ਸੰਤਾ ਸੰਗਤਿ ਮਨਿ ਵਸੈ ਪ੍ਰਭੁ ਪ੍ਰੀਤਮੁ ਬਖਸਿੰਦੁ ॥
santaa sangat man vasai parabh pareetam bakhsind.
In the Society of the Saints, the all merciful beloved God comes to dwell within the mind.
Katika jamii ya watakatifu, Mungu mwenye huruma yote anakuja kuishi akilini.
ਜਿਨਿ ਸੇਵਿਆ ਪ੍ਰਭੁ ਆਪਣਾ ਸੋਈ ਰਾਜ ਨਰਿੰਦੁ ॥੨॥
jin sayvi-aa parabh aapnaa so-ee raaj narind. ||2||
The person who has meditated God with love and devotion, (has obtained such pleasure, as if) that person has become the king of kings.
Mtu ambaye ametafakari Mungu kwa upendo na kujitolea, (amepata raha kama hio, kana kwamba) mtu huyo amekuwa mfalme wa wafalme.
ਅਉਸਰਿ ਹਰਿ ਜਸੁ ਗੁਣ ਰਮਣ ਜਿਤੁ ਕੋਟਿ ਮਜਨ ਇਸਨਾਨੁ ॥
a-osar har jas gun raman jit kot majan isnaan.
When we sing the praises of God, it feels like bathing at millions of holy places.
Wakati tunaimba sifa za Mungu, tunahisi ni kama tunaoga katika mamilioni ya pahala patakatifu.
ਰਸਨਾ ਉਚਰੈ ਗੁਣਵਤੀ ਕੋਇ ਨ ਪੁਜੈ ਦਾਨੁ ॥
rasnaa uchrai gunvatee ko-ay na pujai daan.
No charity equals the merits of singing God’s praises.
Hakuna hisani ni sawa na sifa za kuimba sifa za Mungu.
ਦ੍ਰਿਸਟਿ ਧਾਰਿ ਮਨਿ ਤਨਿ ਵਸੈ ਦਇਆਲ ਪੁਰਖੁ ਮਿਹਰਵਾਨੁ ॥
darisat Dhaar man tan vasai da-i-aal purakh miharvaan.
Blessing us with His Glance of Grace, the Kind and Compassionate All-mighty God comes to dwell within the mind and body.
Akitubariki kwa mtazamo wake wa neema, Mungu mkarimu, mwenye huruma na mwenye nguvu zote anakuja kuishi ndani mwa akili na mwili.
ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਧਨੁ ਤਿਸ ਦਾ ਹਉ ਸਦਾ ਸਦਾ ਕੁਰਬਾਨੁ ॥੩॥
jee-o pind Dhan tis daa ha-o sadaa sadaa kurbaan. ||3||
This soul, body and wealth are His. Forever and ever, I dedicate myself to Him.
Roho, mwili na utajiri ni wa Mungu. Daima na milele, najiweka wakfu kwake.
ਮਿਲਿਆ ਕਦੇ ਨ ਵਿਛੁੜੈ ਜੋ ਮੇਲਿਆ ਕਰਤਾਰਿ ॥
mili-aa kaday na vichhurhai jo mayli-aa kartaar.
One whom the Creator unites with Himself shall never again be separated.
Yule ambaye Muumba anaunganisha naye kamwe hatenganishwi naye tena.
ਦਾਸਾ ਕੇ ਬੰਧਨ ਕਟਿਆ ਸਾਚੈ ਸਿਰਜਣਹਾਰਿ ॥
daasaa kay banDhan kati-aa saachai sirjanhaar.
The True Creator has snapped the bonds of worldly entanglements of his devotees.
Muumba wa kweli amevunja vifungo vya misongamano ya kidunia ya wafuasi wake.
ਭੂਲਾ ਮਾਰਗਿ ਪਾਇਓਨੁ ਗੁਣ ਅਵਗੁਣ ਨ ਬੀਚਾਰਿ ॥
bhoolaa maarag paa-i-on gun avgun na beechaar.
The person who had gone astray, has been put on the right spiritual path by God, without considering his merits and demerits.
Mtu ambaye amepoteza njia, amewekwa kwenye njia sahihi ya kiroho na Mungu, bila kufikiria sifa au udhaifu wake.
ਨਾਨਕ ਤਿਸੁ ਸਰਣਾਗਤੀ ਜਿ ਸਗਲ ਘਟਾ ਆਧਾਰੁ ॥੪॥੧੮॥੮੮॥
naanak tis sarnaagatee je sagal ghataa aaDhaar. ||4||18||88||
O’ Nanak, seek the Sanctuary of the One who is the Support of every heart.
Ee Nanak, tafuta pahala patakatifu pa Yule Mmoja ambaye ni msaada wa mioyo yote.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
sireeraag mehlaa 5.
Siree Raag, by the Fifth Guru:
Siree Raag, na Guru wa tano:
ਰਸਨਾ ਸਚਾ ਸਿਮਰੀਐ ਮਨੁ ਤਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹੋਇ ॥
rasnaa sachaa simree-ai man tan nirmal ho-ay.
By lovingly meditating on God’s Name, our mind and body become immaculate.
Kwa kutafakari kwa upendo kuhusu jina la Mungu, akili na mwili wetu unakuwa safi.
ਮਾਤ ਪਿਤਾ ਸਾਕ ਅਗਲੇ ਤਿਸੁ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥
maat pitaa saak aglay tis bin avar na ko-ay.
We may have our mother, father, and numerous other relations, but none other than God will stand by us.
Tunaweza kuwa na mama, baba na usuhiano mengine mengi wako, lakini hakuna mwengine ila Mungu atasimama nasi.
ਮਿਹਰ ਕਰੇ ਜੇ ਆਪਣੀ ਚਸਾ ਨ ਵਿਸਰੈ ਸੋਇ ॥੧॥
mihar karay jay aapnee chasaa na visrai so-ay. ||1||
If God Himself bestows His Mercy, one does not forget Him even for an instant.
Iwapo Mungu mwenyewe atatawaza huruma yake, mtu hamsahau hata kwa muda mfupi.
ਮਨ ਮੇਰੇ ਸਾਚਾ ਸੇਵਿ ਜਿਚਰੁ ਸਾਸੁ ॥
man mayray saachaa sayv jichar saas.
O’ my mind, meditate on the True One, as long as you have the breath of life.
Ee akili yangu, tafakari kuhusu yule Mmoja wa kweli, ili mradi una pumzi ya uhai.
ਬਿਨੁ ਸਚੇ ਸਭ ਕੂੜੁ ਹੈ ਅੰਤੇ ਹੋਇ ਬਿਨਾਸੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
bin sachay sabh koorh hai antay ho-ay binaas. ||1|| rahaa-o.
Without the True One, everything is false; in the end, all shall perish.
Bila yule Mmoja wa kweli, kila kitu ni uwongo; mwishoni, yote yataangamia.
ਸਾਹਿਬੁ ਮੇਰਾ ਨਿਰਮਲਾ ਤਿਸੁ ਬਿਨੁ ਰਹਣੁ ਨ ਜਾਇ ॥
saahib mayraa nirmalaa tis bin rahan na jaa-ay.
My Master is Immaculate; without Him, I cannot even survive.
Bwana wangu ni safi; bila Yeye, siwezi hata kuishi.
ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਤਨਿ ਭੁਖ ਅਤਿ ਅਗਲੀ ਕੋਈ ਆਣਿ ਮਿਲਾਵੈ ਮਾਇ ॥
mayrai man tan bhukh at aglee ko-ee aan milaavai maa-ay.
O’ my mother, within my mind and body, there is an intense desire that someone may come and unite me with Him.
Ee mama yangu, ndani mwa akili na mwili wangu, kuna hamu kali ya kwamba mtu aje na kuniunganisha na Mungu.
ਚਾਰੇ ਕੁੰਡਾ ਭਾਲੀਆ ਸਹ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਜਾਇ ॥੨॥
chaaray kundaa bhaalee-aa sah bin avar na jaa-ay. ||2||
I have searched everywhere, I see no support other than God.
Nimetafuta kila mahali, sina nguzo yoyote ila Mungu.
ਤਿਸੁ ਆਗੈ ਅਰਦਾਸਿ ਕਰਿ ਜੋ ਮੇਲੇ ਕਰਤਾਰੁ ॥
tis aagai ardaas kar jo maylay kartaar.
Offer your prayers to the true Guru, who can unite you with the Creator.
Salimisha maombi yako kwa Guru wa kweli, ambaye anaweza kukuunganisha na Muumba.
ਸਤਿਗੁਰੁ ਦਾਤਾ ਨਾਮ ਕਾ ਪੂਰਾ ਜਿਸੁ ਭੰਡਾਰੁ ॥
satgur daataa naam kaa pooraa jis bhandaar.
The True Guru is the Giver of Naam; whose Treasure is full and never ending.
Guru wa kweli ni mtoaji wa Naam, ambaye hazina yake imejaa na haiishi.
ਸਦਾ ਸਦਾ ਸਾਲਾਹੀਐ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਰਾਵਾਰੁ ॥੩॥
sadaa sadaa salaahee-ai ant na paaraavaar. ||3||
Forever and ever, praise the One, who has no end or limitation.
Daima na milele, sifu yule Mmoja, ambaye hana mwisho wala kikomo.
ਪਰਵਦਗਾਰੁ ਸਾਲਾਹੀਐ ਜਿਸ ਦੇ ਚਲਤ ਅਨੇਕ ॥
parvardagaar salaahee-ai jis day chalat anayk.
We should sing the praise of the Cherisher; whose wonders are innumerable.
Tunafaa kuimba sifa za Mthamini; ambaye maajabu yake hayawezi kuhesabika.
ਸਦਾ ਸਦਾ ਆਰਾਧੀਐ ਏਹਾ ਮਤਿ ਵਿਸੇਖ ॥
sadaa sadaa aaraaDhee-ai ayhaa mat visaykh.
Forever and ever, we should meditate on God’s Name, this is the superb wisdom.
Daima na milele, tunafaa kutafakari kuhusu jina la Mungu, hii ni busara kuu.
ਮਨਿ ਤਨਿ ਮਿਠਾ ਤਿਸੁ ਲਗੈ ਜਿਸੁ ਮਸਤਕਿ ਨਾਨਕ ਲੇਖ ॥੪॥੧੯॥੮੯॥
man tan mithaa tis lagai jis mastak naanak laykh. ||4||19||89||
O’ Nanak, God’s Name is pleasing to the mind and body of that person in whose destiny it is so written.
Ee Nanak, jina la Mungu linafurahisha akili na mwili wa mtu huyo ambaye kwa hatima yake imeandikwa hivyo.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੫ ॥
sireeraag mehlaa 5.
Siree Raag, by the Fifth Guru:
Siree Raag, na Guru wa tano:
ਸੰਤ ਜਨਹੁ ਮਿਲਿ ਭਾਈਹੋ ਸਚਾ ਨਾਮੁ ਸਮਾਲਿ ॥
sant janhu mil bhaa-eeho sachaa naam samaal.
O’ my saintly brothers, get together and enshrine the True Naam in your heart,
Ee ndugu zangu watakatifu, kujeni pamoja na kuweka Naam ya kweli moyoni mwenu.
ਤੋਸਾ ਬੰਧਹੁ ਜੀਅ ਕਾ ਐਥੈ ਓਥੈ ਨਾਲਿ ॥
tosaa banDhhu jee-a kaa aithai othai naal.
for the journey of the soul, gather the wealth of which will be with you in this world and God’s court.
Kwa safari ya roho, kusanya utajiri ambayo utakuwa nawe katika dunia hii na katika mahakama ya Mungu.
ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਤੇ ਪਾਈਐ ਅਪਣੀ ਨਦਰਿ ਨਿਹਾਲਿ ॥
gur pooray tay paa-ee-ai apnee nadar nihaal.
It is obtained from the Perfect Guru, when God bestows His Glance of Grace.
Inapatikana kutoka kwa Guru kamili, wakati Mungu anatawaza mtazamo wake wa neema.
ਕਰਮਿ ਪਰਾਪਤਿ ਤਿਸੁ ਹੋਵੈ ਜਿਸ ਨੋ ਹੋਇ ਦਇਆਲੁ ॥੧॥
karam paraapat tis hovai jis no hou-ay da-i-aal. ||1||
Those unto whom He is Merciful, receive His Grace.
Wale ambao Mungu anaonyesha huruma, anapokea neema yake.
ਮੇਰੇ ਮਨ ਗੁਰ ਜੇਵਡੁ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥
mayray man gur jayvad avar na ko-ay.
O’ my mind, there is no other as great as the Guru.
Ee akili yangu, hakuna mwengine mkuu kama Guru.
ਦੂਜਾ ਥਾਉ ਨ ਕੋ ਸੁਝੈ ਗੁਰ ਮੇਲੇ ਸਚੁ ਸੋਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
doojaa thaa-o na ko sujhai gur maylay sach so-ay. ||1|| rahaa-o.
Except the guru, I cannot imagine anyone else who can unite me with God.
Isipokuwa Guru, siwezi kufikiria yeyote mwengine ambaye anaweza kuniunganisha na Mungu.
ਸਗਲ ਪਦਾਰਥ ਤਿਸੁ ਮਿਲੇ ਜਿਨਿ ਗੁਰੁ ਡਿਠਾ ਜਾਇ ॥
sagal padaarath tis milay jin gur dithaa jaa-ay.
Having a glimpse of the Guru (following the Guru’s teachings) is like obtaining all the worldly treasures.
Kupata kuona Guru (kufuata mafundisho ya Guru) ni kama kupata hazina zote za dunia.
ਗੁਰ ਚਰਣੀ ਜਿਨ ਮਨੁ ਲਗਾ ਸੇ ਵਡਭਾਗੀ ਮਾਇ ॥
gur charnee jin man lagaa say vadbhaagee maa-ay.
O’ my mother, those persons are very fortunate whose mind is attuned to the Guru’s teachings.
Ee mama yangu, hao watu wamebahatika sana ambao akili yao imemakinikia mafundisho ya Guru.
ਗੁਰੁ ਦਾਤਾ ਸਮਰਥੁ ਗੁਰੁ ਗੁਰੁ ਸਭ ਮਹਿ ਰਹਿਆ ਸਮਾਇ ॥
gur daataa samrath gur gur sabh meh rahi-aa samaa-ay.
The Guru, (who is the embodiment of God), is the benefactor, is all powerful and pervades in all human beings.
Guru, (ambaye ni mfano wa Mungu), ni mfadhili, ana nguvu zote na anaenea katika binadamu wote.
ਗੁਰੁ ਪਰਮੇਸਰੁ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਗੁਰੁ ਡੁਬਦਾ ਲਏ ਤਰਾਇ ॥੨॥
gur parmaysar paarbarahm gur dubdaa la-ay taraa-ay. ||2||
The Guru is the manifestation of the supreme God, and the transcendent Master, and only Guru can save those who are drowning in this world-ocean of vices.
Guru ni udhihirisho wa Mungu Mkuu, na Bwana asiye wa kawaida, na ni Guru tu anaweza kukomboa wale wanaozama katika bahari-dunia ya dhambi.
ਕਿਤੁ ਮੁਖਿ ਗੁਰੁ ਸਾਲਾਹੀਐ ਕਰਣ ਕਾਰਣ ਸਮਰਥੁ ॥
kit mukh gur salaahee-ai karan kaaran samrath.
How shall I praise the Guru, the All-powerful Cause of causes?
Nitasifu aje Guru, Sababu ya misingi yote mwenye nguvu zote?
ਸੇ ਮਥੇ ਨਿਹਚਲ ਰਹੇ ਜਿਨ ਗੁਰਿ ਧਾਰਿਆ ਹਥੁ ॥
say mathay nihchal rahay jin gur Dhaari-aa hath.
They, whom the Guru has has blessed and protected, remain calm and stable.
Wale, ambao Guru amebariki na kulinda, wanabaki watulivu na thabiti.
ਗੁਰਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਨਾਮੁ ਪੀਆਲਿਆ ਜਨਮ ਮਰਨ ਕਾ ਪਥੁ ॥
gur amrit naam pee-aali-aa janam maran kaa path.
God’s Name is the cure for the malady of birth and death. Those whom theGuru has given the Ambrosial Nectar of God’s Name, Naam,
Jina la Mungu ni tiba ya ugonjwa wa kuzaliwa na kufa. Wale ambao Guru amepea Nekta ya Ambrosia ya jina la Mungu, Naam.
ਗੁਰੁ ਪਰਮੇਸਰੁ ਸੇਵਿਆ ਭੈ ਭੰਜਨੁ ਦੁਖ ਲਥੁ ॥੩॥
gur parmaysar sayvi-aa bhai bhanjan dukh lath. ||3||
they follow the teachings of the Guru (the embodiment of God), who is the destroyer of fear and dispeller of sorrows.
Wanafuata mafundisho ya Guru (mfano wa Mungu), ambaye ni Mwangamizi wa woga na mwondoaji wa huzuni.