ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
soohee mehlaa 5.
Raag Soohee, Fifth Guru
Raag Soohee, Guru wa Tano
ਦਰਸਨ ਕਉ ਲੋਚੈ ਸਭੁ ਕੋਈ ॥
darsan ka-o lochai sabh ko-ee.
Everyone longs for the blessed vision of God,
Kila mtu anatamani mwono uliobarikiwa wa Mungu,
ਪੂਰੈ ਭਾਗਿ ਪਰਾਪਤਿ ਹੋਈ ॥ ਰਹਾਉ ॥
poorai bhaag paraapat ho-ee. rahaa-o.
but it is attained only by perfect destiny. ||Pause||
lakini inapatwa tu kwa hatima kamili. ||Sitisha||
ਸਿਆਮ ਸੁੰਦਰ ਤਜਿ ਨੀਦ ਕਿਉ ਆਈ ॥
si-aam sundar taj need ki-o aa-ee.
Forsaking the beautiful God, why did I fall in the clutches of Maya?
Nikiacha Mungu mzuri, kwa nini nilianguka katika mshiko wa Maya?
ਮਹਾ ਮੋਹਨੀ ਦੂਤਾ ਲਾਈ ॥੧॥
mahaa mohnee dootaa laa-ee. ||1||
These passionate enemies (vices) got me entangled with Maya the great enticer. ||1||
Maadui hawa wenye shauku (maovu) walininasa katika Maya, mshawishi mkuu.
ਪ੍ਰੇਮ ਬਿਛੋਹਾ ਕਰਤ ਕਸਾਈ ॥
paraym bichhohaa karat kasaa-ee.
The butcher like Maya has separated me from my beloved God resulting in lack of love in me for Him.
Maya kama mchinjaji amenitenganisha kutoka kwa Mungu wangu mpendwa na kufanya nikose upendo kwake Yeye.
ਨਿਰਦੈ ਜੰਤੁ ਤਿਸੁ ਦਇਆ ਨ ਪਾਈ ॥੨॥
nirdai jant tis da-i-aa na paa-ee. ||2||
This merciless Maya shows no compassion to the poor mortal. ||2||
Maya hii isiyo na huruma haionyeshi wema wowote kwa binadamu maskini.
ਅਨਿਕ ਜਨਮ ਬੀਤੀਅਨ ਭਰਮਾਈ ॥
anik janam beetee-an bharmaa-ee.
Wandering aimlessly, countless lifetimes have passed away;
Akizurura vila mwelekeo, muda wa kuishi zisizohesabika zimepita;
ਘਰਿ ਵਾਸੁ ਨ ਦੇਵੈ ਦੁਤਰ ਮਾਈ ॥੩॥
ghar vaas na dayvai dutar maa-ee. ||3||
but this terrible Maya does not let my mind dwell in my own heart. ||3||
lakini Maya hii mbaya hairuhusu akili yangu iishi katika moyo wangu mwenyewe.
ਦਿਨੁ ਰੈਨਿ ਅਪਨਾ ਕੀਆ ਪਾਈ ॥
din rain apnaa kee-aa paa-ee.
Day and night, I am enduring the reward of my own deeds.
Mchana na usiku, ninavumilia zawadi ya vitendo vyangu mwenyewe.
ਕਿਸੁ ਦੋਸੁ ਨ ਦੀਜੈ ਕਿਰਤੁ ਭਵਾਈ ॥੪॥
kis dos na deejai kirat bhavaa-ee. ||4||
Nobody else can be blamed, I have been going through countless births because of my own past deeds. ||4||
Hakuna mtu mwengine anaweza kulaumiwa, nimekuwa nikipitia kuzaliwa kusiohesabika kwa sababu ya vitendo vyangu mwenyewe vya awali.
ਸੁਣਿ ਸਾਜਨ ਸੰਤ ਜਨ ਭਾਈ ॥
sun saajan sant jan bhaa-ee.
Listen O’ my friends, saints, devotees and brothers,
Sikizeni Ee marafiki wanfu, watakatifu, watawa na ndugu,
ਚਰਣ ਸਰਣ ਨਾਨਕ ਗਤਿ ਪਾਈ ॥੫॥੩੪॥੪੦॥
charan saran naanak gat paa-ee. ||5||34||40||
O’ Nanak! say, the supreme spiritual status is attained only by coming to the refuge of God’s immaculate Name. ||5||34||40||
Ee Nanak! Sema, hadhi kuu ya kiroho inapatwa tu kwa kuja kwa kimbilio cha Jina safi la Mungu.
ਰਾਗੁ ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ਘਰੁ ੪
raag soohee mehlaa 5 ghar 4
Raag Soohee, Fifth Guru, Fourth Beat:
Raag Soohee, Guru wa Tano. Mpigo wa Nne:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One eternal God, realized by the grace of the True Guru.
Mungu Mmoja wa milele, anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa Kweli.
ਭਲੀ ਸੁਹਾਵੀ ਛਾਪਰੀ ਜਾ ਮਹਿ ਗੁਨ ਗਾਏ ॥
bhalee suhaavee chhaapree jaa meh gun gaa-ay.
O’ brother, blessed and beautiful is that hut, wherein God’s praises are sung.
Ee ndugu, kimebarikiwa na ni kizuri kibanda hicho, ambamo sifa za Mungu zinaimbwa.
ਕਿਤ ਹੀ ਕਾਮਿ ਨ ਧਉਲਹਰ ਜਿਤੁ ਹਰਿ ਬਿਸਰਾਏ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
kit hee kaam na Dha-ulhar jit har bisraa-ay. ||1|| rahaa-o.
The white marble mansions are useless, wherein God is forgotten. ||1||Pause||
Majumba ya marumaru nyeupe ni bure, ambamo Mungu anasahauliwa. ||1||Sitisha||
ਅਨਦੁ ਗਰੀਬੀ ਸਾਧਸੰਗਿ ਜਿਤੁ ਪ੍ਰਭ ਚਿਤਿ ਆਏ ॥
anad gareebee saaDhsang jit parabh chit aa-ay.
O’ brother, living in poverty in the company of the saints is blissful, wherein one lovingly remembers God.
Ee ndugu, kuishi kwa umaskini katika uandamano wa watakatifu ni kuzuri, ambamo mtu anamkumbuka Mungu kwa upendo.
ਜਲਿ ਜਾਉ ਏਹੁ ਬਡਪਨਾ ਮਾਇਆ ਲਪਟਾਏ ॥੧॥
jal jaa-o ayhu badpanaa maa-i-aa laptaa-ay. ||1||
This worldly glory might as well burn if it traps one in Maya. ||1||
Utukufu huu wa kidunia heri uchomeke iwapo unanasa mtu katika Maya.
ਪੀਸਨੁ ਪੀਸਿ ਓਢਿ ਕਾਮਰੀ ਸੁਖੁ ਮਨੁ ਸੰਤੋਖਾਏ ॥
peesan pees odh kaamree sukh man santokhaa-ay.
With contentment in mind, one feels blissful even if he is living in such utter poverty as to barely afford a small blanket and having to grind grains himself.
kwa kutoshelezwa akilini, mtu anahisi raha tele hata iwapo anaishi katika umaskini haswa kwamba hawezi kununua blanketi ndugu na analazimika kusaga nafaka mwenyewe.
ਐਸੋ ਰਾਜੁ ਨ ਕਿਤੈ ਕਾਜਿ ਜਿਤੁ ਨਹ ਤ੍ਰਿਪਤਾਏ ॥੨॥
aiso raaj na kitai kaaj jit nah tariptaa-ai. ||2||
But a kingdom in which the mind is never satiated is of no avail. ||2||
Lakini ufalme ambao ndani mwake akili kamwe haitoshelezwi ni bure.
ਨਗਨ ਫਿਰਤ ਰੰਗਿ ਏਕ ਕੈ ਓਹੁ ਸੋਭਾ ਪਾਏ ॥
nagan firat rang ayk kai oh sobhaa paa-ay.
One who is imbued with the love of God, receives glory even if he is wandering naked (because of not having any clothes)
Yule ambaye maepenyezwa na upendo wa Mungu, anapokea utukufu hata iwapo anazurura uchi (kwa sababu hana mavazi yoyote)
ਪਾਟ ਪਟੰਬਰ ਬਿਰਥਿਆ ਜਿਹ ਰਚਿ ਲੋਭਾਏ ॥੩॥
paat patambar birthi-aa jih rach lobhaa-ay. ||3||
But it is useless to wear silk clothes enticed by which one becomes greedy. ||3||
Lakini ni bure kuvaa mavazi ya hariri ambayo mtu anapata tamaa kwa ajili yake.
ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਤੁਮ੍ਹ੍ਹਰੈ ਹਾਥਿ ਪ੍ਰਭ ਆਪਿ ਕਰੇ ਕਰਾਏ ॥
sabh kichh tumHrai haath parabh aap karay karaa-ay.
O’ God! You control everything, it is You who does and gets everything done.
Ee Mungu! Wewe unadhibiti vyote, ni Wewe unayefanya na kufanyiza kila kitu.
ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਿਮਰਤ ਰਹਾ ਨਾਨਕ ਦਾਨੁ ਪਾਏ ॥੪॥੧॥੪੧॥
saas saas simrat rahaa naanak daan paa-ay. ||4||1||41||
O’ Nanak! say, O’ God! bestow mercy so that I may receive the gift of remembering You with each and every breath. ||4||1||41||
Ee Nanak! Sema, Ee Mungu! Tawaza huruma ili niweze kupokea thawabu ya kukukumbuka Wewe kwa kila pumzi ninayopumua.
ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
soohee mehlaa 5.
Raag Soohee, Fifth Guru:
Raag Soohee, Guru wa Tano:
ਹਰਿ ਕਾ ਸੰਤੁ ਪਰਾਨ ਧਨ ਤਿਸ ਕਾ ਪਨਿਹਾਰਾ ॥
har kaa sant paraan Dhan tis kaa panihaaraa.
I will surrender my life and wealth to the saint of God and dedicate myself to his service like fetching water for him.
Nitasalimisha maisha na utajiri wangu kwa mtakatifu wa Mungu na kujiweka wakfu kwa huduma yake kama kumchotea maji.
ਭਾਈ ਮੀਤ ਸੁਤ ਸਗਲ ਤੇ ਜੀਅ ਹੂੰ ਤੇ ਪਿਆਰਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
bhaa-ee meet sut sagal tay jee-a hooN tay pi-aaraa. ||1|| rahaa-o.
And he is more dearer to me than all my siblings, friends, sons, and even my life. ||1||Pause||
Naye ni wa dhati kwangu kuliko ndugu wangu wote, marafiki, wana, na hata uhai wangu. ||1||Sitisha||
ਕੇਸਾ ਕਾ ਕਰਿ ਬੀਜਨਾ ਸੰਤ ਚਉਰੁ ਢੁਲਾਵਉ ॥
kaysaa kaa kar beejnaa sant cha-ur dhulaava-o.
I wish to make a fan of my hair and wave it over the saints.
Natamani kutengeneza fani kwa nywele zangu na kuipunga juu ya watakatifu.
ਸੀਸੁ ਨਿਹਾਰਉ ਚਰਣ ਤਲਿ ਧੂਰਿ ਮੁਖਿ ਲਾਵਉ ॥੧॥
sees nihaara-o charan tal Dhoor mukh laava-o. ||1||
I wish to bow my head to (accept) their words; I wish to apply the dust of their feet to my forehead (humbly serve them). ||1||
Natamani kuinamisha kichwa changu kwa (kukubali) maneno yao; natamani kupaka mchanga wa miguu yao kwa paji langu (kuwatumikia kwa unyenyekevu).
ਮਿਸਟ ਬਚਨ ਬੇਨਤੀ ਕਰਉ ਦੀਨ ਕੀ ਨਿਆਈ ॥
misat bachan bayntee kara-o deen kee ni-aa-ee.
I make my submission (before the saints) in sweet words like a most humble and meek person.
Natoa uwasilisho wangu (mbele ya watakatifu) kwa maneno matamu kama mtu mnyenyekevu na mpole mno.
ਤਜਿ ਅਭਿਮਾਨੁ ਸਰਣੀ ਪਰਉ ਹਰਿ ਗੁਣ ਨਿਧਿ ਪਾਈ ॥੨॥
taj abhimaan sarnee para-o har gun niDh paa-ee. ||2||
Renouncing egotism, I seek their refuge, follow their advice and receive from them the treasure of virtues of God. ||2||
Nikikana ubinafsi, natafuta kimbilio chao, kufuata ushauri wao na kupokea kutoka kwao hazina ya fadhila za Mungu.
ਅਵਲੋਕਨ ਪੁਨਹ ਪੁਨਹ ਕਰਉ ਜਨ ਕਾ ਦਰਸਾਰੁ
avlokan punah punah kara-o jan kaa darsaar.
I would wish to see the devotees over and over
Ningetamani kuwaona watawa tena na tena )
ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਬਚਨ ਮਨ ਮਹਿ ਸਿੰਚਉ ਬੰਦਉ ਬਾਰ ਬਾਰ ॥੩॥
amrit bachan man meh sincha-o banda-o baar baar. ||3||
I would wish to cherish their ambrosial words in my mind; time and again, I would bow to them, paying my obeisance. ||3||
Ningetamani kuthamini maneno yao ya mabrosia akilini mwangu; tena na tena, ningeinama mbele yao, kwa kusujudu.
ਚਿਤਵਉ ਮਨਿ ਆਸਾ ਕਰਉ ਜਨ ਕਾ ਸੰਗੁ ਮਾਗਉ ॥
chitva-o man aasaa kara-o jakaa sang maaga-o.
O’ God, I may always have the desire to ask for the company of Your devotees.
Ee Mungu, daima niweze kuwa na hamu ya kuulizia uandamano wa watawa wako.
ਨਾਨਕ ਕਉ ਪ੍ਰਭ ਦਇਆ ਕਰਿ ਦਾਸ ਚਰਣੀ ਲਾਗਉ ॥੪॥੨॥੪੨॥
naanak ka-o parabh da-i-aa kar daas charnee laaga-o. ||4||2||42||. ||4||2||42||
O’ God, show mercy on Nanak, that he may humbly remain in the service of your devotees.
Ee Mungu, hurumia Nanak, ili kwa unyenyekevu aweze kubaki katika huduma ya watawa wako.
ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
soohee mehlaa 5.
Raag Soohee, Fifth Guru:
Raag Soohee, Guru wa Tano:
ਜਿਨਿ ਮੋਹੇ ਬ੍ਰਹਮੰਡ ਖੰਡ ਤਾਹੂ ਮਹਿ ਪਾਉ ॥
jin mohay barahmand khand taahoo meh paa-o.
O’ God, I have also been enticed by Maya which has attracted people living in all continents and regions of the world.
Ee Mungu, nami pia nimeshawishiwa na Maya ambayo imevutia watu wanaoishi katika mabara na maeneo yote ya dunia.
ਰਾਖਿ ਲੇਹੁ ਇਹੁ ਬਿਖਈ ਜੀਉ ਦੇਹੁ ਅਪੁਨਾ ਨਾਉ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
raakh layho ih bikh-ee jee-o dayh apunaa naa-o. ||1|| rahaa-o.
O’ God, please bless me with Your Name and save me, the vicious person, from the grip of Maya. ||1||Pause||
Ee Mungu, tafadhali nibariki na Jina lako na uniokoe, mtu mwovu, kutoka kwa mshiko wa Maya. ||1||Sitisha||
ਜਾ ਤੇ ਨਾਹੀ ਕੋ ਸੁਖੀ ਤਾ ਕੈ ਪਾਛੈ ਜਾਉ ॥
jaa tay naahee ko sukhee taa kai paachhai jaa-o.
O’ God! I chase that Maye from which nobody has gained true happiness.
Ee Mungu! Nafukuza Maya hiyo ambayo hakuna mtu amepata furaha ya kweli kutoka kwake.
ਛੋਡਿ ਜਾਹਿ ਜੋ ਸਗਲ ਕਉ ਫਿਰਿ ਫਿਰਿ ਲਪਟਾਉ ॥੧॥
chhod jaahi jo sagal ka-o fir fir laptaa-o. ||1||
I cling over and again to those things which ultimately forsake everyone. ||1||
Ninakwamilia tena na tena kwa vitu hivyo ambavyo mwishowe vinaacha kila mtu.
ਕਰਹੁ ਕ੍ਰਿਪਾ ਕਰੁਣਾਪਤੇ ਤੇਰੇ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਉ ॥
karahu kirpaa karunaapatay tayray har gun gaa-o.
O’ Gog, the Master of mercy! bestow mercy so that I may always be singing your praises.
Ee Mungu, Bwana wa huruma! Tawaza huruma ili niweze kuimba sifa zako daima.
ਨਾਨਕ ਕੀ ਪ੍ਰਭ ਬੇਨਤੀ ਸਾਧਸੰਗਿ ਸਮਾਉ ॥੨॥੩॥੪੩॥
naanak kee parabh bayntee saaDhsang samaa-o. ||2||3||43||
O’ God! this is the prayer of Nanak, that I may always be in the company of saints. ||2||3||43||
Ee Mungu! Hili ndilo ombi la Nanak, kwamba daima niweze kuwa katika uandamano wa watakatifu.