Swahili Page 807

ਵਡੀ ਆਰਜਾ ਹਰਿ ਗੋਬਿੰਦ ਕੀ ਸੂਖ ਮੰਗਲ ਕਲਿਆਣ ਬੀਚਾਰਿਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
vadee aarjaa har gobind kee sookh mangal kali-aan beechaari-aa. ||1|| rahaa-o.
God Himself has blessed Har Gobind with a long life, and has taken care of his peace, bliss, and well being. ||1||Pause||
Mungu Mwenyewe amebariki Har Gobind kwa maisha marefu, na amewajibikia amani yake, raha tele na hali njema. ||1||Sitisha||

ਵਣ ਤ੍ਰਿਣ ਤ੍ਰਿਭਵਣ ਹਰਿਆ ਹੋਏ ਸਗਲੇ ਜੀਅ ਸਾਧਾਰਿਆ ॥
van tarin taribhavan hari-aa ho-ay saglay jee-a saaDhaari-aa.
God, by whose grace the forests, meadows and the three worlds remain blooming, gives His support to all beings.
Mungu, ambaye kwa neema yake nyika, mbuga na dunia tatu zinanawiri, anatoa tegemezo Yake kwa viumbe vyote.

ਮਨ ਇਛੇ ਨਾਨਕ ਫਲ ਪਾਏ ਪੂਰਨ ਇਛ ਪੁਜਾਰਿਆ ॥੨॥੫॥੨੩॥
man ichhay naanak fal paa-ay pooran ichh pujaari-aa. ||2||5||23||
O’ Nanak, (those who come to God’s refuge,) receive the fruits of their mind’s desires; God fulfills all their wishes. ||2||5||23||
Ee Nanak, (wale wanaokuja kwa kimbilio cha Mungu), wanapokea matunda ya hamu za akili yao; Mungu anatimiza hamu zao zote.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਜਿਸੁ ਊਪਰਿ ਹੋਵਤ ਦਇਆਲੁ ॥
jis oopar hovat da-i-aal.
On whom the Guru becomes merciful,
Kwa yule ambaye Guru anahurumia,

ਹਰਿ ਸਿਮਰਤ ਕਾਟੈ ਸੋ ਕਾਲੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
har simrat kaatai so kaal. ||1|| rahaa-o.
he cuts the noose of his own spiritual death by meditating on God. ||1||Pause||
yeye anakata kitanzi cha kifo chake cha kiroho kwa kutafakari kuhusu Mungu. ||1||Sitisha||

ਸਾਧਸੰਗਿ ਭਜੀਐ ਗੋਪਾਲੁ ॥
saaDhsang bhajee-ai gopaal.
In the company of the Guru, we should meditate on God, the Master of the universe.
Katika uandamano wa Guru, tunafaa kutafakari kuhusu Mungu, Bwana wa ulimwengu.

ਗੁਨ ਗਾਵਤ ਤੂਟੈ ਜਮ ਜਾਲੁ ॥੧॥
gun gaavat tootai jam jaal. ||1||
By singing the praises of God, the noose of the demon of death is cut away. ||1|
Kwa kuimba sifa za Mungu, kitanzi cha pepo wa kifo kinakatwa.

ਆਪੇ ਸਤਿਗੁਰੁ ਆਪੇ ਪ੍ਰਤਿਪਾਲ ॥
aapay satgur aapay partipaal.
God Himself is the true Guru and He Himself is the sustainer of His creatures.
Mungu Mwenyewe ndiye Guru wa kweli na Yeye Mwenyewe ndiye mtunzaji wa viumbe vyake.

ਨਾਨਕੁ ਜਾਚੈ ਸਾਧ ਰਵਾਲ ॥੨॥੬॥੨੪॥
naanak jaachai saaDh ravaal. ||2||6||24||
Nanak humbly seeks the teachings of the true Guru. ||2||6||24||
Nanak anatafuta kwa unyenyekevu mafundisho ya Guru wa kweli.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਮਨ ਮਹਿ ਸਿੰਚਹੁ ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮ ॥
man meh sinchahu har har naam.
O’ my friend, sprinkle your mind with the ambrosial nectar of God’s Name,
Ee rafiki wangu, nyunyuzia akili yako nekta ya ambrosia ya Jina la Mungu,

ਅਨਦਿਨੁ ਕੀਰਤਨੁ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਮ ॥੧॥
an-din keertan har gun gaam. ||1||
by always singing God’s praises and His virtues. ||1||
kwa kuimba sifa za Mungu na fadhila Zake daima.

ਐਸੀ ਪ੍ਰੀਤਿ ਕਰਹੁ ਮਨ ਮੇਰੇ ॥
aisee pareet karahu man mayray.
O’ my mind, imbue yourself with such a love for God,
Ee akili yangu, jipenyeze na upendo kama huyo kwa Mungu,

ਆਠ ਪਹਰ ਪ੍ਰਭ ਜਾਨਹੁ ਨੇਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
aath pahar parabh jaanhu nayray. ||1|| rahaa-o.
that you deem God near you at all times.||1||Pause||
kwamba unafikiria Mungu kuwa karibu nawe kila wakati. ||1||Sitisha||

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਜਾ ਕੇ ਨਿਰਮਲ ਭਾਗ ॥
kaho naanak jaa kay nirmal bhaag.
Nanak says, one who has such immaculate destiny,
Nanak anasema, yule ambaye ana hatima takatifu kama hiyo.

ਹਰਿ ਚਰਨੀ ਤਾ ਕਾ ਮਨੁ ਲਾਗ ॥੨॥੭॥੨੫॥
har charnee taa kaa man laag. ||2||7||25||
his mind gets attuned to God’s love. ||2||7||25||
akili yake inamakinikia upendo wa Mungu.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਰੋਗੁ ਗਇਆ ਪ੍ਰਭਿ ਆਪਿ ਗਵਾਇਆ ॥
rog ga-i-aa parabh aap gavaa-i-aa.
The one whose afflictions are removed by God Himself, only that person is cured of these afflictions.
Yule ambaye magonjwa yake yanaondolewa na Mungu Mwenyewe, mtu huyo peke yake anaponywa kutoka kwa magonjwa haya.

ਨੀਦ ਪਈ ਸੁਖ ਸਹਜ ਘਰੁ ਆਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
need pa-ee sukh sahj ghar aa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
That person remains calm, and he attains the state of celestial peace and poise. ||1||Pause||
Mtu huyo anabaki tulivu, naye anatimiza hali ya amani na utulivu wa kimbingu. ||1||Sitisha||

ਰਜਿ ਰਜਿ ਭੋਜਨੁ ਖਾਵਹੁ ਮੇਰੇ ਭਾਈ ॥
raj raj bhojan kaavahu mayray bhaa-ee.
O’ my brother, partake the spiritual food of God’s Name to your heart’s content,
Ee ndugu wangu, shiriki chakula cha kiroho cha Jina la Mungu kwa uradhi wa moyo wako.

ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਨਾਮੁ ਰਿਦ ਮਾਹਿ ਧਿਆਈ ॥੧॥
amrit naam rid maahi Dhi-aa-ee. ||1||
and lovingly meditate on that ambrosial Name of God in your heart. ||1||
na kwa upendo tafakari kuhusu Jina hilo la ambrosia la Mungu moyoni mwako.

ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਸਰਨਾਈ ॥
naanak gur pooray sarnaa-ee.
O’ Nanak, remain in the refuge of the perfect Guru,
Ee Nanak, salia katika kimbilio cha Guru kamili,

ਜਿਨਿ ਅਪਨੇ ਨਾਮ ਕੀ ਪੈਜ ਰਖਾਈ ॥੨॥੮॥੨੬॥
jin apnay naam kee paij rakhaa-ee. ||2||8||26||
who has always preserved the honor of God’s Name. ||2||8||26||
ambaye daima amehifadhi staha ya Jina la Mungu.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਸਤਿਗੁਰ ਕਰਿ ਦੀਨੇ ਅਸਥਿਰ ਘਰ ਬਾਰ ॥ ਰਹਾਉ ॥
satgur kar deenay asthir ghar baar. rahaa-o.
God has stabilized the places for the true Guru’s congregations. ||Pause||
Mungu amethibitisha mahali pote pa ushirika ya Guru wa kweli. ||Sitisha||

ਜੋ ਜੋ ਨਿੰਦ ਕਰੈ ਇਨ ਗ੍ਰਿਹਨ ਕੀ ਤਿਸੁ ਆਗੈ ਹੀ ਮਾਰੈ ਕਰਤਾਰ ॥੧॥
jo jo nind karai in garihan kee tis aagai hee maarai kartaar. ||1||
Whoever slanders these places, the Creator had already spiritually destroyed him him. ||1||
Yeyote anayechongeza mahali hapo, Muumba amekwisha tayari muangamiza kiroho.

ਨਾਨਕ ਦਾਸ ਤਾ ਕੀ ਸਰਨਾਈ ਜਾ ਕੋ ਸਬਦੁ ਅਖੰਡ ਅਪਾਰ ॥੨॥੯॥੨੭॥
naanak daas taa kee sarnaa-ee jaa ko sabad akhand apaar. ||2||9||27||
O’ Nanak, the devotees seek the refuge of that God whose word of command is eternal and infinite. ||2||9||27||
Ee Nanak, watawa wanatafuta kimbilio cha Mungu huyo ambaye neno la amri yake ni ya milele na halina mwisho.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਤਾਪ ਸੰਤਾਪ ਸਗਲੇ ਗਏ ਬਿਨਸੇ ਤੇ ਰੋਗ ॥
taap santaap saglay ga-ay binsay tay rog.
(O’ my dear), all your afflictions , troubles and ailments have vanished,
(Ee mpendwa wangu), magonjwa yako yote, matatizo na maradhi yamepotea,

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮਿ ਤੂ ਬਖਸਿਆ ਸੰਤਨ ਰਸ ਭੋਗ ॥ ਰਹਾਉ ॥
paarbarahm too bakhsi-aa santan ras bhog. rahaa-o.
the Supreme God has blessed you; so enjoy the saintly bliss. ||Pause||
Mungu Mkuu amekubariki; na kwa hiyo unafurahia raha tele takatifu. ||Sitisha||

ਸਰਬ ਸੁਖਾ ਤੇਰੀ ਮੰਡਲੀ ਤੇਰਾ ਮਨੁ ਤਨੁ ਆਰੋਗ ॥
sarab sukhaa tayree mandlee tayraa man tan aarog.
Your mind and body will remain free of disease and all joys will remain your companions.
Akili na mwili wako utabaki huru kutoka kwa ugonjwa na furaha zote zitasalia wendani wako.

ਗੁਨ ਗਾਵਹੁ ਨਿਤ ਰਾਮ ਕੇ ਇਹ ਅਵਖਦ ਜੋਗ ॥੧॥
gun gaavhu nit raam kay ih avkhad jog. ||1||
So always sing praises of God; this is the most appropriate remedy for all kinds of maladies. ||1|| ;
Basi imba sifa za Mugu daima; hii ndiyo tiba mwafaka kabisa ya aina zote za magonjwa.

ਆਇ ਬਸਹੁ ਘਰ ਦੇਸ ਮਹਿ ਇਹ ਭਲੇ ਸੰਜੋਗ ॥
aa-ay bashu ghar days meh ih bhalay sanjog.
Only this human life offers the right opportunity to unite with God; dwell in yourheart which is your real abode.
Ni maisha haya ya kibinadamu yanatoa fursa sahihi ya kuungana na Mungu; ishi moyoni mwako ambapo ni makao yako halisi.

ਨਾਨਕ ਪ੍ਰਭ ਸੁਪ੍ਰਸੰਨ ਭਏ ਲਹਿ ਗਏ ਬਿਓਗ ॥੨॥੧੦॥੨੮॥
naanak parabh suparsan bha-ay leh ga-ay bi-og. ||2||10||28||
O’ Nanak, one on whom God becomes pleased, his separation from Him comes to an end. ||2||10||28||
Ee Nanak, yule ambaye Mungu anapendezwa naye, utengano wako kutoka kwa Mungu unakwisha.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਕਾਹੂ ਸੰਗਿ ਨ ਚਾਲਹੀ ਮਾਇਆ ਜੰਜਾਲ ॥
kaahoo sang na chaalhee maa-i-aa janjaal.
The entanglements of worldly riches and power do not accompany anyone (after death).
Misongamano ya utajiri na mamlaka ya kidunia haiandamani na yeyote (baada ya kifo).

ਊਠਿ ਸਿਧਾਰੇ ਛਤ੍ਰਪਤਿ ਸੰਤਨ ਕੈ ਖਿਆਲ ॥ ਰਹਾਉ ॥
ooth siDhaaray chhatarpat santan kai khi-aal. rahaa-o.
The saints believe firmly that even the kings and rulers depart from the world, leaving everything behind. ll Pause ll
Watakatifu wanaamini kwa uthabiti kwamba hata wafalme na watawala wanaondoka kutoka dunia, wakiacha kila kitu nyuma. ||Sitisha||

ਅਹੰਬੁਧਿ ਕਉ ਬਿਨਸਨਾ ਇਹ ਧੁਰ ਕੀ ਢਾਲ ॥
ahaN-buDh ka-o binsanaa ih Dhur kee dhaal.
This is a principle from the very beginning, that a self-conceited person certainly faces spiritual death.
Hii ndiyo kanuni kutoka mwanzoni kabisa, kwamba mtu mwenye majivuno binafsi kwa uhakika anakumbwa na kifo cha kiroho.

ਬਹੁ ਜੋਨੀ ਜਨਮਹਿ ਮਰਹਿ ਬਿਖਿਆ ਬਿਕਰਾਲ ॥੧॥
baho jonee janmeh mareh bikhi-aa bikraal. ||1||
Those who remain involved in the pursuits of Maya, the worldly riches and power, keep going through cycles of birth and death in many incarnations. ||1||
Wale wanaobaki wamejihusisha katika harakati za Maya, utajiri na mamlaka ya kidunia, wanaendelea kupitia mizunguko ya kuzaliwa na kufa katika umwilisho mwingi.

ਸਤਿ ਬਚਨ ਸਾਧੂ ਕਹਹਿ ਨਿਤ ਜਪਹਿ ਗੁਪਾਲ ॥
sat bachan saaDhoo kaheh nit jaapeh gupaal.
The saints always utter divine words of God’s praises and everyday theymeditate on Naam.
Watakatifu daima wanatamka maneno takatifu ya sifa za Mungu na kila siku wanatafakari kuhusu Naam.

ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਨਾਨਕ ਤਰੇ ਹਰਿ ਕੇ ਰੰਗ ਲਾਲ ॥੨॥੧੧॥੨੯॥
simar simar naanak taray har kay rang laal. ||2||11||29||
O’ Nanak, imbued with the intense love of God, the saintly people swim across the world-ocean of vices by always meditating on Naam. ||2||11||29||
Ee Nanak, wakipenyezwa na upendo mkuu wa Mungu, watu watakatifu wanaogelea na kuvuka bahari-dunia kwa kutafaakri kuhusu Naam daima.

ਬਿਲਾਵਲੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
bilaaval mehlaa 5.
Raag Bilaaval, Fifth Guru:
Raag Bilaaval, Guru wa Tano:

ਸਹਜ ਸਮਾਧਿ ਅਨੰਦ ਸੂਖ ਪੂਰੇ ਗੁਰਿ ਦੀਨ ॥
sahj samaaDh anand sookh pooray gur deen.
The one on whom the perfect Guru becomes merciful, He blesses him with the comforts of peaceful trance, poise and bliss.
Yule ambaye Guru kamili anahurumia, Yeye anambariki na starehe za umakini wa amani, utulivu na raha tele.

ਸਦਾ ਸਹਾਈ ਸੰਗਿ ਪ੍ਰਭ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਗੁਣ ਚੀਨ ॥ ਰਹਾਉ ॥
sadaa sahaa-ee sang parabh amrit gun cheen. rahaa-o.
God always remains his helper and companion; and that person always contemplates on God’s ambrosial virtues. ||Pause||
Daima Mungu anasalia msaidizi na mwendani wake; na mtu huyo daima anatafakari kuhusu fadhila za ambrosia za Mungu. ||Sitisha||

error: Content is protected !!