Swahili Page 873

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਦ੍ਰਿਸਟਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਬਰਸੀ ॥
barahm gi-aanee kee darisat amrit barsee.
Ambrosial nectar rains down from the glance of the God-conscious person.
Nekta ya ambrosia inamiminwa kutoka kwa mtazamo wa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਬੰਧਨ ਤੇ ਮੁਕਤਾ ॥
barahm gi-aanee banDhan tay muktaa.
The God-conscious person is free from the worldly entanglements.
Mtu anayemfahamu Mungu yuko huru kutoka misongamano ya kidunia.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਨਿਰਮਲ ਜੁਗਤਾ ॥
barahm gi-aanee kee nirmal jugtaa.
The lifestyle of the divinely wise is spotlessly pure and free from the vices.
Mtindo wa maisha wa mtu mwenye hekima takatifu ni safi bila doa na huru kutoka maovu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਭੋਜਨੁ ਗਿਆਨ ॥
barahm gi-aanee kaa bhojan gi-aan.
Spiritual wisdom is the nourishment of the God-conscious person.
Hekima ya kiroho ni lishe ya mtu anayemfahamu Mungu.

ਨਾਨਕ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਬ੍ਰਹਮ ਧਿਆਨੁ ॥੩॥
naanak barahm gi-aanee kaa barahm Dhi-aan. ||3||
O’ Nanak, the God-conscious person is absorbed in God’s meditation. ||3||
Ee Nanak, mtu anayemfahamu Mungu anavama katika utafakari wa Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਏਕ ਊਪਰਿ ਆਸ ॥
barahm gi-aanee ayk oopar aas.
The God-conscious person centers his hopes on the One alone.
Mtu anayemfahamu Mungu anaweka matumaini yake kwa yule Mmoja pekee.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਨਹੀ ਬਿਨਾਸ ॥
barahm gi-aanee kaa nahee binaas.
High spiritual state of the God-conscious person never perishes.
Hali ya juu ya kiroho ya mtu anayemfahamu Mungu kamwe haiharibiki.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਗਰੀਬੀ ਸਮਾਹਾ ॥
barahm gi-aanee kai gareebee samaahaa.
The God-conscious person is steeped in humility.
Mtu anayemfahamu Mungu amejawa na unyenyekevu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਪਰਉਪਕਾਰ ਉਮਾਹਾ ॥
barahm gi-aanee par-upkaar omaahaa.
The God-conscious person always delightes in doing good to others.
Mtu anayemfahamu Mungu daima anafurahia kutendea wengine mema.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਨਾਹੀ ਧੰਧਾ ॥
barahm gi-aanee kai naahee DhanDhaa.
The God-conscious person has no worldly entanglements.
Mtu anayemfahamu Mungu hana misongamano ya kidunia.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਲੇ ਧਾਵਤੁ ਬੰਧਾ ॥
barahm gi-aanee lay Dhaavat banDhaa.
The God-conscious person holds his wandering mind under control.
Mtu anayemfahamu Mungu anadhibiti akili yake inayozurura.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਹੋਇ ਸੁ ਭਲਾ ॥
barahm gi-aanee kai ho-ay so bhalaa.
For the God-conscious person whatever happens is all for good.
Kwa mtu anayemfahamu Mungu chochote kinachotendeka ni kizuri.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸੁਫਲ ਫਲਾ ॥
barahm gi-aanee sufal falaa.
This way, the God-conscious person succeeds and prospers in all aspect of life.
Kwa njia hii, mtu anayemfahamu Mungu anafanikiwa na kusitawi katika kila kipengele cha maisha.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸੰਗਿ ਸਗਲ ਉਧਾਰੁ ॥
barahm gi-aanee sang sagal uDhaar.
In the Company of the God-conscious person, all are saved from vices.
Katika Uandamano wa mtu anayemfahamu Mungu, wote wanakombolewa kutoka dhambi.

ਨਾਨਕ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਜਪੈ ਸਗਲ ਸੰਸਾਰੁ ॥੪॥
naanak barahm gi-aanee japai sagal sansaar. ||4||
O’ Nanak, through the God-conscious person, the entire world meditates on God. ||4||
Ee Nanak, kupitia mtu anayemfahamu Mungu, dunia nzima inatafakari kuhusu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਏਕੈ ਰੰਗ ॥
barahm gi-aanee kai aikai rang.
The God-conscious person is always imbued with the love for God.
Mtu anayemfahamu Mungu daima amejawa na upendo kwa Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਬਸੈ ਪ੍ਰਭੁ ਸੰਗ ॥
barahm gi-aanee kai basai parabh sang.
God always dwells in the company of the God-conscious person.
Mungu daima anaishi katika uandamano wa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਨਾਮੁ ਆਧਾਰੁ ॥
barahm gi-aanee kai naam aaDhaar.
God’s Name is the sustenance of the God-conscious person.
Jina la Mungu ni riziki ya mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਨਾਮੁ ਪਰਵਾਰੁ ॥
barahm gi-aanee kai naam parvaar.
For the God-conscious person Naam is his family.
Kwa mtu anayemfahamu Mungu Naam ni familia yake.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸਦਾ ਸਦ ਜਾਗਤ ॥
barahm gi-aanee sadaa sad jaagat.
The God-conscious person always remains vigilant from the effects of vices.
Mtu anayemfahamu Mungu anabaki ametahadhari dhidi ya athari za maovu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਅਹੰਬੁਧਿ ਤਿਆਗਤ ॥
barahm gi-aanee ahaN-buDh ti-aagat.
The God-conscious person renounces his egoistic thinking.
Mtu anayemfahamu Mungu anakana fikira zake za ubinafsi.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਮਨਿ ਪਰਮਾਨੰਦ ॥
barahm gi-aanee kai man parmaanand.
God, the source of supreme bliss, dwells in the mind of the God-conscious person.
Mungu, chanzo cha raha tele kuu, anaishi akilini mwa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਘਰਿ ਸਦਾ ਅਨੰਦ ॥
barahm gi-aanee kai ghar sadaa anand.
There is everlasting bliss in the heart of the God-conscious person.
Kuna raha tele inayodumu milele moyoni mwa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸੁਖ ਸਹਜ ਨਿਵਾਸ ॥
barahm gi-aanee sukh sahj nivaas.
The God-conscious person dwells in intuitive peace and poise.
Mtu anayemfahamu Mungu anaishi kwa amani wa utulivu wa hisia na silika.

ਨਾਨਕ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਨਹੀ ਬਿਨਾਸ ॥੫॥
naanak barahm gi-aanee kaa nahee binaas. ||5||
O’ Nanak, the supreme spiritual state of the God-conscious person never perishes.||5||
Ee Nanak, hali kuu ya kiroho ya mtu anayemfahamu Mungu kamwe haiharibiki.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਬ੍ਰਹਮ ਕਾ ਬੇਤਾ ॥
barahm gi-aanee barahm kaa baytaa.
The God-conscious person knows God.
Mtu anayemfahamu Mungu anamjua Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਏਕ ਸੰਗਿ ਹੇਤਾ ॥
barahm gi-aanee ayk sang haytaa.
The God-conscious person is in love with the One alone.
Mtu anayemfahamu Mungu anapenda yule Mmoja pekee.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਹੋਇ ਅਚਿੰਤ ॥
barahm gi-aanee kai ho-ay achint.
The God-conscious person is free from any worries.
Mtu anayemfahamu Mungu yuko huru kutoka wasiwasi wowote.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਨਿਰਮਲ ਮੰਤ ॥
barahm gi-aanee kaa nirmal mant.
Pure are the teachings of the God-conscious person.
Safi ni mafundisho ya mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਜਿਸੁ ਕਰੈ ਪ੍ਰਭੁ ਆਪਿ ॥
barahm gi-aanee jis karai parabh aap.
The God-conscious person is made so by God Himself.
Mtu anayemfahamu Mungu anafanywa awe hivyo na Mungu Mwenyewe.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਬਡ ਪਰਤਾਪ ॥
barahm gi-aanee kaa bad partaap.
Great is the glory of the God-conscious person.
Mkuu ni utukufu wa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਦਰਸੁ ਬਡਭਾਗੀ ਪਾਈਐ ॥
barahm gi-aanee kaa daras badbhaagee paa-ee-ai.
With great fortune one is blessed with the sight of the God-conscious person.
Kwa bahati nzuri mtu anabarikiwa na mwono wa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਉ ਬਲਿ ਬਲਿ ਜਾਈਐ ॥
barahm gi-aanee ka-o bal bal jaa-ee-ai.
Let us dedicate ourself to the God-conscious person.
Hebu tujiweka wakfu kwa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਉ ਖੋਜਹਿ ਮਹੇਸੁਰ ॥
barahm gi-aanee ka-o khojeh mahaysur.
Even gods like Lord Shiva search for the God-conscious person.
Hata miungu kama Bwana Shiva wanatafuta mtu anayemfahamu Mungu.

ਨਾਨਕ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਆਪਿ ਪਰਮੇਸੁਰ ॥੬॥
naanak barahm gi-aanee aap parmaysur. ||6||
O’ Nanak, the God-conscious person is the manifestation of God Himself. ||6||
Ee Nanak, mtu anayemfahamu Mungu ni udhihirisho wa Mungu Mwenyewe.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਕੀਮਤਿ ਨਾਹਿ ॥
barahm gi-aanee kee keemat naahi.
The virtues of the God-conscious person are priceless.
Fadhila za mtu anayemfahamu Mungu haziwezi kukadirika.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੈ ਸਗਲ ਮਨ ਮਾਹਿ ॥
barahm gi-aanee kai sagal man maahi.
All possible virtues, exist in the God-conscious person.
Fadhila zote, zipo katika mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਕਉਨ ਜਾਨੈ ਭੇਦੁ ॥
barahm gi-aanee kaa ka-un jaanai bhayd.
Who can know the mystery of virtuous life of the God-conscious person?
Nani anaweza kujua fumbo la maisha mema ya mtu anayemfahamu Mungu?

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਉ ਸਦਾ ਅਦੇਸੁ ॥
barahm gi-aanee ka-o sadaa adays.
Always bow with respect to the God-conscious person.
Daima sujudu kwa heshima kwa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਕਥਿਆ ਨ ਜਾਇ ਅਧਾਖ੍ਯ੍ਯਰੁ ॥
barahm gi-aanee kaa kathi-aa na jaa-ay aDhaakh-yar.
Not even a bit of the glory of the God-conscious person can be described.
Hata chembe cha utukufu wa mtu anayemfahamu Mungu hakiwezi kuelezwa.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸਰਬ ਕਾ ਠਾਕੁਰੁ ॥
barahm gi-aanee sarab kaa thaakur.
The God-conscious person is worshipedby all.
mtu anayemfahamu Mungu anaenziwa na wote.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਮਿਤਿ ਕਉਨੁ ਬਖਾਨੈ ॥
barahm gi-aanee kee mit ka-un bakhaanai.
Who can describe the extent of the God-conscious person’s virtues?
Nani anaweza kueleza kadiri ya fadhila za mtu anayemfahamu Mungu?

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਗਤਿ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਜਾਨੈ ॥
barahm gi-aanee kee gat barahm gi-aanee jaanai.
Only a God-conscious person knows the high state of mind of a God-conscious.
Mtu anayemfahamu Mungu pekee anajua hali ya juu ya akili ya kumfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਰੁ ॥
barahm gi-aanee kaa ant na paar.
Limitless are the virtues of the God-conscious person.
Fadhila za mtu anayemfahamu Mungu hazina vikomo.

ਨਾਨਕ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਉ ਸਦਾ ਨਮਸਕਾਰੁ ॥੭॥
naanak barahm gi-aanee ka-o sadaa namaskaar. ||7||
O’ Nanak, always bow in reverence to the God-conscious person. ||7||
Ee Nanak, sujudu kwa heshima kwa mtu anayemfahamu Mungu.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸਭ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਕਾ ਕਰਤਾ ॥
barahm gi-aanee sabh sarisat kaa kartaa.
The God-conscious person is the Creator of all the entire creation.
Mtu anayemfahamu Mungu ndiye Muumba wa uumbaji wote.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਸਦ ਜੀਵੈ ਨਹੀ ਮਰਤਾ ॥
barahm gi-aanee sad jeevai nahee martaa.
The God-conscious person lives forever, and does not die.
Mtu anayemfahamu Mungu anaishi milele, wala hafi.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਮੁਕਤਿ ਜੁਗਤਿ ਜੀਅ ਕਾ ਦਾਤਾ ॥
barahm gi-aanee mukat jugat jee-a kaa daataa.
The God-conscious person is the bestower of the way to achieve supreme spiritual state and liberation of the soul.
Mtu anayemfahamu Mungu ndiye mtawaza wa njia ya kufanikisha hali kuu ya kiroho na ukombozi wa roho.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਪੂਰਨ ਪੁਰਖੁ ਬਿਧਾਤਾ ॥
barahm gi-aanee pooran purakh biDhaataa.
The God-conscious person is the Perfect Supreme Being, who orchestrates all.
Mtu anayemfahamu Mungu ni Kiumbe Mkuu Kamili, anayepanga mambo yote.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਅਨਾਥ ਕਾ ਨਾਥੁ ॥
barahm gi-aanee anaath kaa naath.
The God-conscious person is the protector of the unprotected.
Mtu anayemfahamu Mungu ndiye mlinzi wa wasio na ulinzi.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਸਭ ਊਪਰਿ ਹਾਥੁ ॥
barahm gi-aanee kaa sabh oopar haath.
The God-conscious person extends his helping hand to all.
Mtu anayemfahamu Mungu ananyoosha mkono wake wa msaada kwa wote.

ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ਕਾ ਸਗਲ ਅਕਾਰੁ ॥
barahm gi-aanee kaa sagal akaar.
The entire universe belongs to the God-conscious person.
Ulimwengu mzima ni miliki ya mtu anayemfahamu Mungu.

error: Content is protected !!