ਸਭਿ ਜੀਅ ਤੇਰੇ ਤੂ ਸਭਸ ਦਾ ਤੂ ਸਭ ਛਡਾਹੀ ॥੪॥
sabh jee-a tayray too sabhas daa too sabh chhadaahee. ||4||
All beings are Yours; You belong to all. You deliver all from the vices.||4||
Viumbe Vyote ni vyako; Wewe ni wa yote. Unakomboa wote kutokana na dhambi.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਸੁਣਿ ਸਾਜਨ ਪ੍ਰੇਮ ਸੰਦੇਸਰਾ ਅਖੀ ਤਾਰ ਲਗੰਨਿ ॥
sun saajan paraym sandaysraa akhee taar lagann.
Upon listening the message of love from the beloved God, they eagerly long for the sight of God.
Katika kuskiza ujumbe wa upendo kutoka kwa mpendwa Mungu, wanasubiri kwa hamu uoni wa Mungu.
ਗੁਰਿ ਤੁਠੈ ਸਜਣੁ ਮੇਲਿਆ ਜਨ ਨਾਨਕ ਸੁਖਿ ਸਵੰਨਿ ॥੧॥
gur tuthai sajan mayli-aa jan naanak sukh savann. ||1||
O’ Nanak, becoming gracious, the Guru has united them with their friend God, and now they live in peace||1||
O’ Nanak, kwa kuwa mwenye neema, Guru amewaunganisha na rafikiye Mungu, na sasa wanaishi kwa amani.
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਸਤਿਗੁਰੁ ਦਾਤਾ ਦਇਆਲੁ ਹੈ ਜਿਸ ਨੋ ਦਇਆ ਸਦਾ ਹੋਇ ॥
satgur daataa da-i-aal hai jis no da-i-aa sadaa ho-ay.
The benefactor True Guru is merciful and always feel compassion for others.
Mfadhili Guru wa kweli ni rahimu na mwenye huruma kwa wengine.
ਸਤਿਗੁਰੁ ਅੰਦਰਹੁ ਨਿਰਵੈਰੁ ਹੈ ਸਭੁ ਦੇਖੈ ਬ੍ਰਹਮੁ ਇਕੁ ਸੋਇ ॥
satgur andrahu nirvair hai sabh daykhai barahm ik so-ay.
The True Guru has no hatred within Him; He beholds the One God in all.
Guru wa Kweli hana chuki ndani yake; Anatahamaki Mungu mmoja kwa yote.
ਨਿਰਵੈਰਾ ਨਾਲਿ ਜਿ ਵੈਰੁ ਚਲਾਇਦੇ ਤਿਨ ਵਿਚਹੁ ਤਿਸਟਿਆ ਨ ਕੋਇ ॥
nirvairaa naal je vair chalaa-iday tin vichahu tisti-aa na ko-ay.
Anyone who directs hate against the One who has no hate, shall never be satisfied within.
Yeyote anayeangazia chuki dhidi ya yule asiye ya chuki, kamwe hatakuwa na uradhi ndani yake.
ਸਤਿਗੁਰੁ ਸਭਨਾ ਦਾ ਭਲਾ ਮਨਾਇਦਾ ਤਿਸ ਦਾ ਬੁਰਾ ਕਿਉ ਹੋਇ ॥
satgur sabhnaa daa bhalaa manaa-idaa tis daa buraa ki-o ho-ay.
The True Guru wishes everyone well; how can anything bad happen to Him?
Guru wa kweli anatumaini wema kwa kila mmoja; ni kipi kibaya kitakachomfanyikia.
ਸਤਿਗੁਰ ਨੋ ਜੇਹਾ ਕੋ ਇਛਦਾ ਤੇਹਾ ਫਲੁ ਪਾਏ ਕੋਇ ॥
satgur no jayhaa ko ichh-daa tayhaa fal paa-ay ko-ay.
With whatever kind of wishes one goes to the Guru, so is the reward he gets.
Kwa kila matakwa mmoja anayomwendea Guru nayo, anapata thawabu hiyo hiyo.
ਨਾਨਕ ਕਰਤਾ ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਜਾਣਦਾ ਜਿਦੂ ਕਿਛੁ ਗੁਝਾ ਨ ਹੋਇ ॥੨॥
naanak kartaa sabh kichh jaandaa jidoo kichh gujhaa na ho-ay. ||2||
O Nanak, the Creator knows everything; nothing is hidden from Him. ||2||
O Nanak, Muumba anajua kila kitu; hakuna kilichojificha kwake.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
0
ਜਿਸ ਨੋ ਸਾਹਿਬੁ ਵਡਾ ਕਰੇ ਸੋਈ ਵਡ ਜਾਣੀ ॥
jis no saahib vadaa karay so-ee vad jaanee.
The soul-bride whom the Master-God makes great, know that one to be truly great.
Bi harusi-roho ambaye Bwana Mungu anamfanya mkuu, hufahamu yeye kuwa mkuu kwa kweli.
ਜਿਸੁ ਸਾਹਿਬ ਭਾਵੈ ਤਿਸੁ ਬਖਸਿ ਲਏ ਸੋ ਸਾਹਿਬ ਮਨਿ ਭਾਣੀ ॥
jis saahib bhaavai tis bakhas la-ay so saahib man bhaanee.
God forgives whomever He wishes, and that one becomes pleasing to Him
Mungu husamehe yeyote anayedhamiria, naye anakuwa mwenye kupendeza kwake.
ਜੇ ਕੋ ਓਸ ਦੀ ਰੀਸ ਕਰੇ ਸੋ ਮੂੜ ਅਜਾਣੀ ॥
jay ko os dee rees karay so moorh ajaanee.
One who rivals that blessed person is an ignorant fool.
Yule anayehasimu analiyebarikiwa ni mpumbavu mjinga.
ਜਿਸ ਨੋ ਸਤਿਗੁਰੁ ਮੇਲੇ ਸੁ ਗੁਣ ਰਵੈ ਗੁਣ ਆਖਿ ਵਖਾਣੀ ॥
jis no satgur maylay so gun ravai gun aakh vakhaanee.
Whom the true Guru unites with God, sings His praises and describes His virtues.
Ambaye Guru wa kweli huunganisha na Mungu, huimba sifa zake na kueleza maadili yake.
ਨਾਨਕ ਸਚਾ ਸਚੁ ਹੈ ਬੁਝਿ ਸਚਿ ਸਮਾਣੀ ॥੫॥
naanak sachaa sach hai bujh sach samaanee. ||5||
O’ Nanak, God alone is eternal; one who understands Him, merges in God.
O’Nanak, Mungu pekee ni wa milele; anayemwelewa, huungana na Mungu.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਹਰਿ ਸਤਿ ਨਿਰੰਜਨ ਅਮਰੁ ਹੈ ਨਿਰਭਉ ਨਿਰਵੈਰੁ ਨਿਰੰਕਾਰੁ ॥
har sat niranjan amar hai nirbha-o nirvair nirankaar.
Immaculate, eternal and formless God is true and not an illusion, He has no fear and no enmity.
Safi, wa milele na asiyeumbwa Mungu ni wa kweli na sio mauzauza, haogopi na hana mpinzani.
ਜਿਨ ਜਪਿਆ ਇਕ ਮਨਿ ਇਕ ਚਿਤਿ ਤਿਨ ਲਥਾ ਹਉਮੈ ਭਾਰੁ ॥
jin japi-aa ik man ik chit tin lathaa ha-umai bhaar.
Those who have meditated on Him with single-minded devotion, their burden of ego has been removed.
Wale waliotafakari juu yake kwa ujitoaji kimungu wa umoja wa fikira, mizigo yao ya kujiona umeondolewa.
ਜਿਨ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਆਰਾਧਿਆ ਤਿਨ ਸੰਤ ਜਨਾ ਜੈਕਾਰੁ ॥
jin gurmukh har aaraaDhi-aa tin sant janaa jaikaar.
Those who lovingly worship and adore God through the Guru’s teachings are hailed everywhere.
Wale ambao wanamwambudu na kusujudu Mungu kwa upendo kwa njia ya mafunzo yake Guru, wanashangiliwa kote.
ਕੋਈ ਨਿੰਦਾ ਕਰੇ ਪੂਰੇ ਸਤਿਗੁਰੂ ਕੀ ਤਿਸ ਨੋ ਫਿਟੁ ਫਿਟੁ ਕਹੈ ਸਭੁ ਸੰਸਾਰੁ ॥
ko-ee nindaa karay pooray satguroo kee tis no fit fit kahai sabh sansaar.
If someone slanders the perfect true Guru is cursed by the entire world.
Iwapo mmoja atakejeli usawa wa Guru wa kweli, amelaaniwa na dunia mzima.
ਸਤਿਗੁਰ ਵਿਚਿ ਆਪਿ ਵਰਤਦਾ ਹਰਿ ਆਪੇ ਰਖਣਹਾਰੁ ॥
satgur vich aap varatdaa har aapay rakhanhaar.
God Himself dwells within the True Guru and He Himself is his Protector.
Mungu Mwenyewe anaishi ndani ya Guru wa kweli naye Mwenyewe ndiwe mlinzi wake.
ਧਨੁ ਧੰਨੁ ਗੁਰੂ ਗੁਣ ਗਾਵਦਾ ਤਿਸ ਨੋ ਸਦਾ ਸਦਾ ਨਮਸਕਾਰੁ ॥
Dhan Dhan guroo gun gaavdaa tis no sadaa sadaa namaskaar.
Blessed is the Guru who always sings praises of God, and I always bow to him.
Kubarikiwa ni Guru ambaye kila wakati huimba sifa za Mungu, nami kila wakati naimuinamia.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਤਿਨ ਕਉ ਵਾਰਿਆ ਜਿਨ ਜਪਿਆ ਸਿਰਜਣਹਾਰੁ ॥੧॥
jan naanak tin ka-o vaari-aa jin japi-aa sirjanhaar. ||1||
O’ Nanak, I dedicate myself to those devotees who have lovingly meditated on the Creator. ||1||
Ee Nanak, natabaruki kwa waliojiwasilisha waliotafakari kwa upendo juu ya Muumba
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਆਪੇ ਧਰਤੀ ਸਾਜੀਅਨੁ ਆਪੇ ਆਕਾਸੁ ॥
aapay Dhartee saajee-an aapay aakaas.
God Himself has made the earth and the sky.
Mungu mwenyewe ameumba anga na ulimwengu.
ਵਿਚਿ ਆਪੇ ਜੰਤ ਉਪਾਇਅਨੁ ਮੁਖਿ ਆਪੇ ਦੇਇ ਗਿਰਾਸੁ ॥
vich aapay jant upaa-i-an mukh aapay day-ay giraas.
He himself has created the beings in the universe and He Himself provides sustenance to all.
Yeye Mwenyewe ameumba viumbe katika ulimwengu na yeye Mwenyewe hudumisha yote.
ਸਭੁ ਆਪੇ ਆਪਿ ਵਰਤਦਾ ਆਪੇ ਹੀ ਗੁਣਤਾਸੁ ॥
sabh aapay aap varatdaa aapay hee guntaas.
He Himself is all-pervading and He Himself is the Treasure of virtues.
Yeye Mwenyewe ni mwenye nguvu zote na yeye Mwenyewe ndiye hazina ya fadhila.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਧਿਆਇ ਤੂ ਸਭਿ ਕਿਲਵਿਖ ਕਟੇ ਤਾਸੁ ॥੨॥
jan naanak naam Dhi-aa-ay too sabh kilvikh katay taas. ||2||
O’ Nanak, lovingly meditate on God’s Name, because the one who does so, God eradicates all his sins. ||2||
O’ Nanak, kwa upendo tafakari juu ya jina la Mungu, kwa kuwa anayetenda hivyo, Mungu huondoa dhambi zake zote.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
0
ਤੂ ਸਚਾ ਸਾਹਿਬੁ ਸਚੁ ਹੈ ਸਚੁ ਸਚੇ ਭਾਵੈ ॥
too sachaa saahib sach hai sach sachay bhaavai.
O’ God, You are the true and eternal Master and You love nothing but truth.
Ee Mungu, Wewe ndiye mkweli na Bwana milele na hupendi lingine ila ukweli.
ਜੋ ਤੁਧੁ ਸਚੁ ਸਲਾਹਦੇ ਤਿਨ ਜਮ ਕੰਕਰੁ ਨੇੜਿ ਨ ਆਵੈ ॥
jo tuDh sach salaahday tin jam kankar nayrh na aavai.
O’ God, they who sing Your praises, even the fear of death does not bother them.
Ee Mungu, wanaoimba sifa zako, hata hofu ya kifo haiwasumbui kamwe.
ਤਿਨ ਕੇ ਮੁਖ ਦਰਿ ਉਜਲੇ ਜਿਨ ਹਰਿ ਹਿਰਦੈ ਸਚਾ ਭਾਵੈ ॥
tin kay mukh dar ujlay jin har hirdai sachaa bhaavai.
They who adore God from their heart are honored in the divine court.
Wale wanaoabudu Mungu kutoka kwa moyo wao, wanastahika katika mahakama ya kimungu.
ਕੂੜਿਆਰ ਪਿਛਾਹਾ ਸਟੀਅਨਿ ਕੂੜੁ ਹਿਰਦੈ ਕਪਟੁ ਮਹਾ ਦੁਖੁ ਪਾਵੈ ॥
koorhi-aar pichhaahaa satee-an koorh hirdai kapat mahaa dukh paavai.
The false ones are left behind; because of the falsehood and deceit in their hearts, they suffer in terrible pain.
Wale walaghai huwachwa nyuma; sababu ya ragai na hila iliyo ndani ya roho zao, wanateseka katika uchungu mwingi.
ਮੁਹ ਕਾਲੇ ਕੂੜਿਆਰੀਆ ਕੂੜਿਆਰ ਕੂੜੋ ਹੋਇ ਜਾਵੈ ॥੬॥
muh kaalay koorhi-aaree-aa koorhi-aar koorho ho-ay jaavai. ||6||
The false ones are disgraced, because their falsehood is exposed there. ||6||
Wale walaghai wanafedheheshwa , sababu ragai zao zinafichuliwa hapa.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਸਤਿਗੁਰੁ ਧਰਤੀ ਧਰਮ ਹੈ ਤਿਸੁ ਵਿਚਿ ਜੇਹਾ ਕੋ ਬੀਜੇ ਤੇਹਾ ਫਲੁ ਪਾਏ ॥
satgur Dhartee Dharam hai tis vich jayhaa ko beejay tayhaa fal paa-ay.
True Guru is like a field of righteousness in which what one sows, one obtains the fruit accordingly.
Guru wa kweli ni kama uga wa uadilifu amba mmoja hupanda, mmoja hupata matunda vipasavyo.
ਗੁਰਸਿਖੀ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਬੀਜਿਆ ਤਿਨ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਫਲੁ ਹਰਿ ਪਾਏ ॥
gursikhee amrit beeji-aa tin amrit fal har paa-ay.
The Guru’s disciples have sown the nectar-like seed of Naam, they have reaped the nectar-like fruit of God’s grace.
Wafuasi wa Guru wamepanda mbegu ya Naam iliyo kama maji matamu, wamevuna tunda tamu la neema ya Mungu.
ਓਨਾ ਹਲਤਿ ਪਲਤਿ ਮੁਖ ਉਜਲੇ ਓਇ ਹਰਿ ਦਰਗਹ ਸਚੀ ਪੈਨਾਏ ॥
onaa halat palat mukh ujlay o-ay har dargeh sachee painaa-ay.
They obtain glory in this world and the next, and are honored in God’s court
Wanapata utukufu katika ulimwengu huu na ujao, na wanastahika katika mahakama ya Mungu.
ਇਕਨ੍ਹ੍ਹਾ ਅੰਦਰਿ ਖੋਟੁ ਨਿਤ ਖੋਟੁ ਕਮਾਵਹਿ ਓਹੁ ਜੇਹਾ ਬੀਜੇ ਤੇਹਾ ਫਲੁ ਖਾਏ ॥
iknHaa andar khot nit khot kamaaveh oh jayhaa beejay tayhaa fal khaa-ay.
On the other hand, there are some who have falsehood in their hearts, and they always act maliciously. As they sow, so is the fruit they reap.
Kwa upande mwingine, kuna walio na ulaghai ndani ya mioyo yao,na wanatenda matendo maovu. Kama wanavyopanda, hivyo ndivyo wanavuna.