ਆਇਆ ਗਇਆ ਮੁਇਆ ਨਾਉ ॥
aa-i-aa ga-i-aa mu-i-aa naa-o.
He came and departed from this world, even his name has been forgotten.
Alikuja na kuondoka kutoka dunia hii, hata jina lake limesahaulika.
ਪਿਛੈ ਪਤਲਿ ਸਦਿਹੁ ਕਾਵ ॥
pichhai patal sadihu kaav.
After the death, food is served to Brahmins on leaf plates, and the birds are also fed in his memory (but none of the charity reaches the departed soul).
Baada ya kifo, chakula kinapakuliwa Brahmins kwa sahani ya majani, na ndege pia wanalishwa kumbukumbu yake (lakini hakuna hisani yoyote inayofikia roho iliyoondoka).
ਨਾਨਕ ਮਨਮੁਖਿ ਅੰਧੁ ਪਿਆਰੁ ॥
naanak manmukh anDh pi-aar
O, Nanak, the self-willed person’s love for Maya is out of ignorance.
Ee Nanak, upendo wa Maya wa mtu mwenye hiari binafsi ni kutokana na ujinga.
ਬਾਝੁ ਗੁਰੂ ਡੁਬਾ ਸੰਸਾਰੁ ॥੨॥
baajh guroo dubaa sansaar. ||2||
Without the Guru’s teachings, people (world) are drowning in the darkness of ignorance.
Bila mafundisho ya Guru, watu (dunia) wanazama katika giza ya ujinga.
ਮਃ ੧ ॥
mehlaa 1.
Shalok by, the First Guru:
Shalok, na Guru wa Kwanza:
ਦਸ ਬਾਲਤਣਿ ਬੀਸ ਰਵਣਿ ਤੀਸਾ ਕਾ ਸੁੰਦਰੁ ਕਹਾਵੈ ॥
das baaltan bees ravan teesaa kaa sundar kahaavai.
At the age of ten, he is a child; at twenty, a youth, and at thirty, he is called handsome.
Akiwa na miaka kumi, yeye ni mtoto; kwa miaka ishirini, kijana, na kwa miaka thelathini, anaitwa mtanashati.
ਚਾਲੀਸੀ ਪੁਰੁ ਹੋਇ ਪਚਾਸੀ ਪਗੁ ਖਿਸੈ ਸਠੀ ਕੇ ਬੋਢੇਪਾ ਆਵੈ ॥
chaaleesee pur ho-ay pachaasee pag khisai sathee kay bodhaypaa aavai.
At forty, he is full of life; at fifty, his foot slips (he is going downhill),and at sixty, old age is upon him.
Kwa miaka arubaini, amejawa na uhai; kwa miaka hamsini, mguu wake unateleza (anateremka chini), na kwa miaka sitini, uzee umemfikia.
ਸਤਰਿ ਕਾ ਮਤਿਹੀਣੁ ਅਸੀਹਾਂ ਕਾ ਵਿਉਹਾਰੁ ਨ ਪਾਵੈ ॥
satar kaa matiheen aseehaaN kaa vi-uhaar na paavai.
At seventy, he loses his intellect, and at eighty, he cannot perform his duties.
Kwa miaka sabini, anapoteza uwerevu wake, na kwa miaka themanini, hawezi kutekeleza majukumu yake.
ਨਵੈ ਕਾ ਸਿਹਜਾਸਣੀ ਮੂਲਿ ਨ ਜਾਣੈ ਅਪ ਬਲੁ ॥
navai kaa sihjaasnee mool na jaanai ap bal.
At ninety, he is confined to the bed, and he cannot understand his weakness.
Kwa miaka tisini, analazimika kubaki kitandani, wala hawezi kuelewa unyonge wake.
ਢੰਢੋਲਿਮੁ ਢੂਢਿਮੁ ਡਿਠੁ ਮੈ ਨਾਨਕ ਜਗੁ ਧੂਏ ਕਾ ਧਵਲਹਰੁ ॥੩॥
dhandholim dhoodhim dith mai naanak jag Dhoo-ay kaa Dhavalhar. ||3||
O’ Nanak, after seeking and searching, I have concluded that the world is a very short lived illusory pleasure, just like a white mansion of smoke.
Ee Nanak, baada ya kutafuta na kuchunguza, nimehitimisha ya kwamba dunia ni raha kama njozi isiyodumu, kama tu jumba jeupe la moshi.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
ਤੂੰ ਕਰਤਾ ਪੁਰਖੁ ਅਗੰਮੁ ਹੈ ਆਪਿ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਉਪਾਤੀ ॥
tooN kartaa purakh agamm hai aap sarisat upaatee.
O’ God, You are Unfathomable Creator. You Yourself have created the Universe,
Ee Mungu, Wewe ni Muumba usiyeeleweka. Wewe mwenyewe umeumba Ulimwengu,
ਰੰਗ ਪਰੰਗ ਉਪਾਰਜਨਾ ਬਹੁ ਬਹੁ ਬਿਧਿ ਭਾਤੀ ॥
rang parang upaarjanaa baho baho biDh bhaatee.
in so many ways and forms, with creatures of various colors and qualities.
Kwa njia na muundo mengi, na viumbe vya rangi na sifa tofauti.
ਤੂੰ ਜਾਣਹਿ ਜਿਨਿ ਉਪਾਈਐ ਸਭੁ ਖੇਲੁ ਤੁਮਾਤੀ ॥
tooN jaaneh jin upaa-ee-ai sabh khayl tumaatee.
You created it, and You alone understand it. It is all Your Play.
Uliuumba, na Wewe pekee unauelewa. Wote ni Mchezo wako.
ਇਕਿ ਆਵਹਿ ਇਕਿ ਜਾਹਿ ਉਠਿ ਬਿਨੁ ਨਾਵੈ ਮਰਿ ਜਾਤੀ ॥
ik aavahi ik jaahi uth bin naavai mar jaatee.
People are coming and going after participating in this world-play. All those without Naam leave from the world in agony.
Watu wanakuja na kuenda baada ya kushiriki katika huu mchezo wa dunia. Wote wasio na Naam wanaondoka kutoka dunia katika uchungu.
ਗੁਰਮੁਖਿ ਰੰਗਿ ਚਲੂਲਿਆ ਰੰਗਿ ਹਰਿ ਰੰਗਿ ਰਾਤੀ ॥
gurmukh rang chalooli-aa rang har rang raatee.
But the Guru’s followers, who are imbued with the deep love of God, leave this world peacefully.
Lakini wafuasi wa Guru, ambao wamejawa na upendo wa kina kwa Mungu, wanaondoka duniani kwa amani.
ਸੋ ਸੇਵਹੁ ਸਤਿ ਨਿਰੰਜਨੋ ਹਰਿ ਪੁਰਖੁ ਬਿਧਾਤੀ ॥
so sayvhu sat niranjano har purakh biDhaatee.
Therefore, remember the eternal and immaculate God with loving devotion, the architect of destiny.
Hivyo basi, mkumbuke Mungu safi wa milele kwa kujitolea kwa upendo, muasisi wa hatima.
ਤੂੰ ਆਪੇ ਆਪਿ ਸੁਜਾਣੁ ਹੈ ਵਡ ਪੁਰਖੁ ਵਡਾਤੀ ॥
tooN aapay aap sujaan hai vad purakh vadaatee
O’ God, You Yourself are All-knowing. You are the Greatest of the Great!
Ee Mungu, Wewe mwenyewe unajua yote. Wewe ndiwe Mkuu kati ya wakuu wote.
ਜੋ ਮਨਿ ਚਿਤਿ ਤੁਧੁ ਧਿਆਇਦੇ ਮੇਰੇ ਸਚਿਆ ਬਲਿ ਬਲਿ ਹਉ ਤਿਨ ਜਾਤੀ ॥੧॥
jo man chit tuDh Dhi-aa-iday mayray sachi-aa bal bal ha-o tin jaatee. ||1||
O’ my God, I dedicate myself forever, to those who meditate on You with their conscious mind.
Ee Mungu wangu, najiweka wakfu milele, kwa wale wanaotafakari kukuhusu na akili yao yenye fahamu.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੧ ॥
salok mehlaa 1.
Shalok, by the First Guru:
Shalok, na Guru wa Kwanza:
ਜੀਉ ਪਾਇ ਤਨੁ ਸਾਜਿਆ ਰਖਿਆ ਬਣਤ ਬਣਾਇ ॥
jee-o paa-ay tan saaji-aa rakhi-aa banat banaa-ay.
He placed the soul in the body which He had fashioned. He protects the Creation which He has created.
Yeye aliweka roho katika mwili ambao alitengeneza mwenyewe. Yeye analinda Uumbaji ambao ameumba.
ਅਖੀ ਦੇਖੈ ਜਿਹਵਾ ਬੋਲੈ ਕੰਨੀ ਸੁਰਤਿ ਸਮਾਇ ॥
akhee daykhai jihvaa bolai kannee surat samaa-ay.
With the eyes he sees, with the tongue he speaks and becomes aware with the ears
Kwa macho anaona, kwa ulimi anazungumza na anakuwa na utambuzi kupitia masikio.
ਪੈਰੀ ਚਲੈ ਹਥੀ ਕਰਣਾ ਦਿਤਾ ਪੈਨੈ ਖਾਇ ॥
pairee chalai hathee karnaa ditaa painai khaa-ay.
walks with the feet and works with hands, and consumes, what God gives.
Anatembea kwa miguu na kutenda kwa mikono, na kula, ambacho Mungu anatoa.
ਜਿਨਿ ਰਚਿ ਰਚਿਆ ਤਿਸਹਿ ਨ ਜਾਣੈ ਅੰਧਾ ਅੰਧੁ ਕਮਾਇ ॥
jin rach rachi-aa tiseh na jaanai anDhaa anDh kamaa-ay.
The ungrateful, does not even acknowledge the One who has created him. The spiritually ignorant fool keeps doing evil deeds.
Asiye na shuktrani, hakiri hata yule Mmoja aliyemuumba. Mpumbavu mjinga wa kiroho anaendelea kutenda maovu.
ਜਾ ਭਜੈ ਤਾ ਠੀਕਰੁ ਹੋਵੈ ਘਾੜਤ ਘੜੀ ਨ ਜਾਇ ॥
jaa bhajai taa theekar hovai ghaarhat gharhee na jaa-ay.
When the pitcher of the body breaks (when one dies) and shatters into pieces, it cannot be re-created again.
Wakati gudulia ya mwili inavunjika (wakati mtu anakufa) na kuvunjika kuwa vipande vidogo vidogo, haiwezi kuumbwa upya tena.
ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਬਿਨੁ ਨਾਹਿ ਪਤਿ ਪਤਿ ਵਿਣੁ ਪਾਰਿ ਨ ਪਾਇ ॥੧॥
naanak gur bin naahi pat pat vin paar na paa-ay. ||1||
O’ Nanak, without the Guru’s teaching one remains deprived of God’s Grace, and without God’s grace, no one can swim across the worldly ocean of vices.
Ee Nanak, bila mafundisho ya Guru mtu anabaki amenyimwa Neema ya Mungu, na bila neema ya Mungu, hakuna mtu anaweza kuogelea akivuka bahari ya kidunia ya dhambi.
ਮਃ ੨ ॥
mehlaa 2.
Shalok, by the Second Guru:
Shalok, na Guru wa Pili:
ਦੇਂਦੇ ਥਾਵਹੁ ਦਿਤਾ ਚੰਗਾ ਮਨਮੁਖਿ ਐਸਾ ਜਾਣੀਐ ॥
dayNday thaavhu ditaa changa manmukh aisaa jaanee-ai.
We should regard that person as self-willed who values the gift more than thegift giver.
Tunafaa kufikiria mtu huyo kama mwenye hiari binafsi ambaye anathamini zawadi kuliko mtoa zawadi.
ਸੁਰਤਿ ਮਤਿ ਚਤੁਰਾਈ ਤਾ ਕੀ ਕਿਆ ਕਰਿ ਆਖਿ ਵਖਾਣੀਐ ॥
surat mat chaturaa-ee taa kee ki-aa kar aakh vakhaanee-ai.
What can anyone say about his intelligence, understanding and cleverness?
Mtu anaweza kusema nini kuhusu akili, uelewa na uwerevu wake?
ਅੰਤਰਿ ਬਹਿ ਕੈ ਕਰਮ ਕਮਾਵੈ ਸੋ ਚਹੁ ਕੁੰਡੀ ਜਾਣੀਐ ॥
antar bahi kai karam kamaavai so chahu kundee jaanee-ai.
Whatever bad deeds one commits secretly, eventually become known everywhere.
Vitendo vyovyote vibaya ambavyo mtu anatenda kisiri, mwishowe vinajulikana kote.
ਜੋ ਧਰਮੁ ਕਮਾਵੈ ਤਿਸੁ ਧਰਮ ਨਾਉ ਹੋਵੈ ਪਾਪਿ ਕਮਾਣੈ ਪਾਪੀ ਜਾਣੀਐ ॥
jo Dharam kamaavai tis Dharam naa-o hovai paap kamaanai paapee jaanee-ai.
One who lives righteously is known as righteous; one who commits sins is known as a sinner.
Yule anayeishi kwa haki anajulikana kama mwenye haki; yule anayetenda dhambi anajulikana kama mtenda dhambi.
ਤੂੰ ਆਪੇ ਖੇਲ ਕਰਹਿ ਸਭਿ ਕਰਤੇ ਕਿਆ ਦੂਜਾ ਆਖਿ ਵਖਾਣੀਐ ॥
tooN aapay khayl karahi sabh kartay ki-aa doojaa aakh vakhaanee-ai.
O’ Creator,You Yourself enact the entire play. Why should we speak of any other?
Ee Muumba, Wewe mwenyewe unatunga mchezo wote. Kwa nini tuzungumzie yeyote mwengine?
ਜਿਚਰੁ ਤੇਰੀ ਜੋਤਿ ਤਿਚਰੁ ਜੋਤੀ ਵਿਚਿ ਤੂੰ ਬੋਲਹਿ ਵਿਣੁ ਜੋਤੀ ਕੋਈ ਕਿਛੁ ਕਰਿਹੁ ਦਿਖਾ ਸਿਆਣੀਐ ॥
jichar tayree jot tichar jotee vich tooN boleh vin jotee ko-ee kichh karihu dikhaa si-aanee-ai.
As long as Your Light and Power is within the body, You speak through that Light. Without Your Light, who can do anything? let me see, such clever person!
Ili mradi Mwanga na Nguvu yako ipo ndani ya mwili, unazungumza kupitia Mwanga huo. Bila Mwanga wako, nani anaweza kufanya chochote? Hebu nione, mtu mwerevu kama huyo!
ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਨਦਰੀ ਆਇਆ ਹਰਿ ਇਕੋ ਸੁਘੜੁ ਸੁਜਾਣੀਐ ॥੨॥
naanak gurmukh nadree aa-i-aa har iko sugharh sujaanee-ai. ||2||
O’ Nanak, by Guru’s grace one realizes that there is only one wise and sagacious God, who resides in all.
Ee Nanak, kwa neema ya Guru mtu anagundua ya kwamba kuna Mungu mmoja mwenye hekima na mwenye uwerevu wote, anayeishi ndani mwa kila mtu.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
ਤੁਧੁ ਆਪੇ ਜਗਤੁ ਉਪਾਇ ਕੈ ਤੁਧੁ ਆਪੇ ਧੰਧੈ ਲਾਇਆ ॥
tuDh aapay jagat upaa-ay kai tuDh aapay DhanDhai laa-i-aa.
You Yourself created the world, and You Yourself put it to work.
Wewe mwenyewe uliumba dunia, na Wewe mwenyewe unaifanyisha kazi.
ਮੋਹ ਠਗਉਲੀ ਪਾਇ ਕੈ ਤੁਧੁ ਆਪਹੁ ਜਗਤੁ ਖੁਆਇਆ ॥
moh thag-ulee paa-ay kai tuDh aaphu jagat khu-aa-i-aa.
Administering the potion of emotional attachment, You Yourself have led the world astray.
Ukitoa mchanganyiko wa kiambatisho cha kihisia, Wewe mwenyewe umepotosha dunia.
ਤਿਸਨਾ ਅੰਦਰਿ ਅਗਨਿ ਹੈ ਨਹ ਤਿਪਤੈ ਭੁਖਾ ਤਿਹਾਇਆ ॥
tisnaa andar agan hai nah tiptai bhukhaa tihaa-i-aa.
The fire of desire is so intense that the greedy human being is never satisfied.
Moto wa hamu ni kali sana hadi binadamu mwenye tamaa kamwe haridhiki.
ਸਹਸਾ ਇਹੁ ਸੰਸਾਰੁ ਹੈ ਮਰਿ ਜੰਮੈ ਆਇਆ ਜਾਇਆ ॥
sahsaa ih sansaar hai mar jammai aa-i-aa jaa-i-aa.
This world is an illusion, caught in this illusion, people keep suffering in the cycle of birth and death.
Dunia hii ni njozi, na wakinaswa katika njozi hii, watu wanaendelea kuteseka katika mzunguko wa kuzaliwa na kufa.
ਬਿਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਮੋਹੁ ਨ ਤੁਟਈ ਸਭਿ ਥਕੇ ਕਰਮ ਕਮਾਇਆ ॥
bin satgur moh na tut-ee sabh thakay karam kamaa-i-aa.
Without the True Guru’s teachings, emotional attachment is not broken. All have grown weary of performing empty rituals.
Bila mafundisho ya Guru wa Kweli, kiambatisho cha kihisia hakivunjwi. Wote wamechoka wakifanya mila iliyo tupu.
ਗੁਰਮਤੀ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈਐ ਸੁਖਿ ਰਜਾ ਜਾ ਤੁਧੁ ਭਾਇਆ ॥
gurmatee naam Dhi-aa-ee-ai sukh rajaa jaa tuDh bhaa-i-aa.
O’ God, when it pleases You, only then one can be at peace by meditating on Your Name by following the Guru’s teachings.
Ee Mungu, wakati unapopendezwa, ndipo tu mtu anaweza kuwa na amani kwa kutafakari kuhusu Jina lako kwa kufuata mafundisho ya Guru.
ਕੁਲੁ ਉਧਾਰੇ ਆਪਣਾ ਧੰਨੁ ਜਣੇਦੀ ਮਾਇਆ ॥
kul uDhaaray aapnaa Dhan janaydee maa-i-aa.
Blessed is the mother of such a person, who saves his entire family from the vices
Amebarikiwa mama wa mtu kama huyo, ambaye anakomboa familia yake yote kutoka maovu.