Swahili Page 172

ਘਟਿ ਘਟਿ ਰਮਈਆ ਰਮਤ ਰਾਮ ਰਾਇ ਗੁਰ ਸਬਦਿ ਗੁਰੂ ਲਿਵ ਲਾਗੇ ॥
ghat ghat rama-ee-aa ramat raam raa-ay gur sabad guroo liv laagay.
Even though God pervades in every heart, yet it is only through the Guru’s word that one is attuned to Him.
Hata kama Mungu anaenea katika kila moyo, ila ni kuputia tu neno la Guru ambapo mtu anamakinikia Yeye.

ਹਉ ਮਨੁ ਤਨੁ ਦੇਵਉ ਕਾਟਿ ਗੁਰੂ ਕਉ ਮੇਰਾ ਭ੍ਰਮੁ ਭਉ ਗੁਰ ਬਚਨੀ ਭਾਗੇ ॥੨॥
ha-o man tan dayva-o kaat guroo ka-o mayraa bharam bha-o gur bachnee bhaagay. ||2||
I surrender my body and mind to the Guru, because the Guru’s teachings have dispelled my doubt and fear. ll2ll
Nasalimisha mwili na akili yangu kwa Guru, kwa sababu mafundisho ya Guru yameondoa shaka na uoga wangu.

ਅੰਧਿਆਰੈ ਦੀਪਕ ਆਨਿ ਜਲਾਏ ਗੁਰ ਗਿਆਨਿ ਗੁਰੂ ਲਿਵ ਲਾਗੇ ॥
anDhi-aarai deepak aan jalaa-ay gur gi-aan guroo liv laagay.
The Guru lights the lamp of divine wisdom in the darkness of one’s ignorant mind, and through the Guru’s teachings one gets attuned to the Guru.
Guru anawasha taa ya hekima takatifu katika giza ya akili mjinga ya mtu, na kupitia mafundisho ya Guru mtu anamakinikia Guru.

ਅਗਿਆਨੁ ਅੰਧੇਰਾ ਬਿਨਸਿ ਬਿਨਾਸਿਓ ਘਰਿ ਵਸਤੁ ਲਹੀ ਮਨ ਜਾਗੇ ॥੩॥
agi-aan anDhayraa binas binaasi-o ghar vasat lahee man jaagay. ||3||
The darkness of ignorance is dispelled, the wealth of Naam is realized within the heart and the mind becomes awake from the slumber of Maya. ||3||
Giza ya ujinga inaondolewa, utajiri wa Naam unagunduliwa moyoni na akili inaamka kutoka usingizi wa Maya.

ਸਾਕਤ ਬਧਿਕ ਮਾਇਆਧਾਰੀ ਤਿਨ ਜਮ ਜੋਹਨਿ ਲਾਗੇ ॥
saakat baDhik maa-i-aaDhaaree tin jam johan laagay.
The faithless cynics become cruel-hearted like hunters and are stalked by the demon of death.
Wabeuzi wasio na imani wanakuwa wenye moyo katili kama wawindaji na wanafuatwa na pepo wa kifo.

ਉਨ ਸਤਿਗੁਰ ਆਗੈ ਸੀਸੁ ਨ ਬੇਚਿਆ ਓਇ ਆਵਹਿ ਜਾਹਿ ਅਭਾਗੇ ॥੪॥
un satgur aagai sees na baychi-aa o-ay aavahi jaahi abhaagay. ||4||
They do not surrender their ego before the true Guru, so these unfortunate ones keep suffering in the cycles of birth and death. ||4||
Hawasalimishi ubinafsi wao mbele ya Guru wa kweli, hivyo hao wasio na bahati wanaendela kuteseka katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.

ਹਮਰਾ ਬਿਨਉ ਸੁਨਹੁ ਪ੍ਰਭ ਠਾਕੁਰ ਹਮ ਸਰਣਿ ਪ੍ਰਭੂ ਹਰਿ ਮਾਗੇ ॥
hamraa bin-o sunhu parabh thaakur ham saran parabhoo har maagay.
O’ God, O’ my master, please listen to my prayer, I have come to Your refuge and beg for Naam from You.
Ee Mungu, Ee bwana wangu, tafadhali sikliza ombi langu, nimekuja kwenye kimbilio chako na naomba Naam kutoka kwako.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਕੀ ਲਜ ਪਾਤਿ ਗੁਰੂ ਹੈ ਸਿਰੁ ਬੇਚਿਓ ਸਤਿਗੁਰ ਆਗੇ ॥੫॥੧੦॥੨੪॥੬੨॥
jan naanak kee laj paat guroo hai sir baychi-o satgur aagay. ||5||10||24||62||
Guru is the savior of my respect and honor of Nanak . I have totally surrendered to the true Guru as if I have sold myself to him. (5-10-24-62)
Guru ndiye mwokozi wa heshima na hadhi ya Nanak. Nimejisalimisha kikamilifu kwa Guru wa kweli kana kwamba nimejiuza kwake.

ਗਉੜੀ ਪੂਰਬੀ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee poorbee mehlaa 4.
Raag Gauree Poorbee, Fourth Guru:
Raag Gauree Poorbee, Guru wa Nne:

ਹਮ ਅਹੰਕਾਰੀ ਅਹੰਕਾਰ ਅਗਿਆਨ ਮਤਿ ਗੁਰਿ ਮਿਲਿਐ ਆਪੁ ਗਵਾਇਆ ॥
ham ahaNkaaree ahaNkaar agi-aan mat gur mili-ai aap gavaa-i-aa.
Without the Guru’s teachings, we remain self-conceited, and our intellect remains ignorant and egoistic. But upon meeting the Guru, our self-conceit is eradicated.
Bila mafundisho ya Guru, tunabaki na majivuno binafsi, na akili yetu inabaki mjinga na yenye ubinafsi. Lakini punde tu tunapokutana na Guru, majivuno yetu binafsi yanaondolewa.

ਹਉਮੈ ਰੋਗੁ ਗਇਆ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਧਨੁ ਧੰਨੁ ਗੁਰੂ ਹਰਿ ਰਾਇਆ ॥੧॥
ha-umai rog ga-i-aa sukh paa-i-aa Dhan Dhan guroo har raa-i-aa. ||1||
When (by Guru’s grace) the malady of ego is dispelled, we obtain peace. Therefore, I say blessed is that Guru-God, the king of the universe.||1||
Wakati (kwa neema ya Guru) ugonjwa wa ubinafsi unaondolewa, tunapata amani. Hivyo basi, nasema amebarikiwa huyo Guru-Mungu, mfalme wa ulimwengu.

ਰਾਮ ਗੁਰ ਕੈ ਬਚਨਿ ਹਰਿ ਪਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
raam gur kai bachan har paa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
Through the Guru’s teachings, I have realized God.
Kupitia mafundisho ya Guru, nimemgundua Mungu.

ਮੇਰੈ ਹੀਅਰੈ ਪ੍ਰੀਤਿ ਰਾਮ ਰਾਇ ਕੀ ਗੁਰਿ ਮਾਰਗੁ ਪੰਥੁ ਬਤਾਇਆ ॥
mayrai hee-arai pareet raam raa-ay kee gur maarag panth bataa-i-aa.
My heart is filled with love for God, the Sovereign King, and the Guru has shown me the path and the way to unite with Him.
Moyo wangu umejawa na upendo wa Mungu, Mfalme Mwenyezi, na Guru amenionyesha njia ya kuungana na Yeye.

ਮੇਰਾ ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਸਭੁ ਸਤਿਗੁਰ ਆਗੈ ਜਿਨਿ ਵਿਛੁੜਿਆ ਹਰਿ ਗਲਿ ਲਾਇਆ ॥੨॥
mayraa jee-o pind sabh satgur aagai jin vichhurhi-aa har gal laa-i-aa. ||2||
I surrender my soul and body to the Guru, who has united me with God from whom I had been separated. ||2||
Nasalimisha roho na mwili wangu kwa guru, ambaye ameniunganisha na Mungu ambaye nilikuwa nimetenganishwa kutoka kwake.

ਮੇਰੈ ਅੰਤਰਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਲਗੀ ਦੇਖਨ ਕਉ ਗੁਰਿ ਹਿਰਦੇ ਨਾਲਿ ਦਿਖਾਇਆ ॥
mayrai antar pareet lagee daykhan ka-o gur hirday naal dikhaa-i-aa.
Within my mind was a longing to behold God, the Guru revealed God dwelling in my heart itself.
Ndani mwa akili yangu kulikuwa na hamu ya kumtazama Mungu, Guru alidhihirisha Mungu anayeishi ndani mwa moyo wangu wenyewe.

ਸਹਜ ਅਨੰਦੁ ਭਇਆ ਮਨਿ ਮੋਰੈ ਗੁਰ ਆਗੈ ਆਪੁ ਵੇਚਾਇਆ ॥੩॥
sahj anand bha-i-aa man morai gur aagai aap vaychaa-i-aa. ||3||
Within my mind, intuitive peace and bliss have arisen; therefore I have totally surrendered myself to the Guru as if I have sold myself to him.
Ndani mwa akili yangu, amani angavu na raha tele imetokea; hivyo basi nimejisalimisha kikamilifu kwa Guru kana kwamba nimejiuza kwake.

ਹਮ ਅਪਰਾਧ ਪਾਪ ਬਹੁ ਕੀਨੇ ਕਰਿ ਦੁਸਟੀ ਚੋਰ ਚੁਰਾਇਆ ॥
ham apraaDh paap baho keenay kar dustee chor churaa-i-aa.
I have committed many sins and evil deeds and concealed these like a thief.
Nimetenda dhambi nyingi na maovu mengi na kuyaficha haya kama mwizi.

ਅਬ ਨਾਨਕ ਸਰਣਾਗਤਿ ਆਏ ਹਰਿ ਰਾਖਹੁ ਲਾਜ ਹਰਿ ਭਾਇਆ ॥੪॥੧੧॥੨੫॥੬੩॥
ab naanak sarnaagat aa-ay har raakho laaj har bhaa-i-aa. ||4||11||25||63||
Now, Nanak has come to Your refuge, O’ God, please save my honor as itpleases You. ||4||11||25||63||
Sasa, Nanak amekuja kwenye kimbilio chako, Ee Mungu, tafadhali hifadhi heshima yangu inavyokupendeza.

ਗਉੜੀ ਪੂਰਬੀ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee poorbee mehlaa 4.
Raag Gauree Poorbee, Fourth Guru:
Raag Gauree Poorbee, Guru wa Nne:

ਗੁਰਮਤਿ ਬਾਜੈ ਸਬਦੁ ਅਨਾਹਦੁ ਗੁਰਮਤਿ ਮਨੂਆ ਗਾਵੈ ॥
gurmat baajai sabad anaahad gurmat manoo-aa gaavai.
Through the Guru’s teachings, the melody of continuous divine music keeps vibrating in one’s mind and his mind sings the praises of God.
Kupitia mafundisho ya Guru, melodia ya muziki takatifu isiyoisha inaendela kutetema ndani mwa akili ya mtu na akili yake inaimba sifa za Mungu.

ਵਡਭਾਗੀ ਗੁਰ ਦਰਸਨੁ ਪਾਇਆ ਧਨੁ ਧੰਨੁ ਗੁਰੂ ਲਿਵ ਲਾਵੈ ॥੧॥
vadbhaagee gur darsan paa-i-aa Dhan Dhan guroo liv laavai. ||1||
Only a very fortunate person beholds the blessed sight of the Guru, and blessed is the Guru who inspires one to attune to the love of God.||1||
Ni mtu wenye bahati nzuri pekee anayetazama mwono uliobarikiwa wa Guru, na amebarikiwa Guru anayehamasisha mtu kumakinika kwa upendo wa Mungu.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਲਿਵ ਲਾਵੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gurmukh har liv laavai. ||1|| rahaa-o.
It is only through the Guru’s teachings that one attunes oneself to the love of God. |1lPause|
Ni kupitia tu mafundisho ya Guru ambapo mtu anajimakinisha kwa upendo wa Mungu. ||1||Sitisha||

ਹਮਰਾ ਠਾਕੁਰੁ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪੂਰਾ ਮਨੁ ਗੁਰ ਕੀ ਕਾਰ ਕਮਾਵੈ ॥
hamraa thaakur satgur pooraa man gur kee kaar kamaavai.
Only the perfect Guru is my Master, my mind follows only the Guru’s teachings.
Guru kamili pekee ndiye Bwana, akili yangu inafuata tu mafundisho ya Guru.

ਹਮ ਮਲਿ ਮਲਿ ਧੋਵਹ ਪਾਵ ਗੁਰੂ ਕੇ ਜੋ ਹਰਿ ਹਰਿ ਕਥਾ ਸੁਨਾਵੈ ॥੨॥
ham mal mal Dhovah paav guroo kay jo har har kathaa sunaavai. ||2||
I humbly follow the Guru’s teachings, who narrates the virtues of God.|2|
Nafuata mafundisho ya Guru kwa unyenyekevu, anayesimulia fadhila za Mungu.

ਹਿਰਦੈ ਗੁਰਮਤਿ ਰਾਮ ਰਸਾਇਣੁ ਜਿਹਵਾ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਵੈ ॥
hirdai gurmat raam rasaa-in jihvaa har gun gaavai.
Through the Guru’s teachings, the elixir of God’s Name is enshrined in my mind, and my tongue sings the praises of God.
Kupitia mafundisho ya Guru, dawa ya Jina la Mungu inathaminiwa akilini mwangu, na ulimi wangu unaimba sifa za Mungu.

ਮਨ ਰਸਕਿ ਰਸਕਿ ਹਰਿ ਰਸਿ ਆਘਾਨੇ ਫਿਰਿ ਬਹੁਰਿ ਨ ਭੂਖ ਲਗਾਵੈ ॥੩॥
man rasak rasak har ras aaghaanay fir bahur na bhookh lagaavai. ||3||
My mind is fully satiated by enjoying the relish of God’s Name, and now it does not yearn for worldly pleasures any more. |3|
Akili yangu imetoshelezwa kabisa kwa kufurahia raha ya Jina la Mungu, na sasa haitamani raha za kidunia tena.

ਕੋਈ ਕਰੈ ਉਪਾਵ ਅਨੇਕ ਬਹੁਤੇਰੇ ਬਿਨੁ ਕਿਰਪਾ ਨਾਮੁ ਨ ਪਾਵੈ ॥
ko-ee karai upaav anayk bahutayray bin kirpaa naam na paavai.
Even if one makes many efforts, without God’s mercy, one cannot obtain Naam.
Hata iwapo mtu afanye jitihada nyingi, bila huruma ya Mungu, hawezi kupata Naam.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਕਉ ਹਰਿ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰੀ ਮਤਿ ਗੁਰਮਤਿ ਨਾਮੁ ਦ੍ਰਿੜਾਵੈ ॥੪॥੧੨॥੨੬॥੬੪॥
jan nanak ka-o har kirpaa Dhaaree mat gurmat naam darirhaavai. |4|12|26|64|
God has showered Mercy upon Nanak and through the wisdom of the Guru’s teachings he has firmly enshrined Naam in his mind. |4|12|26|64|
Mungu amenyunyuzia Nanak neema na kupitia hekima ya mafundisho ya Guru ameweka kwa utahbiti Naam akilini mwake.

ਰਾਗੁ ਗਉੜੀ ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੪ ॥
raag ga-orhee maajh mehlaa 4.
Raag Gauree Maajh, Fourth Guru:
Raag Gauree Maajh, Guru wa Nne:

ਗੁਰਮੁਖਿ ਜਿੰਦੂ ਜਪਿ ਨਾਮੁ ਕਰੰਮਾ ॥
gurmukh jindoo jap naam karammaa.
O my soul, follow the Guru’s teachings and do the deed of meditating on Naam.
Ee roho yangu, fuata mafundisho ya Guru na ufanye kitendo cha kutafakari kuhusu Naam.

ਮਤਿ ਮਾਤਾ ਮਤਿ ਜੀਉ ਨਾਮੁ ਮੁਖਿ ਰਾਮਾ ॥
mat maataa mat jee-o naam mukh raamaa.
Let Guru-given intellect be your support in life like your mother and recite God’s Name.
Acha uwekevu uliotolewa na Guru uwe nguzo yako maishani kama mama yako na ukariri Jina la Mungu.

ਸੰਤੋਖੁ ਪਿਤਾ ਕਰਿ ਗੁਰੁ ਪੁਰਖੁ ਅਜਨਮਾ ॥
santokh pitaa kar gur purakh ajnamaa.
Let contentment be Your guiding principle in life like your father, and follow the teachings of the Guru who is the embodiment of immortal God.
Acha kutoshelezwa kuwe kanuni inayokuongoza maishani kama baba yako, na ufuate mafundisho ya Guru ambaye ni udhihirisho wa kimwili wa Mungu asiyeweza kufa.

error: Content is protected !!