ਰਾਗੁ ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ਘਰੁ ੫ ਪੜਤਾਲ
Raag Soohee Mehalaa 5 Ghar 5 Parrathaala
Raag Soohee, Fifth Gurul, Fifth beat, Partaal:
Raag Soohee, Guru wa Tano, mpigo wa Tano, Partaal:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
Ik Oankaar Sathigur Prasaadh ||
One Universal Creator God. By The Grace Of The True Guru:
Muumba Mungu Mmoja wa Ulimwengu. Kwa Neema ya Guru wa Kweli:
ਪ੍ਰੀਤਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਗੁਰੀਆ ਮੋਹਨ ਲਾਲਨਾ ॥
Preet Preeth Gureeaa Mohan Laalanaa ||
O’ brother! among all kinds of love in the world, the highest love is for the enticing beloved God
Ee ndugu! Kati ya aina zote za upendo duniani, upendo wa juu kabisa ni ya Mungu mpendwa anayevutia
ਜਪਿ ਮਨ ਗੋਬਿੰਦ ਏਕੈ ਅਵਰੁ ਨਹੀ ਕੋ ਲੇਖੈ ਸੰਤ ਲਾਗੁ ਮਨਹਿ ਛਾਡੁ ਦੁਬਿਧਾ ਕੀ ਕੁਰੀਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
Jap Man Gobindh Eaekai Avar Nehee Ko Laekhai Santh Laag Manehi Shhaadd Dhubidhhaa Kee Kureeaa ||1|| Rehaao ||
O’ my mind, meditate only on God, nothing else is approved in God’s presence; attune your mind to the teachings of the saints and abandon the path of duality. ||1||Pause||
Ee akili yangu, tafakari kuhusu Mungu pekee, hakuna kitu kingine kimeidhinishwa mbele ya Mungu; makinisha akili yako kwa mafundisho ya watakatifu na uache njia ya uwili. ||1||Sitisha||
ਨਿਰਗੁਨ ਹਰੀਆ ਸਰਗੁਨ ਧਰੀਆ ਅਨਿਕ ਕੋਠਰੀਆ ਭਿੰਨ ਭਿੰਨ ਭਿੰਨ ਭਿਨ ਕਰੀਆ ॥
Niragun Hareeaa Saragun Dhhareeaa Anik Kothareeaa Bhinn Bhinn Bhinn Bhin Kareeaa ||
The intangible God manifested himself in physical forms; He has fashioned countless bodies of many different forms.
Mungu asiyeweza kugusika alijidhihirisha katika miundo inayoonekana; Yeye ametengeneza miili isiyohesabika ya miungo mingi tofauti.
ਵਿਚਿ ਮਨ ਕੋਟਵਰੀਆ ॥
Vich Man Kottavareeaa ||
Within each body the mind is like the police officer;
Ndani mwa kila mwili akili ni kama polisi;
ਨਿਜ ਮੰਦਰਿ ਪਿਰੀਆ ॥
Nij Mandhar Pireeaa ||
The beloved God dwells in these bodies which are like His own temple,
Mungu mpendwa anaishi katika miili hii ambayo ni kama hekalu yake mwenyewe,
ਤਹਾ ਆਨਦ ਕਰੀਆ ॥
Thehaa Aanadh Kareeaa ||
and there He enjoys bliss.
Na hapo Yeye anafurahia raha tele.
ਨਹ ਮਰੀਆ ਨਹ ਜਰੀਆ ॥੧॥
Neh Mareeaa Neh Jareeaa ||1||
God does not die, and he never grows old. ||1||
Mungu hafi, na kamwe Yeye hazeeki.
ਕਿਰਤਨਿ ਜੁਰੀਆ ਬਹੁ ਬਿਧਿ ਫਿਰੀਆ ਪਰ ਕਉ ਹਿਰੀਆ ॥
Kirathan Jureeaa Bahu Bidhh Fireeaa Par Ko Hireeaa ||
The mortal remains engrossed in God’s creation and keeps wandering in various ways; he steals the property of others,
Binadamu anabaki amevama katika uumbaji wa Mungu na anaendelea kuzurura katika njia tofauti; yeye anaiba mali ya wengine,
ਬਿਖਨਾ ਘਿਰੀਆ ॥
Bikhanaa Ghireeaa ||
and remains surrounded by vices.
Na anasalia amezungukwa na maovu.
ਅਬ ਸਾਧੂ ਸੰਗਿ ਪਰੀਆ ॥
Ab Saadhhoo Sang Pareeaa ||
But when, he joins the the Company of the Guru
Lakini wakati, yeye anajiunga na Uandamano wa Guru
ਹਰਿ ਦੁਆਰੈ ਖਰੀਆ ॥
Har Dhuaarai Khareeaa ||
and stands in God’s presence,
na kusimama mbele ya Mungu,
ਦਰਸਨੁ ਕਰੀਆ ॥
Dharasan Kareeaa ||
He experiences the blessed vision of God,
Yeye anahisi mwono uliobarikiwa wa Mungu,
ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਮਿਰੀਆ ॥
Naanak Gur Mireeaa ||
O’ Nanak! one who meets the Guru;
Ee Nanak! Yule ambaye anakutana na Guru;
ਬਹੁਰਿ ਨ ਫਿਰੀਆ ॥੨॥੧॥੪੪॥
Bahur N Fireeaa ||2||1||44||
does not wander in the cycles of birth and death any more. ||2||1||44||
hazururi katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa tena.
ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
Soohee Mehalaa 5 ||
Raag Soohee, Fifth Guru:
Raag Soohee, Guru wa Tano:
ਰਾਸਿ ਮੰਡਲੁ ਕੀਨੋ ਆਖਾਰਾ ॥
Raas Manddal Keeno Aakhaaraa ||
God has created this universe like an arena to play with his creation,
Mungu ameumba ulimwengu huu kama medani ya kucheza na uumbaji wake,
ਸਗਲੋ ਸਾਜਿ ਰਖਿਓ ਪਾਸਾਰਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
Sagalo Saaj Rakhiou Paasaaraa ||1|| Rehaao ||
and He has kept embellished the entire expanse||1||Pause|
na Yeye amepamba upanuzi mzima. ||1||Sitisha||
ਬਹੁ ਬਿਧਿ ਰੂਪ ਰੰਗ ਆਪਾਰਾ ॥
Bahu Bidhh Roop Rang Aapaaraa ||
There are infinite forms of various colors and shapes in the world-arena.
Kuna miundo isiyo na mwisho ya rangi na maumbo tofauti katika medani-dunia.
ਪੇਖੈ ਖੁਸੀ ਭੋਗ ਨਹੀ ਹਾਰਾ ॥
Paekhai Khusee Bhog Nehee Haaraa ||
God watches over it with joy, and He never gets tired of enjoying it.
Mungu anautazama kwa furaha, na yeye kamwe hachoki kuufurahia.
ਸਭਿ ਰਸ ਲੈਤ ਬਸਤ ਨਿਰਾਰਾ ॥੧॥
Sabh Ras Laith Basath Niraaraa ||1||
God enjoys all the worldly delights and yet remains unattached. ||1||
Mungu anafurahia viburudisho vyote vya kidunia ila anabaki hajaambatishwa.
ਬਰਨੁ ਚਿਹਨੁ ਨਾਹੀ ਮੁਖੁ ਨ ਮਾਸਾਰਾ ॥
Baran Chihan Naahee Mukh N Maasaaraa ||
O’ God! You have no form, color, face or beard.
Ee Mungu! Wewe huna muundo wowote, rangi, uso au ndevu.
ਕਹਨੁ ਨ ਜਾਈ ਖੇਲੁ ਤੁਹਾਰਾ ॥
Kehan N Jaaee Khael Thuhaaraa ||
The worldly play created by You cannot be described.
Mchezo wa kidunia ulioumbwa na Wewe hauwezi kuelezwa.
ਨਾਨਕ ਰੇਣ ਸੰਤ ਚਰਨਾਰਾ ॥੨॥੨॥੪੫॥
Naanak Raen Santh Charanaaraa ||2||2||45||
O’ Nanak! Say, O’ God! I beg for the dust of the feet (humble service) of your saints. ||2||2||45||
Ee Nanak! Sema, Ee Mungu! Naomba mchanga wa miguu (huduma nyenyekevu) ya watakatifu wako.
ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
Soohee Mehalaa 5 ||
Raag Soohee, Fifth Guru:
Raag Soohee, Guru wa Tano:
ਤਉ ਮੈ ਆਇਆ ਸਰਨੀ ਆਇਆ ॥
Tho Mai Aaeiaa Saranee Aaeiaa ||
O’ God! I have come to You; yes, I have come to Your refuge,
Ee Mungu! Mimi nimekuja kwako Wewe; ndio, nimekuja kwa kimbilio chako,
ਭਰੋਸੈ ਆਇਆ ਕਿਰਪਾ ਆਇਆ ॥
Bharosai Aaeiaa Kirapaa Aaeiaa ||
I have come with this faith that You would bestow mercy.
Nimekuja na imani hii kwamba Wewe utatawaza huruma.
ਜਿਉ ਭਾਵੈ ਤਿਉ ਰਾਖਹੁ ਸੁਆਮੀ ਮਾਰਗੁ ਗੁਰਹਿ ਪਠਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
Jio Bhaavai Thio Raakhahu Suaamee Maarag Gurehi Pathaaeiaa ||1|| Rehaao ||
O’ my Master-God!, save me as You please; It is the Guru who has shown me this path (to unite with You). ||1||Pause||
Ee Bwana-Mungu wangu! Niokoe inavyokupendeza Wewe; ni Gutu ambaye amenionyesha njia hii (ya kuungana na Wewe). ||1||Sitisha||
ਮਹਾ ਦੁਤਰੁ ਮਾਇਆ ॥
Mehaa Dhuthar Maaeiaa ||
O’ God! this Maya, the worldly riches and power, is like an ocean which is very difficult to cross.
Ee Mungu! Maya hii, utajiri na mamlaka ya kidunia, ni kama bahari ambayo ni ngumu sana kuvuka.
ਜੈਸੇ ਪਵਨੁ ਝੁਲਾਇਆ ॥੧॥
Jaisae Pavan Jhulaaeiaa ||1||
Just as the violent wind-storm pushes people around, similarly In this ocean the worldly allurements push people around. ||1||
Kama vile dhoruba kali ya upepo inasukuma watu kote, vivyo hivyo katika bahari hii vivutio vya kidunia vinasukuma watu kote.
ਸੁਨਿ ਸੁਨਿ ਹੀ ਡਰਾਇਆ ॥ ਕਰਰੋ ਧ੍ਰਮਰਾਇਆ ॥੨॥
Sun Sun Hee Ddaraaeiaa || Kararo Dhhramaraaeiaa ||2||
O’ God, just upon hearing again and again that the judge of righteousness (who decides our fate) is very strict, I am terrified
Ee Mungu, kwa kusikiliza tu tena na tena kwamba hakimu wa haki (anayeamua hatima yetu) ni mkali sana, ninapata hofu
ਗ੍ਰਿਹ ਅੰਧ ਕੂਪਾਇਆ ॥
Grih Andhh Koopaaeiaa ||
O’God! this world is like a deep-dark pit;
Ee Mungu! Dunia hii ni kama shimo wenye kina na giza;
ਪਾਵਕੁ ਸਗਰਾਇਆ ॥੩॥
Paavak Sagaraaeiaa ||3||
which is totally filled with the fire of worldly desires. ||3||
ambalo limejawa kabisa na moto wa hamu za kidunia.
ਗਹੀ ਓਟ ਸਾਧਾਇਆ ॥ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਧਿਆਇਆ ॥
Gehee Outt Saadhhaaeiaa ||Naanak Har Dhhiaaeiaa ||
O’ Nanak, say, O’ God, since the time I have grasped the Guru’s support, I am remembering God with loving devotion,
Ee Nanak, sema, Ee Mungu, tangu wakati nimeshika tegemezo ya Guru, ninamkumbuka Mungu kwa ujitoaji wa upendo,
ਅਬ ਮੈ ਪੂਰਾ ਪਾਇਆ ॥੪॥੩॥੪੬॥
Ab Mai Pooraa Paaeiaa ||4||3||46||
and now, I have realized the perfect God. ||4||3||46||
na sasa, nimegundua Mungu kamili.
ਰਾਗੁ ਸੂਹੀ ਮਹਲਾ ੫ ਘਰੁ ੬
Raag Soohee Mehalaa 5 Ghar 6
Raag Soohee, Fifth Guru, Sixth Beat:
Raag Soohee, Guru wa Tano, Mpigo wa Sita:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
Ik Oankaar Sathigur Prasaadh ||
One eternal God, realized by the grace of the True Guru:
Mungu Mmoja wa milele, anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa Kweli:
ਸਤਿਗੁਰ ਪਾਸਿ ਬੇਨੰਤੀਆ ਮਿਲੈ ਨਾਮੁ ਆਧਾਰਾ ॥
Sathigur Paas Baenantheeaa Milai Naam Aadhhaaraa ||
I offer this prayer to the True Guru that I may be blessed with Naam, the support of my life.
Ninawasilisha ombi hili kwa Guru wa Kweli kwamba niweze kubarikiwa na Naam, tegemezo ya maisha yangu.
ਤੁਠਾ ਸਚਾ ਪਾਤਿਸਾਹੁ ਤਾਪੁ ਗਇਆ ਸੰਸਾਰਾ ॥੧॥
Thuthaa Sachaa Paathisaahu Thaap Gaeiaa Sansaaraa ||1||
The eternal God, the sovereign king became gracious and all my worldly afflictions vanished. ||1||
Mungu wa milele, mfalme mwenye enzi kuu alikuwa mwenye neema na magonjwa yangu yote ya kidunia yalipotea.
ਭਗਤਾ ਕੀ ਟੇਕ ਤੂੰ ਸੰਤਾ ਕੀ ਓਟ ਤੂੰ ਸਚਾ ਸਿਰਜਨਹਾਰਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
Bhagathaa Kee Ttaek Thoon Santhaa Kee Outt Thoon Sachaa Sirajanehaaraa ||1|| Rehaao ||
O’ the eternal Creator-God! You are the support of Your devotees and refuge of the saints. ||1||Pause||
Ee Muumba-Mungu wa milele! Wewe ndiwe tegemezo ya watawa wako na kimbilio cha watakatifu. ||1||Sitisha||
ਸਚੁ ਤੇਰੀ ਸਾਮਗਰੀ ਸਚੁ ਤੇਰਾ ਦਰਬਾਰਾ ॥
Sach Thaeree Saamagaree Sach Thaeraa Dharabaaraa ||
O’ God, everlasting are Your provisions for the world and eternal is Your system of justice.
Ee Mungu, maandalizi yako kwa dunia ni ya milele na mfumo wako wa haki ni wa milele.
ਸਚੁ ਤੇਰੇ ਖਾਜੀਨਿਆ ਸਚੁ ਤੇਰਾ ਪਾਸਾਰਾ ॥੨॥
Sach Thaerae Khaajeeniaa Sach Thaeraa Paasaaraa ||2||
Your treasures are always full, and eternal is Your expanse. ||2||
Hazina zako daima zimejaa, na upanuzi wako ni wa milele.
ਤੇਰਾ ਰੂਪੁ ਅਗੰਮੁ ਹੈ ਅਨੂਪੁ ਤੇਰਾ ਦਰਸਾਰਾ ॥
Thaeraa Roop Aganm Hai Anoop Thaeraa Dharasaaraa ||
O’ God, incomprehensible is Your form and incomparable is Your blessed vision.
Ee Mungu, muundo wako hauwezi kueleweka na mwono wako uliobarikiwa hauwezi kufananishwa.
ਹਉ ਕੁਰਬਾਣੀ ਤੇਰਿਆ ਸੇਵਕਾ ਜਿਨ੍ਹ੍ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਪਿਆਰਾ ॥੩॥
Ho Kurabaanee Thaeriaa Saevakaa Jinh Har Naam Piaaraa ||3||
O’ God! I am dedicated to those devotees of Yours, to whom your name is pleasing. ||3||
Ee Mungu! Nimewekwa wakfu kwa watawa hao Wako, ambao kwao Jina lako linapendeza.