ਪੀੜ ਗਈ ਫਿਰਿ ਨਹੀ ਦੁਹੇਲੀ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
peerh ga-ee fir nahee duhaylee. ||1|| rahaa-o.
his pain is dispelled and he is never in grief again. ||1||Pause||
uchungu wake unaondolewa na kamwe hana huzuni tena. ||1||Sitisha||
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਚਰਨ ਸੰਗਿ ਮੇਲੀ ॥
kar kirpaa charan sang maylee.
The one, on whom showing mercy, God attunes to His loving devotion,
Yule, ambaye akimwonyesha huruma, Mungu anamumakinisha kwa ujitoaji wake wa upendo,
ਸੂਖ ਸਹਜ ਆਨੰਦ ਸੁਹੇਲੀ ॥੧॥
sookh sahj aanand suhaylee. ||1||
enjoys comforts of life and attains equipoise and bliss. ||1||
anafurahia starehe za maisha na kupata usawa na raha tele.
ਸਾਧਸੰਗਿ ਗੁਣ ਗਾਇ ਅਤੋਲੀ ॥
saaDhsang gun gaa-ay atolee.
By singing praises of God in the congregation of the saintly persons, he becomes so virtuous that his worth cannot be evaluated.
Kwa kuimba sifa za Mungu katika ushirika wa watu watakatifu, anakuwa mwema zaidi kwamba thamani yake haiwezi kukadiriwa.
ਹਰਿ ਸਿਮਰਤ ਨਾਨਕ ਭਈ ਅਮੋਲੀ ॥੨॥੩੫॥
har simrat naanak bha-ee amolee. ||2||35||
O’ Nanak, by meditating on God, he becomes invaluable. ||2||35||
Ee Nanak, kwa kutafakari kuhusu Mungu, yeye anakuwa mwenye thamani mno.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਕਾਮ ਕ੍ਰੋਧ ਮਾਇਆ ਮਦ ਮਤਸਰ ਏ ਖੇਲਤ ਸਭਿ ਜੂਐ ਹਾਰੇ ॥
kaam kroDh maa-i-aa mad matsar ay khaylat sabh joo-ai haaray.
One who joins the holy congregation is able to destroyhis lust, anger, intoxication of worldly wealth and jealousy in the game of life.
Yule anayejiunga na ushirika mtakatifu anaweza kuangamiza ukware, hasira, kulevya kwa utajiri wa kidunia na wivu katika mchezo wa maisha.
ਸਤੁ ਸੰਤੋਖੁ ਦਇਆ ਧਰਮੁ ਸਚੁ ਇਹ ਅਪੁਨੈ ਗ੍ਰਿਹ ਭੀਤਰਿ ਵਾਰੇ ॥੧॥
sat santokh da-i-aa Dharam sach ih apunai garih bheetar vaaray. ||1||
and brings chastity, contentment, compassion, faith and truth in his heart. ||1||
Na kuleta usafi, kutoshelezwa, ukarimu, imani na ukweli moyoni mwake.
ਜਨਮ ਮਰਨ ਚੂਕੇ ਸਭਿ ਭਾਰੇ ॥
janam maran chookay sabh bhaaray.
His cycle of birth and death ends along with all unnecessary responsibilities.
Mzunguko wake wa kuzaliwa na kufa unatamatika pamoja na majukumu yasiyohitajika.
ਮਿਲਤ ਸੰਗਿ ਭਇਓ ਮਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਲੈ ਖਿਨ ਮਹਿ ਤਾਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
milat sang bha-i-o man nirmal gur poorai lai khin meh taaray. ||1|| rahaa-o.
By joining the holy congregation, mind becomes immaculate and in an instant the perfect Guru saves him from the vices. ||1||Pause||
Kwa kujiunga na ushirika mtakatifu, akili inakuwa safi na papo hapo Guru kamili anamwokoa kutoka maovu. ||1||Sitisha||
ਸਭ ਕੀ ਰੇਨੁ ਹੋਇ ਰਹੈ ਮਨੂਆ ਸਗਲੇ ਦੀਸਹਿ ਮੀਤ ਪਿਆਰੇ ॥
sabh kee rayn ho-ay rahai manoo-aa saglay deeseh meet pi-aaray.
His mind becomes so humble, as if he is the dust of the feet of all; everyone seem dear friends to him.
Akili yake inakuwa nyenyekevu zaidi, kana kwamba yeye ni mchanga miguuni pa wote; kila mtu anaonekana kuwa rafiki wake wa dhati.
ਸਭ ਮਧੇ ਰਵਿਆ ਮੇਰਾ ਠਾਕੁਰੁ ਦਾਨੁ ਦੇਤ ਸਭਿ ਜੀਅ ਸਮ੍ਹ੍ਹਾਰੇ ॥੨॥
sabh maDhay ravi-aa mayraa thaakur daan dayt sabh jee-a samHaaray. ||2||
He understands that my Master-God is pervading in all and sustains all beings by providing bounties.|2||
Yeye anaelewa kwamba Bwana-Mungu wangu anaenea katika vyote na anatunza viumbe vyote kwa kutoa neema zake.
ਏਕੋ ਏਕੁ ਆਪਿ ਇਕੁ ਏਕੈ ਏਕੈ ਹੈ ਸਗਲਾ ਪਾਸਾਰੇ ॥
ayko ayk aap ik aykai aykai hai saglaa paasaaray.
God Himself is the one and only one and He alone is present in all the expanse.
Mungu Mwenyewe ni mmoja na wa kipekee na Yeye pekee yupo katika upanuzi wote.
ਜਪਿ ਜਪਿ ਹੋਏ ਸਗਲ ਸਾਧ ਜਨ ਏਕੁ ਨਾਮੁ ਧਿਆਇ ਬਹੁਤੁ ਉਧਾਰੇ ॥੩॥
jap jap ho-ay sagal saaDh jan ayk naam Dhi-aa-ay bahut uDhaaray. ||3||
People become true saints by meditating on Naam and they save so many others from the vices. ||3||
Watu wanakuwa watakatifu wa kweli kwa kutafakari kuhusu Naam na wanaokoa wengine wengi kutoka maovu.
ਗਹਿਰ ਗੰਭੀਰ ਬਿਅੰਤ ਗੁਸਾਈ ਅੰਤੁ ਨਹੀ ਕਿਛੁ ਪਾਰਾਵਾਰੇ ॥
gahir gambheer bi-ant gusaa-ee ant nahee kichh paaraavaaray.
O’ God, the profound Master of the universe, Your virtues are infinite and the limits of Your creation cannot be found
Ee Mungu, Bwana mkubwa wa ulimwengu, fadhila zako hazina mwisho na vikomo vya uumbaji wako haviwezi kupatwa
ਤੁਮ੍ਹ੍ਹਰੀ ਕ੍ਰਿਪਾ ਤੇ ਗੁਨ ਗਾਵੈ ਨਾਨਕ ਧਿਆਇ ਧਿਆਇ ਪ੍ਰਭ ਕਉ ਨਮਸਕਾਰੇ ॥੪॥੩੬॥
tumHree kirpaa tay gun gaavai naanak Dhi-aa-ay Dhi-aa-ay parabh ka-o namaskaaray. ||4||36||
O’ Nanak, it is only by Your Grace that one sings Your Praises, always meditates on Your Name and humbly bows to You. ||4||36||
Ee Nanak, ni kwa Neema yako pekee ambapo mtu anaimba sifa zako, kutafakari daima kuhusu Jina lako na kusujudu kwa unyenyekevu mbele yako.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਤੂ ਬਿਅੰਤੁ ਅਵਿਗਤੁ ਅਗੋਚਰੁ ਇਹੁ ਸਭੁ ਤੇਰਾ ਆਕਾਰੁ ॥
too bi-ant avigat agochar ih sabh tayraa aakaar.
O’ God, You are infinite, eternal, and incomprehensible; all this is Your creation.
Ee Mungu, Wewe huna mwisho, ni wa milele, na huwezi kueleweka; vyote hivi ni uumbaji wako.
ਕਿਆ ਹਮ ਜੰਤ ਕਰਹ ਚਤੁਰਾਈ ਜਾਂ ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਤੁਝੈ ਮਝਾਰਿ ॥੧॥
ki-aa ham jant karah chaturaa-ee jaaN sabh kichh tujhai majhaar. ||1||
What cleverness can we, the human beings, exercise when everything happens according to Your will? ||1||
Sisi binadamu, tunaweza kufanya ujanja gani, wakati kila kitu kinatendeka kulingana na mapenzi yako?
ਮੇਰੇ ਸਤਿਗੁਰ ਅਪਨੇ ਬਾਲਿਕ ਰਾਖਹੁ ਲੀਲਾ ਧਾਰਿ ॥
mayray satgur apnay baalik raakho leelaa Dhaar.
O’ my true Guru, showing Your power, protect Your children from the vices.
Ee Guru wangu wa kweli, ukionyesha nguvu yako, linda watoto wako kutoka maovu.
ਦੇਹੁ ਸੁਮਤਿ ਸਦਾ ਗੁਣ ਗਾਵਾ ਮੇਰੇ ਠਾਕੁਰ ਅਗਮ ਅਪਾਰ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
dayh sumat sadaa gun gaavaa mayray thaakur agam apaar. ||1|| rahaa-o.
O’ my incomprehensible and infinite Master-God, please bless me with the wisdom that I may always sing Your Praises. ||1||Pause||
Ee Bwana-Mungu wangu usiyeeleweka na usiye na mwisho, tafadhali nibariki na hekima ili niweze kuimba Sifa zako daima. ||1||Sitisha||
ਜੈਸੇ ਜਨਨਿ ਜਠਰ ਮਹਿ ਪ੍ਰਾਨੀ ਓਹੁ ਰਹਤਾ ਨਾਮ ਅਧਾਰਿ ॥
jaisay janan jathar meh paraanee oh rahtaa naam aDhaar.
O’ God, it is Your wondrous play that a creature in the mother’s womb survives by the support of Naam.
Ee Mungu, ni mchezo wako wa ajabu kwamba kiumbe katika tumbo la mama anaishi kwa tegemezo ya Naam.
ਅਨਦੁ ਕਰੈ ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਮ੍ਹ੍ਹਾਰੈ ਨਾ ਪੋਹੈ ਅਗਨਾਰਿ ॥੨॥
anad karai saas saas samHaarai naa pohai agnaar. ||2||
He remembers You with each and every breath and enjoys bliss because the fire of womb cannot reach him. ||2||
Anakukumbuka Wewe kwa kila pumzi anayopumua na kufurahia raha tele kwa sababu moto wa chupa cha uzazi hauwezi kumfikia.
ਪਰ ਧਨ ਪਰ ਦਾਰਾ ਪਰ ਨਿੰਦਾ ਇਨ ਸਿਉ ਪ੍ਰੀਤਿ ਨਿਵਾਰਿ ॥
par Dhan par daaraa par nindaa in si-o pareet nivaar.
O’ God, please save me from the love of others’ wealth, woman, and slander.
Ee Mungu, tafadhali niokoe kutoka kupenda utajiri na mwanamke wa mwengine, na uchongezi.
ਚਰਨ ਕਮਲ ਸੇਵੀ ਰਿਦ ਅੰਤਰਿ ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਕੈ ਆਧਾਰਿ ॥੩॥
charan kamal sayvee rid antar gur pooray kai aaDhaar. ||3||
Bless me so that through the support of the perfect Guru, I may enshrine Your immaculate Name in my heart and keep meditating on it. ||3||
Nibariki ili kupitia tegemezo ya Guru kamili, niweze kuthamini Jina lako safi moyoni mwangu na niendelee kutafakari kulihusu.
ਗ੍ਰਿਹੁ ਮੰਦਰ ਮਹਲਾ ਜੋ ਦੀਸਹਿ ਨਾ ਕੋਈ ਸੰਗਾਰਿ ॥
garihu mandar mehlaa jo deeseh naa ko-ee sangaar.
O’ my friends, all these houses, mansions and palaces which you see, none of these would accompany you in the end.
Ee marafiki wangu, nyumba hisi zote, majumba na makasri unayoona, hakuna kati yao ambayo yataambatana nawe mwishowe.
ਜਬ ਲਗੁ ਜੀਵਹਿ ਕਲੀ ਕਾਲ ਮਹਿ ਜਨ ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਸਮ੍ਹ੍ਹਾਰਿ ॥੪॥੩੭॥
jab lag jeeveh kalee kaal meh jan naanak naam samHaar. ||4||37||
O’ Nanak,as long as you live in this world, enshrine God’s Name in Your heart. ||4||37||
Ee Nanak, ili mradi unaishi duniani humu, thamini Jina la Mungu moyoni mwako.
ਆਸਾ ਘਰੁ ੩ ਮਹਲਾ ੫
aasaa ghar 3 mehlaa 5
Raag Aasaa, Third Beat, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Mpigo wa Tatu, Guru wa Tano:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One eternal God. realized by the grace of the true Guru:
Mungu Mmoja wa milele, anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa kweli:
ਰਾਜ ਮਿਲਕ ਜੋਬਨ ਗ੍ਰਿਹ ਸੋਭਾ ਰੂਪਵੰਤੁ ਜੋੁਆਨੀ ॥
raaj milak joban garih sobhaa roopvant jo-aanee.
Power, property, youth, home, fame and the beauty of youth;
Nguvu, mali, ujana, nyumbani, umaarufu na uzuri wa ujana;
ਬਹੁਤੁ ਦਰਬੁ ਹਸਤੀ ਅਰੁ ਘੋੜੇ ਲਾਲ ਲਾਖ ਬੈ ਆਨੀ ॥
bahut darab hastee ar ghorhay laal laakh bai aanee.
abundant wealth, elephants, horses and very expensive jewels,
utajiri mwingi, tembo, farasi na vito vya bei ghali,
ਆਗੈ ਦਰਗਹਿ ਕਾਮਿ ਨ ਆਵੈ ਛੋਡਿ ਚਲੈ ਅਭਿਮਾਨੀ ॥੧॥
aagai dargahi kaam na aavai chhod chalai abhimaanee. ||1||
none of these shall be of any use in God’s court. The egoistic man departs from the world leaving all these things behind.||1|
hakuna kati ya hayo yatakuwa na manufaa yoyote katika mahakama ya Mungu. Mtu mwenye ubinafsi anaondoka duniani akiacha haya yote nyuma.
ਕਾਹੇ ਏਕ ਬਿਨਾ ਚਿਤੁ ਲਾਈਐ ॥
kaahay ayk binaa chit laa-ee-ai.
Why should we attach our mind to anything other than God?
Kwa nini tuambatishe akili yetu kwa chochote ila Mungu?
ਊਠਤ ਬੈਠਤ ਸੋਵਤ ਜਾਗਤ ਸਦਾ ਸਦਾ ਹਰਿ ਧਿਆਈਐ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
oothat baithat sovat jaagat sadaa sadaa har Dhi-aa-ee-ai. ||1|| rahaa-o.
Instead, while sitting, standing, sleeping or awake, we should always meditate on God with love and devotion. ||1||Pause||
Badala yake, wakati tunaketi, tunasimama, tunalala au tukiamka, tunapaswa kutafakari daima kuhusu Mungu kwa upendo na ujitoaji. ||1||Sitisha||
ਮਹਾ ਬਚਿਤ੍ਰ ਸੁੰਦਰ ਆਖਾੜੇ ਰਣ ਮਹਿ ਜਿਤੇ ਪਵਾੜੇ ॥
mahaa bachitar sundar aakhaarhay ran meh jitay pavaarhay.
One may win great contests or fights in the utmost beautiful arenas.
Mtu anaweza kushinda mashindano makuu au mapigano katika medani nzuri zaidi.