Swahili Page 178

ਗੁਰ ਕਾ ਸਬਦੁ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਰਸੁ ਚਾਖੁ ॥
gur kaa sabad amrit ras chaakh.
and enjoy the bliss of the ambrosial nectar of Guru’s word.
Na ufurahie raha tele ya nekta ya ambrosia ya neno la Guru.

ਅਵਰਿ ਜਤਨ ਕਹਹੁ ਕਉਨ ਕਾਜ ॥
avar jatan kahhu ka-un kaaj.
(forsaking God) of what use are your other efforts when, ,
(Ukimwacha Mungu) jitihada zako nyingine zote zina manufaa gani wakati

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਰਾਖੈ ਆਪਿ ਲਾਜ ॥੨॥
kar kirpaa raakhai aap laaj. ||2||
showing His mercy, God Himself protects the honor of His devotee. ||2||
akionyesha huruma yake, Mungu mwenyewe anahifadhi heshima ya mtawa wake..

ਕਿਆ ਮਾਨੁਖ ਕਹਹੁ ਕਿਆ ਜੋਰੁ ॥
ki-aa maanukh kahhu ki-aa jor.
Tell me, what power human beings have?
Niambie, binadamu wana nguvu gani?

ਝੂਠਾ ਮਾਇਆ ਕਾ ਸਭੁ ਸੋਰੁ ॥
jhoothaa maa-i-aa kaa sabh sor.
All the tumult of Maya is false and short lived.
Vurugu yote ya Maya ni uongo wala haidumu.

ਕਰਣ ਕਰਾਵਨਹਾਰ ਸੁਆਮੀ ॥
karan karaavanhaar su-aamee.
It is God who does and gets everything done.
Ni Mungu anayetenda na kufanya kila kitu kitendwe.

ਸਗਲ ਘਟਾ ਕੇ ਅੰਤਰਜਾਮੀ ॥੩॥
sagal ghataa kay antarjaamee. ||3||
He knows the secrets of all hearts. ||3||
Yeye anajua siri za mioyo yote.

ਸਰਬ ਸੁਖਾ ਸੁਖੁ ਸਾਚਾ ਏਹੁ ॥
sarab sukhaa sukh saachaa ayhu.
Of all the pleasures, the supreme and everlasting pleasure is.
Kati ya raha zote, raha kuu na inayodumu milele ni.

ਗੁਰ ਉਪਦੇਸੁ ਮਨੈ ਮਹਿ ਲੇਹੁ ॥
gur updays manai meh layho.
to keep the Guru’s teachings enshrined in the heart.
Kuthamini mafundisho ya Guru moyoni.

ਜਾ ਕਉ ਰਾਮ ਨਾਮ ਲਿਵ ਲਾਗੀ ॥
jaa ka-o raam naam liv laagee.
One who is attuned to the love of God’s Name.
Yule ambaye amemakinikia upendo wa Jina la Mungu.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਸੋ ਧੰਨੁ ਵਡਭਾਗੀ ॥੪॥੭॥੭੬॥
kaho naanak so Dhan vadbhaagee. ||4||7||76||
Nanak says, blessed is that fortunate person ||4||7||76||
Nanak anasema, amebarikiwa mtu huyo mwenye bahari njema.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Raag Gauree Gwaarayree, Fifth Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਸੁਣਿ ਹਰਿ ਕਥਾ ਉਤਾਰੀ ਮੈਲੁ ॥
sun har kathaa utaaree mail.
Upon listening to God’s praises, those who became free off the filth of vices,
Punde tu wanaposikia sifa za Mungu, wale wanaokuwa huru kutokana na ushafu wa dhambi,

ਮਹਾ ਪੁਨੀਤ ਭਏ ਸੁਖ ਸੈਲੁ ॥
mahaa puneet bha-ay sukh sail.
become immaculate and attained all the comforts and peace.
Wanakuwa safi na wanapata starehe na amani yote.

ਵਡੈ ਭਾਗਿ ਪਾਇਆ ਸਾਧਸੰਗੁ ॥
vadai bhaag paa-i-aa saaDhsang.
By great good fortune, they were blessed with the company of saints.
Kwa bahati njema kuu, walibarikiwa na uandamano wa watakatifu.

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ਸਿਉ ਲਾਗੋ ਰੰਗੁ ॥੧॥
paarbarahm si-o laago rang. ||1||
and were imbued with love of God. ||1||
na walijaziwa upendo wa Mungu.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਜਪਤ ਜਨੁ ਤਾਰਿਓ ॥
har har naam japat jan taari-o.
The Guru has saved the devotee who has been meditating on God’s Name.
Guru amekomboa mtawa ambaye amekuwa akitafakari kuhusu Jina la Mungu.

ਅਗਨਿ ਸਾਗਰੁ ਗੁਰਿ ਪਾਰਿ ਉਤਾਰਿਓ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
agan saagar gur paar utaari-o. ||1|| rahaa-o.
The Guru has helped the devotee to swim across the ocean of the fire of worldly desires. ||1||Pause||
Guru amesaidia mtawa huyo kuogelea akivuka bahari ya moto wa hamu za kidunia. ||1||Sitisha||

ਕਰਿ ਕੀਰਤਨੁ ਮਨ ਸੀਤਲ ਭਏ ॥
kar keertan man seetal bha-ay.
Those whose minds became tranquil by singing praises of God,
Wale ambao akili zao zinakuwa tulivu kwa kuimba sifa za Mungu,

ਜਨਮ ਜਨਮ ਕੇ ਕਿਲਵਿਖ ਗਏ ॥
janam janam kay kilvikh ga-ay.
their sins of countless births were washed away.
Dhambi zao za kuzaliwa kwingi kusiohesabika zinasafishwa.

ਸਰਬ ਨਿਧਾਨ ਪੇਖੇ ਮਨ ਮਾਹਿ ॥
sarab niDhaan paykhay man maahi.
They saw and enjoyed the pleasure of all the nine treasures in their mind itself.
Waliona na kufurahia raha ya hazina zote tisa akilini mwao.

ਅਬ ਢੂਢਨ ਕਾਹੇ ਕਉ ਜਾਹਿ ॥੨॥
ab dhoodhan kaahay ka-o jaahi. ||2||
therefore, why should they search anywhere else? ||2||
hivyo basi, kwa nini watafute pahali pengine?

ਪ੍ਰਭ ਅਪੁਨੇ ਜਬ ਭਏ ਦਇਆਲ ॥
parabh apunay jab bha-ay da-i-aal.
When God became kind to His devotees,
Wakati Mungu alikuwa mwema kwa watawa wake,

ਪੂਰਨ ਹੋਈ ਸੇਵਕ ਘਾਲ ॥
pooran ho-ee sayvak ghaal.
the service of His devotees was accomplished.
Huduma ya watawa wake ilifanikishwa.

ਬੰਧਨ ਕਾਟਿ ਕੀਏ ਅਪਨੇ ਦਾਸ ॥
banDhan kaat kee-ay apnay daas.
Snapping their bonds of worldly attachment, He yoked them into His service.
Akivunja vifungo vyao vya kiambatisho cha kidunia, aliwasajili kwenye huduma yake.

ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਗੁਣਤਾਸ ॥੩॥
simar simar simar guntaas. ||3||
By continuously meditating on God, the treasure of virtues, the devotees merge in Him. ||3||
Kwa kutafakari kuhusu Mungu bila mwisho, hazina ya fadhila, watawa wanaunganishwa na Mungu.

ਏਕੋ ਮਨਿ ਏਕੋ ਸਭ ਠਾਇ ॥
ayko man ayko sabh thaa-ay.
He realizes that the same One is pervading his heart and everywhere else.
Yeye anagundua yule Mmoja anapenyeza moyo wake na yupo kila mahali kwingine.

ਪੂਰਨ ਪੂਰਿ ਰਹਿਓ ਸਭ ਜਾਇ ॥
pooran poor rahi-o sabh jaa-ay.
That perfect God is permeating every place.
Mungu Kamili anapenyeza kila mahali.

ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਸਭੁ ਭਰਮੁ ਚੁਕਾਇਆ ॥
gur poorai sabh bharam chukaa-i-aa.
One whose doubts have been dispelled by the Perfect Guru.
Yule ambaye shaka yake imeondolewa na Guru Kamili.

ਹਰਿ ਸਿਮਰਤ ਨਾਨਕ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ॥੪॥੮॥੭੭॥
har simrat naanak sukh paa-i-aa. ||4||8||77||
O’ Nanak, by meditating on God, he has attained peace. ||4||8||77||
Ee Nanak, kwa kutafakari kuhusu Mungu, amepata amani.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Raag Gauree Gwaarayree, Fifth Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਅਗਲੇ ਮੁਏ ਸਿ ਪਾਛੈ ਪਰੇ ॥
aglay mu-ay se paachhai paray.
Our ancestors left the worldly wealth behind and have already been forgotten.
Mababu zetu waliacha utajiri wa kidunia nyuma na wamekwisha sahaulika.

ਜੋ ਉਬਰੇ ਸੇ ਬੰਧਿ ਲਕੁ ਖਰੇ ॥
jo ubray say banDh lak kharay.
Those who are still alive are steadfastly busy in amassing worldly wealth.
Wale walio bado hai kwa nia moja wanajishughulisha katika kukusanya utajiri wa kidunia.

ਜਿਹ ਧੰਧੇ ਮਹਿ ਓਇ ਲਪਟਾਏ ॥
jih DhanDhay meh o-ay laptaa-ay.
The pursuit of worldly wealth in which the ancestors were engrossed,
Harakati ya ufuataji wa utajiri wa kidunia ambayo mababu walivama ndani yake,

ਉਨ ਤੇ ਦੁਗੁਣ ਦਿੜੀ ਉਨ ਮਾਏ ॥੧॥
un tay dugun dirhee un maa-ay. ||1||
their heirs are engrossed in the same pursuit, with double the vigor. ||1||
warithi wao walivama katika harakati hiyo hiyo, kwa juhudi maradufu.

ਓਹ ਬੇਲਾ ਕਛੁ ਚੀਤਿ ਨ ਆਵੈ ॥
oh baylaa kachh cheet na aavai.
That time doesn’t even come to the mortal’s mind when he must leave everything and depart from here, like his ancestors.
Wakati huo hata hauji akilini mwa binadamu ambapo lazima aache kila kitu na kuondoka kutoka humu, kama mababu zake.

ਬਿਨਸਿ ਜਾਇ ਤਾਹੂ ਲਪਟਾਵੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
binas jaa-ay taahoo laptaavai. ||1|| rahaa-o.
Instead, he keeps clinging to the worldly wealth which is perishable. ||1||Pause||
Badala yake, anaendelea kukwamilia utajiri wa kidunia ambao unaweza kuharibika. ||1||Sitisha||

ਆਸਾ ਬੰਧੀ ਮੂਰਖ ਦੇਹ ॥
aasaa banDhee moorakh dayh.
The body of the foolish human being is bound down by worldly desires.
Mwili wa binadamu mpumbavu unanaswa katika tamaa za kidunia.

ਕਾਮ ਕ੍ਰੋਧ ਲਪਟਿਓ ਅਸਨੇਹ ॥
kaam kroDh lapti-o asnayh.
He remains entangled in lust, anger and emotional attachment.
Anabaki amenaswa katika ukware, hasira na kiambatisho cha kihisia.

ਸਿਰ ਊਪਰਿ ਠਾਢੋ ਧਰਮ ਰਾਇ ॥
sir oopar thaadho Dharam raa-ay.
Over one’s head stands the demon of death (one could die any moment)
Juu ya kichwa cha mtu amesimama pepo wa kifo (mtu anaweza kufa wakati wowote)

ਮੀਠੀ ਕਰਿ ਕਰਿ ਬਿਖਿਆ ਖਾਇ ॥੨॥
meethee kar kar bikhi-aa khaa-ay. ||2||
Believing it to be sweet, a human being keeps collecting and tasting the poison of worldly wealth.||2||
Akiiamini kuwa tamu, binadamu anaendelea kukusanya na kuonja sumu ya utajiri wa kidunia.

ਹਉ ਬੰਧਉ ਹਉ ਸਾਧਉ ਬੈਰੁ ॥.
ha-o banDha-o ha-o saaDha-o bair.
in his ego he keeps saying: “I shall tie up and settle my account with the enemy”
Katika ubinafsi wake anaendelea kusema: “nitabana na kumaliza hesabu na adui huyo”

ਹਮਰੀ ਭੂਮਿ ਕਉਣੁ ਘਾਲੈ ਪੈਰੁ ॥
hamree bhoom ka-un ghaalai pair.
who dares to set foot upon my land?
Nani anathubutu kuingia kwa shamba langu?

ਹਉ ਪੰਡਿਤੁ ਹਉ ਚਤੁਰੁ ਸਿਆਣਾ ॥
ha-o pandit ha-o chatur si-aanaa.
I am learned, I am clever and wise.
Mimi ni msomi, mimi ni mwerevu na mwenye busara.

ਕਰਣੈਹਾਰੁ ਨ ਬੁਝੈ ਬਿਗਾਨਾ ॥੩॥
karnaihaar na bujhai bigaanaa. ||3||
The ignorant does not understand the Creator. ||3||
Mpumbavu haelewi Muumba.

ਅਪੁਨੀ ਗਤਿ ਮਿਤਿ ਆਪੇ ਜਾਨੈ ॥
apunee gat mit aapay jaanai.
God Himself knows His state and limit.
Mungu mwenyewe anajua hali yake na kikomo chake

ਕਿਆ ਕੋ ਕਹੈ ਕਿਆ ਆਖਿ ਵਖਾਨੈ ॥
ki-aa ko kahai ki-aa aakh vakhaanai.
What can anyone say? How can anyone describe Him?
Yeyote anaweza kusema nini? Mtu yeyote anawezaje kumweleza?

ਜਿਤੁ ਜਿਤੁ ਲਾਵਹਿ ਤਿਤੁ ਤਿਤੁ ਲਗਨਾ ॥
jit jit laaveh tit tit lagnaa.
One has to do (the job) which one has been assigned.
Mtu lazima afanye (kazi) ambayo mtu ameteuliwa.

ਅਪਨਾ ਭਲਾ ਸਭ ਕਾਹੂ ਮੰਗਨਾ ॥੪॥
apnaa bhalaa sabh kaahoo mangnaa. ||4||
O’God, everyone beg for their welfare from You. ||4||
Ee Mungu, kila mtu anaombea maslahi yao kutoka kwako.

ਸਭ ਕਿਛੁ ਤੇਰਾ ਤੂੰ ਕਰਣੈਹਾਰੁ ॥
sabh kichh tayraa tooN karnaihaar.
O’ God, everything is Yours, You are the Creator.
Ee Mungu, kila kitu ni chako, Wewe ndiwe Muumba.

ਅੰਤੁ ਨਾਹੀ ਕਿਛੁ ਪਾਰਾਵਾਰੁ ॥
ant naahee kichh paaraavaar.
Your virtues and powers are limitless.
Fadhila na nguvu zako hazina kikomo.

ਦਾਸ ਅਪਨੇ ਕਉ ਦੀਜੈ ਦਾਨੁ ॥
daas apnay ka-o deejai daan.
O’ God, please bless Your humble devotee with this gift,
Ee Mungu, tafadhali bariki mtawa wako mnyenyekevu na tuzo hii.

ਕਬਹੂ ਨ ਵਿਸਰੈ ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ॥੫॥੯॥੭੮॥
kabhoo na visrai naanak naam. ||5||9||78||
that Nanak may never forget Naam. ||5||9||78||
Kwamba Nanak asiwahi kusahau Naam.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 5.
Raag Gauree Gwaarayree, Fifth Gurul:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Tano:

ਅਨਿਕ ਜਤਨ ਨਹੀ ਹੋਤ ਛੁਟਾਰਾ ॥
anik jatan nahee hot chhutaaraa.
By all sorts of efforts, one can not get liberated from the worldly attachments.
Kwa aina yote ya jitihada, mtu hawezi kukombolewa kutoka viambatisho vya kihisia.

ਬਹੁਤੁ ਸਿਆਣਪ ਆਗਲ ਭਾਰਾ ॥
bahut si-aanap aagal bhaaraa.
Too much cleverness only piles up the load of more and more sorrows.
Uwerevu mwingi mno unarundikia tu rundo la huzuni zaidi na zaidi.

ਹਰਿ ਕੀ ਸੇਵਾ ਨਿਰਮਲ ਹੇਤ ॥
har kee sayvaa nirmal hayt.
Through the devotional worship of God with pure love,
Kupitia ibada ya kujitolea kwa Mungu kwa upendo safi,

ਪ੍ਰਭ ਕੀ ਦਰਗਹ ਸੋਭਾ ਸੇਤ ॥੧॥
parabh kee dargeh sobhaa sayt. ||1||
one goes to God’s court with honor. ||1||
Mtu anaenda kwa mahakama ya Mungu kwa heshima.

error: Content is protected !!