Swahili Page 37

ਬਿਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਕਿਨੈ ਨ ਪਾਇਓ ਕਰਿ ਵੇਖਹੁ ਮਨਿ ਵੀਚਾਰਿ ॥
bin satgur kinai na paa-i-o kar vaykhhu man veechaar.
Reflect in your mind and you will see for yourself that without the guidance of the Guru, no one has ever realized God.
Tafakari akilini mwako na utajionea mwenyewe ya kwamba bila mwongozo wa Guru, hakuna mtu amewahi kugundua Mungu.

ਮਨਮੁਖ ਮੈਲੁ ਨ ਉਤਰੈ ਜਿਚਰੁ ਗੁਰ ਸਬਦਿ ਨ ਕਰੇ ਪਿਆਰੁ ॥੧॥
manmukh mail na utrai jichar gur sabad na karay pi-aar. ||1||
The reason being that the filth of the evil thoughts in a self-conceited person gets washed off only by lovingly contemplating on the Guru’s Word.
Sababu ikiwa uchafu wa fikira mbaya katika mtu mwenye majivuno ya kibinafsi unasafishwa tu kwa kutafakari kwa upendo kuhusu Neno la Guru.

ਮਨ ਮੇਰੇ ਸਤਿਗੁਰ ਕੈ ਭਾਣੈ ਚਲੁ ॥
man mayray satgur kai bhaanai chal.
O’ my mind, act according to the Guru’s Will.
Ee akili yangu, tenda kulingana na wasia wa Guru.

ਨਿਜ ਘਰਿ ਵਸਹਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਪੀਵਹਿ ਤਾ ਸੁਖ ਲਹਹਿ ਮਹਲੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
nij ghar vaseh amrit peeveh taa sukh laheh mahal. ||1|| rahaa-o.
Only then, will you dwell within the home of your own inner being. You will drink in the Ambrosial Nectar, and will find Peace by living in His Presence.ਐਕਰ ਤੂੰ ਆਪਣੇ
Wakati huo tu, ndipo utaishi nyumbani mwa nafsi yako mwenyewe. Utakunywa ndani ya nekta ya Ambrosia, na utapata manai kwa kuishi mbele zake.

ਅਉਗੁਣਵੰਤੀ ਗੁਣੁ ਕੋ ਨਹੀ ਬਹਣਿ ਨ ਮਿਲੈ ਹਦੂਰਿ ॥
a-ugunvantee gun ko nahee bahan na milai hadoor.
The unvirtuous have no merit; she is not allowed to sit in His Presence.
Wasio na fadhila hawana ustahili wowote, haruhusiwi kukaa mbele za Mungu.

ਮਨਮੁਖਿ ਸਬਦੁ ਨ ਜਾਣਈ ਅਵਗਣਿ ਸੋ ਪ੍ਰਭੁ ਦੂਰਿ ॥
manmukh sabad na jaan-ee avgan so parabh door.
The self conceited does not realize the value of the Guru’s Word. Because of lack of merits, God seems far away to her.
Wenye majivuno ya kibinafsi hawagundui thamana ya Neno la Guru. Kwa sababu ya kukosa sifa, Mungu anadhaniwa kuwa mbali naye.

ਜਿਨੀ ਸਚੁ ਪਛਾਣਿਆ ਸਚਿ ਰਤੇ ਭਰਪੂਰਿ ॥
jinee sach pachhaani-aa sach ratay bharpoor.
On the other hand, those who have recognized the eternal Being, remain filled with His love.
Kwa upande mwingine, wale ambao wametambua Kiumbe cha milele, wanabaki wamejawa na upendo wake.

ਗੁਰ ਸਬਦੀ ਮਨੁ ਬੇਧਿਆ ਪ੍ਰਭੁ ਮਿਲਿਆ ਆਪਿ ਹਦੂਰਿ ॥੨॥
gur sabdee man bayDhi-aa parabh mili-aa aap hadoor. ||2||
Through the Guru’s word, their heart gets pierced with divine love and God Himself ushers them into His presence.
Kupitia neno ya Guru, moyo wao unapenyezwa na upendo takatifu na Mungu mwenyewe anawaelekeza katika hudhurio yake.

ਆਪੇ ਰੰਗਣਿ ਰੰਗਿਓਨੁ ਸਬਦੇ ਲਇਓਨੁ ਮਿਲਾਇ ॥
aapay rangan rangi-on sabday la-i-on milaa-ay.
Those whom God imbues with His Love, through the Guru’s word He unites them with Himself.
Wale ambao Mungu anajazia upendo wake, kupitia neno la Guru anawaunganisha naye.

ਸਚਾ ਰੰਗੁ ਨ ਉਤਰੈ ਜੋ ਸਚਿ ਰਤੇ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥
sachaa rang na utrai jo sach ratay liv laa-ay.
This True Color shall not fade away, for those who are attuned to His Love.
Rangi hii ya kweli haitafifia, kwa wale ambao wamemakinikia upendo wake.

ਚਾਰੇ ਕੁੰਡਾ ਭਵਿ ਥਕੇ ਮਨਮੁਖ ਬੂਝ ਨ ਪਾਇ ॥
chaaray kundaa bhav thakay manmukh boojh na paa-ay.
The self-willed get tired of wandering around in different directions, but they do not understand the right way of life.
Wenye wasia ya kibinafsi wanachoka kuzurura katika pande tofauti, lakini hawaelewi njia sahihi ya maisha.

ਜਿਸੁ ਸਤਿਗੁਰੁ ਮੇਲੇ ਸੋ ਮਿਲੈ ਸਚੈ ਸਬਦਿ ਸਮਾਇ ॥੩॥
jis satgur maylay so milai sachai sabad samaa-ay. ||3||
Only he gets to meet and merge with God who is united by the Guru.
Wakati tu anapata kukutana na kuungana na Mungu ambaye ameunganishwa na Guru.

ਮਿਤ੍ਰ ਘਣੇਰੇ ਕਰਿ ਥਕੀ ਮੇਰਾ ਦੁਖੁ ਕਾਟੈ ਕੋਇ ॥
mitar ghanayray kar thakee mayraa dukh kaatai ko-ay.
I have grown weary of making so many friends, hoping that someone will be able to end my suffering (of separation from God).
Nimechoshwa na kupata marafiki wengi sana, nikitumai ya kwamba mtu ataweza kutamatisha kuteseka kwangu (kwa utengano na Mungu).

ਮਿਲਿ ਪ੍ਰੀਤਮ ਦੁਖੁ ਕਟਿਆ ਸਬਦਿ ਮਿਲਾਵਾ ਹੋਇ ॥
mil pareetam dukh kati-aa sabad milaavaa ho-ay.
I have attained union with the Almighty through the Word of the Guru. Upon meeting with my Beloved, my suffering has ended.
Nimepata muungano na Mwenyezi kupitia neno la Guru. Baada ya kukutana na mpendwa wangu, kuteseka kwangu kumetamatika.

ਸਚੁ ਖਟਣਾ ਸਚੁ ਰਾਸਿ ਹੈ ਸਚੇ ਸਚੀ ਸੋਇ ॥
sach khatnaa sach raas hai sachay sachee so-ay.
Remembering God by recitation of His Naam, is to earn and accumulate the true wealth. Everlasting is the reputation of a person who does so.
Kumkumbuka Mungu kwa kukariri Naam yake, ni kupata na kukusanya utajiri wa kweli. Ya milele ni sifa za mtu anayefanya hivyo.

ਸਚਿ ਮਿਲੇ ਸੇ ਨ ਵਿਛੁੜਹਿ ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹੋਇ ॥੪॥੨੬॥੫੯॥
sach milay say na vichhurheh naanak gurmukh ho-ay. ||4||26||59||
O’ Nanak, by becoming Guru’s followers, they who are united with the eternal God are not separated from Him again.
Ee Nanak, kwa kukuwa wafuasi wa Guru, wao ambao wameunganishwa na Mungu wa milele hawatenganishwi naye tena.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:

ਆਪੇ ਕਾਰਣੁ ਕਰਤਾ ਕਰੇ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਦੇਖੈ ਆਪਿ ਉਪਾਇ ॥
aapay kaaran kartaa karay sarisat daykhai aap upaa-ay.
The Creator Himself created the Creation; He produced the Universe, and He Himself watches over it.
Muumba mwenyewe aliumba uumbaji wote; alitengeneza ulimwengu, na yeye mwenyewe anauchunga.

ਸਭ ਏਕੋ ਇਕੁ ਵਰਤਦਾ ਅਲਖੁ ਨ ਲਖਿਆ ਜਾਇ ॥
sabh ayko ik varatdaa alakh na lakhi-aa jaa-ay.
The one and only God is pervading everywhere. He is unfathomable and cannot be described.
Mungu Mmoja na wa pekee anaenea kote. Yeye hawezi kueleweka wala hawezi kuelezwa.

ਆਪੇ ਪ੍ਰਭੂ ਦਇਆਲੁ ਹੈ ਆਪੇ ਦੇਇ ਬੁਝਾਇ ॥
aapay parabhoo da-i-aal hai aapay day-ay bujhaa-ay.
God Himself is Merciful; He Himself bestows us understanding.
Mungu mwenyewe ni mwenye huruma; Yeye mwenyewe anatutawazia uelewa.

ਗੁਰਮਤੀ ਸਦ ਮਨਿ ਵਸਿਆ ਸਚਿ ਰਹੇ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥੧॥
gurmatee sad man vasi-aa sach rahay liv laa-ay. ||1||
Following Guru’s teachings, they in whose heart God always resides, remain attuned to that eternal God.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, wale ambaye Mungu daima anaishi mioyoni mwao, wanabaki wamemakinikia Mungu huyo wa milele.

ਮਨ ਮੇਰੇ ਗੁਰ ਕੀ ਮੰਨਿ ਲੈ ਰਜਾਇ ॥
man mayray gur kee man lai rajaa-ay.
O’ my mind, surrender to the Guru’s Will.
Ee akili yangu, jisalimu kwa wasia wa Guru.

ਮਨੁ ਤਨੁ ਸੀਤਲੁ ਸਭੁ ਥੀਐ ਨਾਮੁ ਵਸੈ ਮਨਿ ਆਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
man tan seetal sabh thee-ai naam vasai man aa-ay. ||1|| rahaa-o.
Your mind and body will be soothed and Naam will come to dwell in the heart.
Akili na mwili wako utatulizwa na Naam itakuja kuishi moyoni.

ਜਿਨਿ ਕਰਿ ਕਾਰਣੁ ਧਾਰਿਆ ਸੋਈ ਸਾਰ ਕਰੇਇ ॥
jin kar kaaran Dhaari-aa so-ee saar karay-i.
Having created the creation, the Almighty supports it and takes care of it.
Akiwa ameumba uumbaji wote, Mwenyewe anatoa msaada kwake na kuuchunga.

ਗੁਰ ਕੈ ਸਬਦਿ ਪਛਾਣੀਐ ਜਾ ਆਪੇ ਨਦਰਿ ਕਰੇਇ ॥
gur kai sabad pachhaanee-ai jaa aapay nadar karay-i.
The word of the Guru is realized when He Himself bestows His glance of grace.
Neno la Guru linagunduliwa wakati Yeye mwenyewe anatawaza mtazamo wake wa neema.

ਸੇ ਜਨ ਸਬਦੇ ਸੋਹਣੇ ਤਿਤੁ ਸਚੈ ਦਰਬਾਰਿ ॥
say jan sabday sohnay tit sachai darbaar.
Those on whom God bestows his grace, get immersed in Naam, and become destined to look beauteous in the divine court.
Wale ambao Mungu anatawazia neema yake, wanazama katika Naam, na kuagiziwa kukaa vizuri katika mahakama takatifu.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਸਚੈ ਸਬਦਿ ਰਤੇ ਆਪਿ ਮੇਲੇ ਕਰਤਾਰਿ ॥੨॥
gurmukh sachai sabad ratay aap maylay kartaar. ||2|
They are true followers of the Guru and are imbued with love of God; They have been united by God Himself.
Wao ni wafuasi wa kweli wa Guru na wamejawa na upendo wa Mungu; wameunganishwa na Mungu mwenyewe.

ਗੁਰਮਤੀ ਸਚੁ ਸਲਾਹਣਾ ਜਿਸ ਦਾ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਰਾਵਾਰੁ ॥
gurmatee sach salaahnaa jis daa ant na paaraavaar.
Through the Guru’s teachings, praise the One, who has no end or limitation.
Kupitia mafundisho ya Guru, sifu yule Mmoja, ambaye hana mwisho wala upungufu.

ਘਟਿ ਘਟਿ ਆਪੇ ਹੁਕਮਿ ਵਸੈ ਹੁਕਮੇ ਕਰੇ ਬੀਚਾਰੁ ॥
ghat ghat aapay hukam vasai hukmay karay beechaar.
As per God’s own will, He dwells in everybody’s heart and contemplates over the care of His creatures.
Kulingana na wasia wenyewe wa Mungu, Yeye anaishi katika moyo wa kila mtu na kutafakari kuhusu utunzaji wa viumbe vyake.

ਗੁਰ ਸਬਦੀ ਸਾਲਾਹੀਐ ਹਉਮੈ ਵਿਚਹੁ ਖੋਇ ॥
gur sabdee salaahee-ai ha-umai vichahu kho-ay.
Shedding our ego from within, we should praise God through the Guru’s word.
Kuachana na ubinafsi wetu ndani mwetu, tunafaa kusifu Mungu kupitia neno la Guru.

ਸਾ ਧਨ ਨਾਵੈ ਬਾਹਰੀ ਅਵਗਣਵੰਤੀ ਰੋਇ ॥੩॥
saa Dhan naavai baahree avganvantee ro-ay. ||3||
The soul that does not recite Naam,becomes full of demerits, and grieves.
Roho ambayo haikariri Naam, inajawa na sifa mbaya, na kuhuzunika.

ਸਚੁ ਸਲਾਹੀ ਸਚਿ ਲਗਾ ਸਚੈ ਨਾਇ ਤ੍ਰਿਪਤਿ ਹੋਇ ॥
sach salaahee sach laga sach hai naa-ay taripat ho-ay.
I must keep praising the True One so that I get satiated and blessed.
Lazima niendelee kusifu yule Mmoja wa Kweli ndiposa nitoshelezwe na kubarikiwa.

ਗੁਣ ਵੀਚਾਰੀ ਗੁਣ ਸੰਗ੍ਰਹਾ ਅਵਗੁਣ ਕਢਾ ਧੋਇ ॥
gun veechaaree gun sangrahaa avgun kadhaa Dho-ay.
I pray that I am able to contemplate on God’s virtues, accumulate those virtues and am able to wash myself clean of my demerits.
Naomba ya kwamba niweze kutafakari kuhusu fadhila za Mungu, nikusanye fadhila hizo na niweze kujiosha niwe safi kutokana na maovu yangu.

ਆਪੇ ਮੇਲਿ ਮਿਲਾਇਦਾ ਫਿਰਿ ਵੇਛੋੜਾ ਨ ਹੋਇ ॥
aapay mayl milaa-idaa fir vaychhorhaa na ho-ay.
One, whom God unites with Him, never gets separated from Him again.
Yule, ambaye Mungu anaunganisha naye, daima hatenganishwi kutoka kwake tena.

ਨਾਨਕ ਗੁਰੁ ਸਾਲਾਹੀ ਆਪਣਾ ਜਿਦੂ ਪਾਈ ਪ੍ਰਭੁ ਸੋਇ ॥੪॥੨੭॥੬੦॥
naanak gur saalaahee aapnaa jidoo paa-ee parabh so-ay. ||4||27||60||
O’ Nanak, this is my prayer that, I may keep praising my Guru, because God can be realized through the Guru.
Ee Nanak, hili ndilo ombi yangu ya kwamba, niendelee kusifu Guru wangu, kwa sababu Mungu anaweza kugunduliwa kupitia kwa Guru.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:

ਸੁਣਿ ਸੁਣਿ ਕਾਮ ਗਹੇਲੀਏ ਕਿਆ ਚਲਹਿ ਬਾਹ ਲੁਡਾਇ ॥
sun sun kaam gahaylee-ay ki-aa chaleh baah ludaa-ay.
Listen O’ soul (bride); you are entrapped in selfish worldly pursuits. How you can be wandering in life so carelessly?
Sikiliza Ee roho (bi harusi); umenaswa katika harakati ya uchoyo ya kidunia. Unawezaje kuzurura maishani bila kujali hivyo?

ਆਪਣਾ ਪਿਰੁ ਨ ਪਛਾਣਹੀ ਕਿਆ ਮੁਹੁ ਦੇਸਹਿ ਜਾਇ ॥
aapnaa pir na pachhaanhee ki-aa muhu dayseh jaa-ay.
(You are so busy in worldly pursuits) You are not concerned to meet Almighty. How will you face Him (after death)?
(Umejihusisha kabisa katika harakati za kidunia) Huna haja ya kukutana na Mwenyezi. Utawezaje kujitokeza mbele zake (baada ya kifo)?

ਜਿਨੀ ਸਖੀ ਕੰਤੁ ਪਛਾਣਿਆ ਹਉ ਤਿਨ ਕੈ ਲਾਗਉ ਪਾਇ ॥
jinee sakheeN kant pachhaani-aa ha-o tin kai laaga-o paa-ay.
I bow in reverence to the Guru’s followers who have realized the path of union with God.
Nasujudu kwa heshima kwa wafuasi wa Guru ambao wamegundua njia ya muungano na Mungu.

ਤਿਨ ਹੀ ਜੈਸੀ ਥੀ ਰਹਾ ਸਤਸੰਗਤਿ ਮੇਲਿ ਮਿਲਾਇ ॥੧॥
tin hee jaisee thee rahaa satsangat mayl milaa-ay. ||1||
By joining the True Congregation, I wish I could become one like them!
Kwa kujiunga na ushirika ya kweli, natamani ningeweza kuwa kama mmoja wao!

error: Content is protected !!