ਚਰਨ ਠਾਕੁਰ ਕੈ ਮਾਰਗਿ ਧਾਵਉ ॥੧॥
charan thaakur kai maarag Dhaavao. ||1||
and with my feet, I walk on the Path to join the holy congregation.
Na kwa miguu yangu, natembea kwenye Njia ya kuungana na ushirika takatifu.
ਭਲੋ ਸਮੋ ਸਿਮਰਨ ਕੀ ਬਰੀਆ ॥
bhalo samo simran kee bareeaa.
Human birth is the only good opportunity to remember God,
Kuzaliwa kwa ubinadamu ni fursa nzuri ya kumkumbuka Mungu,
ਸਿਮਰਤ ਨਾਮੁ ਭੈ ਪਾਰਿ ਉਤਰੀਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
simrat naam bhai paar utreeaa. ||1|| rahaao.
By meditating on God’s Name, we cross over the terrifying worldocean of vices.
Kwa kutafakari kuhusu Jina la Mungu, tunavuka baharidunia ya dhambi inayoogofya.
ਨੇਤ੍ਰ ਸੰਤਨ ਕਾ ਦਰਸਨੁ ਪੇਖੁ ॥
naytar santan kaa darsan paykh.
With your eyes, behold the Blessed Vision of the Saints,
Kwa macho yako, tazama Mwono Uliobarikiwa wa Watakatifu,
ਪ੍ਰਭ ਅਵਿਨਾਸੀ ਮਨ ਮਹਿ ਲੇਖੁ ॥੨॥
parabh avinaasee man meh laykh. ||2||
and inscribe the Name of immortal God in your mind.
Na uandike Jina la Mungu asiyeweza kufa akilini mwako.
ਸੁਣਿ ਕੀਰਤਨੁ ਸਾਧ ਪਹਿ ਜਾਇ ॥
sun keertan saaDh peh jaaay.
(O’ my friend) listen to the praises of God in the holy congregation,
(Ee rafiki wangu) sikiliza sifa za Mungu katika ushirika takatifu,
ਜਨਮ ਮਰਣ ਕੀ ਤ੍ਰਾਸ ਮਿਟਾਇ ॥੩॥
janam maran kee taraas mitaaay. ||3||
and thus eradicate the fear of going into cycles of birth and death.
Na hivyo uondoe uoga wa kuingia katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਚਰਣ ਕਮਲ ਠਾਕੁਰ ਉਰਿ ਧਾਰਿ ॥
charan kamal thaakur ur Dhaar.
Enshrine God’s immaculate Name in your heart
Thamini Jina safi la Mungu moyoni mwako.
ਦੁਲਭ ਦੇਹ ਨਾਨਕ ਨਿਸਤਾਰਿ ॥੪॥੫੧॥੧੨੦॥
dulabh dayh naanak nistaar. ||4||51||120||
O’ Nanak, this human body is extremely difficult to obtain.Ferry it across the worldlyocean of vices by meditating on God’s Name.
Ee Nanak, mwili huu ni ngumu sana kupata. Uvukishe bahari ya kidunia ya dhambi kwa kutafakari kuhusu Jina la Mungu.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
gaorhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:
ਜਾ ਕਉ ਅਪਨੀ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰੈ ॥
jaa kao apnee kirpaa Dhaarai.
Those, upon whom God Himself showers His Mercy,
Wale, ambao Mungu mwenyewe anawanyunyuzia Huruma yake,
ਸੋ ਜਨੁ ਰਸਨਾ ਨਾਮੁ ਉਚਾਰੈ ॥੧॥
so jan rasnaa naam uchaaray. ||1||
that person recites God’s Name with love and devotion.
Mtu huyo anakariri Jina la Mungu kwa upendo na kujitolea.
ਹਰਿ ਬਿਸਰਤ ਸਹਸਾ ਦੁਖੁ ਬਿਆਪੈ ॥
har bisrat sahsaa dukh biaapai.
Forgetting God, dread and sorrow shall overtake you.
Kwa kumsahau Mungu, hofu na huzuni itakuathiri.
ਸਿਮਰਤ ਨਾਮੁ ਭਰਮੁ ਭਉ ਭਾਗੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
simrat naam bharam bhao bhaagai. ||1|| rahaao.
But meditating on God’s Name, doubt and fear shall depart.
Kwa kutafakari kuhusu Jina la Mungu, shaka na uoga utaondoka.
ਹਰਿ ਕੀਰਤਨੁ ਸੁਣੈ ਹਰਿ ਕੀਰਤਨੁ ਗਾਵੈ ॥
har keertan sunai har keertan gaavai.
That person who hears and sings the praises of God,
Mtu huyo anayesikia na kuimba sifa za Mungu,
ਤਿਸੁ ਜਨ ਦੂਖੁ ਨਿਕਟਿ ਨਹੀ ਆਵੈ ॥੨॥
tis jan dookh nikat nahee aavai. ||2||
no pain or sorrow comes near that person.
Hakuna uchungu wala huzuni inayokaribia mtu huyo.
ਹਰਿ ਕੀ ਟਹਲ ਕਰਤ ਜਨੁ ਸੋਹੈ ॥
har kee tahal karat jan sohai.
By serving God’s creation and meditating on Him with loving devotion, the person’s life becomes beautiful.
Kwa kutumikia uumbaji wa Mungu na kutafakari kwake kwa kujitolea kwa upendo, maisha ya mtu yanakuwa mazuri.
ਤਾ ਕਉ ਮਾਇਆ ਅਗਨਿ ਨ ਪੋਹੈ ॥੩॥
taa kao maaiaa agan na pohai. ||3||
Because the fire of Maya (worldly desires) does not touch him.
Kwa sababu moto wa Maya (hamu za kidunia) haumgusi.
ਮਨਿ ਤਨਿ ਮੁਖਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਦਇਆਲ ॥ ਨਾਨਕ ਤਜੀਅਲੇ ਅਵਰਿ ਜੰਜਾਲ ॥੪॥੫੨॥੧੨੧॥
man tan mukh har naam daiaal. nanak tajeealay avar janjaal. ||4||52||121||
O’ Nanak, the Name of Merciful God dwells within the mind and body of that person, who has renounced all worldly entanglements.
Ee Nanak, Jina la Mungu mwenye huruma linaishi ndani mwa akili na mwili wa mtu huyo, ambaye amekana misongamano yote ya kidunia.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
gaorhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:
ਛਾਡਿ ਸਿਆਨਪ ਬਹੁ ਚਤੁਰਾਈ ॥
chhaad siaanap baho chaturaaee.
Renounce your cleverness, and your cunning tricks.
Kana uwerevu wako, na hila zako zenye ujanja.
ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਕੀ ਟੇਕ ਟਿਕਾਈ ॥੧॥
gur pooray kee tayk tikaaee. ||1||
Seek the Support of the Perfect Guru.
Tafuta Tegemezo ya Guru Kamili.
ਦੁਖ ਬਿਨਸੇ ਸੁਖ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਇ ॥
dukh binsay sukh har gun gaaay.
Your pain shall depart, you shall sing the glorious praises of God in peace.
Uchungu wako utaondoka, utaimba sifa tukufu za Mungu kwa amani.
ਗੁਰੁ ਪੂਰਾ ਭੇਟਿਆ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gur pooraa bhaytiaa liv laaay. ||1|| rahaao.
Meeting the Perfect Guru, let yourself be absorbed in God’s Love.
Kwa kukutana na Guru kamili, acha uvame katika Upendo wa Mungu.
ਹਰਿ ਕਾ ਨਾਮੁ ਦੀਓ ਗੁਰਿ ਮੰਤ੍ਰੁ ॥
har kaa naam deeo gur mantar.
The Guru has given me the Mantra of God’s Name (divine word).
Guru amenipa Mantra ya Jina la Mungu (neno takatifu).
ਮਿਟੇ ਵਿਸੂਰੇ ਉਤਰੀ ਚਿੰਤ ॥੨॥
mitay visooray utree chint. ||2||
all my worries are forgotten, and my anxiety is gone.
Wasiwasi wangu wote umesahaulika, na hangaiko yangu imeniacha.
ਅਨਦ ਭਏ ਗੁਰ ਮਿਲਤ ਕ੍ਰਿਪਾਲ ॥
anad bhaay gur milat kirpaal.
Meeting with the Merciful Guru, I am in ecstasy.
Kwa kukutana na Guru mwenye Huruma, nimo katika raha kuu.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਕਾਟੇ ਜਮ ਜਾਲ ॥੩॥
kar kirpaa kaatay jam jaal. ||3||
Showering His Mercy, He has cut away the noose of Death.
Akinyunyuza Huruma yake, Yeye anakata kitanzi cha Kifo.
ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਗੁਰੁ ਪੂਰਾ ਪਾਇਆ ॥
kaho naanak gur pooraa paaiaa.
Nanak says the one who has obtained the guidance of the perfect Guru,
Nanak anasema yule ambaye amepata mwongozo wa Guru kamili,
ਤਾ ਤੇ ਬਹੁਰਿ ਨ ਬਿਆਪੈ ਮਾਇਆ ॥੪॥੫੩॥੧੨੨॥
taa tay bahur na biaapai maaiaa. ||4||53||122||
Maya (the worldly attachment) doesn’t afflict that person again.
Maya (viambatisho vya kidunia) haiathiri mtu huyo tena.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
gaorhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:
ਰਾਖਿ ਲੀਆ ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਆਪਿ ॥
raakh leeaa gur poorai aap.
The Perfect Guru Himself has saved me.
Guru Kamili mwenyewe amenikomboa.
ਮਨਮੁਖ ਕਉ ਲਾਗੋ ਸੰਤਾਪੁ ॥੧॥
manmukh kao laago santaap. ||1||
The selfwilled manmukh is afflicted with calamity.
Manmukh mwenye hiari binafsi anaathiriwa na msiba.
ਗੁਰੂ ਗੁਰੂ ਜਪਿ ਮੀਤ ਹਮਾਰੇ ॥
guroo guroo jap meet hamaaray.
O’ my friends, always remember Guru’s word.
Ee marafiki wangu, kumbukeni neno la Guru daima.
ਮੁਖ ਊਜਲ ਹੋਵਹਿ ਦਰਬਾਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mukh oojal hoveh darbaaray. ||1|| rahaao.
By doing so you would obtain honor in God’s court.
Kwa kufanya hivyo mtapata heshima katika mahakama ya Mungu.
ਗੁਰ ਕੇ ਚਰਣ ਹਿਰਦੈ ਵਸਾਇ ॥
gur kay charan hirdai vasaaay.
By enshrining the Guru’s teachings in the mind,
Kwa kuthamini mafundisho ya Guru akilini,
ਦੁਖ ਦੁਸਮਨ ਤੇਰੀ ਹਤੈ ਬਲਾਇ ॥੨॥
dukh dusman tayree hatai balaaay. ||2||
all your sorrows, enemies and calamities will be destroyed.
Huzuni, maadui na misiba yako yote itaangamizwa.
ਗੁਰ ਕਾ ਸਬਦੁ ਤੇਰੈ ਸੰਗਿ ਸਹਾਈ ॥
gur kaa sabad tayrai sang sahaaee.
The word of the Guru’s Shabad is your companion and helper.As long the Guru’s word is your companion and support
Neno la Shabad ya Guru ni mwendani na msaidizi wako. Ili mradi neno la Guru ni mwendani na tegemezo yako
ਦਇਆਲ ਭਏ ਸਗਲੇ ਜੀਅ ਭਾਈ ॥੩॥
daiaal bhaay saglay jeea bhaaee. ||3||
all beings shall be kind to you.
Viumbe vyote watakuwa wakarimu kwako.
ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਜਬ ਕਿਰਪਾ ਕਰੀ ॥
gur poorai jab kirpaa karee.
When the Perfect Guru granted His Grace,
Wakati Guru Kamili aliruzuku Neema yake,
ਭਨਤਿ ਨਾਨਕ ਮੇਰੀ ਪੂਰੀ ਪਰੀ ॥੪॥੫੪॥੧੨੩॥
bhanat naanak mayree pooree paree. ||4||54||123||
Nanak says, then all my efforts became fruitful.
Nanak anasema, basi jitihada zangu zote zilifanikiwa.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
gaorhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:
ਅਨਿਕ ਰਸਾ ਖਾਏ ਜੈਸੇ ਢੋਰ ॥
anik rasaa khaaay jaisay dhor.
Forgetting God, the person who remains involved in enjoying delicious feast is eating like a beast.
Kwa kumsahau Mungu, mtu anayebaki amejishughulisha katika kufurahia karamu tamu anakula kama hayawani.
ਮੋਹ ਕੀ ਜੇਵਰੀ ਬਾਧਿਓ ਚੋਰ ॥੧॥
moh kee jayvree baaDhio chor. ||1||
His life is like that of a thief, who is bound with the chain of worldly attachments.
Maisha yake ni kama yale ya mwizi, ambaye amefungwa kwa nyororo ya viambatisho vya kidunia.
ਮਿਰਤਕ ਦੇਹ ਸਾਧਸੰਗ ਬਿਹੂਨਾ ॥
mirtak dayh saaDhsang bihoonaa.
The one who remains without the company of saints, is spiritually dead and his body is like a corpse.
Yule anayebaki bila uandamano wa watakatifu, amekufa kiroho na mwili wake ni kama maiti.
ਆਵਤ ਜਾਤ ਜੋਨੀ ਦੁਖ ਖੀਨਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
aavat jaat jonee dukh kheenaa. ||1|| rahaao.
That person’s soul is continuously weakened, because of the pain and suffering from the repeatedbirth and death,
Roho ya mtu huyo inadhoofika kila wakati, kwa sababu ya uchungu na kuteseka kutoka kuzaliwa na kufa tena na tena,
ਅਨਿਕ ਬਸਤ੍ਰ ਸੁੰਦਰ ਪਹਿਰਾਇਆ ॥
anik bastar sundar pehraaiaa.
He wears all sorts of beautiful robes,
Anavaa aina yote ya majoho mazuri,
ਜਿਉ ਡਰਨਾ ਖੇਤ ਮਾਹਿ ਡਰਾਇਆ ॥੨॥
jio darnaa khayt maahi daraaiaa. ||2||
but he still looks like scarecrow in the field, frightening away the birds.
Lakini badi anakaa kama sanamu ya kufukuza ndege uwanjani, akishtua ndege wasije shambani.
ਸਗਲ ਸਰੀਰ ਆਵਤ ਸਭ ਕਾਮ ॥
sagal sareer aavat sabh kaam.
The bodies of all the animals can be put to some use,
Miili ya wanyama wote inaweza kutumika kwa njia fulani,
ਨਿਹਫਲ ਮਾਨੁਖੁ ਜਪੈ ਨਹੀ ਨਾਮ ॥੩॥
nihfal maanukh japai nahee naam. ||3||
but of no use is the coming of a person in the world, who does not meditate on God’s Name.
lakini hakuna manufaa kwa mtu kuja duniani, ambaye hatafakari kuhusu Jina la Mungu.
ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਜਾ ਕਉ ਭਏ ਦਇਆਲਾ ॥
kaho nanak jaa kao bhaay daiaalaa.
Nanak says, on whom God becomes Merciful,
Nanak anasema, kwa yule ambaye Mungu anakuwa mwenye Huruma kwake,
ਸਾਧਸੰਗਿ ਮਿਲਿ ਭਜਹਿ ਗੋੁਪਾਲਾ ॥੪॥੫੫॥੧੨੪॥
saaDh sang mil bhaje gopala. ||4||55||124||
that person in the holy congregation, remembers God with love and devotion.
Mtu huyo katika ushirika takatifu, anamkumbuka Mungu kwa upendo na kujitolea.
ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
gaorhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano: