ਅੰਤਰਿ ਅਲਖੁ ਨ ਜਾਈ ਲਖਿਆ ਵਿਚਿ ਪੜਦਾ ਹਉਮੈ ਪਾਈ ॥
antar alakh na jaa-ee lakhi-aa vich parh-daa ha-umai paa-ee.
The incomprehensible God is within all, but cannot be realized because of the intervening curtain of ego.
Mungu asiyeeleweka yupo ndani mwetu sote, lakini hawezi kugunduliwa kwa sababu ya pazia lilaloingilia kati la ubinafsi.
ਮਾਇਆ ਮੋਹਿ ਸਭੋ ਜਗੁ ਸੋਇਆ ਇਹੁ ਭਰਮੁ ਕਹਹੁ ਕਿਉ ਜਾਈ ॥੧॥
maa-i-aa mohi sabho jag so-i-aa ih bharam kahhu ki-o jaa-ee. ||1||
The entire world is engrossed in the emotional attachment to Maya. Tell me, how can this illusion be dispelled?||1||
Dunia mzima imevama katika kiambatisho cha kihisia kwa Maya. Nimabie, njozi hii inawezaje kuondolewa?
ਏਕਾ ਸੰਗਤਿ ਇਕਤੁ ਗ੍ਰਿਹਿ ਬਸਤੇ ਮਿਲਿ ਬਾਤ ਨ ਕਰਤੇ ਭਾਈ ॥
aykaa sangat ikat garihi bastay mil baat na kartay bhaa-ee.
O’ brother, both the human soul and God Himself live together in the same heart but they do not communicate with each other (because of the ego).
Ee ndugu, roho ya binadamu na Mungu Mwenyewe wanaishi pamoja katika moyo mmoja lakini hawawailiani pamoja (kwa sababu ya ubinafsi).
ਏਕ ਬਸਤੁ ਬਿਨੁ ਪੰਚ ਦੁਹੇਲੇ ਓਹ ਬਸਤੁ ਅਗੋਚਰ ਠਾਈ ॥੨॥
ayk basat bin panch duhaylay oh basat agochar thaa-ee. ||2||
The five sensory organs feel miserable without the wealth of Naam; that wealth is in a place beyond their reach. ||2||
Viungo vitano vya fahamu vinahisi kutaabika bila utajiri wa Naam; utajiri huo upo mahali ambao haviwezi kufikia.
ਜਿਸ ਕਾ ਗ੍ਰਿਹੁ ਤਿਨਿ ਦੀਆ ਤਾਲਾ ਕੁੰਜੀ ਗੁਰ ਸਉਪਾਈ ॥
jis kaa garihu tin dee-aa taalaa kunjee gur sa-upaa-ee.
God, who resides in this body has locked it up and has entrusted its key to the Guru.
Mungu, anayeishi katika mwili huu ameufungia na amekabidhi kifunguo kwa Guru.
ਅਨਿਕ ਉਪਾਵ ਕਰੇ ਨਹੀ ਪਾਵੈ ਬਿਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਸਰਣਾਈ ॥੩॥
anik upaav karay nahee paavai bin satgur sarnaa-ee. ||3||
One makes endless efforts to realize Naam but without following the teachings of the true Guru, cannot achieve it.||3||
Mtu anafanya jitihada zisizo na mwisho kugundua Naam lakini bila kufuata mafundisho ya Guru wa kweli, hawezi kuitimiza.
ਜਿਨ ਕੇ ਬੰਧਨ ਕਾਟੇ ਸਤਿਗੁਰ ਤਿਨ ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਲਿਵ ਲਾਈ ॥
jin kay banDhan kaatay satgur tin saaDhsangat liv laa-ee.
O’ the true Guru, they attune themselves to God in the holy congregation whose bonds with Maya are broken by you.
Ee Guru wa kweli, wanajimakinisha kwa Mungu katika ushirika takatifu ambao vifungo vyao vya Maya vimevunjwa na wewe.
ਪੰਚ ਜਨਾ ਮਿਲਿ ਮੰਗਲੁ ਗਾਇਆ ਹਰਿ ਨਾਨਕ ਭੇਦੁ ਨ ਭਾਈ ॥੪॥
panch janaa mil mangal gaa-i-aa har naanak bhayd na bhaa-ee. ||4||
O’ Nanak, the chosen beings, meet together and sing the joyous songs of God’s praises. O’ brother, there is left no difference between them and God. ||4||
Ee Nanak, hao viumbe wa kipekee, wanakutana pamoja na kuimba nyimbo za furaha za sifa za Mungu. Ee ndugu, hakuna tofauti inabaki kati yao na Mungu.
ਮੇਰੇ ਰਾਮ ਰਾਇ ਇਨ ਬਿਧਿ ਮਿਲੈ ਗੁਸਾਈ ॥
mayray raam raa-ay in biDh milai gusaa-ee.
This is how my sovereign God, the Master of the Universe is met;
Hii ndiyo njia ambayo Mungu wangu mwenyezi, Bwana wa Ulimwengu anapatikana;
ਸਹਜੁ ਭਇਆ ਭ੍ਰਮੁ ਖਿਨ ਮਹਿ ਨਾਠਾ ਮਿਲਿ ਜੋਤੀ ਜੋਤਿ ਸਮਾਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ਦੂਜਾ ॥੧॥੧੨੨॥
sahj bha-i-aa bharam khin meh naathaa mil jotee jot samaa-ee. ||1|| rahaa-o doojaa. ||1||122||
When celestial bliss is attained, doubt goes away in an instant and the soul merges with the Supreme Soul. ||1||Second Pause||1||122||
Wakati raha tele ya mbinguni inapatikana, shaka inaondoka papo hapo na roho inaungana na Roho Kuu. ||1||Sitisho ya pili||1||122||
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag gauree, Guru wa Tano:
ਐਸੋ ਪਰਚਉ ਪਾਇਓ ॥
aiso parcha-o paa-i-o.
I have developed such an intimacy with God,
Nimesitawisha uhusiano wa karibu wa kipekee na Mungu,
ਕਰੀ ਕ੍ਰਿਪਾ ਦਇਆਲ ਬੀਠੁਲੈ ਸਤਿਗੁਰ ਮੁਝਹਿ ਬਤਾਇਓ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
karee kirpaa da-i-aal beethulay satgur mujheh bataa-i-o. ||1|| rahaa-o.
that by granting His grace, the kind and immaculate God has united me with the true Guru. ||1||Pause||
ya kwamba kwa kuruzuku neema yake, Mungu mwema na safi ameniunganisha na Guru wa kweli. ||1||Sitisha||
ਜਤ ਕਤ ਦੇਖਉ ਤਤ ਤਤ ਤੁਮ ਹੀ ਮੋਹਿ ਇਹੁ ਬਿਸੁਆਸੁ ਹੋਇ ਆਇਓ ॥
jat kat daykh-a-u tat tat tum hee mohi ih bisu-aas ho-ay aa-i-o.
O’ God, now I am totally convinced that wherever I look, I behold You alone.
Ee Mungu, sasa nimeshawishika kikamilifu kwamba popote niangaliapo, nakutazama Wewe pekee.
ਕੈ ਪਹਿ ਕਰਉ ਅਰਦਾਸਿ ਬੇਨਤੀ ਜਉ ਸੁਨਤੋ ਹੈ ਰਘੁਰਾਇਓ ॥੧॥
kai peh kara-o ardaas bayntee ja-o sunto hai raghuraa-i-o. ||1||
Why should I pray and submit my request before anyone else, when the sovereign God Himself is listening to me? ||1||
Kwa nini niombe na kuwasilisha ombi langu kwa yeyote mwingine, wakati Mungu mwenyezi mwenyewe ananisikiliza?
ਲਹਿਓ ਸਹਸਾ ਬੰਧਨ ਗੁਰਿ ਤੋਰੇ ਤਾਂ ਸਦਾ ਸਹਜ ਸੁਖੁ ਪਾਇਓ ॥
lahi-o sahsaa banDhan gur toray taaN sadaa sahj sukh paa-i-o.
The Guru has cut away my worldly bonds, my anxiety is over and I have found eternal peace.
Guru amekata vifungo vyangu vya kidunia, wasiwasi wangu umekwisha na nimepata amani ya milele.
ਹੋਣਾ ਸਾ ਸੋਈ ਫੁਨਿ ਹੋਸੀ ਸੁਖੁ ਦੁਖੁ ਕਹਾ ਦਿਖਾਇਓ ॥੨॥
honaa saa so-ee fun hosee sukh dukh kahaa dikhaa-i-o. ||2||
Whatever has to happen shall happen; any event causing pain or pleasure does not happen without God’s will ?||2||
Chochote ambacho kinapaswa kufanyika kitafanyika; tukio lolote linaloleta uchungu au raha halitendeki bila mapenzi ya Mungu?
ਖੰਡ ਬ੍ਰਹਮੰਡ ਕਾ ਏਕੋ ਠਾਣਾ ਗੁਰਿ ਪਰਦਾ ਖੋਲਿ ਦਿਖਾਇਓ ॥
khand barahmand kaa ayko thaanaa gur pardaa khol dikhaa-i-o.
By removing the veil of illusion, the Guru has shown me that it is the God alone who is the support of all the continents and the solar systems.
Kwa kuondoa utaji wa njozi, Guru amenionyesha kwamba ni Mungu pekee ambaye ni nguzo ya bara zote na mifumo ya jua.
ਨਉ ਨਿਧਿ ਨਾਮੁ ਨਿਧਾਨੁ ਇਕ ਠਾਈ ਤਉ ਬਾਹਰਿ ਕੈਠੈ ਜਾਇਓ ॥੩॥
na-o niDh naam niDhaan ik thaa-ee ta-o baahar kaithai jaa-i-o. ||3||
Naam, the treasure of the world dwells in the heart; one need not wander outside in its search? ||3||
Naam, hazina ya dunia inaishi moyoni; mtu hapaswi kuzurura nje akiitafuta?
ਏਕੈ ਕਨਿਕ ਅਨਿਕ ਭਾਤਿ ਸਾਜੀ ਬਹੁ ਪਰਕਾਰ ਰਚਾਇਓ ॥
aykai kanik anik bhaat saajee baho parkaar rachaa-i-o.
Just as gold is fashioned into various designs, God has manifested Himself into various creations.
Kama vile dhahabu inapambwa kuwa miundo tofauti, Mungu amejidhihirisha kuwa uumbaji tofauti.
ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਭਰਮੁ ਗੁਰਿ ਖੋਈ ਹੈ ਇਵ ਤਤੈ ਤਤੁ ਮਿਲਾਇਓ ॥੪॥੨॥੧੨੩॥
kaho naanak bharam gur kho-ee hai iv tatai tat milaa-i-o. ||4||2||123||
Nanak says, “The Guru has dispelled my doubt and has united my soul with the prime Soul”. ||4||2||123||
Nanak anasema, “Guru ameondoa shaka na ameunganisha roho yangu na Roho kuu”.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag Gauree, Guru wa Tano:
ਅਉਧ ਘਟੈ ਦਿਨਸੁ ਰੈਨਾਰੇ ॥
a-oDh ghatai dinas rainaaray.
With the passage of time, the remaining span of life keeps decreasing.
Kwa mpito wa wakati, muda wa kuishi unaobaki unaendelea kupungua.
ਮਨ ਗੁਰ ਮਿਲਿ ਕਾਜ ਸਵਾਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
man gur mil kaaj savaaray. ||1|| rahaa-o.
O’ my mind, meet the Guru and resolve the purpose for which you are here. ||1||Pause||
Ee akili yangu, kutana na Guru na ufanikishe kusudi ambalo lilikuleta humu. ||1||Sitisha||
ਕਰਉ ਬੇਨੰਤੀ ਸੁਨਹੁ ਮੇਰੇ ਮੀਤਾ ਸੰਤ ਟਹਲ ਕੀ ਬੇਲਾ ॥
kara-o baynantee sunhu mayray meetaa sant tahal kee baylaa.
O’ my friend, listen! I beg of you to serve the saints now (meditate on God).
Ee rafiki wangu, sikiliza! Nakuomba utumikie watakatifu sasa hivi (tafakari kuhusu Mungu).
ਈਹਾ ਖਾਟਿ ਚਲਹੁ ਹਰਿ ਲਾਹਾ ਆਗੈ ਬਸਨੁ ਸੁਹੇਲਾ ॥੧॥
eehaa khaat chalhu har laahaa aagai basan suhaylaa. ||1||
Earn the wealth of God’s Name before departing from this world so that hereafter, you shall dwell in peace. ||1||
Chuma utajiri wa Jina la Mungu kabla ya kuondoka kutoka dunia hii ili katika dunia itakayofuata, utaishi kwa amani.
ਇਹੁ ਸੰਸਾਰੁ ਬਿਕਾਰੁ ਸਹਸੇ ਮਹਿ ਤਰਿਓ ਬ੍ਰਹਮ ਗਿਆਨੀ ॥
ih sansaar bikaar sahsay meh tari-o barahm gi-aanee.
This world is engrossed in vicious illusions. Only the divinely wise who have realized God, swim across the dreadly world ocean.
Dunia hii imevama katika njozi kali. Wenye hekima takatifu pekee ambao wamemgundua Mungu, wanaogelea wakivuka bahari mbaya ya kidunia ya dhambi.
ਜਿਸਹਿ ਜਗਾਇ ਪੀਆਏ ਹਰਿ ਰਸੁ ਅਕਥ ਕਥਾ ਤਿਨਿ ਜਾਨੀ ॥੨॥
jisahi jagaa-ay pee-aa-ay har ras akath kathaa tin jaanee. ||2||
The one whom God awakens (from the slumber of worldly attachments) to drink the essence of His Name knows the ineffable virtues of God.||2||
Yule ambaye Mungu anaamsha (kutoka usingizi wa viambatisho vya kidunia) kunywa kiini cha Jina lake anajua fadhila zisizoelezeka za Mungu.
ਜਾ ਕਉ ਆਏ ਸੋਈ ਵਿਹਾਝਹੁ ਹਰਿ ਗੁਰ ਤੇ ਮਨਹਿ ਬਸੇਰਾ ॥
jaa ka-o aa-ay so-ee vihaajhahu har gur tay maneh basayraa.
Procure only the wealth of Naam for which you came into this world. It is only by the Guru’s grace that God shall dwell in your heart.
Pata tu utajiri wa Naam ambao kwa sababu yake ulikuja duniani humu. Ni kwa neema ya Guru pekee ambapo Mungu ataishi moyoni mwako.
ਨਿਜ ਘਰਿ ਮਹਲੁ ਪਾਵਹੁ ਸੁਖ ਸਹਜੇ ਬਹੁਰਿ ਨ ਹੋਇਗੋ ਫੇਰਾ ॥੩॥
nij ghar mahal paavhu sukh sehjay bahur na ho-igo fayraa. ||3||
Realize God’s presence within your own inner self with intuitive ease and you shall not be consigned again to the cycles of birth and death. ||3||
Gundua uwepo wa Mungu ndani mwa nafsi yako kwa urahisi wa silika na hisia na hutatumwa tena kwenye mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਅੰਤਰਜਾਮੀ ਪੁਰਖ ਬਿਧਾਤੇ ਸਰਧਾ ਮਨ ਕੀ ਪੂਰੇ ॥
antarjaamee purakh biDhaatay sarDhaa man kee pooray.
O’ the inner knower of hearts and the all pervading Creator, please fulfill this yearning of my heart.
Ee mjua wa ndani wa mioyo na Muumba unayeenea kote, tafadhali timiza hamu hii ya moyo wangu.
ਨਾਨਕੁ ਦਾਸੁ ਇਹੀ ਸੁਖੁ ਮਾਗੈ ਮੋ ਕਉ ਕਰਿ ਸੰਤਨ ਕੀ ਧੂਰੇ ॥੪॥੩॥੧੨੪॥
naanak daas ihee sukh maagai mo ka-o kar santan kee Dhooray. ||4||3||124||
Nanak, Your humble devotee begs for this happiness; Make me the most humble servant of the saints. ||4||3||124||
Nanak, mtawa wako mnyenyekevu anaomba furaha hii; nifanye niwe mtumishi mnyenyekevu zaidi wa watakatifu.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag Gauree, Guru wa Tano:
ਰਾਖੁ ਪਿਤਾ ਪ੍ਰਭ ਮੇਰੇ ॥
raakh pitaa parabh mayray.
O’ My Father God, please save me (from my evil impulses).
Ee Baba Mungu wangu, tafadhali niokoe (kutoka misukumo yangu mibaya).
ਮੋਹਿ ਨਿਰਗੁਨੁ ਸਭ ਗੁਨ ਤੇਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mohi nirgun sabh gun tayray. ||1|| rahaa-o.
I am worthless and without virtue; all virtues are your blessing. ||1||Pause||
Mimi ni duni na sina fadhila; fadhila zote ni baraka yako. ||1||Sitisha||
ਪੰਚ ਬਿਖਾਦੀ ਏਕੁ ਗਰੀਬਾ ਰਾਖਹੁ ਰਾਖਨਹਾਰੇ ॥
panch bikhaadee ayk gareebaa raakho raakhanhaaray.
O’ the savior God, save me; I am just one and the vicious thieves are five in number.
Ee mwokozi Mungu, niokoe; mimi ni mmoja tu na idadi ya wezi wakali ni tano.
ਖੇਦੁ ਕਰਹਿ ਅਰੁ ਬਹੁਤੁ ਸੰਤਾਵਹਿ ਆਇਓ ਸਰਨਿ ਤੁਹਾਰੇ ॥੧॥
khayd karahi ar bahut santaaveh aa-i-o saran tuhaaray. ||1||
I have come to Your refuge because these villains make much trouble and torture me immensely. ||1||
Nimekuja kwenye kimbilio chako kwa sababu wahalifu hao wananisumbua na kunitesa mno.