Swahili Page 170

ਹਰਿ ਕਾ ਨਾਮੁ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਰਸੁ ਚਾਖਿਆ ਮਿਲਿ ਸਤਿਗੁਰ ਮੀਠ ਰਸ ਗਾਨੇ ॥੨॥
har kaa naam amrit ras chaakhi-aa mil satgur meeth ras gaanay. ||2||
Meeting the True Guru I have tasted the Ambrosial Nectar of God’s Name. It is sweet, like the juice of the sugarcane.
Kwa kukutana na Guru wa Kweli nimeonja Nekta ya Ambrosia ya Jina la Mungu, ni tamu, kama jusi ya muwa.

ਜਿਨ ਕਉ ਗੁਰੁ ਸਤਿਗੁਰੁ ਨਹੀ ਭੇਟਿਆ ਤੇ ਸਾਕਤ ਮੂੜ ਦਿਵਾਨੇ ॥
jin ka-o gur satgur nahee bhayti-aa tay saakat moorh divaanay.
Those who have not met the True Guru are foolish and insane, they are faithless cynics.
Wale ambao hawajakutana na Guru wa Kweli ni wapumbavu na wenye kichaa, wao ni wabeuzi wasio na imani yoyote.

ਤਿਨ ਕੇ ਕਰਮਹੀਨ ਧੁਰਿ ਪਾਏ ਦੇਖਿ ਦੀਪਕੁ ਮੋਹਿ ਪਚਾਨੇ ॥੩॥
tin kay karamheen Dhur paa-ay daykh deepak mohi pachaanay. ||3||
They are preordained to be devoid of righteous deeds. They burn in the fire of emotional attachment of Maya like a moth burns in a flame.||3||
Wameagiziwa mapema kuwa bila vitendo vya haki. Wanateketea katika moto wa kiambatanisho cha kihisia kwa Maya kama vile nondo anavyochomeka kwenye mwali.

ਜਿਨ ਕਉ ਤੁਮ ਦਇਆ ਕਰਿ ਮੇਲਹੁ ਤੇ ਹਰਿ ਹਰਿ ਸੇਵ ਲਗਾਨੇ ॥
jin ka-o tum da-i-aa kar maylhu tay har har sayv lagaanay.
O’ God, showing mercy on whom You unite with the Guru, they lovingly remain engaged in Your devotional worship.
Ee Mungu, ukionyesha huruma kwa wale unaounganisha na Guru, wanabaki wamejihusisha kwa upendo katika ibada ya kujitolea kwako.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਜਪਿ ਪ੍ਰਗਟੇ ਮਤਿ ਗੁਰਮਤਿ ਨਾਮਿ ਸਮਾਨੇ ॥੪॥੪॥੧੮॥੫੬॥
jan nanak har har har jap pargatay mat gurmat naam samaanay. |4|4|18|56||
O’ Nanak, By following the Guru’s teachings, they remain attuned to Naam and they become renowned by always meditating on God’s Name. |4|4|18|56|
Ee Nanak, kwa kufuata mafundisho ya Guru, wanabaki wamemakinikia Naam na wanakuwa maarufu kwa kutafakari daima kuhusu Jina la Mungu

ਗਉੜੀ ਪੂਰਬੀ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee poorbee mehlaa 4.
Raag Gauree Poorbee, Fourth Guru:
Raag Gauree Poorbee, Guru wa Nne:

ਮੇਰੇ ਮਨ ਸੋ ਪ੍ਰਭੁ ਸਦਾ ਨਾਲਿ ਹੈ ਸੁਆਮੀ ਕਹੁ ਕਿਥੈ ਹਰਿ ਪਹੁ ਨਸੀਐ ॥
mayray man so parabh sadaa naal hai su-aamee kaho kithai har pahu nasee-ai.
O my mind, God is always with you, tell me, how can you escape His presence?
Ee akili yangu, Mungu daima yupo nawe, niambie, utawezaje kuhepa uwepo wake?

ਹਰਿ ਆਪੇ ਬਖਸਿ ਲਏ ਪ੍ਰਭੁ ਸਾਚਾ ਹਰਿ ਆਪਿ ਛਡਾਏ ਛੁਟੀਐ ॥੧॥
har aapay bakhas la-ay parabh saachaa har aap chhadaa-ay chhutee-ai. ||1||
The eternal God Himself grants forgiveness; we are liberated from the grip of vices only when He Himself emancipates us. ||1||
Mungu wa milele mwenyewe anaruzuku msamaha; sisi tunakombolewa kutoka mshiko wa maovu wakati Yeye mwenyewe anatukomboa.

ਮੇਰੇ ਮਨ ਜਪਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਮਨਿ ਜਪੀਐ ॥
mayray man jap har har har man japee-ai.
O my mind, always lovingly meditate on God’s Name.
Ee akili yangu, tafakari daima kwa upendo kuhusu Jina la Mungu.

ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਸਰਣਾਈ ਭਜਿ ਪਉ ਮੇਰੇ ਮਨਾ ਗੁਰ ਸਤਿਗੁਰ ਪੀਛੈ ਛੁਟੀਐ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
satgur kee sarnaa-ee bhaj pa-o mayray manaa gur satgur peechhai chhutee-ai. ||1|| rahaa-o.
O’ my mind seek the refuge of the true Guru. Release from the bonds of Maya is obtained by following the true Guru’s teachings.||1||Pause||
Ee akili yangu tafuta kimbilio cha Guru wa kweli. Uhuru kutoka vifungo vya Maya unapatikana kwa kufuata mafundisho ya Guru wa kweli. ||1||Sitisha||

ਮੇਰੇ ਮਨ ਸੇਵਹੁ ਸੋ ਪ੍ਰਭ ਸ੍ਰਬ ਸੁਖਦਾਤਾ ਜਿਤੁ ਸੇਵਿਐ ਨਿਜ ਘਰਿ ਵਸੀਐ ॥
mayray man sayvhu so parabh sarab sukh-daata jit sayvi-ai nij ghar vasee-ai.
O’ my mind, lovingly meditate on God, the bestower of peace. Remembering Him with love and devotion we can feel His presence in the heart.
Ee akili yangu, tafakari kwa upendo kuhusu Mungu, mtawaza wa amani, kwa kumkumbuka kwa upendo na kujitolea tunaweza kuhisi uwepo wake moyoni.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਜਾਇ ਲਹਹੁ ਘਰੁ ਅਪਨਾ ਘਸਿ ਚੰਦਨੁ ਹਰਿ ਜਸੁ ਘਸੀਐ ॥੨॥
gurmukh jaa-ay lahhu ghar apnaa ghas chandan har jas ghasee-ai. |2|
Through the Guru, go and reclaim your own heart (God’s abode). Just as the sandalwood becomes fragrant by repeatedly rubbing on the stone, similarly our spiritual life becomes blissfull by singing God’s praises again and again. |2|
Kupitia kwa Guru, nenda ukadai moyo wako mwenyewe (makao ya Mungu). Kama vile misandali inatoa harufu nzuri kwa kuisugua mara kwa mara kwenye jiwe, vivyo hivyo maisha yetu ya kiroho yanakuwa yenye raha tele kwa kuimba sifa za Mungu tena na tena.

ਮੇਰੇ ਮਨ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਜਸੁ ਊਤਮੁ ਲੈ ਲਾਹਾ ਹਰਿ ਮਨਿ ਹਸੀਐ ॥
mayray man har har har har har jas ootam lai laahaa har man hasee-ai.
O’ my mind, God’s Praise is the most sublime wealth. By earning the profit of God’s Name one can enjoy the bliss.
Ee akili yangu, Sifa za Mungu ni utajiri tukufu zaidi. Kwa kuchuma faida ya Jina la Mungu mtu anaweza kufurahia raha hio.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਆਪਿ ਦਇਆ ਕਰਿ ਦੇਵੈ ਤਾ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਹਰਿ ਰਸੁ ਚਖੀਐ ॥੩॥
har har aap da-i-aa kar dayvai taa amrit har ras chakhee-ai. ||3||
When God in His Mercy, bestows the gift of His Name, then we relish the ambrosial essence of Naam.||3||
Wakati Mungu katika Huruma yake, anatawaza tuzo ya Jina lake, basi tunafurahia kiini cha ambrosia cha Naam.

ਮੇਰੇ ਮਨ ਨਾਮ ਬਿਨਾ ਜੋ ਦੂਜੈ ਲਾਗੇ ਤੇ ਸਾਕਤ ਨਰ ਜਮਿ ਘੁਟੀਐ ॥
mayray man naam binaa jo doojai laagay tay saakat nar jam ghutee-ai.
O’ my mind, without Naam and attached to duality, the faithless cynics suffer such great pain, as if they are strangulated by the demon of death.
Ee akili yangu, bila Naam na wakiambatishwa kwa uwili, wabeuzi wasioa na imani wanateseka uchungu mkuu, kana kwamba wananyongwa na pepo wa kifo.

ਤੇ ਸਾਕਤ ਚੋਰ ਜਿਨਾ ਨਾਮੁ ਵਿਸਾਰਿਆ ਮਨ ਤਿਨ ਕੈ ਨਿਕਟਿ ਨ ਭਿਟੀਐ ॥੪॥
tay saakat chor jinaa naam visaari-aa man tin kai nikat na bhitee-ai. ||4||
Such faithless cynics, who have forgotten the Naam, are like thieves. O my mind, do not even go near them.
Wabeuzi wasio na imani kama hao, ambao wamesahau Naam, ni kama wezi. Ee akili yangu, hata usiende karibu nao.

ਮੇਰੇ ਮਨ ਸੇਵਹੁ ਅਲਖ ਨਿਰੰਜਨ ਨਰਹਰਿ ਜਿਤੁ ਸੇਵਿਐ ਲੇਖਾ ਛੁਟੀਐ ॥
mayray man sayvhu alakh niranjan narhar jit sayvi-ai laykhaa chhutee-ai.
O’ my mind, lovingly meditate on the incomprehensible and immaculate God, by remembering Him, all the accounts of our past deeds are cleared.
Ee akili yangu, tafakari kwa upendo kuhusu Mungu asiyefahamika na aiye safi, kwa kumkumbuka Yeye, akaunti ya vitendo vyetu vya awali inasafishwa.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭਿ ਪੂਰੇ ਕੀਏ ਖਿਨੁ ਮਾਸਾ ਤੋਲੁ ਨ ਘਟੀਐ ॥੫॥੫॥੧੯॥੫੭॥
jan nanak har prabh pooray kee-ay khin maasaa tol na ghatee-ai. |5||5||19||57||
O’ Nanak, those whom God has blessed with righteous life, don’t lack in virtues even a bit. |5 |5|19|57|
Ee Nanak, wale ambao Mungu amebariki na maisha ya haki, hawakosi fadhila hata kidogo.

ਗਉੜੀ ਪੂਰਬੀ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee poorbee mehlaa 4.
Raag Gauree Poorbee, Fourth Guru:
Raag Gauree Poorbee, Guru wa Nne:

ਹਮਰੇ ਪ੍ਰਾਨ ਵਸਗਤਿ ਪ੍ਰਭ ਤੁਮਰੈ ਮੇਰਾ ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਸਭ ਤੇਰੀ ॥
hamray paraan vasgat parabh tumrai mayraa jee-o pind sabh tayree.
O’ God, my breath of life is in Your Power, my soul and body are totally Yours.
Ee Mungu, pumzi yangu ya uhai ipo katika Nguzu yako, roho na mwili wangu ni wako kabisa.

ਦਇਆ ਕਰਹੁ ਹਰਿ ਦਰਸੁ ਦਿਖਾਵਹੁ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਤਨਿ ਲੋਚ ਘਣੇਰੀ ॥੧॥
da-i-aa karahu har daras dikhaavhu mayrai man tan loch ghanayree. ||1||
In my body and mind is an intense craving for You. Please have mercy, and make me feel Your presence. ||1||
Ndani mwa mwili na akili yangu kuna hamu kali kwako. Tafadhali nionee huruma, na unifanye nihisi uwepo wako.

ਰਾਮ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਤਨਿ ਲੋਚ ਮਿਲਣ ਹਰਿ ਕੇਰੀ ॥
raam mayrai man tan loch milan har kayree.
O’ God, there is such a great longing within my mind and body to unite with You.
Ee Mungu, kuna hamu kubwa ndani ya akili na mwili wangu kuungana na Wewe.

ਗੁਰ ਕ੍ਰਿਪਾਲਿ ਕ੍ਰਿਪਾ ਕਿੰਚਤ ਗੁਰਿ ਕੀਨੀ ਹਰਿ ਮਿਲਿਆ ਆਇ ਪ੍ਰਭੁ ਮੇਰੀ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gurkirpal kirpaa kichant gur keenee har mili-aa aa-ay parabh mayree. ||1|| rahaa-o.
When the Merciful Guru showed just a little mercy, I felt God’s presence within me.
Wakati Guru mwenye huruma alionyesha huruma kidogo tu, nilihisi uwepo wa Mungu ndani mwangu.

ਜੋ ਹਮਰੈ ਮਨ ਚਿਤਿ ਹੈ ਸੁਆਮੀ ਸਾ ਬਿਧਿ ਤੁਮ ਹਰਿ ਜਾਨਹੁ ਮੇਰੀ ॥
jo hamrai man chit hai su-aamee saa biDh tum har jaanhu mayree.
O’ God, Whatever is in my conscious mind, that state of mine is known to You,
Ee Mungu, Chochote kipo katika akili yangu yenye fahamu, hali hiyo yangu inajulikana na Wewe.

ਅਨਦਿਨੁ ਨਾਮੁ ਜਪੀ ਸੁਖੁ ਪਾਈ ਨਿਤ ਜੀਵਾ ਆਸ ਹਰਿ ਤੇਰੀ ॥੨॥
an-din naam japee sukh paa-ee nit jeevaa aas har tayree. ||2||
O’ God, I live by placing my hopes in You, my desire is that I may always lovingly meditate on Your Name and live in peace.
Ee Mungu, naishi kwa kuweka matumaini yangu kwako, hamu yangu ni kwamba niweze kutafakari kwa upendo kuhusu Jina lako daima na kuishi kwa amani.

ਗੁਰਿ ਸਤਿਗੁਰਿ ਦਾਤੈ ਪੰਥੁ ਬਤਾਇਆ ਹਰਿ ਮਿਲਿਆ ਆਇ ਪ੍ਰਭੁ ਮੇਰੀ ॥
gur satgur daatai panth bataa-i-aa har mili-aa aa-ay parabh mayree.
The true Guru, bestower of the gift of the Naam, showed me the way to realize God, I was united with God.
Guru wa kweli, mtawaza wa tuzo ya Naam, alinionyesha njia ya kumgundua Mungu, niliunganishwa na Mungu.

ਅਨਦਿਨੁ ਅਨਦੁ ਭਇਆ ਵਡਭਾਗੀ ਸਭ ਆਸ ਪੁਜੀ ਜਨ ਕੇਰੀ ॥੩॥
an-din anad bha-i-aa vadbhaagee sabh aas pujee jan kayree. ||3||
By great good fortune I am always in bliss; and all my hopes have been fulfilled.
Kwa bahati nzuri kuu mimi nimo katika raha tele daima; na matumaini yangu yote yametimizwa.

ਜਗੰਨਾਥ ਜਗਦੀਸੁਰ ਕਰਤੇ ਸਭ ਵਸਗਤਿ ਹੈ ਹਰਿ ਕੇਰੀ ॥
jagannaath jagdeesur kartay sabh vasgat hai har kayree.
O’ God, the Creator of the world, all this is under Your control.
Ee Mungu, Muumba wa dunia, hayo yote yapo katika udhibiti wako.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਸਰਣਾਗਤਿ ਆਏ ਹਰਿ ਰਾਖਹੁ ਪੈਜ ਜਨ ਕੇਰੀ ॥੪॥੬॥੨੦॥੫੮॥
jan naanak sarnaagat aa-ay har raakho paij jan kayree. ||4||6||20||58||
O’ Nanak, I (Your devotee) have sought Your refuge, please, save my honor.
Ee Nanak, mimi (mtawa wako) nimetafuta kimbilio chako, tafadhali, hifadhi heshima yangu.

ਗਉੜੀ ਪੂਰਬੀ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee poorbee mehlaa 4.
Raag Gauree Poorbee, Fourth Guru:
Raag Gauree Poorbee, Guru wa Nne:

ਇਹੁ ਮਨੂਆ ਖਿਨੁ ਨ ਟਿਕੈ ਬਹੁ ਰੰਗੀ ਦਹ ਦਹ ਦਿਸਿ ਚਲਿ ਚਲਿ ਹਾਢੇ ॥
ih manoo-aa khin na tikai baho rangee dah dah dis chal chal haadhay.
This mind indulged in all sorts of worldly attractions does not remain still even for an instant and wanders around aimlessly in all direction.
Akili hii ilijihusisha katika aina zote za vivutio za kidunia haibaki tulivu hata kwa muda mfupi na inazurura kote bila mwelekeo katika pande zote.

error: Content is protected !!