ ਚਿਤਿ ਭਾਇ ॥
ha-o satgur sayvee aapnaa ik man ik chit bhaa-ay.
I follow the teachings of my True Guru with single-minded devotion, and lovingly focus my consciousness on Him.
Nafuata mafundisho ya Guru wa kweli kwa kujitolea kwa nia moja, na kumakinikisha kwa upendo fahamu yangu kwake.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਮਨ ਕਾਮਨਾ ਤੀਰਥੁ ਹੈ ਜਿਸ ਨੋ ਦੇਇ ਬੁਝਾਇ ॥
satgur man kaamnaa tirath hai jis no day-ay bujhaa-ay.
The True Guru is like a wish-fulfilling place of pilgrimage. This fact is known to only those, to whom The True Guru lets it be known.
Guru wa kweli ni kama pahala pa hija ambapo matakwa hutimizwa. Ukweli huu unajulikana tu, na wale ambao Guru wa kweli anafanya ujulikane.

ਮਨ ਚਿੰਦਿਆ ਵਰੁ ਪਾਵਣਾ ਜੋ ਇਛੈ ਸੋ ਫਲੁ ਪਾਇ ॥
man chindi-aa var paavnaa jo ichhai so fal paa-ay.
By the blessings from the True Guru, all the desires of the heart get fulfilled.
Kwa baraka za Guru wa kweli, hamu zote za moyo zinatimizwa.

ਨਾਉ ਧਿਆਈਐ ਨਾਉ ਮੰਗੀਐ ਨਾਮੇ ਸਹਜਿ ਸਮਾਇ ॥੧॥
naa-o Dhi-aa-ee-ai naa-o mangee-ai naamay sahj samaa-ay. ||1||
However, one should pray to get only Naam, meditate on Naam and thus get into a state of poise and bliss.
Hata hivyo, mtu anafaa kuomba kupata tu Naam, tafakari kuhusu Naam na basi uingie katika hali ya utulivu na furaha tele.

ਮਨ ਮੇਰੇ ਹਰਿ ਰਸੁ ਚਾਖੁ ਤਿਖ ਜਾਇ ॥
man mayray har ras chaakh tikh jaa-ay.
O’ my mind, taste the Sublime Nectar of Naam and your thirst for worldly riches shall be quenched.
Ee akili yangu, onja nekta tukufu ya Naam na kiu yako ya utajiri wa kidunia kitazimwa.

ਜਿਨੀ ਗੁਰਮੁਖਿ ਚਾਖਿਆ ਸਹਜੇ ਰਹੇ ਸਮਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jinee gurmukh chaakhi-aa sehjay rahay samaa-ay. ||1|| rahaa-o.
Those who completely submitted to the Guru and tasted the existence of God, entered and remained in the state of poise.
Wale ambao wamejiwasilisha kikamilifu kwa Guru na kuonja uwepo wa Mungu, wameingia na kubaki katika hali ya utulivu.

ਜਿਨੀ ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵਿਆ ਤਿਨੀ ਪਾਇਆ ਨਾਮੁ ਨਿਧਾਨੁ ॥
jinee satgur sayvi-aa tinee paa-i-aa naam niDhaan.
Those who served the True Guru by following his teachings obtained the Treasure of Naam.
Wale ambao walitumikia Guru wa kweli kwa kufuata mafundisho yake walipata hazina ya Naam.

ਅੰਤਰਿ ਹਰਿ ਰਸੁ ਰਵਿ ਰਹਿਆ ਚੂਕਾ ਮਨਿ ਅਭਿਮਾਨੁ ॥
antar har ras rav rahi-aa chookaa man abhimaan.
Their hearts remained saturated with God’s nectar and they lost their arrogance.
Mioyo yao ilibaki imejaa na nekta ya Mungu na walipoteza kiburi chao.

ਹਿਰਦੈ ਕਮਲੁ ਪ੍ਰਗਾਸਿਆ ਲਾਗਾ ਸਹਜਿ ਧਿਆਨੁ ॥
hirdai kamal pargaasi-aa laagaa sahj Dhi-aan.
Like a lotus, their hearts blossomed with joy, they attuned themselves to God and they went into the state of poise.
Kama ua la lotus, mioyo yao imenawiri kwa faraja, walijimakinisha kwa Mungu na wakaenda katika hali ya utulivu.

ਮਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹਰਿ ਰਵਿ ਰਹਿਆ ਪਾਇਆ ਦਰਗਹਿ ਮਾਨੁ ॥੨॥
man nirmal har rav rahi-aa paa-i-aa dargahi maan. ||2||
Immersed in God’s love, their minds became pure and they received honor in God’s court.
Wakizama katika upendo wa Mungu, akili zao zikawa safi na wakapokea heshima katika mahakama ya Mungu.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵਨਿ ਆਪਣਾ ਤੇ ਵਿਰਲੇ ਸੰਸਾਰਿ ॥
satgur sayvan aapnaa tay virlay sansaar.
Those who serve the True Guru in this world are very rare.
Wale wanaotumikia Guru wa kweli katika dunia hii ni nadra sana.

ਹਉਮੈ ਮਮਤਾ ਮਾਰਿ ਕੈ ਹਰਿ ਰਾਖਿਆ ਉਰ ਧਾਰਿ ॥
ha-umai mamtaa maar kai har raakhi-aa ur Dhaar.
Those who keep God enshrined in their hearts subdue egotism and possessiveness.
Wale ambao wanaweka Mungu vizuri mioyoni mwao wameshinda ubinafsi na umiliki.

ਹਉ ਤਿਨ ਕੈ ਬਲਿਹਾਰਣੈ ਜਿਨਾ ਨਾਮੇ ਲਗਾ ਪਿਆਰੁ ॥
ha-o tin kai balihaarnai jinaa naamay lagaa pi-aar.
I am a sacrifice to those who are in love with Naam.
Mimi ndimi dhabihu kwa wale wanaopendezwa na Naam.

ਸੇਈ ਸੁਖੀਏ ਚਹੁ ਜੁਗੀ ਜਿਨਾ ਨਾਮੁ ਅਖੁਟੁ ਅਪਾਰੁ ॥੩॥
say-ee sukhee-ay chahu jugee jinaa naam akhut apaar. ||3||
Throughout the ages of time, they alone are in peace who have the endless wealth of God’s Name.
Kupitia enzi za nyakati, wao pekee wamo katika amani ambao wana utajiri usio na mwisho wa jina la Mungu.

ਗੁਰ ਮਿਲਿਐ ਨਾਮੁ ਪਾਈਐ ਚੂਕੈ ਮੋਹ ਪਿਆਸ ॥
gur mili-ai naam paa-ee-ai chookai moh pi-aas.
Meeting with the Guru, Naam is obtained, and the thirst of emotional attachment departs.
Kwa kukutana na Guru, Naam inapokelewa, na kiu cha viambatanisho vya kihisia kinaondoka.

ਹਰਿ ਸੇਤੀ ਮਨੁ ਰਵਿ ਰਹਿਆ ਘਰ ਹੀ ਮਾਹਿ ਉਦਾਸੁ ॥
har saytee man rav rahi-aa ghar hee maahi udaas.
Then, mind stays permeated with God and detached from the world even while living in the world and doing every activity of the world normally.
Kisha, akili inabaki imepenyezwa na Mungu na imejitenga kutoka dunia hata ikiwa inaishi duniani na kufanya kila shughuli ya dunia kawaida.

ਜਿਨਾ ਹਰਿ ਕਾ ਸਾਦੁ ਆਇਆ ਹਉ ਤਿਨ ਬਲਿਹਾਰੈ ਜਾਸੁ ॥
jinaa har kaa saad aa-i-aa ha-o tin balihaarai jaas.
I dedicate myself to those who enjoy the Sublime Taste of God’s Name.
Najiweka wakfu kwa wale wanaofurahia kionjo tukufu cha jina la Mungu.

ਨਾਨਕ ਨਦਰੀ ਪਾਈਐ ਸਚੁ ਨਾਮੁ ਗੁਣਤਾਸੁ ॥੪॥੧॥੩੪॥
naanak nadree paa-ee-ai sach naam guntaas. ||4||1||34||
(But) O’ Nanak, we receive Naam, the treasure of all good, only through the grace of the Almighty.
(Lakini) Ee Nanak, tunapokea Naam, hazina ya vyote vilivyo vizuri, kupitia tu neema ya Mwenyezi.

ਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:

ਬਹੁ ਭੇਖ ਕਰਿ ਭਰਮਾਈਐ ਮਨਿ ਹਿਰਦੈ ਕਪਟੁ ਕਮਾਇ ॥
baho bhaykh kar bharmaa-ee-ai man hirdai kapat kamaa-ay.
People wear all sorts of costumes and wander all around, but in their hearts and minds, they practice deception.
Watu wanaovaa aina zote za mavazi na kuzurura, lakini mioyoni na akilini mwao, wanatenda udanganyifu.

ਹਰਿ ਕਾ ਮਹਲੁ ਨ ਪਾਵਈ ਮਰਿ ਵਿਸਟਾ ਮਾਹਿ ਸਮਾਇ ॥੧॥
har kaa mahal na paav-ee mar vistaa maahi samaa-ay. ||1||
They do not succeed in realizing God. Instead, they die spiritually and their minds stay immersed in evil thoughts.
Hawafanikiwi katika kumgundua Mungu. Badala yake, wanakufa kiroho na akili zao zinabaki zimezama katika fikira mbaya.

ਮਨ ਰੇ ਗ੍ਰਿਹ ਹੀ ਮਾਹਿ ਉਦਾਸੁ ॥
man ray garih hee maahi udaas.
O mind, remain detached in the midst of your household.
Ee akili, baki umejitenga katikati mwa nyumba yako.

ਸਚੁ ਸੰਜਮੁ ਕਰਣੀ ਸੋ ਕਰੇ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹੋਇ ਪਰਗਾਸੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
sach sanjam karnee so karay gurmukh ho-ay pargaas. ||1||
(But) Only that person practices truth (recites Naam), self-discipline and nobility, whose mind is enlightened by Guru’s grace.
(Lakini) Ni mtu pekee anayetenda ukweli (kukariri Naam), nidhamu ya kibinafsi na utukufu, ambao akili yake inaangazwa kwa neema ya Guru.

ਗੁਰ ਕੈ ਸਬਦਿ ਮਨੁ ਜੀਤਿਆ ਗਤਿ ਮੁਕਤਿ ਘਰੈ ਮਹਿ ਪਾਇ ॥
gur kai sabad man jeeti-aa gat mukat gharai meh paa-ay.
He, who has conquered his mind through the Guru’s instruction, obtains salvation and deliverance even while living at home.
Yeye, ambaye ametawala akili yake kupitia maagizo ya Guru, anapata wokovu na ukombozi hata akiwa anaishi nyumbani.

ਹਰਿ ਕਾ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈਐ ਸਤਸੰਗਤਿ ਮੇਲਿ ਮਿਲਾਇ ॥੨॥
har kaa naam Dhi-aa-ee-ai satsangat mayl milaa-ay. ||2||
Therefore, O my mind, you should recite Naam in the company of the saintly.
Hivyo basi, Ee akili yangu, unapaswa kukariri Naam katika hudhurio ya watakatifu.

ਜੇ ਲਖ ਇਸਤਰੀਆ ਭੋਗ ਕਰਹਿ ਨਵ ਖੰਡ ਰਾਜੁ ਕਮਾਹਿ ॥
jay lakh istaree-aa bhog karahi nav khand raaj kamaahi.
You may enjoy the pleasures of hundreds of thousands of women, and rule the nine continents of the world.
Unaweza kufurahia raha ya mamia ya maelfu ya wanawake, na kutawala bara tisa za dunia.

ਬਿਨੁ ਸਤਗੁਰ ਸੁਖੁ ਨ ਪਾਵਈ ਫਿਰਿ ਫਿਰਿ ਜੋਨੀ ਪਾਹਿ ॥੩॥
bin satgur sukh na paav-ee fir fir jonee paahi. ||3||
But without the True Guru, you will not find peace; you will be reincarnated over and over again.
Lakini bila Guru wa kweli, hutapata amani; utazaliwa upya tena na tena.

ਹਰਿ ਹਾਰੁ ਕੰਠਿ ਜਿਨੀ ਪਹਿਰਿਆ ਗੁਰ ਚਰਣੀ ਚਿਤੁ ਲਾਇ ॥
har haar kanth jinee pahiri-aa gur charnee chit laa-ay.
Those who always keep the memory of the Almighty in their hearts by humbly following the Guru’s teaching.
Wale wanaoweka kumbukumbu za Mwenyezi mioyoni mwao kwa kufuata kwa unyenyekevu mafundisho ya Guru.

ਤਿਨਾ ਪਿਛੈ ਰਿਧਿ ਸਿਧਿ ਫਿਰੈ ਓਨਾ ਤਿਲੁ ਨ ਤਮਾਇ ॥੪॥
tinaa pichhai riDh siDh firai onaa til na tamaa-ay. ||4||
Worldly wealth and supernatural spiritual powers follow them, but they do not care for such things at all.
Utajiri wa kidunia na nguvu za kiroho zisizo za kawaida zinawafuata, lakini hawajali kwa vitu kama hivyo hata kidogo.

ਜੋ ਪ੍ਰਭ ਭਾਵੈ ਸੋ ਥੀਐ ਅਵਰੁ ਨ ਕਰਣਾ ਜਾਇ ॥
jo parabh bhaavai so thee-ai avar na karnaa jaa-ay.
Whatever pleases God’s Will comes to pass. Nothing else can be done.
Chochote kinachofurahisha wasia wa Mungu kinatendeka. Hakuna kitu kingine kinaweza kufanyika.

ਜਨੁ ਨਾਨਕੁ ਜੀਵੈ ਨਾਮੁ ਲੈ ਹਰਿ ਦੇਵਹੁ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਇ ॥੫॥੨॥੩੫॥
jan naanak jeevai naam lai har dayvhu sahj subhaa-ay. ||5||2||35||
O’ God, please bless me Naam. so that your servant Nanak can spiritually survive by intuitively reciting your Name.
Ee Mungu, tafadhali nibariki kwa Naam, ndiposa mtumishi wako Naam aweze kusalimika kitoho kwa kukariri jina lako kiangavu.

error: Content is protected !!