Swahili Page 24

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ਘਰੁ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 1 ghar 3.
Sri raag, by the first Guru: third Beat.
Sri Raag, na Guru wa kwanza: mpigo wa tatu.

ਅਮਲੁ ਕਰਿ ਧਰਤੀ ਬੀਜੁ ਸਬਦੋ ਕਰਿ ਸਚ ਕੀ ਆਬ ਨਿਤ ਦੇਹਿ ਪਾਣੀ ॥
amal kar Dhartee beej sabdo kar sach kee aab nit deh paanee.
Make good deeds the soil, and let the (Guru’s advice through the) Shabad be the seed;and continually irrigate it with the water of Truth.
Fanya vitendo vizuri viwe udongo, na uache (ushauri wa Guru kupitia) Shabad iwe mbegu; na uimwagie maji kila mara kwa maji wa Ukweli.

ਹੋਇ ਕਿਰਸਾਣੁ ਈਮਾਨੁ ਜੰਮਾਇ ਲੈ ਭਿਸਤੁ ਦੋਜਕੁ ਮੂੜੇ ਏਵ ਜਾਣੀ ॥੧॥
ho-ay kirsaan eemaan jammaa-ay lai bhisat dojak moorhay ayv jaanee. ||1||
O’ fool, be a true spiritual farmer, grow (strengthen) your faith. Thus you will will you know the truth about heaven (blissful life) and hell (life full of miseries).
Ee mpumbavu, kuwa mkulima halisi wa kiroho, panda (imarisha) imani yako. Hivyo utajua ukweli kuhusu mbinguni (maisha yenye furaha tele) na jehanamu (maisha yaliyojaa taabu).

ਮਤੁ ਜਾਣ ਸਹਿ ਗਲੀ ਪਾਇਆ ॥
mat jaan seh galee paa-i-aa.
Don’t you ever think that you can attain to God by your mere words.
Unafikiri ya kwamba unaweza kumpata Mungu kwa maneno yako tu.

ਮਾਲ ਕੈ ਮਾਣੈ ਰੂਪ ਕੀ ਸੋਭਾ ਇਤੁ ਬਿਧੀ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
maal kai maanai roop kee sobhaa it biDhee janam gavaa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
You have wasted this life in the pride of wealth and the splendor of beauty.
Umeharibu maisha haya katika majivuno ya utajiri na utukufu wa urembo.

ਐਬ ਤਨਿ ਚਿਕੜੋ ਇਹੁ ਮਨੁ ਮੀਡਕੋ ਕਮਲ ਕੀ ਸਾਰ ਨਹੀ ਮੂਲਿ ਪਾਈ ॥
aib tan chikrho ih man meedko kamal kee saar nahee mool paa-ee.
This body is filled with puddle of sins in which our mind lives like a frog who cannot appreciate the presence of the lotus flower in the same pool. Similarly, our mind cannot appreciate God in our body because it is too engrossed in vices.
Mwili huu umejawa na vidimbwi vya dhambi ambavyo akili yetu inaishi kama chura asiyeweza kuthamini kuwepo kwa ua la lotus katika kidimbwi hicho. Sawia, akili yetu haiwezi kuthamini Mungu mwilini mwetu kwa sababu imejihusisha katika dhambi.

ਭਉਰੁ ਉਸਤਾਦੁ ਨਿਤ ਭਾਖਿਆ ਬੋਲੇ ਕਿਉ ਬੂਝੈ ਜਾ ਨਹ ਬੁਝਾਈ ॥੨॥
bha-ur ustaad nit bhaakhi-aa bolay ki-o boojhai jaa nah bujhaa-ee. ||2||
Like frog is not influenced by the bumblebee visiting the lotus flower. Similarly our mind doesn’t understand the Guru’s teachings, unless God allow it to.
Kama vile chura hashawishiki na nyukibambi anayetembelea ua la lotus. Sawia, akili zetu haziwezi kuelewa mafundisho ya Guru , ila Mungu akiiruhusu.

ਆਖਣੁ ਸੁਨਣਾ ਪਉਣ ਕੀ ਬਾਣੀ ਇਹੁ ਮਨੁ ਰਤਾ ਮਾਇਆ ॥
aakhan sunnaa pa-un kee banee ih man rataa maa-i-aa.
Because our mind is distracted by worldly desires, all the saintly teachings have no effect on our mind (just like the sound of the wind passing by).
Kwa sababu akili yetu imevurugika kwa hamu za kidunia, na mafundisho takatifu hayna athari akilini mwetu (kama sauti ya upepo unaopita).

ਖਸਮ ਕੀ ਨਦਰਿ ਦਿਲਹਿ ਪਸਿੰਦੇ ਜਿਨੀ ਕਰਿ ਏਕੁ ਧਿਆਇਆ ॥੩॥
khasam kee nadar dilahi pasinday jinee kar ayk Dhi-aa-i-aa. ||3||
The Grace of the Master is bestowed upon those who are pleasing to his heart as they remember the One and Only One God with love and devotion.
Neema ya Bwana inatawaziwa wale wanaompendeza moyoni mwake wanapokumbuka yule Mmoja na Mungu Mmoja tu kwa upendo na kujitolea.

ਤੀਹ ਕਰਿ ਰਖੇ ਪੰਜ ਕਰਿ ਸਾਥੀ ਨਾਉ ਸੈਤਾਨੁ ਮਤੁ ਕਟਿ ਜਾਈ ॥
teeh kar rakhay panj kar saathee naa-o saitaan mat kat jaa-ee.
You may observe the thirty fasts, and say the five prayers each day, but your evil thoughts can neutralize these saintly deeds .
Unaweza kutii kufunga kwote thelathini, na usali sala tano kila siku, lakini fikira zako maovu zinaweza kufanya vitendo hivo vitakatifu viwe bure.

ਨਾਨਕੁ ਆਖੈ ਰਾਹਿ ਪੈ ਚਲਣਾ ਮਾਲੁ ਧਨੁ ਕਿਤ ਕੂ ਸੰਜਿਆਹੀ ੪॥੨੭॥
naanak aakhai raahi pai chalnaa maal Dhan kit koo sanji-aahee. ||4||27||
Says Nanak, since you are walking towards path of Death, so why do you only concentrate on collecting wealth and property?
Nanak anasema, kwani unatembea ukielekea njia ya kifo, sasa kwa nini unamakinikia kukusanya utajiri na mali?

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ਘਰੁ ੪ ॥
sireeraag mehlaa 1 ghar 4.
Sri Raag, by the first Guru: fourth Beat
Sri Raag, na Guru wa kwanza: mpigo wa nne

ਸੋਈ ਮਉਲਾ ਜਿਨਿ ਜਗੁ ਮਉਲਿਆ ਹਰਿਆ ਕੀਆ ਸੰਸਾਰੋ ॥
so-ee ma-ulaa jin jag ma-oli-aa hari-aa kee-aa sansaaro.
It is God Himself who is the real Moula (Master), who created and nurtured the universe.
Ni Mungu mwenyewe ambaye ni Moula (Bwana) wa kweli, aliyeumba na kulea ulimwengu.

ਆਬ ਖਾਕੁ ਜਿਨਿ ਬੰਧਿ ਰਹਾਈ ਧੰਨੁ ਸਿਰਜਣਹਾਰੋ ॥੧॥
aab khaak jin banDh rahaa-ee Dhan sirjanhaaro. ||1||
It is He, who has bound land and sea together under His cosmic law, and kept them in harmony. Amazing is that Creator!
Ni Yeye, ambaye amefunga ardhi na bahari pamoja chini ya sheria yake ya ulimwengu, na kuyaweka katika maelewano, Muumba huyo ni wa ajabu!

ਮਰਣਾ ਮੁਲਾ ਮਰਣਾ ॥
marnaa mulaa marnaa.
Remember O’Mullah, that one day death will come.
Kumbuka Ee Mullah, ya kwamba siku moja kifo kitakuja.

ਭੀ ਕਰਤਾਰਹੁ ਡਰਣਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
bhee kartaarahu darnaa. ||1|| rahaa-o.
So live your life under the Creator’s revered fear.
Basi ishi maisha yako chini ya uwoga wa heshima wa Muumba.

ਤਾ ਤੂ ਮੁਲਾ ਤਾ ਤੂ ਕਾਜੀ ਜਾਣਹਿ ਨਾਮੁ ਖੁਦਾਈ ॥
taa too mulaa taa too kaajee jaaneh naam khudaa-ee.
You are a Mullah, and you are a Qazi, only when you are drawn towards to the love of God.
Wewe ni Mullah, na wewe ni Qazi, wakati tu unaovutiwa na upendo wa Mungu.

ਜੇ ਬਹੁਤੇਰਾ ਪੜਿਆ ਹੋਵਹਿ ਕੋ ਰਹੈ ਨ ਭਰੀਐ ਪਾਈ ॥੨॥
jay bahutayraa parhi-aa hoveh ko rahai na bharee-ai paa-ee. ||2||
You may be very educated, but you cannot escape Death at the end of your life.
Unaweza kuwa umeelimika sana, lakini huwezi kutoroka kifo mwishoni mwa maisha yako.

ਸੋਈ ਕਾਜੀ ਜਿਨਿ ਆਪੁ ਤਜਿਆ ਇਕੁ ਨਾਮੁ ਕੀਆ ਆਧਾਰੋ ॥
so-ee kaajee jin aap taji-aa ik naam kee-aa aaDhaaro.
He alone is a Qazi, who renounces selfishness and conceit, and makes God’sName his only support in life.
Yeye mwenyewe ni Qazi, ambaye anakataa uchoyo na majivuno, na kufanya jina la Mungu liwe nguzo ya pekee maishani.

ਹੈ ਭੀ ਹੋਸੀ ਜਾਇ ਨ ਜਾਸੀ ਸਚਾ ਸਿਰਜਣਹਾਰੋ ॥੩॥
hai bhee hosee jaa-ay na jaasee sachaa sirjanhaaro. ||3||
The Creator is present now, would always be there. He is neither born, nor dies.
Muumba yupo wakati huu, na atakuwepo daima. Yeye hazaliwi wala hafi.

ਪੰਜ ਵਖਤ ਨਿਵਾਜ ਗੁਜਾਰਹਿ ਪੜਹਿ ਕਤੇਬ ਕੁਰਾਣਾ ॥
panj vakhat nivaaj gujaareh parheh katayb kuraanaa.
You may recite your Namaz five times each day and read the Koran.
Unaweza kukariri Namaz yako mara tano kila siku na kusoma Koran.

ਨਾਨਕੁ ਆਖੈ ਗੋਰ ਸਦੇਈ ਰਹਿਓ ਪੀਣਾ ਖਾਣਾ ॥੪॥੨੮॥
naanak aakhai gor saday-ee rahi-o peenaa khaanaa. ||4||28||
Nanak says, your grave (Death)is calling you, and all your worldly pleasures will soon come to an end.
Nanak anasema, kaburi lako (kifo) linakuita, na raha zako zote za kidunia zitaisha hivi karibuni.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ਘਰੁ ੪ ॥
sireeraag mehlaa 1 ghar 4.
Sri Raag, by the first Guru: fourth Beat.
Sri Raag, na Guru wa kwanza: mpigo wa nne.

ਏਕੁ ਸੁਆਨੁ ਦੁਇ ਸੁਆਨੀ ਨਾਲਿ ॥
ayk su-aan du-ay su-aanee naal.
one male dog (greed) and two female dogs (hunger and desire) always accompany me,
mbwa moja ndume (tamaa) na mbwa mbili kike (njaa na hamu) daima wanaenda nami,

ਭਲਕੇ ਭਉਕਹਿ ਸਦਾ ਬਇਆਲਿ ॥
bhalkay bha-ukahi sadaa ba-i-aal.
And these three vices start to influence me from early in the morning.
Na maovu haya tatu yanaanza kunishawishi kutoka asubuhi mapema.

ਕੂੜੁ ਛੁਰਾ ਮੁਠਾ ਮੁਰਦਾਰੁ ॥
koorh chhuraa muthaa murdaar.
In my hand is the knife of falsehood with which I have amassed worldly possessions (compared to dead bodies).
Mkononi mwangu kuna kisu cha uwongo ambacho nimekitumia kukusanya miliki za kidunia (zinazolinganishwa na maiti).

ਧਾਣਕ ਰੂਪਿ ਰਹਾ ਕਰਤਾਰ ॥੧॥
Dhaanak roop rahaa kartaar. ||1||
O my Creator! now I keep living like a low-caste nomad huntsman,
Ee Muumba wangu! Sasa naendelea kuishi kama mwindaji anayezurura wa tabaka la chini,

ਮੈ ਪਤਿ ਕੀ ਪੰਦਿ ਨ ਕਰਣੀ ਕੀ ਕਾਰ ॥
mai pat kee pand na karnee kee kaar.
I have not heeded Your good advice, nor have I done good deeds.
Sijatilia maanane ushauri wako mzuri, wala sijatenda vitendo vizuri.

ਹਉ ਬਿਗੜੈ ਰੂਪਿ ਰਹਾ ਬਿਕਰਾਲ ॥
ha-o bigrhai roop rahaa bikraal.
Therefore , I appear deformed and horribly disfigured.
Hivyo basi, naonekana mlemavu na aliyeumbuka vibaya.

ਤੇਰਾ ਏਕੁ ਨਾਮੁ ਤਾਰੇ ਸੰਸਾਰੁ ॥
tayraa ayk naam taaray sansaar.
Only meditating on Your Name with loving devotion can liberate me and others like me from this world.
Ni kutafakari kuhusu jina lako tu kwa kujitolea kwa upendo kunaweza kunikomboa mimi na wengine kama mimi kutoka dunia hii.

ਮੈ ਏਹਾ ਆਸ ਏਹੋ ਆਧਾਰੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mai ayhaa aas ayho aaDhaar. ||1|| rahaa-o.
You are my only hope and my only support.
Wewe ndiwe tumaini langu la pekee na nguzo yangu ya kipekee.

ਮੁਖਿ ਨਿੰਦਾ ਆਖਾ ਦਿਨੁ ਰਾਤਿ ॥
mukh nindaa aakhaa din raat.
With my mouth I speak slander, day and night.
Kupitia mdomo wangu nazungumza kashfa, mchana na usiku.

ਪਰ ਘਰੁ ਜੋਹੀ ਨੀਚ ਸਨਾਤਿ ॥
par ghar johee neech sanaat.
I spy on the houses of others; I am such a shameful person.
Napeleleza nyumba za wengine; mimi ni mtu wa aibu mno.

ਕਾਮੁ ਕ੍ਰੋਧੁ ਤਨਿ ਵਸਹਿ ਚੰਡਾਲ ॥
kaam kroDh tan vaseh chandaal.
In my body, reside the demons of lust and anger.
Katika mwili wangu, mnaishi pepo za usherati na hasira.

ਧਾਣਕ ਰੂਪਿ ਰਹਾ ਕਰਤਾਰ ॥੨॥
Dhaanak roop rahaa kartaar. ||2||
O my Creator! now I keep living like a low-caste nomad huntsman.
Ee Muumba wangu! Sasa naendelea kuishi kama mwindaji anayezurura wa tabaka la chini,

ਫਾਹੀ ਸੁਰਤਿ ਮਲੂਕੀ ਵੇਸੁ ॥
faahee surat malookee vays.
I make plans to trap others, although I appear innocent.
Nafanya mipango ya kutega wengine, hata kama naonekana kama asiye na hatia.

ਹਉ ਠਗਵਾੜਾ ਠਗੀ ਦੇਸੁ ॥
ha-o thagvaarhaa thagee days.
I am a deceiver and I can even cheat my own country.
Mimi ni mdanganyifu na hata naweza kudanganya nchi yangu mwenyewe.

ਖਰਾ ਸਿਆਣਾ ਬਹੁਤਾ ਭਾਰੁ ॥
kharaa si-aanaa bahutaa bhaar.
I consider myself very clever but I am very sinful.
Najifikiria kuwa mjanja sana lakini mimi ni mwenye dhambi nyingi.

ਧਾਣਕ ਰੂਪਿ ਰਹਾ ਕਰਤਾਰ ॥੩॥
Dhaanak roop rahaa kartaar. ||3||
O my Creator! now I keep living like a low-caste nomad huntsman.
Ee Muumba wangu!Sasa naendelea kuishi kama mwindaji anayezurura wa tabaka la chini,

ਮੈ ਕੀਤਾ ਨ ਜਾਤਾ ਹਰਾਮਖੋਰੁ ॥
mai keetaa na jaataa haraamkhor.
O God, I am an ungrateful wretch, who has not appreciated what You have done for me.I take what belongs to others.
Ee Mungu, mimi ni mnyonge asiye na shukrani, ambaye hajathamini chochote ambacho umenitendea. Nachukua umiliki wa watu wengine.

ਹਉ ਕਿਆ ਮੁਹੁ ਦੇਸਾ ਦੁਸਟੁ ਚੋਰੁ ॥
ha-o ki-aa muhu daysaa dusat chor.
How will I face You, God ( when I leave this world). I am an evil thief.
Nitasimama vipi mbele zako, Mungu (wakati nitaondoka dunia hii). Mimi ni mwizi muovu.

ਨਾਨਕੁ ਨੀਚੁ ਕਹੈ ਬੀਚਾਰੁ ॥
naanak neech kahai beechaar.
This is what lowly Nanak says after deep reflection.
Hii ndio Nanak duni anasema katika utafakari wa kina.

ਧਾਣਕ ਰੂਪਿ ਰਹਾ ਕਰਤਾਰ ॥੪॥੨੯॥
Dhaanak roop rahaa kartaar. ||4||29||
O my Creator! now I keep living like a low-caste nomad huntsman,
Ee Muumba wangu! Sasa naendelea kuishi kama mwindaji anayezurura wa tabaka la chini,

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ਘਰੁ ੪ ॥
sireeraag mehlaa 1 ghar 4.
Sri Raag, by first Guru: Fourth Beat.
Sri Raag, na Guru wa kwanza: mpigo wa nne.

ਏਕਾ ਸੁਰਤਿ ਜੇਤੇ ਹੈ ਜੀਅ ॥
aykaa surat jaytay hai jee-a.
There is one source of the consciousness amongst all created beings.
Kuna chanzo kimoja cha fahamu kati ya viumbe vyote vilivyoumbwa.

ਸੁਰਤਿ ਵਿਹੂਣਾ ਕੋਇ ਨ ਕੀਅ ॥
surat vihoonaa ko-ay na kee-a.
None have been created without this consciousness.
Hakuna ambaye ameumbwa bila fahamu hii.

error: Content is protected !!