ਚਾਰੇ ਅਗਨਿ ਨਿਵਾਰਿ ਮਰੁ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਜਲੁ ਪਾਇ ॥
chaaray agan nivaar mar gurmukh har jal paa-ay.
By following the Guru’s teachings, puts out all the four fires within your mind by pouring the water of God’s Name and remain detached from Maya.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, mtu anazima moto yote nne ndani mwa akili kwa kumwagia maji ya jina la Mungu na kubaki amejitenga kutoka Maya.
ਅੰਤਰਿ ਕਮਲੁ ਪ੍ਰਗਾਸਿਆ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਭਰਿਆ ਅਘਾਇ ॥
antar kamal pargaasi-aa amrit bhari-aa aghaa-ay.
Then you would feel so delighted, as if your heart has blossomed forth like a lotus, and you will feels satiated and fulfilled.
Kisha ungehisi furaha, kana kwamba moyo wako umenawiri kama maua ya Lotus, na utahisi umetoshelezwa na umetimia.
ਨਾਨਕ ਸਤਗੁਰੁ ਮੀਤੁ ਕਰਿ ਸਚੁ ਪਾਵਹਿ ਦਰਗਹ ਜਾਇ ॥੪॥੨੦॥
naanak satgur meet kar sach paavahi dargeh jaa-ay. ||4||20||
Therefore, O’ Nanak make Guru your friend, so that upon reaching God’s court, you may obtain union with the eternal God.
Hivyo basi, Ee Nanak fanya Guru awe rafiki yako, ndiposa unapofika mahakama ya Mungu utapata muungano na Mungu wa milele.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ॥
sireeraag mehlaa 1.
Siree Raag, by the First Guru:
Siree Raag, na Guru wa kwanza:
ਹਰਿ ਹਰਿ ਜਪਹੁ ਪਿਆਰਿਆ ਗੁਰਮਤਿ ਲੇ ਹਰਿ ਬੋਲਿ ॥
har har japahu pi-aari-aa gurmat lay har bol.
O’ dear, follow the instructions of the Guru, recite and remember God with loving devotion.
Ee mpendwa, fuata maagizo ya Guru, kariri na umkumbuke Mungu kwa kujitolea kwa upendo.
ਮਨੁ ਸਚ ਕਸਵਟੀ ਲਾਈਐ ਤੁਲੀਐ ਪੂਰੈ ਤੋਲਿ ॥
man sach kasvatee laa-ee-ai tulee-ai poorai tol.
So that when your mind is tested on the touchstone of Truth, it comes up to its full expectation.(sincerely remembering Naam and reflecting on Guru’s word)
Ndiposa wakati akili yako itajaribiwa kwenye jiwe la kugusa lla Kweli, ifikie matarajio kamili (kukumbuka Naam kwa uwazi na kutafakari kuhusu neno la Guru)
ਕੀਮਤਿ ਕਿਨੈ ਨ ਪਾਈਐ ਰਿਦ ਮਾਣਕ ਮੋਲਿ ਅਮੋਲਿ ॥੧॥
keemat kinai na paa-ee-ai rid maanak mol amol. ||1||
That mind becomes like a priceless jewel, its worth cannot be estimated.
Akili hiyo inakuwa kama kito kisichokadirika, thamani yake haiwezi kukadiriwa.
ਭਾਈ ਰੇ ਹਰਿ ਹੀਰਾ ਗੁਰ ਮਾਹਿ ॥
bhaa-ee ray har heeraa gur maahi.
O’ brother, the invaluable Naam resides in Guru’s teaching.
Ee kaka, Naam isiyokadirika inaishi katika mafundisho ya Guru.
ਸਤਸੰਗਤਿ ਸਤਗੁਰੁ ਪਾਈਐ ਅਹਿਨਿਸਿ ਸਬਦਿ ਸਲਾਹਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
satsangat satgur paa-ee-ai ahinis sabad salaahi. ||1|| rahaa-o.
We meet True Guru in the Holy congregation. Then we realize God by praising Him day and night, through the Guru’s word.
Tunakutana na Guru wa kweli katika ushirika takatifu. Kisha tunagundua Mungu kwa kumsifu mchana na usiku, kupitia neno la Guru.
ਸਚੁ ਵਖਰੁ ਧਨੁ ਰਾਸਿ ਲੈ ਪਾਈਐ ਗੁਰ ਪਰਗਾਸਿ ॥
sach vakhar Dhan raas lai paa-ee-ai gur pargaas.
It is with the capital of Truth that we buy the wealth of Naam. But we understand this through the enlightenment obtained from the Guru.
Ni kutumia rasilimali ya Ukweli ambayo tunanunua utajiri wa Naam. Lakini tunaelewa hii kupitia kuangazwa kunakopatikana kutoka kwa Guru.
ਜਿਉ ਅਗਨਿ ਮਰੈ ਜਲਿ ਪਾਇਐ ਤਿਉ ਤ੍ਰਿਸਨਾ ਦਾਸਨਿ ਦਾਸਿ ॥
ji-o agan marai jal paa-i-ai ti-o tarisnaa daasan daas.
Just as the fire is extinguished by pouring water, similarly the fire of desire is extinguished by serving the servant of God (following the teachings of the Guru).
Kama vile moto yanazimwa kwa kumwaga maji, sawia moto ya hamu yanazimwa kwa kutumikia mtumishi wa Mungu (kufuata mafundisho ya Guru).
ਜਮ ਜੰਦਾਰੁ ਨ ਲਗਈ ਇਉ ਭਉਜਲੁ ਤਰੈ ਤਰਾਸਿ ॥੨॥
jam jandaar na lag-ee i-o bha-ojal tarai taraas. ||2||
The Messenger of Death will not touch you; in this way, you shall cross over the terrifying world-ocean of vices, carrying others across with you.
Mjumbe wa kifo hatakugusa; kwa njia hii, utavuka bahari-dunia ya dhambi inayoogofya, ukibeba wengine uvuke nao.
ਗੁਰਮੁਖਿ ਕੂੜੁ ਨ ਭਾਵਈ ਸਚਿ ਰਤੇ ਸਚ ਭਾਇ ॥
gurmukh koorh na bhaav-ee sach ratay sach bhaa-ay.
The Guru’s followers do not like falsehood. They are imbued with Truth; they love only Truth.
Wafuasi wa Guru hawapendi uwongo. Wamejawa na ukweli; wanapenda Ukweli pekee.
ਸਾਕਤ ਸਚੁ ਨ ਭਾਵਈ ਕੂੜੈ ਕੂੜੀ ਪਾਂਇ ॥
saakat sach na bhaav-ee koorhai koorhee paaN-ay.
The worshippers of power do not like the truth. they stand on foundations of falsehood.
Wanaoabudu mamlaka hawapendi ukweli, wanasimama kwenye misingi ya uwongo.
ਸਚਿ ਰਤੇ ਗੁਰਿ ਮੇਲਿਐ ਸਚੇ ਸਚਿ ਸਮਾਇ ॥੩॥
sach ratay gur mayli-ai sachay sach samaa-ay. ||3||
Only those who are imbued with Truth, are able to meet the true Guru, who unites them with the eternal God.
Ni wale tu ambao wamejawa na Ukweli, wanaweza kukutana na Guru wa kweli, ambaye anawaunganisha na Mungu wa milele.
ਮਨ ਮਹਿ ਮਾਣਕੁ ਲਾਲੁ ਨਾਮੁ ਰਤਨੁ ਪਦਾਰਥੁ ਹੀਰੁ ॥
man meh maanak laal naam ratan padaarath heer.
Naam is like a precious jewel, that resides within our mind.
Naam ni kama kito chenye thamana, kinachoishi akilini mwetu.
ਸਚੁ ਵਖਰੁ ਧਨੁ ਨਾਮੁ ਹੈ ਘਟਿ ਘਟਿ ਗਹਿਰ ਗੰਭੀਰੁ ॥
sach vakhar Dhan naam hai ghat ghat gahir gambheer.
The Naam is the true merchandise which lies deep in each and every heart.
Naam ni bidhaa ya kweli inayokaa ndani mwa kila moyo.
ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਪਾਈਐ ਦਇਆ ਕਰੇ ਹਰਿ ਹੀਰੁ ॥੪॥੨੧॥
naanak gurmukh paa-ee-ai da-i-aa karay har heer. ||4||21||
O’ Nanak, this precious Naam is realized through the Guru’s teachings, when God showers His Grace.
Ee Nanak, Naam hii yenye thamana inagunduliwa kupitia mafundisho ya Guru, wakati Mungu anamimina neema yake.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ॥
sireeraag mehlaa 1.
Siree Raag, by the First Guru:
Siree Raag, na Guru wa kwanza:
ਭਰਮੇ ਭਾਹਿ ਨ ਵਿਝਵੈ ਜੇ ਭਵੈ ਦਿਸੰਤਰ ਦੇਸੁ ॥
bharmay bhaahi na vijhvai jay bhavai disantar days.
The fire of doubt is not extinguished, even by wandering through all the holy places in the world.
Moto ya shaka haizimwi, hata kwa kuzurura kupitia pahali pote patakatifu duniani.
ਅੰਤਰਿ ਮੈਲੁ ਨ ਉਤਰੈ ਧ੍ਰਿਗੁ ਜੀਵਣੁ ਧ੍ਰਿਗੁ ਵੇਸੁ ॥
antar mail na utrai Dharig jeevan Dharig vays.
Cursed is that life, and cursed is that garb of renunciation if inner filth of ego is not washed off.
Yamelaaniwa maisha hayo, na limelaaniwa vazi hilo la kukataa iwapo uchafu wa ndani wa ubinafsi haujasafishwa.
ਹੋਰੁ ਕਿਤੈ ਭਗਤਿ ਨ ਹੋਵਈ ਬਿਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਕੇ ਉਪਦੇਸ ॥੧॥
hor kitai bhagat na hova-ee bin satgur kay updays. ||1||
There is no other way to perform devotional worship, except through the Teachings of the True Guru.
Hakuna njia nyingine ya kufanya ibada ya kujitolea, ila kupitia mafundisho ya Guru wa kweli.
ਮਨ ਰੇ ਗੁਰਮੁਖਿ ਅਗਨਿ ਨਿਵਾਰਿ ॥
man ray gurmukh agan nivaar.
O mind,follow Guru’s teachings and extinguish the fire of desires from within.
Ee akili, fuata mafundisho ya Guru na uzime moto wa hamu ndani mwako.
ਗੁਰ ਕਾ ਕਹਿਆ ਮਨਿ ਵਸੈ ਹਉਮੈ ਤ੍ਰਿਸਨਾ ਮਾਰਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gur kaa kahi-aa man vasai ha-umai tarisnaa maar. ||1|| rahaa-o.
If the Guru’s teachings are enshrined in the mind, then the ego and the fire of worldly desire would be stilled.
Iwapo mafundisho ya Guru yamewekwa akilini, basi ubinafsi na moto ya hamu za kidunia itatulizwa.
ਮਨੁ ਮਾਣਕੁ ਨਿਰਮੋਲੁ ਹੈ ਰਾਮ ਨਾਮਿ ਪਤਿ ਪਾਇ ॥
man maanak nirmol hai raam naam pat paa-ay.
By remembering Naam with loving devotion, the mind becomes like an invaluable it obtains honor jewel and obtains honor everywhere.
Kwa kukumbuka Naam kwa kujitolea kwa upendo, akili inakuwa kama kito kisichokadirika na kupokea heshima kila mahali.
ਮਿਲਿ ਸਤਸੰਗਤਿ ਹਰਿ ਪਾਈਐ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥
mil satsangat har paa-ee-ai gurmukh har liv laa-ay.
By joining the true congregation and thus realizing God, a Guru’s follower always remains absorbed in love for God.
Kwa kujiunga na ushirika wa kweli na kisha kugundua Mungu, mfuasi wa Guru daima anabaki amezama katika upendo wa Mungu.
ਆਪੁ ਗਇਆ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਮਿਲਿ ਸਲਲੈ ਸਲਲ ਸਮਾਇ ॥੨॥
aap ga-i-aa sukh paa-i-aa mil sallai salal samaa-ay. ||2||
When one’s egoism is gone one obtains peace, and becomes one with God as if a wave has merged with another wave.
Wakati ubinafsi wa mtu umeenda mtu huyo anapata amani, na kuungana na Mungu kama vile mawimbi yanavyoungana na mawimbi mengine.
ਜਿਨਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਨ ਚੇਤਿਓ ਸੁ ਅਉਗੁਣਿ ਆਵੈ ਜਾਇ ॥
jin har har naam na chayti-o so a-ogun aavai jaa-ay.
They who do not contemplate Naam will continue in the cycle of birth and death because of their vices.
Wale wasiotafakari Naam wataendelea katika mzunguko wa kuzaliwa na kufa kwa sababu ya dhambi zao.
ਜਿਸੁ ਸਤਗੁਰੁ ਪੁਰਖੁ ਨ ਭੇਟਿਓ ਸੁ ਭਉਜਲਿ ਪਚੈ ਪਚਾਇ ॥
jis satgur purakh na bhayti-o so bha-ojal pachai pachaa-ay.
The person who has not met with the Guru continues suffering and is consumed in the dreadful worldly-ocean of vices.
Mtu ambaye hajakutana na Guru anaendelea kuteseka na anazama katika bahari-dunia ya dhambi inayoogofya.
ਇਹੁ ਮਾਣਕੁ ਜੀਉ ਨਿਰਮੋਲੁ ਹੈ ਇਉ ਕਉਡੀ ਬਦਲੈ ਜਾਇ ॥੩॥
ih maanak jee-o nirmol hai i-o ka-udee badlai jaa-ay. ||3||
This human soul is like a priceless jewel, but without remembering God, it is being wasted, as if it is being sold for a mere penny.
Roho hii ya kibinadamu ni kama kito kisichokadirika, lakini bila kumkumbuka Mungu, inaharibiwa bure, kana kwamba inauzwa kwa senti moja tu.
ਜਿੰਨਾ ਸਤਗੁਰੁ ਰਸਿ ਮਿਲੈ ਸੇ ਪੂਰੇ ਪੁਰਖ ਸੁਜਾਣ ॥
jinna satgur ras milai say pooray purakh sujaan.
They who are blessed with the pleasure of the company of the Guru are perfectly enlightened and sagacious person.
Wale ambao wamebarikiwa kwa raha ya hudhurio ya Guru wameangazwa kikamilifu na ni watu wenye busara.
ਗੁਰ ਮਿਲਿ ਭਉਜਲੁ ਲੰਘੀਐ ਦਰਗਹ ਪਤਿ ਪਰਵਾਣੁ ॥
gur mil bha-ojal langhee-ai dargeh pat parvaan.
Meeting with the Guru, they cross over the terrifying world-ocean of vices. In the Court of God, they are honored and approved.
Kwa kukutana na Guru, wanavuka bahari-dunia ya dhambi inayoogofya. Katika mahakama ya Mungu, wanaheshimika na kukubalika.
ਨਾਨਕ ਤੇ ਮੁਖ ਉਜਲੇ ਧੁਨਿ ਉਪਜੈ ਸਬਦੁ ਨੀਸਾਣੁ ॥੪॥੨੨॥
naanak tay mukh ujlay Dhun upjai sabad neesaan. ||4||22||
O’ Nanak, the faces of those persons shine with honor in whose mind arises and keep playing the tune (drum) of Divine Word.
Ee Nanak, nyuso za watu hao zinang’aa kwa heshima ambao akilini mwao kunaendelea kunachezwa nyimbo (ngoma) ya neno takatifu.
ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੧ ॥
sireeraag mehlaa 1.
Siree Raag, by the First Guru:
Siree Raag, na Guru wa kwanza:
ਵਣਜੁ ਕਰਹੁ ਵਣਜਾਰਿਹੋ ਵਖਰੁ ਲੇਹੁ ਸਮਾਲਿ ॥
vanaj karahu vanjaariho vakhar layho samaal.
O’ merchants, (humans) deal in the true merchandise (Naam)
Ee wafanyabiashara, (binadamu) jihusishe katika bidhaa ya kweli (Naam)
ਤੈਸੀ ਵਸਤੁ ਵਿਸਾਹੀਐ ਜੈਸੀ ਨਿਬਹੈ ਨਾਲਿ ॥
taisee vasat visaahee-ai jaisee nibhai naal
Buy those objects (good deeds) which will go along with you in the next world.
Nunua vitu hivyo (vitendo vizuri) ambavyo utaenda navyo katika dunia itakayofuata.
ਅਗੈ ਸਾਹੁ ਸੁਜਾਣੁ ਹੈ ਲੈਸੀ ਵਸਤੁ ਸਮਾਲਿ ॥੧॥
agai saahu sujaan hai laisee vasat samaal. ||1||
The Banker (God) in the next world is all wise. he will thoroughly test the commodity (your deeds) you wish to sell Him and make sure that it is genuine.
Mkurugenzi wa benki (Mungu) katika dunia itakayofuata ni mwenye busara zaidi. Atajaribu kwa makini bidhaa (vitendo vyako) unazotaka kumuuzia na kuhakikisha ni halisi.
ਭਾਈ ਰੇ ਰਾਮੁ ਕਹਹੁ ਚਿਤੁ ਲਾਇ ॥
bhaa-ee ray raam kahhu chit laa-ay.
O’ brothers, utter God’s Name with sincere and focused mind.
Ee ndugu, tamka jina la Mungu kwa akili waziwazi na iliyomakinika.
ਹਰਿ ਜਸੁ ਵਖਰੁ ਲੈ ਚਲਹੁ ਸਹੁ ਦੇਖੈ ਪਤੀਆਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
har jas vakhar lai chalhu saho daykhai patee-aa-ay. ||1|| rahaa-o.
Take the capital of God’s praise from this world. so that when the Master (God) sees it He is truly pleased.
Chukua rasilimali ya sifa za Mungu kutoka dunia hii, ndiposa wakati Bwana (Mungu) ataiona atafurahishwa mno.