ਸਸੁਰੈ ਪੇਈਐ ਤਿਸੁ ਕੰਤ ਕੀ ਵਡਾ ਜਿਸੁ ਪਰਵਾਰੁ ॥
sasurai pay-ee-ai tis kant kee vadaa jis parvaar.
In this world and in the next, the soul-bride can live only on the support of her Husband God, Who has such a vast family.
Katika dunia hii na katika itakayofuata, roho kama bi harusi aaweza kuishi tu kwa msaada wa Mume Mungu wake, ambaye ana familia kubwa sana.
ਊਚਾ ਅਗਮ ਅਗਾਧਿ ਬੋਧ ਕਿਛੁ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਰਾਵਾਰੁ ॥
oochaa agam agaaDh boDh kichh ant na paaraavaar
He is the highest of the high and Inaccessible. His Wisdom is Unfathomable. There is no end or limit to His expanse.
Yeye ni wa juu zaidi kati ya wote wala hawezi kufikiwa. Hekima yake haiwezi kufahamika. Hakuna mwisho wala kikomo kwa upanuzi wake.
ਸੇਵਾ ਸਾ ਤਿਸੁ ਭਾਵਸੀ ਸੰਤਾ ਕੀ ਹੋਇ ਛਾਰੁ ॥
sayvaa saa tis bhaavsee santaa kee ho-ay chha.
Only that service is pleasing to Him, which makes one humble, like the dust of the feet of the Saints.
Hiyo huduma pekee inampendeza, ambayo inafanya mtu awe mnyenyekevu, kama mchanga miguuni pa Watakatifu.
ਦੀਨਾ ਨਾਥ ਦੈਆਲ ਦੇਵ ਪਤਿਤ ਉਧਾਰਣਹਾਰੁ ॥
deenaa naath dai-aal dayv patit uDhaaranhaar.
He is the Patron of the poor, the Merciful, Luminous God and the Redeemer of sinners.
Yeye ndiye Mlezi wa maskini, Mwenye Huruma, Mungu mwenye Mwanga na Mkombozi wa watenda dhambi.
ਆਦਿ ਜੁਗਾਦੀ ਰਖਦਾ ਸਚੁ ਨਾਮੁ ਕਰਤਾਰੁ ॥
aad jugaadee rakh-daa sach naam kartaar.
From the very beginning, and throughout the ages, the True Name of the Creator has been our Saving Grace.
Kutoka mwanzo kabisa, na kupitia enzi zote, Jina la Kweli la Muumba limekuwa Neema ya Kutuokoa.
ਕੀਮਤਿ ਕੋਇ ਨ ਜਾਣਈ ਕੋ ਨਾਹੀ ਤੋਲਣਹਾਰੁ ॥
keemat ko-ay na jaan-ee ko naahee tolanhaar.
No one knows His worth; nobody can estimate His greatness.
Hakuna mtu anajua thamani yake; hakuna mtu anaweza kukadiria ukuu wake.
ਮਨ ਤਨ ਅੰਤਰਿ ਵਸਿ ਰਹੇ ਨਾਨਕ ਨਹੀ ਸੁਮਾਰੁ ॥
man tan antar vas rahay naanak nahee sumaar.
O’ Nanak, He dwells within everyone’s mind and body. His virtues are infinite.
Ee Nanak, Yeye anaishi ndani mwa kila akili na mwili. Fadhila zake hazina mwisho.
ਦਿਨੁ ਰੈਣਿ ਜਿ ਪ੍ਰਭ ਕੰਉ ਸੇਵਦੇ ਤਿਨ ਕੈ ਸਦ ਬਲਿਹਾਰ ॥੨॥
din rain je parabh kaN-u sayvday tin kai sad balihaar. ||2||
I am forever a sacrifice to those who remember God, day and night.
Mimi ni dhabihu milele kwa wale wanaomkumbuka Mungu, mchana na usiku.
ਸੰਤ ਅਰਾਧਨਿ ਸਦ ਸਦਾ ਸਭਨਾ ਕਾ ਬਖਸਿੰਦੁ ॥
sant araaDhan sad sadaa sabhnaa kaa bakhsind.
The Saints always remember Him with loving devotion; He is gracious to all.
Watakatifu daima wanamkumbuka kwa kujitolea kwa upendo; Yeye ni mwenye neema kwa wote.
ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਜਿਨਿ ਸਾਜਿਆ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਦਿਤੀਨੁ ਜਿੰਦੁ ॥
jee-o pind jin saaji-aa kar kirpaa diteen jind.
He fashioned the soul and the body, and by His Kindness, He bestowed the soul.
Alitengeneza roho na mwili na kwa Ukarimu wake, alitawaza roho.
ਗੁਰ ਸਬਦੀ ਆਰਾਧੀਐ ਜਪੀਐ ਨਿਰਮਲ ਮੰਤੁ ॥
gur sabdee aaraaDhee-ai japee-ai nirmal mant.
Through the Guru’s word, we should meditate on God with loving devotion, and recite the immaculate Naam.
Kupitia neno la Guru, tunafaa kutafakari kuhusu Mungu kwa kujitolea kwa upendo, na kukariri Naam safi.
ਕੀਮਤਿ ਕਹਣੁ ਨ ਜਾਈਐ ਪਰਮੇਸੁਰੁ ਬੇਅੰਤੁ ॥
keemat kahan na jaa-ee-ai parmaysur bay-ant.
He is infinite, His worth cannot be estimated and there is no limit to His virtues.
Yeye hana mwisho, thamani yake haiwezi kukadiriwa na hakuna kikomo cha fadhila zake.
ਜਿਸੁ ਮਨਿ ਵਸੈ ਨਰਾਇਣੋ ਸੋ ਕਹੀਐ ਭਗਵੰਤੁ ॥
jis man vasai naaraa-ino so kahee-ai bhagvant.
That one, within whose mind God dwells, is said to be most fortunate.
Yule ambaye, ndani mwa akili yake Mungu anaishi, anasemekana kuwa mwenye bahati kabisa.
ਜੀਅ ਕੀ ਲੋਚਾ ਪੂਰੀਐ ਮਿਲੈ ਸੁਆਮੀ ਕੰਤੁ ॥
jee-a kee lochaa pooree-ai milai su-aamee kant.
The soul’s desires are fulfilled, upon realizing our Master-God.
Hamu za roho zinatimizwa, wakati tu tunagundua Bwana-Mungu wetu.
ਨਾਨਕੁ ਜੀਵੈ ਜਪਿ ਹਰੀ ਦੋਖ ਸਭੇ ਹੀ ਹੰਤੁ ॥
naanak jeevai jap haree dokh sabhay hee hant.
Nanak lives by meditating on God; by which all his sorrows have been erased.
Nanak anaishi kwa kutafakari kuhusu Mungu; na kwa hiyo huzuni zake zote zimefutwa.
ਦਿਨੁ ਰੈਣਿ ਜਿਸੁ ਨ ਵਿਸਰੈ ਸੋ ਹਰਿਆ ਹੋਵੈ ਜੰਤੁ ॥੩॥
din rain jis na visrai so hari-aa hovai jant. ||3||
One, who does not forget Him day and night, he is continually rejuvenated.
Yule, ambaye hamsahau Yeye mchana na usiku, anapata msisimko wa mara kwa mara.
ਸਰਬ ਕਲਾ ਪ੍ਰਭ ਪੂਰਣੋ ਮੰਞੁ ਨਿਮਾਣੀ ਥਾਉ ॥
sarab kalaa parabh poorno manj nimaanee thaa-o.
O’ God, You are full of all the powers. You are the only support of the supportless like me.
Ee Mungu, Wewe umejawa na nguvu zote. Wewe ndiwe msaada pekee wa wasio na msaada kama mimi.
ਹਰਿ ਓਟ ਗਹੀ ਮਨ ਅੰਦਰੇ ਜਪਿ ਜਪਿ ਜੀਵਾਂ ਨਾਉ ॥
har ot gahee man andray jap jap jeevaaN naa-o.
I have enshrined Your support within my mind, and I survive only by meditating again and again on Your Name.
Nimethamini msaada wako akilini mwangu, nami naishi tu kwa kutafakari tena na tena kuhusu Jina lako.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭ ਆਪਣੀ ਜਨ ਧੂੜੀ ਸੰਗਿ ਸਮਾਉ ॥
kar kirpaa parabh aapnee jan Dhoorhee sang samaa-o.
O’ God, please bestow mercy upon me, that I may remain humbly absorbed in the service of Your devotees.
Ee Mungu, tafadhali tawaza huruma kwangu, ya kwamba niweze kubaki nimevama kwa unyenyekevu katika huduma ya watawa wako.
ਜਿਉ ਤੂੰ ਰਾਖਹਿ ਤਿਉ ਰਹਾ ਤੇਰਾ ਦਿਤਾ ਪੈਨਾ ਖਾਉ ॥
ji-o tooN raakhahi ti-o rahaa tayraa ditaa painaa khaa-o.
I may happily live in whatever condition You keep me, and gratefully consumewhatever You give me.
Niweze kuishi kwa furaha katika hali yoyote unayoniweka, na kwa shukrani nile chochote unachonipa.
ਉਦਮੁ ਸੋਈ ਕਰਾਇ ਪ੍ਰਭ ਮਿਲਿ ਸਾਧੂ ਗੁਣ ਗਾਉ ॥
udam so-ee karaa-ay parabh mil saaDhoo gun gaa-o.
O’ God, please make me do only that effort by virtue of which I may sing Your Glorious Praises in the company of the Holy Saints.
Ee Mungu, tafadhali nifanye nitende jitihada ambayo itaniwezesha kuimba Sifa Zako Tukufu katika uandamano wa Watakatifu.
ਦੂਜੀ ਜਾਇ ਨ ਸੁਝਈ ਕਿਥੈ ਕੂਕਣ ਜਾਉ ॥
doojee jaa-ay na sujh-ee kithai kookan jaa-o.
I can conceive of no other place; where could I go to relate my cries of distress.?
Siwezi kufikiria mahali popote pengine; ambapo ninaweza kuenda kuwasilisha vilio vyangu vya dhiki.
ਗਿਆਨ ਬਿਨਾਸਨ ਤਮ ਹਰਣ ਊਚੇ ਅਗਮ ਅਮਾਉ ॥
agi-aan binaasan tam haran oochay agam amaa-o.
O’ Great, Unfathomable and Unapproachable God, You are the Dispeller of ignorance of darkness.
Ee Mungu Mkuu, usiyefahamika na usiyeweza kufikiwa, Wewe ndiwe Mwondoa ujinga wa giza.
ਮਨੁ ਵਿਛੁੜਿਆ ਹਰਿ ਮੇਲੀਐ ਨਾਨਕ ਏਹੁ ਸੁਆਉ ॥
man vichhurhi-aa har maylee-ai naanak ayhu su-aa-o.
Please unite this separated one with Yourself; this is Nanak’s yearning.
Tafadhali unganisha huyu aliyejitenga na Wewe mwenyewe; hii ni hamu ya Nanak.
ਸਰਬ ਕਲਿਆਣਾ ਤਿਤੁ ਦਿਨਿ ਹਰਿ ਪਰਸੀ ਗੁਰ ਕੇ ਪਾਉ ॥੪॥੧॥
sarab kali-aanaa tit din har parsee gur kay paa-o. ||4||1||
O’ God, the day I humbly surrender to the Guru, I would obtain all kind of Joys (it will be the day of my total deliverance).
Ee Mungu, siku ambayo nitajisalimisha kwa unyenyekevu kwa Guru, nitapata aina yote ya Furaha (iwakuwa siku ya ukombozi wangu kamilifu).
ਵਾਰ ਮਾਝ ਕੀ ਤਥਾ ਸਲੋਕ ਮਹਲਾ ੧ਮਲਕ ਮੁਰੀਦ ਤਥਾ ਚੰਦ੍ਰਹੜਾ ਸੋਹੀਆ ਕੀ ਧੁਨੀ ਗਾਵਣੀ ॥
vaar maajh kee tathaa salok mehlaa 1 malak mureed tathaa chandarharhaa sohee-aa kee Dhunee gaavnee
Maajh Kee Vaar, and Shloks of the First Guru:To be sung to the tune of “Malik Mureed And Chandrahara Sohee-aa”.
Unafaa kuimbwa kwa tuni ya “Malik Mureed And Chandrahara Sohee-aa”.
ੴ ਸਤਿ ਨਾਮੁ ਕਰਤਾ ਪੁਰਖੁ ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar sat naam kartaa purakh gur parsaad.
One God. Eternal. Creator, all pervading. Realized by the Guru’s Grace:
Mungu Mmoja. Wa milele. Muumba, anayeenea kote. Anayegunduliwa kwa Neema ya Guru.
ਸਲੋਕੁ ਮਃ ੧ ॥
salok mehlaa 1.
Shalok, by the First Guru:
Shalok, na Guru wa Kwanza:
ਗੁਰੁ ਦਾਤਾ ਗੁਰੁ ਹਿਵੈ ਘਰੁ ਗੁਰੁ ਦੀਪਕੁ ਤਿਹ ਲੋਇ ॥
gur daataa gur hivai ghar gur deepak tih lo-ay.
The Guru is the Giver of Naam; the Guru is the sublime source of peace. The Guru provides light (the divine knowledge) to all the three worlds.
Guru ndiye Mpaji wa Naam; Guru ndiye chanzo tukufu cha amani. Guru anatoa mwanga (maarifa takatifu) kwa dunia zote tatu.
ਅਮਰ ਪਦਾਰਥੁ ਨਾਨਕਾ ਮਨਿ ਮਾਨਿਐ ਸੁਖੁ ਹੋਇ ॥੧॥
amar padaarath naankaa man maanee-ai sukh ho-ay.||1||
O’ Nanak, everlasting wealth of Naam is obtained from the Guru. When we become believers , we obtain peace.
Ee Nanak, utajiri unaodumu milele wa Naam unapatikana kutoka kwa Guru. Wakati tunakuwa waumini, tunapata amani.
ਮਃ ੧ ॥
mehlaa 1.
Shalok, by the First Guru:
Shalok, na Guru wa Kwanza:
ਪਹਿਲੈ ਪਿਆਰਿ ਲਗਾ ਥਣ ਦੁਧਿ ॥
pahilai pi-aar lagaa than duDh.
First, the baby loves mother’s milk;
Kwanza, mtoto anapenda maziwa ya mama;
ਦੂਜੈ ਮਾਇ ਬਾਪ ਕੀ ਸੁਧਿ ॥
doojai maa-ay baap kee suDh.
second, he learns of his mother and father;
cha pili, anafahamu kuhusu mama na baba yake;
ਤੀਜੈ ਭਯਾ ਭਾਭੀ ਬੇਬ ॥
teejai bha-yaa bhaabhee bayb.
third, his brothers, sisters-in-law and sisters;
cha tatu, kaka, mwamu na dada wake;
ਚਉਥੈ ਪਿਆਰਿ ਉਪੰਨੀ ਖੇਡ ॥
cha-uthai pi-aar upannee khayd.
fourth, the love of play awakens.
Cha nne, upendo wa kucheza unazinduka.
ਪੰਜਵੈ ਖਾਣ ਪੀਅਣ ਕੀ ਧਾਤੁ ॥
punjvai khaan pee-an kee Dhaat.
Fifth, he runs after food and drink;
Cha tano, anafuatilia chakula na kinywaji;
ਛਿਵੈ ਕਾਮੁ ਨ ਪੁਛੈ ਜਾਤਿ ॥
chhivai kaam na puchhai jaat.
sixth, in his sexual desire, he does not respect social customs.
Cha sita, katika hamu yake ya ngono, anakosa kuheshimu desturi za kijamii.
ਸਤਵੈ ਸੰਜਿ ਕੀਆ ਘਰ ਵਾਸੁ ॥
satvai sanj kee-aa ghar vaas.
Seventh, he gathers wealth and dwells in his house,
Cha saba, anakusanya utajiri na kuishi katika nyumba yake,
ਅਠਵੈ ਕ੍ਰੋਧੁ ਹੋਆ ਤਨ ਨਾਸੁ ॥
athvai kroDh ho-aa tan naas.
eighth, he becomes angry, and his body is consumed in anger.
Cha nane, anapata hasira, na mwili wake unachakazwa na hasira.
ਨਾਵੈ ਧਉਲੇ ਉਭੇ ਸਾਹ ॥
naavai Dha-ulay ubhay saah.
Ninth, he turns grey (becomes old), and his breathing becomes labored;
Cha tisa, anageuka kuwa rangi ya kijivu (anazeeka), na kupumua kwake kunataabika;
ਦਸਵੈ ਦਧਾ ਹੋਆ ਸੁਆਹ ॥
dasvai daDhaa ho-aa su-aah.
tenth, he dies, cremated, and turns to ashes.
Cha kumi, anakufa, maiti yake inaunguzwa, na anakuwa majivu.
ਗਏ ਸਿਗੀਤ ਪੁਕਾਰੀ ਧਾਹ ॥
ga-ay sigeet pukaaree Dhaah
His companions send him off, crying out and lamenting.
Wendani wake wanamuaga, wakilia na kuomboleza.
ਉਡਿਆ ਹੰਸੁ ਦਸਾਏ ਰਾਹ ॥
udi-aa hans dasaa-ay raah.
The soul flies away on an unknown path.
Roho inapeperuka kwenda kwa njia isiyofahamika.