Swahili Page 92

ਐਸਾ ਤੈਂ ਜਗੁ ਭਰਮਿ ਲਾਇਆ ॥
aisaa taiN jag bharam laa-i-aa.
O’ God, You have cast the world into such a deep delusion.
Ee Mungu, Wewe umeweka dunia katika udanganyo wa kina sana.

ਕੈਸੇ ਬੂਝੈ ਜਬ ਮੋਹਿਆ ਹੈ ਮਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
kaisay boojhai jab mohi-aa hai maa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
How can one understand You, when he has been entranced by Maya?
Mtu anawezaje kukuelewa Wewe, wakati yeye amestaajabishwa na Maya?

ਕਹਤ ਕਬੀਰ ਛੋਡਿ ਬਿਖਿਆ ਰਸ ਇਤੁ ਸੰਗਤਿ ਨਿਹਚਉ ਮਰਣਾ ॥
kahat kabeer chhod bikhi-aa ras it sangat nihcha-o marnaa.
Kabeer says, give up the desire for poisonous (worldly) pleasures. Associating with such things, you will surely meet spiritual death.
Kabeer anasema, kata tamaa ya hamu ya raha (za kidunia) zenye sumu. Kwa kuhusiana na vitu kama hivyo, kwa uhakika utakufa kiroho.

ਰਮਈਆ ਜਪਹੁ ਪ੍ਰਾਣੀ ਅਨਤ ਜੀਵਣ ਬਾਣੀ ਇਨ ਬਿਧਿ ਭਵ ਸਾਗਰੁ ਤਰਣਾ ॥੨॥
ramee-aa japahu paranee anat jeevan banee in biDh bhav saagar tarnaa. ||2||
O’ mortal, remember God through the Guru’s teaching; which bestows eternal life. In this way, you can swim across the terrifying world-ocean of vices.
Ee binadamu, kumbuka Mungu kupitia funzo la Guru; inayotawaza uzima wa milele. Kwa njia hii, unaweza kuogelea kuvuka bahari-dunia ya dhambi inayoogofya.

ਜਾਂ ਤਿਸੁ ਭਾਵੈ ਤਾ ਲਾਗੈ ਭਾਉ ॥
jaaN tis bhaavai taa laagai bhaa-o.
Only when it so pleases Him, one is imbued with love for Him,
Wakati tu ambao unampendeza Yeye, ndio mtu anapenyezwa na upendo wake Yeye.

ਭਰਮੁ ਭੁਲਾਵਾ ਵਿਚਹੁ ਜਾਇ ॥
bharam bhulaavaa vichahu jaa-ay.
and doubt and delusion are dispelled from within.
Na shaka na udanganyo unaondolewa kutoka ndani mwake.

ਉਪਜੈ ਸਹਜੁ ਗਿਆਨ ਮਤਿ ਜਾਗੈ ॥
upjai sahj gi-aan mat jaagai.
Intuitive peace and poise well up within, and the intellect is awakened to spiritual wisdom.
Amani na utulivu wa kisilika unajaa ndani mwake, na uwekevu unaamshwa kwa hekima ya kiroho.

ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਅੰਤਰਿ ਲਿਵ ਲਾਗੈ ॥੩॥
gur parsaad antar liv laagai. ||3||
By Guru’s Grace one’s inner-self is attuned to love for God.
Kwa Neema ya Guru nafsi ya ndani ya mtu inamakinikia upendo kwa Mungu.

ਇਤੁ ਸੰਗਤਿ ਨਾਹੀ ਮਰਣਾ ॥
it sangat naahee marnaa.
And in this association, there is no spiritual death.
Na katika uhusiano huu, hakuna kifo cha kiroho.

ਹੁਕਮੁ ਪਛਾਣਿ ਤਾ ਖਸਮੈ ਮਿਲਣਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ਦੂਜਾ ॥
hukam pachhaan taa khasmai milnaa. ||1|| rahaa-o doojaa.
By realizing the Divine ordinance the union with God is obtained.
Kwa kugundua agizo takatifu muungano na Mungu unapatwa.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਤ੍ਰਿਲੋਚਨ ਕਾ ॥
sireeraag tarilochan kaa.
Sree Raag, by Trilochan:
Siree Raag, na Trilochan:

ਮਾਇਆ ਮੋਹੁ ਮਨਿ ਆਗਲੜਾ ਪ੍ਰਾਣੀ ਜਰਾ ਮਰਣੁ ਭਉ ਵਿਸਰਿ ਗਇਆ ॥
maa-i-aa moh man aaglarhaa paraanee jaraa maran bha-o visar ga-i-aa.
O’ mortal, your mind is totally engrossed in Maya; and you have forgotten the fear of old age and death.
Ee binadamu, akili yako imevama kabisa katika Maya; na umesahau hofu ya uzee na kifo.

ਕੁਟੰਬੁ ਦੇਖਿ ਬਿਗਸਹਿ ਕਮਲਾ ਜਿਉ ਪਰ ਘਰਿ ਜੋਹਹਿ ਕਪਟ ਨਰਾ ॥੧॥
kutamb daykh bigsahi kamlaa ji-o par ghar joheh kapat naraa. ||1||
O’ perverted human, Looking at your family, you blossoms like the lotus flower; and you look at other’s homes with evil intent.
Ee binadamu mpotovu, ukiangalia familia yako, unanawiri kama ua la yungiyungi; na unaangalia nyumba za wengine kwa nia mbaya.

ਦੂੜਾ ਆਇਓਹਿ ਜਮਹਿ ਤਣਾ ॥ ਤਿਨ ਆਗਲੜੈ ਮੈ ਰਹਣੁ ਨ ਜਾਇ ॥
doorhaa aa-i-ohi jameh tanaa. tin aaglarhai mai rahan na jaa-ay.
When the powerful Messenger of Death comes, I will not be able tostand against their awesome power.
Wakati Mjumbe wa Kifo mwenye nguvu anakuja, sitaweza kusimama dhidi ya nguvu yao kuu.

ਕੋਈ ਕੋਈ ਸਾਜਣੁ ਆਇ ਕਹੈ ॥
ko-ee ko-ee saajan aa-ay kahai.
Only a rare holy person in the entire world prays,
Ni mtu mtakatifu nadra tu duniani kote ambaye anasali.

ਮਿਲੁ ਮੇਰੇ ਬੀਠੁਲਾ ਲੈ ਬਾਹੜੀ ਵਲਾਇ ॥ ਮਿਲੁ ਮੇਰੇ ਰਮਈਆ ਮੈ ਲੇਹਿ ਛਡਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mil mayray beethulaa lai baahrhee valaa-ay. mil mayray rama-ee-aa mai layhi chhadaa-ay. ||1|| rahaa-o.
meet me O’ my God, take me under Your protection, unite me with yourself and grant me liberation from the love of Maya.
Kutana nami Ee Mungu wangu, nichukue chini ya ulinzi wako, niunganishe nawe Mwenyewe na uniruzuku ukombozi kutoka kwa upendo wa Maya.

ਅਨਿਕ ਅਨਿਕ ਭੋਗ ਰਾਜ ਬਿਸਰੇ ਪ੍ਰਾਣੀ ਸੰਸਾਰ ਸਾਗਰ ਪੈ ਅਮਰੁ ਭਇਆ ॥
anik anik bhog raaj bisray paraanee sansaar saagar pai amar bha-i-aa.
O’ mortal, indulging in all sorts of princely pleasures, you have forgotten God. You live as if you are immortal in the world-ocean full of vices.
Ee binadamu, ukijihusisha katika aina zote za raha za kifalme, umesahaucMungu. Unaishi kana kwamba wewe huwezi kufa katika bahari-dunia iliyojaa maovu.

ਮਾਇਆ ਮੂਠਾ ਚੇਤਸਿ ਨਾਹੀ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਓ ਆਲਸੀਆ ॥੨॥
maa-i-aa moothaa chaytas naahee janam gavaa-i-o aalsee-aa. ||2||
O’ lazy person, deluded by Maya (worldly riches and powers), you do not remember God. You have wasted your life in vain.
Ee mtu mzembe, ukidanganywa na Maya (nguvu na mamlaka ya kidunia), humkumbuki Mungu, Umetumia maisha yako vibaya bure.

ਬਿਖਮ ਘੋਰ ਪੰਥਿ ਚਾਲਣਾ ਪ੍ਰਾਣੀ ਰਵਿ ਸਸਿ ਤਹ ਨ ਪ੍ਰਵੇਸੰ ॥
bikham ghor panth chaalnaa paraanee rav sas tah na parvaysaN.
O’ mortal, (upon death) the path you will have to walk is treacherous and terrifying, neither the sun nor the moon shine on that path.
Ee binadamu, (unapokufa) njia ambayo utalazimika kutembea ni ngumu na inaogofya, jua na mwezikamwe hauwezi kung’aa kwa njia hiyo.

ਮਾਇਆ ਮੋਹੁ ਤਬ ਬਿਸਰਿ ਗਇਆ ਜਾਂ ਤਜੀਅਲੇ ਸੰਸਾਰੰ ॥੩॥
maa-i-aa moh tab bisar ga-i-aa jaaN tajee-alay saNsaaraN. ||3||
You will forget your emotional attachment to Maya, when you have to leave this world.
Utasahau kiambatisho chako cha kihisia kwa Maya, wakati utalazimika kuondoka dunia hii.

ਆਜੁ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਪ੍ਰਗਟੁ ਭਇਆ ਹੈ ਪੇਖੀਅਲੇ ਧਰਮਰਾਓ ॥
aaj mayrai man pargat bha-i-aa hai paykhee-alay Dharamraa-o.
Today, it has become clear to my mind that one has to face the Righteous Judge
Leo, imekuwa dhahiri kwa akili yangu kwamba mtu lazima asimame mbele ya Hakimu wa Haki.

ਤਹ ਕਰ ਦਲ ਕਰਨਿ ਮਹਾਬਲੀ ਤਿਨ ਆਗਲੜੈ ਮੈ ਰਹਣੁ ਨ ਜਾਇ ॥੪॥
tah kar dal karan mahaabalee tin aaglarhai mai rahan na jaa-ay. ||4||
His messengers, with their awesome power, crush mighty people between their hands; I cannot stand against them.
Wajumbe wake, kwa nguvu yao kuu, wanaponda watu wakuu kati ya mikono yao; mimi siwezi kusimama dhidi yao.

ਜੇ ਕੋ ਮੂੰ ਉਪਦੇਸੁ ਕਰਤੁ ਹੈ ਤਾ ਵਣਿ ਤ੍ਰਿਣਿ ਰਤੜਾ ਨਾਰਾਇਣਾ ॥
jay ko mooN updays karat hai taa van tarin rat-rhaa naaraa-inaa.
If someone is going to teach me something, let it be that God is pervading everywhere – in forests, fields, and every blade of grass.
Iwapo mtu anaenda kunifunza kitu, heri iwe kwamba Mungu anaenea kote – nyikani, nyanjani, na katika kila unyasi.

ਐ ਜੀ ਤੂੰ ਆਪੇ ਸਭ ਕਿਛੁ ਜਾਣਦਾ ਬਦਤਿ ਤ੍ਰਿਲੋਚਨੁ ਰਾਮਈਆ ॥੫॥੨॥
ai jee tooN aapay sabh kichh jaandaa badat tarilochan raam-ee-aa. ||5||2||
Tirlochan says, O’ Dear God, You Yourself know everything.
Trilochan anasema, Ee Mungu Mpendwa, Wewe Mwenyewe unajua kila kitu.

ਸ੍ਰੀਰਾਗੁ ਭਗਤ ਕਬੀਰ ਜੀਉ ਕਾ ॥
sareeraag bhagat kabeer jee-o kaa.
Siree Raag, by the Bhagat Kabeer Jee:
Siree Raag, na Bhagat Kabeer Jee:

ਅਚਰਜ ਏਕੁ ਸੁਨਹੁ ਰੇ ਪੰਡੀਆ ਅਬ ਕਿਛੁ ਕਹਨੁ ਨ ਜਾਈ ॥
achraj ayk sunhu ray pandee-aa ab kichh kahan na jaa-ee.
Listen O’ Pandit,about a wonderful experience which cannot be (fully) described. This experience is about Him.
Sikiliza Ee Mwalimu wa busara, kuhusu jambo zuri ambalo haliwezi kuelezwa (kikamilifu). Jambo hili linamhusu Yeye.

ਸੁਰਿ ਨਰ ਗਣ ਗੰਧ੍ਰਬ ਜਿਨਿ ਮੋਹੇ ਤ੍ਰਿਭਵਣ ਮੇਖੁਲੀ ਲਾਈ ॥੧॥
sur nar gan ganDharab jin mohay taribhavan maykhulee laa-ee. ||1||
He has bound down all the three worlds in the string of worldly attachments and has fascinated the angels, humans, heavenly servants and musician.
Yeye amefunga dunia zote atatu katika uzi wa viambatisho vya kidunia na amevutia malaika, binadamu, watumishi na wanamuziki wa mbinguni.

ਰਾਜਾ ਰਾਮ ਅਨਹਦ ਕਿੰਗੁਰੀ ਬਾਜੈ ॥
raajaa raam anhad kinguree baajai.
The Unstruck Melody of the Sovereign God’s Harp vibrates;
Melodia isiyo na mfano ya kinanda cha Mungu Mwenyezi inatetema;

ਜਾ ਕੀ ਦਿਸਟਿ ਨਾਦ ਲਿਵ ਲਾਗੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jaa kee disat naad liv laagai. ||1|| rahaa-o.
by His glance of grace one is attuned to the sound of divine music.
Kwa mtazamo wake wa neema mtu anamakinikia sauti ya melodia takatifu.

ਭਾਠੀ ਗਗਨੁ ਸਿੰਙਿਆ ਅਰੁ ਚੁੰਙਿਆ ਕਨਕ ਕਲਸ ਇਕੁ ਪਾਇਆ ॥
bhaathee gagan sinyi-aa ar chunyi-aa kanak kalas ik paa-i-aa.
For distilling the divine liquor my consciousis the furnace , mind sucks in the merits and throws out the vices from the golden vat (Heart).
Kwa kutonesha kileo takatifu fahamu yangu ni tanuri, akili inafyonza sifa za kuondoa maovu kutoka kwa mapipa ya dhahabu (Moyo).

ਤਿਸੁ ਮਹਿ ਧਾਰ ਚੁਐ ਅਤਿ ਨਿਰਮਲ ਰਸ ਮਹਿ ਰਸਨ ਚੁਆਇਆ ॥੨॥
tis meh Dhaar chu-ai at nirmal ras meh rasan chu-aa-i-aa. ||2||
I pour this liquor (of God’s Naam into the pure vat of my heart), where a most sublime and pure stream of wine (the nectar of His Naam) is dripping gently.
Ninamwaga kileo hiki (cha Naam ya Mungu katika pipa safi la moyo wangu), ambapo mkondo safi wa divai (nekta ya Naam ya Mungu) inatiririka polepole.

ਏਕ ਜੁ ਬਾਤ ਅਨੂਪ ਬਨੀ ਹੈ ਪਵਨ ਪਿਆਲਾ ਸਾਜਿਆ ॥
ayk jo baat anoop banee hai pavan pi-aalaa saaji-aa.
An astonishing thing has happened, that is I am enjoying this Naam-Nectar with every breath, (as if my breaths have become the wine cup)
Kitu cha kustaajabisha kimetendeka, kwamba ninafurahia Naam-Nekta hii kwa kila pumzi ninayopumua, (kana kwamba pumzi zangu zimekuwa kikombe cha divai)

ਤੀਨਿ ਭਵਨ ਮਹਿ ਏਕੋ ਜੋਗੀ ਕਹਹੁ ਕਵਨੁ ਹੈ ਰਾਜਾ ॥੩॥
teen bhavan meh ayko jogee kahhu kavan hai raajaa. ||3||
Now, I am seeing One Yogi (the Creator-God) pervading all three worlds. Who can be greater King than Him?
Sasa, ninaona Yogi Mmoja (Muumba-Mungu) akienea dunia zote tatu. Nani anaweza kuwa Mfalme mkuu kuliko Yeye?

ਐਸੇ ਗਿਆਨ ਪ੍ਰਗਟਿਆ ਪੁਰਖੋਤਮ ਕਹੁ ਕਬੀਰ ਰੰਗਿ ਰਾਤਾ ॥
aisay gi-aan pargati-aa purkhotam kaho kabeer rang raataa.
Kabir ji says that such divine knowledge of the Supreme Being has been revealed to Kabir that he has been completely imbued with His love.
Kabir Ji anasema kwamba maarifa takatifu kama hayo ya Kiumbe Mkuu yamedhihirishwa kwa Kabir kwamba amepenyezwa kikamilifu kwa upendo wake.

ਅਉਰ ਦੁਨੀ ਸਭ ਭਰਮਿ ਭੁਲਾਨੀ ਮਨੁ ਰਾਮ ਰਸਾਇਨ ਮਾਤਾ ॥੪॥੩॥
a-or dunee sabh bharam bhulaanee man raam rasaa-in maataa. ||4||3||
That,the rest of the world is deluded by doubt, while my mind is intoxicated with the Sublime Essence of God’s Naam.
Kwamba dunia nzima imedanganywa na shaka, wakati akili yangu imelewa na Kiini Tukufu cha Naam ya Mungu.

error: Content is protected !!