ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One eternal God. Realized by the grace of the True Guru:
Mungu Mmoja wa milele. Anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa Kweli:
ਗਉੜੀ ਬਾਵਨ ਅਖਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee baavan akhree mehlaa 5.
Raag Gauree, Bavan Akhri (based on 52 letters of the Sanskrit alphabet), Fifth Guru:
Raag Gauree, Bavan Akhri (kutokana na fonimu 52 ya alfabeti ya Sanskrit), Guru wa Tano:
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Salok:
ਗੁਰਦੇਵ ਮਾਤਾ ਗੁਰਦੇਵ ਪਿਤਾ ਗੁਰਦੇਵ ਸੁਆਮੀ ਪਰਮੇਸੁਰਾ ॥
gurdayv maataa gurdayv pitaa gurdayv su-aamee parmaysuraa.
The Guru is the spiritual mother, father and master and the embodiment of God.
Guru ndiye mama, baba na bwana wa kiroho na udhihirisho wa kimwili wa Mungu.
ਗੁਰਦੇਵ ਸਖਾ ਅਗਿਆਨ ਭੰਜਨੁ ਗੁਰਦੇਵ ਬੰਧਿਪ ਸਹੋਦਰਾ ॥
gurdayv sakhaa agi-aan bhanjan gurdayv banDhip sahodaraa.
The Guru is the friend, the destroyer of ignorance and the Guru is the relative and real brother.
Guru ndiye rafiki, mwangamizi wa ujinga na Guru ndiye jamaa na ngudu wa 0kweli.
ਗੁਰਦੇਵ ਦਾਤਾ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਉਪਦੇਸੈ ਗੁਰਦੇਵ ਮੰਤੁ ਨਿਰੋਧਰਾ ॥
gurdayv daataa har naam updaysai gurdayv mant niroDharaa.
The Guru is the real benefactor who bestows God’s Name. The Guru’s Mantra never becomes ineffective against vices.
Guru ndiye mfadhili wa kweli anayetawaza Jina la Mungu. Mantra ya Guru kamwe haikosi ufanisi dhidi ya maovu.
ਗੁਰਦੇਵ ਸਾਂਤਿ ਸਤਿ ਬੁਧਿ ਮੂਰਤਿ ਗੁਰਦੇਵ ਪਾਰਸ ਪਰਸ ਪਰਾ ॥
gurdayv saaNt sat buDh moorat gurdayv paaras paras paraa.
The Guru is the Image of peace, truth and wisdom. The Guru’s touch is far superior than the touch of the mythical Philosopher’s Stone.
Guru ndiye Udhihirisho wa amani, ukweli na hekima. Mguso wa Guru ni mkuu kuliko mguso wa Jiwe la kihadithi la Mwanafalsafa.
ਗੁਰਦੇਵ ਤੀਰਥੁ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਸਰੋਵਰੁ ਗੁਰ ਗਿਆਨ ਮਜਨੁ ਅਪਰੰਪਰਾ ॥
gurdayv tirath amrit sarovar gur gi-aan majan apramparaa.
The Guru’s teachings are the sacred shrine and bathing in the nectar of Guru’s teachings is much superior than bathing at the sacred shrine of pilgrimage.
Mafundisho ya Guru ni ziara takatifu na kuoga katika nekta ya mafundisho ya Guru ni mkuu zaidi kuliko kuoga katika ziara takatifu ya hija.
ਗੁਰਦੇਵ ਕਰਤਾ ਸਭਿ ਪਾਪ ਹਰਤਾ ਗੁਰਦੇਵ ਪਤਿਤ ਪਵਿਤ ਕਰਾ ॥
gurdayv kartaa sabh paap hartaa gurdayv patit pavit karaa.
The Divine Guru is the Creator and the destroyer of all sins; the Divine Guru is the Purifier of sinners.
Guru Mtakatifu ndiye Muumba na mwangamizi wa dhambi zote; Guru Mtakatifu ndiye Mtakasa wa watenda dhambi.
ਗੁਰਦੇਵ ਆਦਿ ਜੁਗਾਦਿ ਜੁਗੁ ਜੁਗੁ ਗੁਰਦੇਵ ਮੰਤੁ ਹਰਿ ਜਪਿ ਉਧਰਾ ॥
gurdayv aad jugaad jug jug gurdayv mant har jap uDhraa.
The Guru existed from the primal beginning, through ages upon ages and by meditating on God through the Guru’s mantra, one is saved from the vices.
Guru alikuwepo kutoka mwanzo wa kiasili, kupitia enzi baada ya enzi na kwa kutafakari kuhusu Mungu kupitia mantra ya Guru, mtu anakombolewa kutoka maovu.
ਗੁਰਦੇਵ ਸੰਗਤਿ ਪ੍ਰਭ ਮੇਲਿ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਹਮ ਮੂੜ ਪਾਪੀ ਜਿਤੁ ਲਗਿ ਤਰਾ ॥
gurdayv sangat parabh mayl kar kirpaa ham moorh paapee jit lag taraa.
O’ God, please bless us with the holy congregation so that by joining it we, the ignorant sinners, may also swim across the world-ocean of vices.
Ee Mungu, tafadhali tubariki na ushirika takatifu ili kwa kujiunga nao, sisi watenda dhambi wajinga, tunaweza pia kuogelea tukivuka bahari-dunia ya dhambi.
ਗੁਰਦੇਵ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਪਰਮੇਸਰੁ ਗੁਰਦੇਵ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਨਮਸਕਰਾ ॥੧॥
gurdayv satgur paarbarahm parmaysar gurdayv naanak har namaskaraa. ||1||
O’ Nanak, The Guru is the embodiment of the supreme God, we should humbly bow to the Guru. ||1||
Ee Nanak, Guru ndiye udhihirisho wa kimwili wa Mungu mkuu, tunafaa kusujudu kwa unyenyekevu mbele ya Guru.
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Salok:
ਆਪਹਿ ਕੀਆ ਕਰਾਇਆ ਆਪਹਿ ਕਰਨੈ ਜੋਗੁ ॥
aapeh kee-aa karaa-i-aa aapeh karnai jog.
He Himself has created and accomplished everything in the universe and He Himself is capable to do everything.
Yeye Mwenyewe ameumba na kufanikisha kila kitu ulimwenguni na Yeye Mwenyewe anaweza kufanya kila kitu.
ਨਾਨਕ ਏਕੋ ਰਵਿ ਰਹਿਆ ਦੂਸਰ ਹੋਆ ਨ ਹੋਗੁ ॥੧॥
naanak ayko rav rahi-aa doosar ho-aa na hog. ||1||
O Nanak, the One God is pervading everywhere; there has never been any other and there never shall be. ||1||
Ee Nanak, Mungu Mmoja anaenea kote; hakujawahi kuwa na mwengine yeyote na kamwe hatutawahi kuwa naye.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
ਓਅੰ ਸਾਧ ਸਤਿਗੁਰ ਨਮਸਕਾਰੰ ॥
o-aN saaDh satgur namaskaaraN.
ONG, I pay homage to the one God and the saintly true Guru.
ONG, natoa heshima kwa Mungu Mmoja na Guru mtakatifu wa kweli.
ਆਦਿ ਮਧਿ ਅੰਤਿ ਨਿਰੰਕਾਰੰ ॥
aad maDh ant niraNkaaraN.
The formless God was there in the beginning of the creation, is present now and will be there in the end.
Mungu asiye na muundo wowote alikuwepo mwanzoni mwa uumbaji, yupo wakati huu na atakuwepo mwishowe.
ਆਪਹਿ ਸੁੰਨ ਆਪਹਿ ਸੁਖ ਆਸਨ ॥
aapeh sunn aapeh sukh aasan.
He Himself is there when there is nothingness and He Himself is in a state of peace.
Yeye Mwenyewe yupo wakati hakuna kitu chochote na Yeye Mwenyewe yupo katika hali ya amani.
ਆਪਹਿ ਸੁਨਤ ਆਪ ਹੀ ਜਾਸਨ ॥
aapeh sunat aap hee jaasan.
He Himself sings and He Himself listens to His own praises.
Yeye Mwenyewe anaimba na Yeye Mwenyewe anasikiliza sifa zake mwenyewe.
ਆਪਨ ਆਪੁ ਆਪਹਿ ਉਪਾਇਓ ॥
aapan aap aapeh upaa-i-o.
He Himself created Himself.
Yeye Mwenyewe alijiumba.
ਆਪਹਿ ਬਾਪ ਆਪ ਹੀ ਮਾਇਓ ॥
aapeh baap aap hee maa-i-o.
He Himself is His father and Himself His mother.
Yeye Mwenyewe ni baba yake na Mwenyewe mama yake.
ਆਪਹਿ ਸੂਖਮ ਆਪਹਿ ਅਸਥੂਲਾ ॥
aapeh sookham aapeh asthoolaa.
He Himself is intangible and He Himself is tangible.
Yeye Mwenyewe hawezi kugusika na Yeye Mwenyewe anaweza kugusika.
ਲਖੀ ਨ ਜਾਈ ਨਾਨਕ ਲੀਲਾ ॥੧॥
lakhee na jaa-ee naanak leelaa. ||1||
O Nanak, His wondrous play cannot be understood. ||1||
Ee Nanak, mchezo Wake wa ajabu hauwezi kueleweka.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭ ਦੀਨ ਦਇਆਲਾ ॥
kar kirpaa parabh deen da-i-aalaa.
O God, compassionate to the helpless, please bestow mercy on me,
Ee Mungu, mkarimu kwa wanyonge, tafadhali tawaza huruma kwangu,
ਤੇਰੇ ਸੰਤਨ ਕੀ ਮਨੁ ਹੋਇ ਰਵਾਲਾ ॥ ਰਹਾਉ ॥
tayray santan kee man ho-ay ravaalaa. rahaa-o.
so that I may have respect in my heart for Your saints as if I am the dust of their feet. ||Pause||
ili niweze kuwa na heshima moyoni mwangu kwa watakatifu wako kana kwamba mimi ni mchanga wa miguu yao. ||Sitisha||
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Salok:
ਨਿਰੰਕਾਰ ਆਕਾਰ ਆਪਿ ਨਿਰਗੁਨ ਸਰਗੁਨ ਏਕ ॥
nirankaar aakaar aap nirgun sargun ayk.
He is formless and also in various forms of His creation, the One is intangible (without three modes of Maya) and also tangible (with attributes of Maya).
Yeye hana muundo wowote na pia yupo katika miundo tofauti ya uumbaji wake, yule Mmoja hagusiki (bila mbinu tatu za Maya) na pia anagusika (kwa sifa za Maya).
ਏਕਹਿ ਏਕ ਬਖਾਨਨੋ ਨਾਨਕ ਏਕ ਅਨੇਕ ॥੧॥
aykeh ayk bakhaanano naanak ayk anayk. ||1||
O Nanak, describe God as the one and only one, who is both singular and yet infinite. ||1||
Ee Nanak, eleza Mungu kama yule mmoja na wa pekee, ambaye ni umoja na ila hana mwisho.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
ਓਅੰ ਗੁਰਮੁਖਿ ਕੀਓ ਅਕਾਰਾ ॥
o-aN gurmukh kee-o akaaraa.
ONG: God, who is sacred and supreme, created the universe,
ONG: Mungu, ambaye ni mtakatifu na mkuu, aliumba ulimwengu, ।
ਏਕਹਿ ਸੂਤਿ ਪਰੋਵਨਹਾਰਾ ॥
aykeh soot parovanhaaraa.
He has strung the entire creation, all on the single thread of universal Law.
Ameweka uumbaji mzima, wote kwenye uzi mmoja wa Sheria ya ulimwengu wote.
ਭਿੰਨ ਭਿੰਨ ਤ੍ਰੈ ਗੁਣ ਬਿਸਥਾਰੰ ॥
bhinn bhinn tarai gun bisthaaraN.
God has diversified it in three main impulses of virtue, vice, and power.
Mungu ameiainisha kwa misukumo tatu kuu ya fadhila, dhambi na nguvu.
ਨਿਰਗੁਨ ਤੇ ਸਰਗੁਨ ਦ੍ਰਿਸਟਾਰੰ ॥
nirgun tay sargun daristaaraN.
From His intangible form, He created this visible universe.
Kutoka muundo wake usiogusika, Yeye aliumba ulimwengu unaoonekana.
ਸਗਲ ਭਾਤਿ ਕਰਿ ਕਰਹਿ ਉਪਾਇਓ ॥
sagal bhaat kar karahi upaa-i-o.
The Creator has created the creation of all types.
Muumba ameumba uumbaji wa aina yote.
ਜਨਮ ਮਰਨ ਮਨ ਮੋਹੁ ਬਢਾਇਓ ॥
janam maran man moh badhaa-i-o.
He has infused worldly attachment in the minds of His creatures, which is the root cause of their cycles of birth and death.
Yeye ameweka kiambatisho cha kidunia ndani mwa akili za viumbe vyake, ambacho ni chanzo na kiini cha mizunguko yao ya kuzaliwa na kufa.
ਦੁਹੂ ਭਾਤਿ ਤੇ ਆਪਿ ਨਿਰਾਰਾ ॥
duhoo bhaat tay aap niraaraa.
He Himself is free from birth and death.
Yeye Mwenyewe yuko huru kutoka kuzaliwa na kufa.
ਨਾਨਕ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਰਾਵਾਰਾ ॥੨॥
naanak ant na paaraavaaraa. ||2||
O Nanak, God’s creation has no end or limitation. ||2||
Ee Nanak, uumbaji wa Mungu hauna mwisho wala kikomo.
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:
ਸੇਈ ਸਾਹ ਭਗਵੰਤ ਸੇ ਸਚੁ ਸੰਪੈ ਹਰਿ ਰਾਸਿ ॥
say-ee saah bhagvant say sach sampai har raas.
They alone are spiritually rich who acquire the wealth of God’s Name.
Wao pekee ni wakwasi kiroho wanaopata utajiri wa Jina la Mungu.
ਨਾਨਕ ਸਚੁ ਸੁਚਿ ਪਾਈਐ ਤਿਹ ਸੰਤਨ ਕੈ ਪਾਸਿ ॥੧॥
naanak sach such paa-ee-ai tih santan kai paas. ||1||
O’ Nanak, it is from such saints that we receive the wealth of God’s Name andspiritual purity. ||1||
Ee Nanak, ni kutoka watakatifu kama hao ambapo tunapokea utajiri wa Jina la Mungu na usafi wa kiroho.
ਪਵੜੀ ॥
pavrhee.
Pauree:
ਸਸਾ ਸਤਿ ਸਤਿ ਸਤਿ ਸੋਊ ॥
sasaa sat sat sat so-oo.
Sassa (alphabet): God is True, eternal and everlasting.
Sassa (alfabeti): Mungu ni wa Kweli, wa milele na anadumu milele.
ਸਤਿ ਪੁਰਖ ਤੇ ਭਿੰਨ ਨ ਕੋਊ ॥
sat purakh tay bhinn na ko-oo.
No one is separate from that true Being (eternal God).
Hakuna mtu ametengana na huyo Kiumbe cha kweli (Mungu wa milele).
ਸੋਊ ਸਰਨਿ ਪਰੈ ਜਿਹ ਪਾਯੰ ॥
so-oo saran parai jih paa-yaN.
Only that person seeks His refuge, whom He Himself blesses.
Mtu huyo pekee anatafuta kimbilio chake, ambaye Yeye Mwenyewe anabariki.
ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਗੁਨ ਗਾਇ ਸੁਨਾਯੰ ॥
simar simar gun gaa-ay sunaa-yaN.
Such a person always meditates on God, he sings God’s praises and recites them to others as well.
Mtu kama huyo daima anatafakari kuhusu Mungu, anaimba sifa za Mungu na kuzikariri kwa wengine vilevile.
ਸੰਸੈ ਭਰਮੁ ਨਹੀ ਕਛੁ ਬਿਆਪਤ ॥
sansai bharam nahee kachh bi-aapat.
No doubt or illusion afflicts this person,
Hakuna shaka au njozi inaathiri mtu huyu,
ਪ੍ਰਗਟ ਪ੍ਰਤਾਪੁ ਤਾਹੂ ਕੋ ਜਾਪਤ ॥
pargat partaap taahoo ko jaapat.
because he visually beholds the obvious manifestion of God.
Kwa sababu anatazama Mungu aliyedhihirika kiwazi kwa macho yake.
ਸੋ ਸਾਧੂ ਇਹ ਪਹੁਚਨਹਾਰਾ ॥
so saaDhoo ih pahuchanhaaraa.
The person who reaches this spiritual state is a true saint.
Mtu anayefikia hali hii ya kiroho ni mtakatifu wa kweli.
ਨਾਨਕ ਤਾ ਕੈ ਸਦ ਬਲਿਹਾਰਾ ॥੩॥
naanak taa kai sad balihaaraa. ||3||
O’ Nanak, I am forever dedicated to him. ||3||
Ee Nanak, nimejiweka wakfu milele kwake.
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:
ਧਨੁ ਧਨੁ ਕਹਾ ਪੁਕਾਰਤੇ ਮਾਇਆ ਮੋਹ ਸਭ ਕੂਰ ॥
Dhan Dhan kahaa pukaartay maa-i-aa moh sabh koor.
Why are you crying out for worldly wealth? All this emotional attachment to Maya is false.
Kwa nini unalilia utajiri wa kidunia? Kiambatisho hiki chote cha kihisia kwa Maya ni ya uongo.