Swahili Page 180

ਪ੍ਰਾਣੀ ਜਾਣੈ ਇਹੁ ਤਨੁ ਮੇਰਾ ॥
paraanee jaanai ih tan mayraa.
The mortal claims this body as his own.
Binadamu anadai mwili huu kuwa wake mwenyewe.

ਬਹੁਰਿ ਬਹੁਰਿ ਉਆਹੂ ਲਪਟੇਰਾ ॥
bahur bahur u-aahoo laptayraa.
Again and again, he clings to it.
Tena na tena, yeye anaukwamilia.

ਪੁਤ੍ਰ ਕਲਤ੍ਰ ਗਿਰਸਤ ਕਾ ਫਾਸਾ ॥
putar kaltar girsat kaa faasaa.
Entangled with his children, wife and household affairs,
Akinaswa na watoto wake, mke na shughuli zingine za nyumbani,

ਹੋਨੁ ਨ ਪਾਈਐ ਰਾਮ ਕੇ ਦਾਸਾ ॥੧॥
hon na paa-ee-ai raam kay daasaa. ||1||
he cannot be the devotee of God. ||1||
hawezi kuwa mtawa wa Mungu.

ਕਵਨ ਸੁ ਬਿਧਿ ਜਿਤੁ ਰਾਮ ਗੁਣ ਗਾਇ ॥
kavan so biDh jit raam gun gaa-ay.
What is the way by which one can start singing the praises of God?
Ni ipi njia ambayo naweza kuanza kuimba sifa za Mungu?

ਕਵਨ ਸੁ ਮਤਿ ਜਿਤੁ ਤਰੈ ਇਹ ਮਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
kavan so mat jit tarai ih maa-ay. ||1|| rahaa-o.
What is that teaching following which one can be saved from the bonds of Maya? ||1||Pause||
Ni lipi funzo hilo ambalo kwa kulifuata mtu anaweza kuokolewa kutoka kwa vifungo vya Maya? ||1||Sitisha||

ਜੋ ਭਲਾਈ ਸੋ ਬੁਰਾ ਜਾਨੈ ॥
jo bhalaa-ee so buraa jaanai.
The deed which is for his own good, he thinks that as evil.
Kitendo ambacho ni kwa manufaa yake mwenye, yeye anakifikiria kuwa kibaya.

ਸਾਚੁ ਕਹੈ ਸੋ ਬਿਖੈ ਸਮਾਨੈ ॥
saach kahai so bikhai samaanai.
If someone tells him the truth, he looks upon that as poison.
Iwapo mtu amuambie ukweli, yeye anautazama kama sumu.

ਜਾਣੈ ਨਾਹੀ ਜੀਤ ਅਰੁ ਹਾਰ ॥
jaanai naahee jeet ar haar.
He does not even understand that which deed would make him win the game of life and which would make him lose.
Yeye hata haelewi kile kitendo ambacho kingemfanya ashinde mchezo wa maisha na kile ambacho kingemfanya aupoteze.

ਇਹੁ ਵਲੇਵਾ ਸਾਕਤ ਸੰਸਾਰ ॥੨॥
ih valayvaa saakat sansaar. ||2||
This is the way of life in the world of the faithless cynics. ||2||
Huu ndio mtindo wa maisha katika dunia ya mbeuzi asiye na imani.

ਜੋ ਹਲਾਹਲ ਸੋ ਪੀਵੈ ਬਉਰਾ ॥
jo halaahal so peevai ba-uraa.
The fool drinks the deadly poison of Maya,
Mpumabvu anakunywa sumu yenye kufisha ya Maya.

ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਨਾਮੁ ਜਾਨੈ ਕਰਿ ਕਉਰਾ ॥
amrit naam jaanai kar ka-uraa.
while he believes the ambrosial Naam to be bitter.
Wakati anaamini Naam ya ambrosia kuwa chungu.

ਸਾਧਸੰਗ ਕੈ ਨਾਹੀ ਨੇਰਿ ॥
saaDhsang kai naahee nayr.
He doesn’t even go near the congregation of the saints;
Yeye hata hakaribii ushirika wa watakatifu;

ਲਖ ਚਉਰਾਸੀਹ ਭ੍ਰਮਤਾ ਫੇਰਿ ॥੩॥
lakh cha-oraaseeh bharmataa fayr. ||3||
and wanders lost through millions of births. ||3||
na anazurura kupitia mamilioni ya kuzaliwa upya.

ਏਕੈ ਜਾਲਿ ਫਹਾਏ ਪੰਖੀ ॥
aykai jaal fahaa-ay pankhee.
Like the birds trapped in a net, God has trapped human beings in the Maya.
Kama ndege walionaswa kwenye wavu, Mungu amenasa binadamu kwenye Maya.

ਰਸਿ ਰਸਿ ਭੋਗ ਕਰਹਿ ਬਹੁ ਰੰਗੀ ॥
ras ras bhog karahi baho rangee.
immersed in the worldly pleasures, they frolic in so many ways.
Wakivama katika raha za kidunia, wanacheza kwa njia nyingi sana.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਜਿਸੁ ਭਏ ਕ੍ਰਿਪਾਲ ॥
kaho naanak jis bha-ay kirpaal.
Nanak says, the one on whom God has become kind,
Nanak anasema, yule ambaye Mungu amekuwa mwema kwake,

ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਤਾ ਕੇ ਕਾਟੇ ਜਾਲ ॥੪॥੧੩॥੮੨॥
gur poorai taa kay kaatay jaal. ||4||13||82||
the perfect Guru has cut off his bonds of worldly entrapments. ||4||13||82||
Guru kamili amekata vifungo vyake vya mitego ya kidunia.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Gauree Gwaarayree, Fifth Guru:
Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਤਉ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਮਾਰਗੁ ਪਾਈਐ ॥
ta-o kirpaa tay maarag paa-ee-ai.
O’ God, by Your grace, we realize the righteous way of living
Ee Mungu, kwa neema yako, tunagundua njia ya uadilifu ya kuishi.

ਪ੍ਰਭ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈਐ ॥
parabh kirpaa tay naam Dhi-aa-ee-ai.
By God’s Grace, we meditate on Naam .
Kwa Neema ya Mungu, tunatafakari kuhusu Naam.

ਪ੍ਰਭ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਬੰਧਨ ਛੁਟੈ ॥
parabh kirpaa tay banDhan chhutai.
By God’s Grace, we are released from the bonds of Maya.
Kwa Neema ya Mungu, tunawekwa huru kutoka kwa vifungo vya Maya.

ਤਉ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਹਉਮੈ ਤੁਟੈ ॥੧॥
ta-o kirpaa tay ha-umai tutai. ||1||
By Your Grace, egotism is eradicated. ||1||
Kwa Neema Yako, ubinafsi unatokomezwa.

ਤੁਮ ਲਾਵਹੁ ਤਉ ਲਾਗਹ ਸੇਵ ॥
tum laavhu ta-o laagah sayv.
O’ God, if You bless us, only then we engage in Your devotional worship.
Ee Mungu, iwapo Wewe utubariki, wakati huo tu ndio tunahusika katika ibada ya ujitoaji.

ਹਮ ਤੇ ਕਛੂ ਨ ਹੋਵੈ ਦੇਵ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
ham tay kachhoo na hovai dayv. ||1|| rahaa-o.
O’ my Enlightener, on our own we can do nothing. ||1||Pause||
Ee Mwangaza wangu, sisi wenyewe hatuwezi kufanya chochote. ||1||Sitisha||

ਤੁਧੁ ਭਾਵੈ ਤਾ ਗਾਵਾ ਬਾਣੀ ॥
tuDh bhaavai taa gaavaa banee.
O’ God, if it pleases You, only then I can sing hymns of Your praises.
Ee Mungu, iwapo inakupendeza Wewe, wakati huo tu ndio tunaimba nyimbo za sifa zako.

ਤੁਧੁ ਭਾਵੈ ਤਾ ਸਚੁ ਵਖਾਣੀ ॥
tuDh bhaavai taa sach vakhaanee.
If it pleases You, only then I can recite the eternal Naam.
Iwapo inakupendeza Wewe, wakati huo tu ndio naweza kukariri Naam ya milele.

ਤੁਧੁ ਭਾਵੈ ਤਾ ਸਤਿਗੁਰ ਮਇਆ ॥
tuDh bhaavai taa satgur ma-i-aa.
Only when it pleases You, we receive the grace of the true Guru.
Wakati tu ambao unakupendeza, ndio tunapokea neema ya Guru wa kweli

ਸਰਬ ਸੁਖਾ ਪ੍ਰਭ ਤੇਰੀ ਦਇਆ ॥੨॥
sarab sukhaa parabh tayree da-i-aa. ||2||
O’ God, all peace comes by Your Kindness . ||2||
Ee Mungu, amani yote inakuja kwa Wema wako.

ਜੋ ਤੁਧੁ ਭਾਵੈ ਸੋ ਨਿਰਮਲ ਕਰਮਾ ॥
jo tuDh bhaavai so nirmal karmaa.
O’ God, whatever pleases You, that is the immaculate deed.
Ee Mungu, chochote kinachokupendeza Wewe, hicho ndicho kitendo safi.

ਜੋ ਤੁਧੁ ਭਾਵੈ ਸੋ ਸਚੁ ਧਰਮਾ ॥
jo tuDh bhaavai so sach Dharmaa.
Whatever pleases You is the true faith.
Chochote kinachokupendeza Wewe ni imani ya kweli.

ਸਰਬ ਨਿਧਾਨ ਗੁਣ ਤੁਮ ਹੀ ਪਾਸਿ ॥
sarab niDhaan gun tum hee paas.
All the treasures and all the virtues are with You.
Hazina zote na fadhila zote zipo na Wewe.

ਤੂੰ ਸਾਹਿਬੁ ਸੇਵਕ ਅਰਦਾਸਿ ॥੩॥
tooN saahib sayvak ardaas. ||3||
You are my Master, and Your servant’s supplication is only before You. ||3||
Wewe ndiwe Bwana wangu, na dua la mtumishi wako lipo mbele Yako tu.

ਮਨੁ ਤਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹੋਇ ਹਰਿ ਰੰਗਿ ॥
man tan nirmal ho-ay har rang.
My body and mind may become immaculate and pure in Your love.
Mwili na akili yangu inaweza kuwa safi na nyeupe kwa upendo wako.

ਸਰਬ ਸੁਖਾ ਪਾਵਉ ਸਤਸੰਗਿ ॥
sarab sukhaa paava-o satsang.
I may find all pleasures in the congregation of the saintly persons.
Naweza kupata raha zote katika ushirika wa watu watakatifu.

ਨਾਮਿ ਤੇਰੈ ਰਹੈ ਮਨੁ ਰਾਤਾ ॥
naam tayrai rahai man raataa.
My mind may always remain imbued with Your love.
Akili yangu inaweza kubaki imepenyezwa na upendo wako daima.

ਇਹੁ ਕਲਿਆਣੁ ਨਾਨਕ ਕਰਿ ਜਾਤਾ ॥੪॥੧੪॥੮੩॥
ih kali-aan naanak kar jaataa. ||4||14||83||
Nanak deems this as the supreme bliss. ||4||14||83||
Nanak anawaza hii kama raha tele kuu.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Raag Gauree Gwaarayree, Fifth Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਆਨ ਰਸਾ ਜੇਤੇ ਤੈ ਚਾਖੇ ॥
aan rasaa jaytay tai chaakhay.
(O’ my tongue), all the delicacies, other than Naam, which you are tasting,
(Ee ulimi wangu), vitoweo vyote, ila Naam, ambavyo unaonja,

ਨਿਮਖ ਨ ਤ੍ਰਿਸਨਾ ਤੇਰੀ ਲਾਥੇ ॥
nimakh na tarisnaa tayree laathay.
have not satiated your desires even for a moment.
Havijatosheleza hamu yako hata kwa muda mfupi.

ਹਰਿ ਰਸ ਕਾ ਤੂੰ ਚਾਖਹਿ ਸਾਦੁ ॥
har ras kaa tooN chaakhahi saad.
But if you taste the elixir of God’s Name,
Lakini iwapo uonje dawa ya Jina la Mungu,

ਚਾਖਤ ਹੋਇ ਰਹਹਿ ਬਿਸਮਾਦੁ ॥੧॥
chaakhat ho-ay raheh bismaad. ||1||
upon tasting it, you shall be wonderstruck and amazed. ||1||
unapoionja, utastaajabishwa na kuduwazwa.

ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਰਸਨਾ ਪੀਉ ਪਿਆਰੀ ॥
amrit rasnaa pee-o pi-aaree.
O dear beloved tongue, drink in the ambrosial nectar of Naam.
Ee ulimi mpendwa wa dhati, kunywa nekta ya ambrosia ya Naam.

ਇਹ ਰਸ ਰਾਤੀ ਹੋਇ ਤ੍ਰਿਪਤਾਰੀ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
ih ras raatee ho-ay tariptaaree. ||1|| rahaa-o.
Imbued with this sublime essence, you shall be satisfied. ||1||Pause||
Ukipenyezwa na kiini hiki tukufu, utaridhika. ||1||Sitisha||

ਹੇ ਜਿਹਵੇ ਤੂੰ ਰਾਮ ਗੁਣ ਗਾਉ ॥
hay jihvay tooN raam gun gaa-o.
O’ my tongue, sing the glorious praises of God.
Ee ulimi wangu, imba sifa tukufu za Mungu.

ਨਿਮਖ ਨਿਮਖ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਧਿਆਉ ॥
nimakh nimakh har har har Dhi-aa-o.
Meditate on God at each and every instant.
Tafakari kuhusu Mungu kila wakati.

ਆਨ ਨ ਸੁਨੀਐ ਕਤਹੂੰ ਜਾਈਐ ॥
aan na sunee-ai katahooN jaa-ee-ai.
Don’t listen anything except Naam and don’t go anywhere except the holy congregation.
Usisikilize chochote isipokuwa Naam na usiende popote isipokuwa katika ushirika mtakatifu.

ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਵਡਭਾਗੀ ਪਾਈਐ ॥੨॥
saaDhsangat vadbhaagee paa-ee-ai. ||2||
But the company of saints is attained only by great good fortune. ||2||
Lakini uandamano wa watakatifu unatimizwa tu kwa bahati nzuri kuu.

ਆਠ ਪਹਰ ਜਿਹਵੇ ਆਰਾਧਿ ॥
aath pahar jihvay aaraaDh.
O’ my tongue, always lovingly meditate on,
Ee ulimi wangu, tafakari daima kwa upendo kuhusu,

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ਠਾਕੁਰ ਆਗਾਧਿ ॥
paarbarahm thaakur aagaaDh.
the Unfathomable, Supreme Master-God.
Bwana-Mungu, Mkuu, Asiyefahamika.

ਈਹਾ ਊਹਾ ਸਦਾ ਸੁਹੇਲੀ ॥
eehaa oohaa sadaa suhaylee.
Here and hereafter, you shall be happy forever.
Humu na akhera, utakuwa na furaha milele.

ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਵਤ ਰਸਨ ਅਮੋਲੀ ॥੩॥
har gun gaavat rasan amolee. ||3||
O’ my tongue, by chanting God’s virtues, you will become invaluable. ||3||
Ee ulimi wangu, kwa kuimba fadhila za Mungu, utakuwa na thamani isiyoweza kukadirika.

ਬਨਸਪਤਿ ਮਉਲੀ ਫਲ ਫੁਲ ਪੇਡੇ ॥
banaspat ma-ulee fal ful payday.
One may see all kinds of vegetation, fruits, and flowers in bloom.
Mtu anaweza kuona aina yote ya mimea, matunda na maua yanayonawiri.

ਇਹ ਰਸ ਰਾਤੀ ਬਹੁਰਿ ਨ ਛੋਡੇ ॥
ih ras raatee bahur na chhoday.
But imbued with this nectar of Naam, one shall never leave it for any other worldly relish.
Lakini kwa kupenyezwa na nekta hii ya Naam, mtu kamwe hatawahi kuiacha juu ya kiburudisho chochote cha kidunia.

ਆਨ ਨ ਰਸ ਕਸ ਲਵੈ ਨ ਲਾਈ ॥ ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਭਏ ਹੈ ਸਹਾਈ ॥੪॥੧੫॥੮੪॥
aan na ras kas lavai na laa-ee.kaho naanak gur bha-ay hai sahaa-ee. ||4||15||84||
Nanak says, when the Guru becomes one’s helper and shows him the relish of God’s Name, then one doesn’t go near any other worldly relish.
Nanak anasema, wakati Guru anakuwa msaidizi wa mtu na kumuonyesha kiburudisho cha Jina la Mungu, basi mtu hakaribii kiburudisho kingine chochote cha kidunia.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Raag Gauree Gwaarayree, Fifth Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਮਨੁ ਮੰਦਰੁ ਤਨੁ ਸਾਜੀ ਬਾਰਿ ॥
man mandar tan saajee baar.
The mind is like a temple (house of God), and the body is like a fence built around it.
Akili ni kama hekalu (nyumba ya Mungu), na mwili ni kama ua iliyojengwa kuizunguka.

error: Content is protected !!