Swahili Page 222

ਤਨਿ ਮਨਿ ਸੂਚੈ ਸਾਚੁ ਸੁ ਚੀਤਿ ॥
tan man soochai saach so cheet.
By enshrining eternal God in their heart, their body and mind are rendered immaculate.
Kwa kuthamini Mungu wa milele moyoni mwao, mwili na akili yao inafanywa kuwa safi.

ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਭਜੁ ਨੀਤਾ ਨੀਤਿ ॥੮॥੨॥
naanak har bhaj neetaa neet. ||8||2||
O’ Nanak, you too, should always meditate on God. ||8||2||
Ee Nanak, wewe pia, unafaa kutafakari daima kuhusu Mungu.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੧ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 1.
Raag Gauree Gwaarayree, First Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Kwanza:

ਨਾ ਮਨੁ ਮਰੈ ਨ ਕਾਰਜੁ ਹੋਇ ॥
naa man marai na kaaraj ho-ay.
The human life’s objective of uniting with God can’t be achieved until the mind surrenders its ego and becomes free from the worldly desires.
Lengo la maisha ya binadamu la kuungana na Mungu haliwezi kutimizwa mpaka akili isalimishe ubinafsi wake na ukuwe huru kutoka hamu za kidunia.

ਮਨੁ ਵਸਿ ਦੂਤਾ ਦੁਰਮਤਿ ਦੋਇ ॥
man vas dootaa durmat do-ay.
But as long as the mind is in the grip of vices and duality, it can’t be free.
Lakini ili mradi akili ipo katika mshiko wa maovu na uwili, haiwezi kuwa huru.

ਮਨੁ ਮਾਨੈ ਗੁਰ ਤੇ ਇਕੁ ਹੋਇ ॥੧॥
man maanai gur tay ik ho-ay. ||1||
When the mind accepts the Guru’s teachings, it becomes one with God. ||1||
Wakati akili inakubali mafundisho ya Guru, inaungana na Mungu.

ਨਿਰਗੁਣ ਰਾਮੁ ਗੁਣਹ ਵਸਿ ਹੋਇ ॥
nirgun raam gunah vas ho-ay.
The intangible God is swayed by the virtues of a person
Mungu asiyeweza kushikika anashawishiwa na fadhila za mtu.

ਆਪੁ ਨਿਵਾਰਿ ਬੀਚਾਰੇ ਸੋਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
aap nivaar beechaaray so-ay.||1|| rahaa-o.
who eliminates self-conceit and meditates on God. ||1||Pause||
Anayeondoa majivuno binafsi na kutafakari kuhusu Mungu. ||1||Sitisha||

ਮਨੁ ਭੂਲੋ ਬਹੁ ਚਿਤੈ ਵਿਕਾਰੁ ॥
man bhoolo baho chitai vikaar.
A deluded mind thinks of all sorts of evils.
Akili iliyodanganywa inafikiria aina yote ya maovu.

ਮਨੁ ਭੂਲੋ ਸਿਰਿ ਆਵੈ ਭਾਰੁ ॥
man bhoolo sir aavai bhaar.
The deluded mind continues to amass the load of sins.
Akili iliyodanganywa inaendelea kukusanya dhambi nyingi.

ਮਨੁ ਮਾਨੈ ਹਰਿ ਏਕੰਕਾਰੁ ॥੨॥
man maanai har aykankaar. ||2||
But when the mind accepts the Guru’s teachings and sings God’s praises, it becomes one with God. ||2||
Lakini wakati akili inakubali mafundisho ya Guru na kuimba sifa za Mungu, inaungana na Mungu.

ਮਨੁ ਭੂਲੋ ਮਾਇਆ ਘਰਿ ਜਾਇ ॥
man bhoolo maa-i-aa ghar jaa-ay.
The deluded mind falls into the trap of Maya.
Akili iliyodanganywa inaanguka kwenye mtego wa Maya.

ਕਾਮਿ ਬਿਰੂਧਉ ਰਹੈ ਨ ਠਾਇ ॥
kaam birooDha-o rahai na thaa-ay.
Entangled in lust, it does not remain steady and does not think righteously.
Ikinaswa katika ukware, haibaki thabiti wala haifikirii kiadilifu.

ਹਰਿ ਭਜੁ ਪ੍ਰਾਣੀ ਰਸਨ ਰਸਾਇ ॥੩॥
har bhaj paraanee rasan rasaa-ay. ||3||
O’ mortal, lovingly recite God’s Name. ||3||
Ee binadamu, kariri Jina la Mungu kwa upendo.

ਗੈਵਰ ਹੈਵਰ ਕੰਚਨ ਸੁਤ ਨਾਰੀ ॥
gaivar haivar kanchan sut naaree.
One who is emotionally attached to the family and worldly possessions,
Yule ambaye amejiambatisha kihisia kwa familia na miliki ya kidunia,

ਬਹੁ ਚਿੰਤਾ ਪਿੜ ਚਾਲੈ ਹਾਰੀ ॥
baho chintaa pirh chaalai haaree.
remains in great stress and departs from the world after losing the battle of life.
Anabaki katika mfadhaiko kuu na anaondoka duniani baada ya kupoteza vita vya maisha.

ਜੂਐ ਖੇਲਣੁ ਕਾਚੀ ਸਾਰੀ ॥੪॥
joo-ai khaylan kaachee saaree. ||4||
In the game of life, he does not achieve his aim of uniting with God. ||4||
Katika mchezo wa maisha, yeye hatimizi lengo lake la kuungana na Mungu.

ਸੰਪਉ ਸੰਚੀ ਭਏ ਵਿਕਾਰ ॥
sampa-o sanchee bha-ay vikaar.
One amasses worldly wealth but only evil comes out of it and
Mtu anakusanya utajiri wa kidunia lakini maovu tu yanatoka humo na

ਹਰਖ ਸੋਕ ਉਭੇ ਦਰਵਾਰਿ ॥
harakh sok ubhay darvaar.
he continually experiences ups and downs of life.
Mara kwa mara anapata panda-shuka za maisha.

ਸੁਖੁ ਸਹਜੇ ਜਪਿ ਰਿਦੈ ਮੁਰਾਰਿ ॥੫॥
sukh sehjay jap ridai muraar. ||5||
However, by meditating on God with devotion, one intuitively enjoys peace. ||5||
Hata hivyo, kwa kutafakari kuhusu Mungu kwa kujitolea, mtu anafurahia amani kwa hisia na silika.

ਨਦਰਿ ਕਰੇ ਤਾ ਮੇਲਿ ਮਿਲਾਏ ॥
nadar karay taa mayl milaa-ay.
When God bestows His grace, He unites one with the Guru.
Wakati Mungu anatawaza huruma yake, Yeye anaunganisha mtu na Guru.

ਗੁਣ ਸੰਗ੍ਰਹਿ ਅਉਗਣ ਸਬਦਿ ਜਲਾਏ ॥
gun sangrahi a-ugan sabad jalaa-ay.
By following the Guru’s teachings, such a person, then gathers virtues and burns off his vices.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, mtu kama huyo, anakusanya fadhila na kuteketeza maovu yake

ਗੁਰਮੁਖਿ ਨਾਮੁ ਪਦਾਰਥੁ ਪਾਏ ॥੬॥
gurmukh naam padaarath paa-ay. ||6||
This way, he receives the precious wealth of Naam through the Guru. ||6||
Kwa njia hii, yeye anapokea utajiri wa Naam wenye thamani kupitia kwa Guru.

ਬਿਨੁ ਨਾਵੈ ਸਭ ਦੂਖ ਨਿਵਾਸੁ ॥
bin naavai sabh dookh nivaas.
Without meditating on God’s Name, one remains afflicted with sorrows.
Bila kutafakari kuhusu Jina la Mungu, mtu anabaki ameathiriwa na huzuni.

ਮਨਮੁਖ ਮੂੜ ਮਾਇਆ ਚਿਤ ਵਾਸੁ ॥
manmukh moorh maa-i-aa chit vaas.
The mind of a self-conceited fool remains absorbed in Maya.
Akili ya mpumbavu mwenye majivuno binafsi inabaki imevama katika Maya.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਗਿਆਨੁ ਧੁਰਿ ਕਰਮਿ ਲਿਖਿਆਸੁ ॥੭॥
gurmukh gi-aan Dhur karam likhi-aas. ||7||
One attains spiritual wisdom from the Guru as per his preordained destiny. ||7||
Mtu anapata hekima ya kiroho kutoka kwa Guru kulingana na hatima yake iliyoagiziwa mapema.

ਮਨੁ ਚੰਚਲੁ ਧਾਵਤੁ ਫੁਨਿ ਧਾਵੈ ॥
man chanchal Dhaavat fun Dhaavai.
The fickle mind, devoid of virtues continuously runs after fleeting things.
Akili isiyo na msimamo, ambayo haina fadhila inakimbilia vitu visivyodumu bila mwisho.

ਸਾਚੇ ਸੂਚੇ ਮੈਲੁ ਨ ਭਾਵੈ ॥
saachay soochay mail na bhaavai.
The eternal and immaculate God is not pleased with the one whose mind is soiled with the filth of vices.
Mungu safi na wa milele hapendezwi na yule ambaye akili yake imechafuliwa kwa uchafu wa dhambi.

ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਵੈ ॥੮॥੩॥
naanak gurmukh har gun gaavai. ||8||3||
O’ Nanak, one who takes the Guru’s advice, always sings praises of God. ||8||3||
Ee Nanak, yule anayechukua ushauri wa Guru, daima anaimba sifa za Mungu.

ਗਉੜੀ ਗੁਆਰੇਰੀ ਮਹਲਾ ੧ ॥
ga-orhee gu-aarayree mehlaa 1.
Raag Gauree Gwaarayree, First Guru:
Raag Gauree Gwaarayree, Guru wa Kwanza:

ਹਉਮੈ ਕਰਤਿਆ ਨਹ ਸੁਖੁ ਹੋਇ ॥
ha-umai karti-aa nah sukh ho-ay.
Peace is never obtained by acting in egotism.
Amani kamwe haipatwi kwa kutenda katika ubinafsi.

ਮਨਮਤਿ ਝੂਠੀ ਸਚਾ ਸੋਇ ॥
manmat jhoothee sachaa so-ay.
God is all true and everlasting but mind is attracted towards short lived worldly things.
Mungu ni wa kweli na anadumu milele lakini akili yangu imevutiwa kwa vitu vya kidunia visivyodumu.

ਸਗਲ ਬਿਗੂਤੇ ਭਾਵੈ ਦੋਇ ॥
sagal bigootay bhaavai do-ay.
All who love duality (worldly things, instead of God) are ruined.
Wote wanaopenda uwili (vitu vya kidunia badala ya Mungu) wanaangamizwa.

ਸੋ ਕਮਾਵੈ ਧੁਰਿ ਲਿਖਿਆ ਹੋਇ ॥੧॥
so kamaavai Dhur likhi-aa ho-ay. ||1||
One does, only what is preordained. ||1||
Mtu anatenda, tu kile ambacho kimeagiziwa mapema.

ਐਸਾ ਜਗੁ ਦੇਖਿਆ ਜੂਆਰੀ ॥
aisaa jag daykhi-aa joo-aaree.
I have seen the world at play with such a game that
Nimeona dunia ukicheza kwa mchezo kama huo kwamba

ਸਭਿ ਸੁਖ ਮਾਗੈ ਨਾਮੁ ਬਿਸਾਰੀ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
sabh sukh maagai naam bisaaree. ||1|| rahaa-o.
it forsakes God and asks for all kinds of comforts from Him. ||1||Pause||
inamwacha Mungu na kuulizia aina yote ya starehe kutoka Kwake. ||1||Sitisha||

ਅਦਿਸਟੁ ਦਿਸੈ ਤਾ ਕਹਿਆ ਜਾਇ ॥
adisat disai taa kahi-aa jaa-ay.
If the Unseen God is seen, then alone, His description is complete.
Iwapo Mungu asiyeonekana aweze kuonekana, basi wakati huo pekee, ndio maelezo yake yamekamilika.

ਬਿਨੁ ਦੇਖੇ ਕਹਣਾ ਬਿਰਥਾ ਜਾਇ ॥
bin daykhay kahnaa birthaa jaa-ay.
Without actually seeing Him, anything said in His praise is in vain.
Bila kumuona Yeye haswa, chochote kinachosemwa katika kumsifu Yeye ni bure.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਦੀਸੈ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਇ ॥
gurmukh deesai sahj subhaa-ay.
However, by following the Guru, one intuitively perceives God.
Hata hivyo, kwa kufuata Guru, mtu anafahamu Mungu kwa hisia na silika.

ਸੇਵਾ ਸੁਰਤਿ ਏਕ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥੨॥
sayvaa surat ayk liv laa-ay. ||2||
He concentrates on devotional service prescribed by the Guru and gets attuned to God. ||2||
Yeye anamakinika kwa huduma ya kujitolea iliyoagizwa na Guru na anamakinikia Mungu.

ਸੁਖੁ ਮਾਂਗਤ ਦੁਖੁ ਆਗਲ ਹੋਇ ॥
sukh maaNgat dukh aagal ho-ay.
Forsaking Naam and asking for peace, one gains only more sorrow,
Kwa kuacha Naam na kuulizia amani, mtu anapata huzuni zaidi tu,

ਸਗਲ ਵਿਕਾਰੀ ਹਾਰੁ ਪਰੋਇ ॥
sagal vikaaree haar paro-ay.
because he indulges in all the vices, as if decorating himself with a necklace of sins.
Kwa sababu anajishughulisha katika maovu yote, kana kwamba anajipamba kwa mkufu wa dhambi.

ਏਕ ਬਿਨਾ ਝੂਠੇ ਮੁਕਤਿ ਨ ਹੋਇ ॥
ayk binaa jhoothay mukat na ho-ay.
Without remembering God and remaining in love with duality, there is no deliverance from the vices.
Bila kumkumbuka Mungu na kubaki katika upendo wa uwili, hakuna ukombozi kutoka maovu.

ਕਰਿ ਕਰਿ ਕਰਤਾ ਦੇਖੈ ਸੋਇ ॥੩॥
kar kar kartaa daykhai so-ay. ||3||
After having formed the creation, He is watching over it. ||3||
Akiwa amekwisha unda uumbaji, Yeye anauchunga.

ਤ੍ਰਿਸਨਾ ਅਗਨਿ ਸਬਦਿ ਬੁਝਾਏ ॥
tarisnaa agan sabad bujhaa-ay.
One who quenches his yearning through the Guru’s Word,
Yule anayezima hamu yake kupitia Neno la Guru,

ਦੂਜਾ ਭਰਮੁ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਏ ॥
doojaa bharam sahj subhaa-ay.
sheds easily any sense of duality and delusion.
Anaondoa kwa uharisi hisi za uwili na udanganyifu.

ਗੁਰਮਤੀ ਨਾਮੁ ਰਿਦੈ ਵਸਾਏ ॥
gurmatee naam ridai vasaa-ay.
Through the Guru’s teachings, such a person enshrines God’s Name in his heart,
Kupitia mafundisho ya Guru, mtu kama huyo anathamini Jina la Mungu moyoni mwake.

ਸਾਚੀ ਬਾਣੀ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਏ ॥੪॥
saachee banee har gun gaa-ay.||4||
and sings the praises of God through the true Word of the Guru. ||4||
na kuimba sifa za Mungu kupitia Neno halisi la Guru.

ਤਨ ਮਹਿ ਸਾਚੋ ਗੁਰਮੁਖਿ ਭਾਉ ॥
tan meh saacho gurmukh bhaa-o.
Even though God dwells within every body, yet it is only by following the Guru’s teachings that one is imbued with His love.
Hata iwapo Mungu anaishi ndani mwa kila mmoja, ila ni kwa kufuata mafundisho ya Guru pekee ambapo mtu anajawa na upendo Wake.

ਨਾਮ ਬਿਨਾ ਨਾਹੀ ਨਿਜ ਠਾਉ ॥
naam binaa naahee nij thaa-o.
Without meditation on Naam, one can’t realize God in his heart.
Bila kutafakari kuhusu Naam, mtu hawezi kumgundua Mungu moyoni mwake.

ਪ੍ਰੇਮ ਪਰਾਇਣ ਪ੍ਰੀਤਮ ਰਾਉ ॥
paraym paraa-in pareetam raa-o.
The beloved God is captivated through love alone.
Mungu mpendwa anavutiwa kupitia upendo pekee.

ਨਦਰਿ ਕਰੇ ਤਾ ਬੂਝੈ ਨਾਉ ॥੫॥
nadar karay taa boojhai naa-o. ||5||
Yet it is only when God shows His grace that one realizes Him. ||5||
Ila ni wakati Mungu anaonyesha neema yake pekee ambapo mtu anamgundua Yeye.

ਮਾਇਆ ਮੋਹੁ ਸਰਬ ਜੰਜਾਲਾ ॥
maa-i-aa moh sarab janjaalaa.
Emotional attachment to Maya is all entanglement.
Kiambatisho cha kihisia kwa Maya chote ni mtego.

ਮਨਮੁਖ ਕੁਚੀਲ ਕੁਛਿਤ ਬਿਕਰਾਲਾ ॥
manmukh kucheel khuchhit bikraalaa.
The spiritual life of a self-willed person becomes cursed, filthy and dreadful.
Maisha ya kiroho ya mtu mwenye hiari binafsi yanakuwa yamelaaniwa, chafu na ya kutisha.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵੇ ਚੂਕੈ ਜੰਜਾਲਾ ॥
satgur sayvay chookai janjaalaa.
All entanglements vanish of the one who follows the Guru’s teachings.
Misongamano yote ya yule anayefuata mafundisho ya Guru yanapotea.

ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਨਾਮੁ ਸਦਾ ਸੁਖੁ ਨਾਲਾ ॥੬॥
amrit naam sadaa sukh naalaa. ||6||
He meditates on the ambrosial Naam and enjoys bliss forever. ||6||
Yeye anatafakari kuhusu Naam yenye ambrosia na kufurahia raha tele milele.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਬੂਝੈ ਏਕ ਲਿਵ ਲਾਏ ॥
gurmukh boojhai ayk liv laa-ay.
One who follows the Guru’s teachings, understands the worth of Naam and attunes to God.
Yule anayefuata mafundisho ya Guru, anaelewa thamani ya Naam na anamakinikia Mungu.

ਨਿਜ ਘਰਿ ਵਾਸੈ ਸਾਚਿ ਸਮਾਏ ॥
nij ghar vaasai saach samaa-ay.
He realizes God in his heart and remains merged with Him.
Anamgundua Mungu moyoni mwake na anabaki ameungana naye.

ਜੰਮਣੁ ਮਰਣਾ ਠਾਕਿ ਰਹਾਏ ॥
jaman marnaa thaak rahaa-ay.
His cycle of birth and death comes to an end.
Mzunguko wake wa kuzaliwa na kufa unatamatika.

ਪੂਰੇ ਗੁਰ ਤੇ ਇਹ ਮਤਿ ਪਾਏ ॥੭॥
pooray gur tay ih mat paa-ay. ||7||
He receives this understanding only from the Perfect Guru. ||7||
Yeye anapokea uelewa huu kutoka kwa Guru Kamili pekee.

ਕਥਨੀ ਕਥਉ ਨ ਆਵੈ ਓਰੁ ॥
kathnee katha-o na aavai or.
I sing the praises of God, whose virtues are infinite.
Mimi naimba sifa za Mungu, ambaye fadhila zake hazina mwisho.

error: Content is protected !!