Swahili Page 223

ਗੁਰੁ ਪੁਛਿ ਦੇਖਿਆ ਨਾਹੀ ਦਰੁ ਹੋਰੁ ॥
gur puchh daykhi-aa naahee dar hor.
The Guru’s teaching has shown me that other than God, there is no real source of true peace.
Mafundisho ya Guru yamenionyesha kwamba pasi Mungu, hakuna chanzo halisi cha amani ya kweli.

ਦੁਖੁ ਸੁਖੁ ਭਾਣੈ ਤਿਸੈ ਰਜਾਇ ॥
dukh sukh bhaanai tisai rajaa-ay.
People go through sorrow or peace as per God’s will.
Watu wanapata huzuni au amani kulingana na mapenzi ya Mungu.

ਨਾਨਕੁ ਨੀਚੁ ਕਹੈ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥੮॥੪॥
naanak neech kahai liv laa-ay. ||8||4||
Attuned to God, humble Nanak sings His praises. ||8||4||
Akimakinikia Mungu, Nanak mnyenyekevu anaimba sifa zake.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੧ ॥
ga-orhee mehlaa 1.
Raag Gauree, First Guru:
Raag Gauree, Guru wa Kwanza:

ਦੂਜੀ ਮਾਇਆ ਜਗਤ ਚਿਤ ਵਾਸੁ ॥
doojee maa-i-aa jagat chit vaas.
Maya and love of duality dwell in the consciousness of people of the world.
Maya na upendo wa uwili unaishi katika fahamu ya watu duniani.

ਕਾਮ ਕ੍ਰੋਧ ਅਹੰਕਾਰ ਬਿਨਾਸੁ ॥੧॥
kaam kroDh ahaNkaar binaas. ||1||
Lust, anger, arrogance etc destroy spiritual life. ||1||
Ukware, hasira, kiburi na kadhalika kinaharibu maisha ya kiroho.

ਦੂਜਾ ਕਉਣੁ ਕਹਾ ਨਹੀ ਕੋਈ ॥
doojaa ka-un kahaa nahee ko-ee.
Whom can I call the other, when there is no one else besides God?
Naweza kuita nani mwengine, wakati hakuna yeyote mwengine ila Mungu?

ਸਭ ਮਹਿ ਏਕੁ ਨਿਰੰਜਨੁ ਸੋਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
sabh meh ayk niranjan so-ee. ||1|| rahaa-o.
The same immaculate God is pervading all beings. ||1||Pause||
Mungu huyo huyo safi anaenea katika viumbe vyote. ||1||Sitisha||

ਦੂਜੀ ਦੁਰਮਤਿ ਆਖੈ ਦੋਇ ॥
doojee durmat aakhai do-ay.
It is the evil intellect that brings up the concept of duality.
Ni akili ovu inayoleta dhana ya uwili.

ਆਵੈ ਜਾਇ ਮਰਿ ਦੂਜਾ ਹੋਇ ॥੨॥
aavai jaa-ay mar doojaa ho-ay. ||2||
That is why one remains in the cycles of birth and death and keeps getting farther away from God. ||2||
Ndio maana mtu anabaki katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa na anaendelea kuenda mbali zaidi kutoka kwa Mungu.

ਧਰਣਿ ਗਗਨ ਨਹ ਦੇਖਉ ਦੋਇ ॥
Dharan gagan nah daykh-a-u do-ay.
Besides God, I do not see any other power in the universe.
Mbali na Mungu, sioni nguvu nyingine yoyote ulimwenguni.

ਨਾਰੀ ਪੁਰਖ ਸਬਾਈ ਲੋਇ ॥੩॥
naaree purakh sabaa-ee lo-ay. ||3||
I see the same God in all men and women of the world. ||3||
Ninaona Mungu mmoja katika wanaume na wanawake wa dunia.

ਰਵਿ ਸਸਿ ਦੇਖਉ ਦੀਪਕ ਉਜਿਆਲਾ ॥
rav sas daykh-a-u deepak uji-aalaa.
I see His light in the sun, the moon and other heavenly lights.
Naona mwanga Wake katika jua, mwezi na nuru nyingine ya mbinguni.

ਸਰਬ ਨਿਰੰਤਰਿ ਪ੍ਰੀਤਮੁ ਬਾਲਾ ॥੪॥
sarab nirantar pareetam baalaa. ||4||
Amongst all, is seen my ever youthful beloved God. ||4||
Kati ya wote, anaonekana Mungu wangu mwenye ujana milele.

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਮੇਰਾ ਚਿਤੁ ਲਾਇਆ ॥
kar kirpaa mayraa chit laa-i-aa.
Bestowing mercy, the true Guru has attuned my mind to God,
Akitawaza huruma, Guru wa kweli amemakinisha akili yangu kwa Mungu,

ਸਤਿਗੁਰਿ ਮੋ ਕਉ ਏਕੁ ਬੁਝਾਇਆ ॥੫॥
satgur mo ka-o ayk bujhaa-i-aa. ||5||
and he has made me understand the existence of the one God alone. ||5||
na amenifanya nielewe uwepo wa Mungu mmoja pekee.

ਏਕੁ ਨਿਰੰਜਨੁ ਗੁਰਮੁਖਿ ਜਾਤਾ ॥
ayk niranjan gurmukh jaataa.
The Guru’s follower who understands that the immaculate God pervades everywhere,
Mfuasi wa Guru anayeelewa kwamba Mungu safi anaenea kote,

ਦੂਜਾ ਮਾਰਿ ਸਬਦਿ ਪਛਾਤਾ ॥੬॥
doojaa maar sabad pachhaataa. ||6||
comes to realize God by subduing duality through the Guru’s word. ||6||
anakuja kumgundua Mungu kwa kushinda uwili kupitia neno la Guru.

ਏਕੋ ਹੁਕਮੁ ਵਰਤੈ ਸਭ ਲੋਈ ॥
ayko hukam vartai sabh lo-ee.
The Command of God prevails throughout the world.
Amri ya Mungu inadumu kote duniani.

ਏਕਸੁ ਤੇ ਸਭ ਓਪਤਿ ਹੋਈ ॥੭॥
aykas tay sabh opat ho-ee. ||7||
The entire creation has evolved from God. ||7ll
Uumbaji mzima umebuniwa kutoka kwa Mungu.

ਰਾਹ ਦੋਵੈ ਖਸਮੁ ਏਕੋ ਜਾਣੁ ॥
raah dovai khasam ayko jaan.
You should understand that the one Master controls the both ways of living; living entangled in Maya andliving righteously.
Wewe unafaa kuelewa kwamba Bwana huyo mmoja anadhibiti njia zote mbili za kuishi; kuishi kwa kunaswa katika Maya na kuishi kiadilifu.

ਗੁਰ ਕੈ ਸਬਦਿ ਹੁਕਮੁ ਪਛਾਣੁ ॥੮॥
gur kai sabad hukam pachhaan. ||8||
Recognize the command of God, through the Guru’s word. ||8||
Tambua amri ya Mungu, kupitia neno la Guru.

ਸਗਲ ਰੂਪ ਵਰਨ ਮਨ ਮਾਹੀ ॥
sagal roop varan man maahee.
God pervades in all forms, shapes and hearts.
Mungu anaenea katika miundo, maumbo na mioyo yote

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਏਕੋ ਸਾਲਾਹੀ ॥੯॥੫॥
kaho naanak ayko saalaahee. ||9||5||
Nanak says, “I praise only that God”. ||9||5||
Nanak anasema, “Mimi nasifu Mungu huyo pekee”.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੧ ॥
ga-orhee mehlaa 1.
Raag Gauree, First Guru:
Raag Gauree, Guru wa Kwanza:

ਅਧਿਆਤਮ ਕਰਮ ਕਰੇ ਤਾ ਸਾਚਾ ॥
aDhi-aatam karam karay taa saachaa.
One who works for spiritual uplift is a true yogi.
Yule anayefanya kazi ili achangamshwe kiroho ni yogi wa kweli.

ਮੁਕਤਿ ਭੇਦੁ ਕਿਆ ਜਾਣੈ ਕਾਚਾ ॥੧॥
mukat bhayd ki-aa jaanai kaachaa. ||1||
Without becoming perfect in spiritual endeavors, he is an immature yogi and cannot know the secret of liberation from vices. ||1||
Bila kuwa kamili katika harakati za kiroho, yeye ni yogi mchanga na hawezi kujua siri ya ukombozi kutoka maovu.

ਐਸਾ ਜੋਗੀ ਜੁਗਤਿ ਬੀਚਾਰੈ ॥
aisaa jogee jugat beechaarai.
Such a yogi understands the righteous way of life, who by
Yogi kama huyo anaelewa njia adilifu ya maisha, ambaye kwa

ਪੰਚ ਮਾਰਿ ਸਾਚੁ ਉਰਿ ਧਾਰੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
panch maar saach ur Dhaarai. ||1|| rahaa-o.
subduing the five passions, enshrines the eternal God in his heart. |1||Pause|
kushinda harara tano, anathamini Mungu wa milele moyoni mwake. ||1||Sitisha||

ਜਿਸ ਕੈ ਅੰਤਰਿ ਸਾਚੁ ਵਸਾਵੈ ॥
jis kai antar saach vasaavai.
Only that kind of person, in whose heart, God enshrines His true Name,
Ni mtu kama huyo pekee, ambaye moyoni mwake, Mungu anathamini Jina lake halisi,

ਜੋਗ ਜੁਗਤਿ ਕੀ ਕੀਮਤਿ ਪਾਵੈ ॥੨॥
jog jugat kee keemat paavai. ||2||
realizes how wonderful is the journey to unite with God. ||2||
anagundua uzuri wa safari hii ya kuungana na Mungu.

ਰਵਿ ਸਸਿ ਏਕੋ ਗ੍ਰਿਹ ਉਦਿਆਨੈ ॥
rav sas ayko garih udi-aanai.
He sees the same God in moon and the sun, home and the forest. (He beholds the same God in an angry or a tranquil person, in a householder and a recluse.)
Yeye anaona Mungu mmoja katika mwezi na jua, nyumbani na nyikani. (Yeye anatazama Mungu mmoja katika mtu mwenye hasira na mtu tulivu, katika mwenye nyumba na katika mtu aliyejitenga.)

ਕਰਣੀ ਕੀਰਤਿ ਕਰਮ ਸਮਾਨੈ ॥੩॥
karnee keerat karam samaanai. ||3||
Such a yogi praises God from the core of his heart. ||3||
Yogi kama huyo anasifu Mungu kutoka kiini cha moyo wake.

ਏਕ ਸਬਦ ਇਕ ਭਿਖਿਆ ਮਾਗੈ ॥
ayk sabad ik bhikhi-aa maagai.
He begs from the Guru, only the gift of divine word.
Anaomba kutoka kwa Guru, tuzo ya neno takatifu pekee.

ਗਿਆਨੁ ਧਿਆਨੁ ਜੁਗਤਿ ਸਚੁ ਜਾਗੈ ॥੪॥
gi-aan Dhi-aan jugat sach jaagai. ||4||
In this way, his mind awakens to divine knowledge, meditation and the way to unite with the eternal God. ||4||
Kwa njia hii, akili yake inaamka kwa maarifa takatifu, kutafakari na njia ya kuungana na Mungu wa milele.

ਭੈ ਰਚਿ ਰਹੈ ਨ ਬਾਹਰਿ ਜਾਇ ॥
bhai rach rahai na baahar jaa-ay.
He remains absorbed in revered fear for God and never gets out of it.
Yeye anabaki amevama katika uoga kwa heshima ya Mungu na kamwe haondoki kutoka kwake.

ਕੀਮਤਿ ਕਉਣ ਰਹੈ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥੫॥
keemat ka-un rahai liv laa-ay. ||5||
He remains attuned to God. Who can estimate the worth of such a yogi? ||5||
Anabaki amemakinikia Mungu. Nani anaweza kukadiria thamani ya yogi kama huyo?

ਆਪੇ ਮੇਲੇ ਭਰਮੁ ਚੁਕਾਏ ॥
aapay maylay bharam chukaa-ay.
God unites such a yogi with the true Guru, who in turn dispels his doubt.
Mungu anaunganisha yogi kama huyo na Guru wa kweli, ambaye anaondoa shaka yake yote.

ਗੁਰ ਪਰਸਾਦਿ ਪਰਮ ਪਦੁ ਪਾਏ ॥੬॥
gur parsaad param pad paa-ay. ||6||
By the Guru’s grace such a person attains the supreme spiritual state. ||6||
Kwa neema ya Guru mtu kama huyo anapata hali kuu ya kiroho.

ਗੁਰ ਕੀ ਸੇਵਾ ਸਬਦੁ ਵੀਚਾਰੁ ॥ਹਉਮੈ ਮਾਰੇ ਕਰਣੀ ਸਾਰੁ ॥੭॥
gur kee sayvaa sabad veechaar. ha-umai maaray karnee saar.
||7||He subdues his ego, reflects on the Guru’s word and meditates on Naam. This is the sublime deed of a true yogi.
Anashinda ubinafsi wake, akikumbuka neno la Guru na kutafakari kuhusu Naam. Hiki ni kitendo tukufu cha yogi wa kweli.

ਜਪ ਤਪ ਸੰਜਮ ਪਾਠ ਪੁਰਾਣੁ ॥
jap tap sanjam paath puraan.
For a true yogi, all meditation, austerities and reading of Puranas (holy books),
Kwa yogi wa kweli, kutafakari kwote, nidhamu kali na kusoma Puranas (vitabu takatifu),

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਅਪਰੰਪਰ ਮਾਨੁ ॥੮॥੬॥
kaho naanak aprampar maan. ||8||6||
are in singing praises of the limitless God, says Nanak. ||8||6||
vipo katika kuimba sifa za Mungu asiye na kikimo, asema Nanak.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੧ ॥
ga-orhee mehlaa 1.
Raag Gauree, First Guru:
Raag Gauree, Guru wa Kwanza:

ਖਿਮਾ ਗਹੀ ਬ੍ਰਤੁ ਸੀਲ ਸੰਤੋਖੰ ॥
khimaa gahee barat seel santokhaN.
A true yogi practices forgiveness, good moral conduct and contentment.
Yogi wa kweli anatenda msamaha, mwenendo mzuri wa kiadili na kutoshelezwa.

ਰੋਗੁ ਨ ਬਿਆਪੈ ਨਾ ਜਮ ਦੋਖੰ ॥
rog na bi-aapai naa jam dokhaN.
A true yogi is not afraid of death and no malady afflicts him.
Yogi wa kweli haogopi kifo na hakuna ugonjwa unamuathiri.

ਮੁਕਤ ਭਏ ਪ੍ਰਭ ਰੂਪ ਨ ਰੇਖੰ ॥੧॥
mukat bha-ay parabh roop na raykhaN. ||1||
Since they are one with the formless God, such yogis are liberated from the vices. ||1||
Kwani wameungana na Mungu asiye na muundo wowote, yogi kama hao wanakombolewa kutoka dhambi.

ਜੋਗੀ ਕਉ ਕੈਸਾ ਡਰੁ ਹੋਇ ॥
jogee ka-o kaisaa dar ho-ay.
How can a yogi have any kind of fear,
Yogi anawezaje kuwa na aina yoyote ya hofu,

ਰੂਖਿ ਬਿਰਖਿ ਗ੍ਰਿਹਿ ਬਾਹਰਿ ਸੋਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
rookh birakh garihi baahar so-ay. ||1|| rahaa-o.
when he beholds God everywhere in His creation. ||1||Pause||
wakati anamtazama Mungu kila mahali katika uumbaji wake. ||1||Sitisha||

ਨਿਰਭਉ ਜੋਗੀ ਨਿਰੰਜਨੁ ਧਿਆਵੈ ॥
nirbha-o jogee niranjan Dhi-aavai.
The yogi meditates on the fearless and immaculate God.
Yogi anatafakari kuhusu Mungu safi na asiye na hofu.

ਅਨਦਿਨੁ ਜਾਗੈ ਸਚਿ ਲਿਵ ਲਾਵੈ ॥
an-din jaagai sach liv laavai.
Because he remains attuned to the eternal God, he is always alert and aware of the onslaught of Maya.
Kwa sababu anabaki amemakinikia Mungu wa milele, daima anabaki ametahadhari na anafahamu mashambulizi ya Maya.

ਸੋ ਜੋਗੀ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਭਾਵੈ ॥੨॥
so jogee mayrai man bhaavai. ||2||
Such a yogi is pleasing to my mind. ||2||
Yogi kama huyo anapendeza akilini mwangu.

ਕਾਲੁ ਜਾਲੁ ਬ੍ਰਹਮ ਅਗਨੀ ਜਾਰੇ ॥
kaal jaal barahm agnee jaaray.
Such a yogi dispels the fear of death with the power of divine knowledge.
Yogi kama huyo anaondoa uoga wa kifo kwa nguvu ya maarifa takatifu.

ਜਰਾ ਮਰਣ ਗਤੁ ਗਰਬੁ ਨਿਵਾਰੇ ॥
jaraa maran gat garab nivaaray.
He gets rid of ego and sheds the fear of getting old and dying.
Anaondoa ubinafsi na kuasi hofu ya kuzeeka na kufa.

ਆਪਿ ਤਰੈ ਪਿਤਰੀ ਨਿਸਤਾਰੇ ॥੩॥
aap tarai pitree nistaaray. ||3||
He swims across the world ocean of vices and saves his generations as well. |3|
Yeye anaogelea kuvuka bahari dunia ya dhambi na kuokoa vizazi vyake pia.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵੇ ਸੋ ਜੋਗੀ ਹੋਇ ॥
satgur sayvay so jogee ho-ay.
One who follows the teachings of the true Guru becomes a true yogi.
Mtu anayefuata mafundisho ya Guru wa kweli anakuwa yogi wa kweli.

ਭੈ ਰਚਿ ਰਹੈ ਸੁ ਨਿਰਭਉ ਹੋਇ ॥ ਜੈਸਾ ਸੇਵੈ ਤੈਸੋ ਹੋਇ ॥੪॥
bhai rach rahai so nirbha-o ho-ay. jaisaa sayvai taiso ho-ay. ||4||
One who remains immersed in the revered fear of God becomes fearless, because one becomes the same like the one whom he meditates. ||4||
Mtu anayebaki amevama katika uoga kwa heshima ya Mungu anakuwa bila hofu kwa sababu anakuwa sawa na yule anayetafakari kwake.

error: Content is protected !!