ਹਉ ਹਉ ਕਰਤੀ ਜਗੁ ਫਿਰੀ ਨਾ ਧਨੁ ਸੰਪੈ ਨਾਲਿ ॥
ha-o ha-o kartee jag firee naa Dhan sampai naal.
The entire world is wandering around engrossed in self-conceit, without realizing that worldly wealth doesn’t accompany anyone after death.
Dunia mzima inazunguka ikijihusisha katika majivuno ya kibinafsi, bila kugundua ya kwamba utajiri wa kidunia hauwezi kuambatana na mtu yeyote baada ya kifo.
ਅੰਧੀ ਨਾਮੁ ਨ ਚੇਤਈ ਸਭ ਬਾਧੀ ਜਮਕਾਲਿ ॥
anDhee naam na chayt-ee sabh baaDhee jamkaal.
The spiritually blind world does not meditate on Naam; and is therefore bound and gagged by the Messenger of Death.
Dunia iliyo kipofu wa kiroho haitafakari kuhusu Naam; na hivyo basi inefungwa na kufungwa mdomo na Mjumbe wa Kifo.
ਸਤਗੁਰਿ ਮਿਲਿਐ ਧਨੁ ਪਾਇਆ ਹਰਿ ਨਾਮਾ ਰਿਦੈ ਸਮਾਲਿ ॥੩॥
satgur mili-ai Dhan paa-i-aa har naamaa ridai samaal. ||3||
By meeting the True Guru, and enshrining God’s Name in the heart, the true wealth of Naam is obtained.
Kwa kukutana na Guru wa kweli, na kuweka jina la Mungu moyoni, utajiri wa kweli wa Naam unapatwa.
ਨਾਮਿ ਰਤੇ ਸੇ ਨਿਰਮਲੇ ਗੁਰ ਕੈ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਇ ॥
naam ratay say nirmalay gur kai sahj subhaa-ay.
Those who are attuned to the Naam are immaculate and pure; through the Guru, they obtain intuitive peace and poise.
Wale ambao wamemakinikia Naam ni safi na weupe kabisa; kupitia kwa Guru, wanapata amani angavu na utulivu.
ਮਨੁ ਤਨੁ ਰਾਤਾ ਰੰਗ ਸਿਉ ਰਸਨਾ ਰਸਨ ਰਸਾਇ ॥
man tan raataa rang si-o rasnaa rasan rasaa-ay.
Their minds and bodies are imbued with God’s Love, and their tongues savor His Sublime Essence.
Akili na miili yao imejawa na upendo wa Mungu, na ndimi zao zinatamani kiini tukufu.
ਨਾਨਕ ਰੰਗੁ ਨ ਉਤਰੈ ਜੋ ਹਰਿ ਧੁਰਿ ਛੋਡਿਆ ਲਾਇ ॥੪॥੧੪॥੪੭॥
naanak rang na utrai jo har Dhur chhodi-aa laa-ay. ||4||14||47||
O’ Nanak, they whom God has imbued with His love from the very beginning, their love for God never fades.
Ee Nanak, wale ambao Mungu amejazia upendo wake kutoka mwanzoni kabisa, upendo wao kwa Mungu hauwezi kufifia.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:
ਗੁਰਮੁਖਿ ਕ੍ਰਿਪਾ ਕਰੇ ਭਗਤਿ ਕੀਜੈ ਬਿਨੁ ਗੁਰ ਭਗਤਿ ਨ ਹੋਈ ॥
gurmukh kirpaa karay bhagat keejai bin gur bhagat na ho-ee.
Only when God bestows His mercy through the Guru, then one worships God. Without the Guru’s grace there is no devotional worship.
Wakati tu Mungu anatawaza huruma yake kupitia kwa Guru, ndipo mtu anapoabudu Mungu. Bila neema ya Guru hakuna ibada ya kujitolea.
ਆਪੈ ਆਪੁ ਮਿਲਾਏ ਬੂਝੈ ਤਾ ਨਿਰਮਲੁ ਹੋਵੈ ਸੋਈ ॥
aapai aap milaa-ay boojhai taa nirmal hovai so-ee.
The one who surrenders himself to the Guru, understands the secret and his life becomes immaculate.
Yule anayejisalimisha mwenyewe kwa Guru, anaelewa siri hio na maisha yake yanakuwa safi.
ਹਰਿ ਜੀਉ ਸਾਚਾ ਸਾਚੀ ਬਾਣੀ ਸਬਦਿ ਮਿਲਾਵਾ ਹੋਈ ॥੧॥
har jee-o saachaa saachee banee sabad milaavaa ho-ee. ||1||
God is True, and True is His Word. It is only through Guru’s word that union with God is obtained.
Mungu ni wa kweli, na ya kweli ni neno lake. Ni kupitia tu neno la Guru ambapo muungano na Mungu unapatikana.
ਭਾਈ ਰੇ ਭਗਤਿਹੀਣੁ ਕਾਹੇ ਜਗਿ ਆਇਆ ॥
bhaa-ee ray bhagtiheen kaahay jag aa-i-aa.
O’ Brothers, why did you come to this world if you did not want to worship God?
Ee ndugu, kwa nini ulikuja duniani humu kama hukutaka kuabudu Mungu?
ਪੂਰੇ ਗੁਰ ਕੀ ਸੇਵ ਨ ਕੀਨੀ ਬਿਰਥਾ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
pooray gur kee sayv na keenee birthaa janam gavaa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
If you have not served the perfect Guru by following his teachings, you have wasted your life in Vain.
Iwapo hujatumikia Guru kamili kwa kufuata mafundisho yake, umeharibu maisha yako bure.
ਆਪੇ ਜਗਜੀਵਨੁ ਸੁਖਦਾਤਾ ਆਪੇ ਬਖਸਿ ਮਿਲਾਏ ॥
aapay jagjeevan sukh-daata aapay bakhas milaa-ay.
God, the life of the World, is Himself the giver of peace, and after kindly forgiving us, unites us with Him.
Mungu, uhai wa Dunia, mwenyewe ni mtoaji wa amani, na baada ya kutusamehe kwa ukarimu, anatuunganisha naye.
ਜੀਅ ਜੰਤ ਏ ਕਿਆ ਵੇਚਾਰੇ ਕਿਆ ਕੋ ਆਖਿ ਸੁਣਾਏ ॥
jee-a jant ay ki-aa vaychaaray ki-aa ko aakh sunaa-ay.
So what about all these helpless beings and creatures? What can anyone say?
Basi vipi kuhusu viumbe hao wote wanyonge? Ni kipi ambacho yeyote anaweza kufanya?
ਗੁਰਮੁਖਿ ਆਪੇ ਦੇਇ ਵਡਾਈ ਆਪੇ ਸੇਵ ਕਰਾਏ ॥੨॥
gurmukh aapay day-ay vadaa-ee aapay sayv karaa-ay. ||2||
Through the Guru, God Himself bestows honor on some and enjoins them to His service (devotional worship)
Kupitia kwa Guru, Mungu mwenyewe anatawaza heshima kwa wengine na kuwaunganisha kwa huduma yake (ibada ya kujitolea)
ਦੇਖਿ ਕੁਟੰਬੁ ਮੋਹਿ ਲੋਭਾਣਾ ਚਲਦਿਆ ਨਾਲਿ ਨ ਜਾਈ ॥
daykh kutamb mohi lobhaanaa chaldi-aa naal na jaa-ee.
Gazing upon their families, people are lured and trapped by emotional attachment, but none will go along with them in the end.
Wakitazama familia zao, watu wanavutiwa na kunaswa na kiambatanishi cha kihisia, lakini hakuna hata mmoja ataenda naye mwishowe.
ਸਤਗੁਰੁ ਸੇਵਿ ਗੁਣ ਨਿਧਾਨੁ ਪਾਇਆ ਤਿਸ ਦੀ ਕੀਮ ਨ ਪਾਈ ॥
satgur sayv gun niDhaan paa-i-aa tis dee keem na paa-ee.
It is impossible to estimate the worth of the person who by following the true Guru’s teachings, has realized God, the treasure of virtues.
Haiwezekani kukadiria thamana ya mtu ambaye kwa kufuata mafundisho ya Guru wa kweli, amegundua Mungu, hazina ya fadhila.
ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਸਖਾ ਮੀਤੁ ਪ੍ਰਭੁ ਮੇਰਾ ਅੰਤੇ ਹੋਇ ਸਖਾਈ ॥੩॥
har parabh sakhaa meet parabh mayraa antay ho-ay sakhaa-ee. ||3||
The God is my Friend and Companion. God shall be my Support in the end.
Mungu ni rafiki yangu na mwendani wangu. Mungu atakuwa nguzo yangu mwishoni.
ਆਪਣੈ ਮਨਿ ਚਿਤਿ ਕਹੈ ਕਹਾਏ ਬਿਨੁ ਗੁਰ ਆਪੁ ਨ ਜਾਈ ॥
aapnai man chit kahai kahaa-ay bin gur aap na jaa-ee.
Within your conscious mind, you may think that my egoism is gone, but without the Guru’s help, egoism does not go away.
Ndani mwa akili yako ya kufahamu, unaweza kufikiria ya kwamba ubinafsi wako umepotea, lakini bila msaada wa Guru, ubinafsi hauwezi kuondoka.
ਹਰਿ ਜੀਉ ਦਾਤਾ ਭਗਤਿ ਵਛਲੁ ਹੈ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਮੰਨਿ ਵਸਾਈ ॥
har jee-o daataa bhagat vachhal hai kar kirpaa man vasaa-ee.
The Benefactor God loves His devotees, and by showing mercy He enshrines His loving devotion in their hearts.
Mfadhili Mungu anapenda wafuasi wake, na kwa kuonyesha huruma anaweka vizuri kujitolea kwake kwa upendo mioyoni mwao.
ਨਾਨਕ ਸੋਭਾ ਸੁਰਤਿ ਦੇਇ ਪ੍ਰਭੁ ਆਪੇ ਗੁਰਮੁਖਿ ਦੇ ਵਡਿਆਈ ॥੪॥੧੫॥੪੮॥
naanak sobhaa surat day-ay parabh aapay gurmukh day vadi-aa-ee. ||4||15||48||
O’ Nanak, by His Grace, He bestows enlightened awareness; God Himself blesses the Guru’s followers with glory.
Ee Nanak, kwa neema yake, anatawaza ufahamu ulioangazwa; Mungu mwenyewe anabariki wafuasi wa Guru na utukufu.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:
ਧਨੁ ਜਨਨੀ ਜਿਨਿ ਜਾਇਆ ਧੰਨੁ ਪਿਤਾ ਪਰਧਾਨੁ ॥
Dhan jannee jin jaa-i-aa Dhan pitaa parDhaan.
Blessed is the mother who gave birth to the Guru (Guru Angad DevJi); and blessed also is his noble father.
Amebarikiwa mama aliyezaa Guru (Guru Angad Dev Ji); na amebarikiwa babake mtukufu.
ਸਤਗੁਰੁ ਸੇਵਿ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਵਿਚਹੁ ਗਇਆ ਗੁਮਾਨੁ ॥
satgur sayv sukh paa-i-aa vichahu ga-i-aa gumaan.
By serving (following the teachings of) such a true Guru, many have obtained peace and shed their egoism from within.
Kwa kutumikia (kufuata mafundish ya) Guru wa kweli kama huyo, wengi wamepata amani na kuachana na ubinafsi wao kutoka ndani.
ਦਰਿ ਸੇਵਨਿ ਸੰਤ ਜਨ ਖੜੇ ਪਾਇਨਿ ਗੁਣੀ ਨਿਧਾਨੁ ॥੧॥
dar sayvan sant jan kharhay paa-in gunee niDhaan. ||1||
The saintly people who stand at the door-step of the Guru and serve him (follow his teachings), realize God, the treasure of all virtues.
Watu watakatifu wanaosimama katika mlango wa Guru na kumtumikia (kufuata mafundisho yake), wanagundua Mungu, hazina ya fadhila zote.
ਮੇਰੇ ਮਨ ਗੁਰ ਮੁਖਿ ਧਿਆਇ ਹਰਿ ਸੋਇ ॥
mayray man gur mukh Dhi-aa-ay har so-ay.
O my mind, following the Guru’s teachings, meditate on God with loving devotion.
Ee akili yangu, kwa kufuata mafundisho ya Guru, tafakari kuhusu Mungu kwa kujitolea kwa upendo.
ਗੁਰ ਕਾ ਸਬਦੁ ਮਨਿ ਵਸੈ ਮਨੁ ਤਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹੋਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gur kaa sabad man vasai man tan nirmal ho-ay. ||1|| rahaa-o.
The Word of the Guru dwells within the mind, and the body and mind become pure.
Neno la Guru linadumu akilini, na mwili na akili inakuwa safi.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਘਰਿ ਆਇਆ ਆਪੇ ਮਿਲਿਆ ਆਇ ॥
kar kirpaa ghar aa-i-aa aapay mili-aa aa-ay.
By His Grace, He has come to dwell in my heart; He Himself has come to meet me.
Kwa neema yake, amekuja kuishi moyoni mwangu; Yeye mwenyewe amekuja kukutana nami.
ਗੁਰ ਸਬਦੀ ਸਾਲਾਹੀਐ ਰੰਗੇ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਇ ॥
gur sabdee salaahee-ai rangay sahj subhaa-ay.
Singing His Praises through the Guru’s word, we are imbued in His love with intuitive ease.
Kwa kuimba sifa zake kupitia neno la Guru, tunajaziwa upendo wake kwa urahisi angavu.
ਸਚੈ ਸਚਿ ਸਮਾਇਆ ਮਿਲਿ ਰਹੈ ਨ ਵਿਛੁੜਿ ਜਾਇ ॥੨॥
sachai sach samaa-i-aa mil rahai na vichhurh jaa-ay. ||2||
Becoming truthful, we merge with the True One; remaining united with Him, we shall never be separated again.
Kwa kukuwa wakweli, tunaungana na yule Mmoja wa kweli; tunabaki tumeungana naye, hatutawahi kutenganishwa tena.
ਜੋ ਕਿਛੁ ਕਰਣਾ ਸੁ ਕਰਿ ਰਹਿਆ ਅਵਰੁ ਨ ਕਰਣਾ ਜਾਇ ॥
jo kichh karnaa so kar rahi-aa avar na karnaa jaa-ay.
Whatever is to be done, He is doing so. No one else can do anything.
Chochote kinachohitaji kutendwa, Mungu anatenda hivyo. Hakuna mtu mwengine anaweza kufanya kitu chochote.
ਚਿਰੀ ਵਿਛੁੰਨੇ ਮੇਲਿਅਨੁ ਸਤਗੁਰ ਪੰਨੈ ਪਾਇ ॥
chiree vichhunay mayli-an satgur pannai paa-ay.
God has united with Himself those who were separated from Him for long, by putting them under the charge of the true Guru.
Mungu ameunganisha naye wale ambao walitenganishwa naye kwa muda mrefu, kwa kuwaweka chini ya mwongozo wa Guru wa kweli.
ਆਪੇ ਕਾਰ ਕਰਾਇਸੀ ਅਵਰੁ ਨ ਕਰਣਾ ਜਾਇ ॥੩॥
aapay kaar karaa-isee avar na karnaa jaa-ay. ||3||
He Himself assigns all to their tasks; nothing else can be done.
Yeye mwenyewe anateua wote kwa kazi zao, hakuna kitu kingine kinaweza kufanyika.
ਮਨੁ ਤਨੁ ਰਤਾ ਰੰਗ ਸਿਉ ਹਉਮੈ ਤਜਿ ਵਿਕਾਰ ॥
man tan rataa rang si-o ha-umai taj vikaar.
Shedding ego and evil thoughts, one’s body and mind is imbued with God’s love.
Kwa kuachana na ubinafsi na fikira mbaya, mwili na akili ya mtu inajawa na upendo wa Mungu.
ਅਹਿਨਿਸਿ ਹਿਰਦੈ ਰਵਿ ਰਹੈ ਨਿਰਭਉ ਨਾਮੁ ਨਿਰੰਕਾਰ ॥
ahinis hirdai rav rahai nirbha-o naam nirankaar.
Day and night, they meditate in their heart on the fear-dispelling Name of the Formless God.
Mchana na usiku, wanatafakari moyoni mwao kuhusu jina linaloondoa uwoga wa Mungu asiye na muundo yoyote.
ਨਾਨਕ ਆਪਿ ਮਿਲਾਇਅਨੁ ਪੂਰੈ ਸਬਦਿ ਅਪਾਰ ॥੪॥੧੬॥੪੯॥
naanak aap milaa-i-an poorai sabad apaar. ||4||16||49||
O’ Nanak, through the word of the perfect Guru, the infinite God has united them with Himself.
Ee Nanak, kupitia neno la Guru kamili, Mungu asiye na mwisho amewaunganisha kwake mwenyewe.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:
ਗੋਵਿਦੁ ਗੁਣੀ ਨਿਧਾਨੁ ਹੈ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਇਆ ਜਾਇ ॥
govid gunee niDhaan hai ant na paa-i-aa jaa-ay.
God of the Universe is the Treasure of virtues; His limits cannot be known.
Mungu wa Ulimwengu ndiye hazina ya fadhila; vikomo vyake haviwezi kujulikana.
ਕਥਨੀ ਬਦਨੀ ਨ ਪਾਈਐ ਹਉਮੈ ਵਿਚਹੁ ਜਾਇ ॥
kathnee badnee na paa-ee-ai ha-umai vichahu jaa-ay.
He can be realized only by dispelling ego from within and not by mere prattle.
Anaweza kugunduliwa tu kwa kuondoa ubinafsi kutoka ndani wala sio kwa maongezi marefu tu.