ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
sireeraag mehlaa 5.
Siree Raag, by the Fifth Guru:
Siree Raag, na Guru wa tano:
ਭਲਕੇ ਉਠਿ ਪਪੋਲੀਐ ਵਿਣੁ ਬੁਝੇ ਮੁਗਧ ਅਜਾਣਿ ॥
bhalkay uth papolee-ai vin bujhay mugaDh ajaan.
Getting up each morning you pamper your body, but without understanding the true purpose of life, you remain thoughtless and ignorant.
Ukiamka kila asubuhi unapamba mwili wako, lakini bila kuelewa kusudi ya kweli ya maisha, unabaki bila fikira na mjinga.
ਸੋ ਪ੍ਰਭੁ ਚਿਤਿ ਨ ਆਇਓ ਛੁਟੈਗੀ ਬੇਬਾਣਿ ॥
so parabh chit na aa-i-o chhutaigee baybaan.
If you don’t remember God, in the end your body would be abandoned in the wilderness.
Iwapo humkumbuki Mungu, mwishoni mwili wako utaachwa nyikani.
ਸਤਿਗੁਰ ਸੇਤੀ ਚਿਤੁ ਲਾਇ ਸਦਾ ਸਦਾ ਰੰਗੁ ਮਾਣਿ ॥੧॥
satgur saytee chit laa-ay sadaa sadaa rang maan. ||1||
Focus your consciousness on the true Guru; and enjoy bliss forever and ever.
Makinisha fahamu yako kwa Guru wa kweli; na ufurahie furaha tele daima na milele.
ਪ੍ਰਾਣੀ ਤੂੰ ਆਇਆ ਲਾਹਾ ਲੈਣਿ ॥
paraanee tooN aa-i-aa laahaa lain.
O’ mortal, you came into this world to earn the profit of Naam.
Ee binadamu, ulikuja duniani humu kupata faida ya Naam.
ਲਗਾ ਕਿਤੁ ਕੁਫਕੜੇ ਸਭ ਮੁਕਦੀ ਚਲੀ ਰੈਣਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
lagaa kit khufkarhay sabh mukdee chalee rain. ||1|| rahaa-o.
What useless activities are you attached to? Your life-night (life span) is coming to its end.
Shughuli gani hizi bure umeambatana nayo? Maisha yako kama usiku (muda wa kuishi) unatamatika.
ਕੁਦਮ ਕਰੇ ਪਸੁ ਪੰਖੀਆ ਦਿਸੈ ਨਾਹੀ ਕਾਲੁ ॥
kudam karay pas pankhee-aa disai naahee kaal.
The animals and the birds frolic and play, unaware of death.
Wanyama na ndege wanacheza kwa furaha, bila kufahamu kifo.
ਓਤੈ ਸਾਥਿ ਮਨੁਖੁ ਹੈ ਫਾਥਾ ਮਾਇਆ ਜਾਲਿ ॥
otai saath manukh hai faathaa maa-i-aa jaal.
Like animals and birds, mankind has also forgotten death,. due to being trapped in Maya (worldly riches and powers).
Kama wanyama na ndege, binadamu pia wamesahau kifo, kutokana na kunaswa katika Maya (utajiri na mamlaka ya kidunia).
ਮੁਕਤੇ ਸੇਈ ਭਾਲੀਅਹਿ ਜਿ ਸਚਾ ਨਾਮੁ ਸਮਾਲਿ ॥੨॥
muktay say-ee bhaalee-ah je sachaa naam samaal. ||2||
Only those persons who enshrine the Name of God in their heart with love are considered to be liberated from the effect of Maya (worldly riches and powers).
Ni wale watu tu wanaoweka jina la Mungu mioyoni mwao kwa upendo wanafikiriwa kuwa wamekombolewa kutoka athari ya Maya (utajiri na mamlaka ya kidunia).
ਜੋ ਘਰੁ ਛਡਿ ਗਵਾਵਣਾ ਸੋ ਲਗਾ ਮਨ ਮਾਹਿ ॥
jo ghar chhad gavaavnaa so lagaa man maahi.
O’ my friends, your mind is attached to that home (this world) which you have to leave one day,
Ee marafiki wangu, akili yako imeambatanishwa na nyumba hiyo (dunia hii) ambayo itabidi uondoke siku moja,
ਜਿਥੈ ਜਾਇ ਤੁਧੁ ਵਰਤਣਾ ਤਿਸ ਕੀ ਚਿੰਤਾ ਨਾਹਿ ॥
jithai jaa-ay tuDh vartanaa tis kee chintaa naahi.
and that place where you have to dwell (in the next world), you have no worry for it at all.
Na pahala hapo ambapo lazima uishi (dunia itakayofuata), huna wasiwasi kwake hata kidogo.
ਫਾਥੇ ਸੇਈ ਨਿਕਲੇ ਜਿ ਗੁਰ ਕੀ ਪੈਰੀ ਪਾਹਿ ॥੩॥
faathay say-ee niklay je gur kee pairee paahi. ||3||
Only those are liberated from the worldly entanglements who surrender themselves completely to the Guru.
Wale tu wanaokombolewa kutoka misongamano ya kidunia ni wale wanaojisalimu kikamilifu kwa Guru.
ਕੋਈ ਰਖਿ ਨ ਸਕਈ ਦੂਜਾ ਕੋ ਨ ਦਿਖਾਇ ॥
ko-ee rakh na sak-ee doojaa ko na dikhaa-ay.
I see no one else who can save you, don’t look for anyone else.
Sioni mwengine ambaye anaweza kukuokoa, usitafute mwengine.
ਚਾਰੇ ਕੁੰਡਾ ਭਾਲਿ ਕੈ ਆਇ ਪਇਆ ਸਰਣਾਇ ॥
chaaray kundaa bhaal kai aa-ay pa-i-aa sarnaa-ay.
After searching everywhere, I have ultimately come to the refuge of the Guru,
Baada ya kutafuta kila mahali, mwishowe nimekuja kwa kimbilio cha Guru,
ਨਾਨਕ ਸਚੈ ਪਾਤਿਸਾਹਿ ਡੁਬਦਾ ਲਇਆ ਕਢਾਇ ॥੪॥੩॥੭੩॥
naanak sachai paatisaah dubdaa la-i-aa kadhaa-ay. ||4||3||73||
O’ Nanak, the Almighty God has saved me from drowning in the worldly vices.
Ee Nanak, Mungu Mwenyezi ameniokoa kutoka kuzama katika maovu ya kidunia.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
sireeraag mehlaa 5.
Siree Raag, by the Fifth Guru:
Siree Raag, na Guru wa tano:
ਘੜੀ ਮੁਹਤ ਕਾ ਪਾਹੁਣਾ ਕਾਜ ਸਵਾਰਣਹਾਰੁ ॥
gharhee muhat kaa paahunaa kaaj savaaranhaar.
One comes to this worldly house as a guest for a short time, but (deeming this as permanent) starts resolving the worldly affairs.
Mtu anakuja katika nyumba ya kidunia kama mgeni kwa muda mfupi, lakini (wakidhani hiki kuwa cha kudumu) wanaanza kutatua shughuli za kidunia.
ਮਾਇਆ ਕਾਮਿ ਵਿਆਪਿਆ ਸਮਝੈ ਨਾਹੀ ਗਾਵਾਰੁ ॥
maa-i-aa kaam vi-aapi-aa samjhai naahee gaavaar.
Engrossed in Maya (worldly attachments) and lust, the foolish person does not understand the real purpose of this human life.
Wakijihusisha katika Maya (viambatanisho vya kidunia) na usherati, mtu mpumbavu haelewi kusuhi halisi ya maisha ya kibinadamu.
ਉਠਿ ਚਲਿਆ ਪਛੁਤਾਇਆ ਪਰਿਆ ਵਸਿ ਜੰਦਾਰ ॥੧॥
uth chali-aa pachhutaa-i-aa pari-aa vas jandaar. ||1||
He departs (from this world) with regret, and falls into the clutches of the Messenger of Death.
Anaondoka (kutoka dunia hii) na majuto, na anaanguka katika mshiko wa mjumbe wa kifo.
ਅੰਧੇ ਤੂੰ ਬੈਠਾ ਕੰਧੀ ਪਾਹਿ ॥
anDhay tooN baithaa kanDhee paahi.
O’ blind fool, (engrossed in worldly attachments) your state in this world is like a tree on the bank of a river which can be uprooted at any moment.
Ee mpumbavu kipofu, (ukijihusisha katika viambatanisho vya kidunia) hali yako duniani humu ni kama mti kwenye ukingo wa mto ambao unaweza kung’olewa wakati wowote.
ਜੇ ਹੋਵੀ ਪੂਰਬਿ ਲਿਖਿਆ ਤਾ ਗੁਰ ਕਾ ਬਚਨੁ ਕਮਾਹਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jay hovee poorab likhi-aa taa gur kaa bachan kamaahi. ||1|| rahaa-o.
If such is your pre-written destiny, you now have the opportunity to live according to the Guru’s teachings.
Iwapo hiyo ni hatima yako iliyoandikwa mapema, sasa una fursa ya kuishi kulingana na mafundisho ya Guru.
ਹਰੀ ਨਾਹੀ ਨਹ ਡਡੁਰੀ ਪਕੀ ਵਢਣਹਾਰ ॥
haree naahee nah daduree pakee vadhanhaar.
Irrespective of the fact whether one is a child, a young or an elderly person, can be called from this world at any time.
Bila kujali ukweli kama mtu ni mtoto, kijana au mzee, anaweza kuitwa kutoka dunia hii wakati wowote.
ਲੈ ਲੈ ਦਾਤ ਪਹੁਤਿਆ ਲਾਵੇ ਕਰਿ ਤਈਆਰੁ ॥
lai lai daat pahuti-aa laavay kar ta-ee-aar.
When the owner deems fit he prepares the harvesters, who, carrying their sickles arrive at the farm. (similarly, when God orders, the messenger of death arrives).
Wakati mmiliki anaona inafaa anatayarisha wavunaji, ambao, wakibeba mundu zao wanawasili shambani. (Sawia, wakati Mungu amaamuru, mjumbe wa kifo anawasili).
ਜਾ ਹੋਆ ਹੁਕਮੁ ਕਿਰਸਾਣ ਦਾ ਤਾ ਲੁਣਿ ਮਿਣਿਆ ਖੇਤਾਰੁ ॥੨॥
jaa ho-aa hukam kirsaan daa taa lun mini-aa khaytaar. ||2||
When the farmer gives the order, they cut and measure the crop. (Similarly when ordered by God, the demon of death arrive and take away the mortals)
Wakati mkulima anatoa amri, wanakata na kupima mimea. (Sawia wakati Mungu anatoa mari, pepo wa kifo anawasili na kuchukua binadamu)
ਪਹਿਲਾ ਪਹਰੁ ਧੰਧੈ ਗਇਆ ਦੂਜੈ ਭਰਿ ਸੋਇਆ ॥
pahilaa pahar DhanDhai ga-i-aa doojai bhar so-i-aa.
The first part of human life is wasted in the worthless affairs, the second part is wasted in sleep (attachment to worldly riches and power).
Sehemu ya kwanza ya maisha ya binadamu inaharibiwa bure katika shughuli zisizo na thamana, sehemu ya pili inaharibiwa katika usingizi (viambatanisho vya utajiri na mamlaka ya kidunia).
ਤੀਜੈ ਝਾਖ ਝਖਾਇਆ ਚਉਥੈ ਭੋਰੁ ਭਇਆ ॥
teejai jhaakh jhakhaa-i-aa cha-uthai bhor bha-i-aa.
The third part of life is wasted in useless fights and struggles; and in the fourth part of life, the day of death dawns.
Sehemu ya tatu inaharibiwa katika vita na mapambano bure; na sehemu ya nne ya maisha, siku ya kifo inapambazuka.
ਕਦ ਹੀ ਚਿਤਿ ਨ ਆਇਓ ਜਿਨਿ ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਦੀਆ ॥੩॥
kad hee chit na aa-i-o jin jee-o pind dee-aa. ||3||
The thought of the One who bestows body and soul never enters the mind.
Fikira ya yule Mmoja anayetawaza mwili na roho kamwe haiingii akilini.
ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਕਉ ਵਾਰਿਆ ਜੀਉ ਕੀਆ ਕੁਰਬਾਣੁ ॥
saaDhsangat ka-o vaari-aa jee-o kee-aa kurbaan.
I am devoted to the Company of the saintly persons; I dedicate my soul to them,
Nimejitolea kwa kikundi cha watu watakatifu; naweka wakfu roho yangu kwao,
ਜਿਸ ਤੇ ਸੋਝੀ ਮਨਿ ਪਈ ਮਿਲਿਆ ਪੁਰਖੁ ਸੁਜਾਣੁ ॥
jis tay sojhee man pa-ee mili-aa purakh sujaan.
through whom, understanding (of self) has entered my mind, and I have realized the All-knowing God.
Kupitia kwao, uelewa (wa kibinafsi) umeingia akilini mwangu, na nimegundua Mungu anayejua yote.
ਨਾਨਕ ਡਿਠਾ ਸਦਾ ਨਾਲਿ ਹਰਿ ਅੰਤਰਜਾਮੀ ਜਾਣੁ ॥੪॥੪॥੭੪॥
naanak dithaa sadaa naal har antarjaamee jaan. ||4||4||74||
O’ Nanak, I experience the presence of God, knower of one’s inner feelings, always with me,
Ee Nanak, nahisi uwepo wa Mungu, mjua wa hisia za kindani, daima akiwa nami.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
Siree Raag mehlaa 5.
Siree Raag, by the Fifth Guru:
Siree Raag, na Guru wa tano:
ਸਭੇ ਗਲਾ ਵਿਸਰਨੁ ਇਕੋ ਵਿਸਰਿ ਨ ਜਾਉ ॥
sabhay galaa visran iko visar na jaa-o.
Let me forget everything, but let me not forget the One (God).
Acha nisahau kila kitu, lakini nisisahau yule Mmoja (Mungu).
ਧੰਧਾ ਸਭੁ ਜਲਾਇ ਕੈ ਗੁਰਿ ਨਾਮੁ ਦੀਆ ਸਚੁ ਸੁਆਉ ॥
DhanDhaa sabh jalaa-ay kai gur naam dee-aa sach su-aa-o.
Having delivered me from all worldly entanglements, the Guru has blessed me with Naam, the true objective of life.
Akiwa amenikomboa kutoka misongamano yote ya kidunia, Guru amenibariki na Naam, lengo halisi la maisha.
ਆਸਾ ਸਭੇ ਲਾਹਿ ਕੈ ਇਕਾ ਆਸ ਕਮਾਉ ॥
aasaa sabhay laahi kai ikaa aas kamaa-o.
Give up all other hopes, and have only one hope of realizing God.
Kama tamaa ya matumaini yote mengine, na uwe tu na tumaini la kumgundua Mungu.
ਜਿਨੀ ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵਿਆ ਤਿਨ ਅਗੈ ਮਿਲਿਆ ਥਾਉ ॥੧॥
jinee satgur sayvi-aa tin agai mili-aa thaa-o. ||1||
Those who serve the True Guru by following his teachings, receive a place of honor in God’s court.
Wale wanaotumikia Guru wa kweli kwa kufuata mafundisho yake, wanapokea pahali pa heshima katika mahakama ya Mungu.
ਮਨ ਮੇਰੇ ਕਰਤੇ ਨੋ ਸਾਲਾਹਿ ॥
man mayray kartay no saalaahi.
O’ my mind, praise the Creator.
Ee akili yangu, sifu Muumba.
ਸਭੇ ਛਡਿ ਸਿਆਣਪਾ ਗੁਰ ਕੀ ਪੈਰੀ ਪਾਹਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
sabhay chhad si-aanpaa gur kee pairee paahi. ||1|| rahaa-o.
Give up all your clever tricks, and humbly seek the Guru’s guidance.
Ondoa hila zako za ujanja, na utafute mwongozo wa Guru kwa unyenyekevu.
ਦੁਖ ਭੁਖ ਨਹ ਵਿਆਪਈ ਜੇ ਸੁਖਦਾਤਾ ਮਨਿ ਹੋਇ ॥
dukh bhukh nah vi-aapa-ee jay sukh-daata man ho-ay.
No pain and hunger (due to worldly riches and powers) afflicts you, if you have God, the Giver of Peace in your mind.
Hakuna uchungu wala njaa (kutokana na utajiri na mamlaka ya kidunia) utakukumba, iwapo upo na Mungu, mtoaji wa amani akilini.
ਕਿਤ ਹੀ ਕੰਮਿ ਨ ਛਿਜੀਐ ਜਾ ਹਿਰਦੈ ਸਚਾ ਸੋਇ ॥
kit hee kamm na chhijee-ai jaa hirdai sachaa so-ay.
No undertaking shall fail, when eternal God is always in your heart.
Hakuna shughuli itaanguka, wakati Mungu wa milele daima yupo moyoni mwako.
ਜਿਸੁ ਤੂੰ ਰਖਹਿ ਹਥ ਦੇ ਤਿਸੁ ਮਾਰਿ ਨ ਸਕੈ ਕੋਇ ॥
jis tooN rakheh hath day tis maar na sakai ko-ay.
O’ God, no one can harm that person whom You protect.
Ee Mungu, hakuna mtu anaweza kudhuru yule unayelinda.
ਸੁਖਦਾਤਾ ਗੁਰੁ ਸੇਵੀਐ ਸਭਿ ਅਵਗਣ ਕਢੈ ਧੋਇ ॥੨॥
sukh-daata gur sayvee-ai sabh avgan kadhai Dho-ay. ||2||
Therefore, we should always serve (and follow the teachings) of the peace giving Guru; who drives out all our demerits.
Hivyo basi, tunapaswa kutumikia (na kufuata mafundisho) ya Guru anayetawaza amani; anayeondoa dosari zetu zote.
ਸੇਵਾ ਮੰਗੈ ਸੇਵਕੋ ਲਾਈਆਂ ਅਪੁਨੀ ਸੇਵ ॥
sayvaa mangai sayvko laa-ee-aaN apunee sayv.
O’ God, your servant begs to serve those who are enjoined to Your service.
Ee Mungu, mtumishi wako anaomba kutumikia wale ambao wamejiunga na huduma yako.