Swahili Page 851

ਨਾਮ ਬਿਹੂਨੇ ਨਾਨਕਾ ਹੋਤ ਜਾਤ ਸਭੁ ਧੂਰ ॥੧॥
naam bihoonay naankaa hot jaat sabh Dhoor. ||1||
O’ Nanak, all those who are without the wealth of God’s Name are being reduced to dust. ||1||
Ee Nanak, wale wote ambao wamo bila utajiri wa Jina la Mungu wanapunguzwa kuwa mchanga.

ਪਵੜੀ ॥
pavrhee.
Pauree:

ਧਧਾ ਧੂਰਿ ਪੁਨੀਤ ਤੇਰੇ ਜਨੂਆ ॥
DhaDhaa Dhoor puneet tayray janoo-aa.
Dhadha (alphabet): O’ God, sacred is the humble service of Your saints.
Dhadha (alfabeti): Ee Mungu, takatifu ni huduma nyenyekevu ya watakatifu wako.

ਧਨਿ ਤੇਊ ਜਿਹ ਰੁਚ ਇਆ ਮਨੂਆ ॥
Dhan tay-oo jih ruch i-aa manoo-aa.
Blessed are those in whose minds is the longing for this service.
Wamebarikiwa wale ambao akilini mwao kuna hamu ya huduma hii.

ਧਨੁ ਨਹੀ ਬਾਛਹਿ ਸੁਰਗ ਨ ਆਛਹਿ ॥
Dhan nahee baachheh surag na aachheh.
They do not seek worldly wealth, and they do not desire paradise.
Hawatafuti utajiri wa kidunia, na hawana hamu ya paradiso.

ਅਤਿ ਪ੍ਰਿਅ ਪ੍ਰੀਤਿ ਸਾਧ ਰਜ ਰਾਚਹਿ ॥
at pari-a pareet saaDh raj raacheh.
They always remain deeply absorbed in the love of their beloved God and the humble service of His saint.
Daima wanabaki wamevama kwa kina katika upendo wa Mungu mpendwa wao na huduma nyenyekevu ya mtakatifu wake.

ਧੰਧੇ ਕਹਾ ਬਿਆਪਹਿ ਤਾਹੂ ॥
DhanDhay kahaa bi-aapahi taahoo.
How can worldly affairs (bonds of Maya) entangle those,
Shughuli za kidunia (vifungo vya Maya) vinawezaje kunasa wale,

ਜੋ ਏਕ ਛਾਡਿ ਅਨ ਕਤਹਿ ਨ ਜਾਹੂ ॥
jo ayk chhaad an kateh na jaahoo.
who go nowhere else except God?
Ambao hawaendi mahali popote isipokuwa kwa Mungu?

ਜਾ ਕੈ ਹੀਐ ਦੀਓ ਪ੍ਰਭ ਨਾਮ ॥
jaa kai hee-ai dee-o parabh naam.
In whose heart God has instilled His Name,
Kwa yule ambaye Mungu ameweka Jina lake ndani mwake,

ਨਾਨਕ ਸਾਧ ਪੂਰਨ ਭਗਵਾਨ ॥੪॥
naanak saaDh pooran bhagvaan. ||4||
O Nanak, they are the perfect saints, the embodiment of God. ||4||
Ee Nanak, hao ndio watakatifu kamili, udhirihisho wa kimwili wa Mungu.

ਸਲੋਕ ॥
salok.
Shalok:

ਅਨਿਕ ਭੇਖ ਅਰੁ ਙਿਆਨ ਧਿਆਨ ਮਨਹਠਿ ਮਿਲਿਅਉ ਨ ਕੋਇ ॥
anik bhaykh ar nyi-aan Dhi-aan manhath mili-a-o na ko-ay.
No one has ever realized God by wearing numerous kinds of religious robes, entering into religious discussions and stubborn-mindedness.
Hakuna mtu amewahi kumgundua Mungu kwa kuvaa aina nyingi ya majoho ya kidini, kujiingiza katika majadiliano ya kidini na ukaidi wa kiakili.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਕਿਰਪਾ ਭਈ ਭਗਤੁ ਙਿਆਨੀ ਸੋਇ ॥੧॥
kaho naanak kirpaa bha-ee bhagat nyi-aanee so-ay. ||1||
Nanak says, only that person upon whom God has bestowed His Grace is a true devotee and divinely wise. ||1||
Nanak anasema, mtu huyo pekee ambaye Mungu ametawaza Neema yake kwake ni mtawa wa kweli na mwenye hekima takatifu.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਙੰਙਾ ਙਿਆਨੁ ਨਹੀ ਮੁਖ ਬਾਤਉ ॥
nyanyaa nyi-aan nahee mukh baata-o.
Nganga (alphabet): Spiritual wisdom is not obtained by mere words of mouth.
Nganga (alfabeti): Hekima ya kiroho haipatikani kwa maneno matupu ya kinywa.

ਅਨਿਕ ਜੁਗਤਿ ਸਾਸਤ੍ਰ ਕਰਿ ਭਾਤਉ ॥
anik jugat saastar kar bhaata-o.
It is also not obtained through the various rituals described in the Shastras.
Haipatikani pia kupitia mila tofauri zinazoelezwa katika Shastras.

ਙਿਆਨੀ ਸੋਇ ਜਾ ਕੈ ਦ੍ਰਿੜ ਸੋਊ ॥
nyi-aanee so-ay jaa kai darirh so-oo.
That person alone is a divinely wise in whose heart God is firmly enshrined.
Mtu huyo pekee ana hekima takatifu ambaye Mungu amethaminiwa kwa uthabiti moyoni mwake.

ਕਹਤ ਸੁਨਤ ਕਛੁ ਜੋਗੁ ਨ ਹੋਊ ॥
kahat sunat kachh jog na ho-oo.
Union with God does not take place simply by describing or listening to the holy books.
Muungano na Mungu hautendeki tu kwa kueleza au kusikiza vitebu takatifu.

ਙਿਆਨੀ ਰਹਤ ਆਗਿਆ ਦ੍ਰਿੜੁ ਜਾ ਕੈ ॥
nyi-aanee rahat aagi-aa darirh jaa kai.
He alone is spiritually wise, who remains firmly committed to God’s Command.
Yeye pekee ana hekima ya kiroho, anayebaki amewajibika kwa uthabiti kwa Amri ya Mungu.

ਉਸਨ ਸੀਤ ਸਮਸਰਿ ਸਭ ਤਾ ਕੈ ॥
usan seet samsar sabh taa kai.
For him, sorrow and pleasure are alike.
Kwake, huzuni na raha ni sawa.

ਙਿਆਨੀ ਤਤੁ ਗੁਰਮੁਖਿ ਬੀਚਾਰੀ ॥
nyi-aanee tat gurmukh beechaaree.
The true wise person who reflects upon the essenceof reality through the Guru.
Mtu wa kweli mwenye busara anayetafakari kuhusu kiini cha uhalisia kupitia kwa Guru.

ਨਾਨਕ ਜਾ ਕਉ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰੀ ॥੫॥
naanak jaa ka-o kirpaa Dhaaree. ||5||
O, Nanak, is blessed by the grace of God. ||5||
Ee Nanak, anabarikiwa kwa neema ya Mungu.

ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:

ਆਵਨ ਆਏ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਮਹਿ ਬਿਨੁ ਬੂਝੇ ਪਸੁ ਢੋਰ ॥
aavan aa-ay sarisat meh bin boojhay pas dhor.
The mortals have come to this world, but without realizing the purpose of human birth, they are like animals and beasts.
Binadamu wamekuja duniani humu, lakini bila kugundua kusudi la kuzaliwa kwa ubinadamu, wao ni kama wanyama na hayawani.

ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਸੋ ਬੁਝੈ ਜਾ ਕੈ ਭਾਗ ਮਥੋਰ ॥੧॥
naanak gurmukh so bujhai jaa kai bhaag mathor. ||1||
O’ Nanak, by the Guru’s grace only those people realize the true purpose of human life in whose destiny it is so preordained.||1||
Ee Nanak, kwa neema ya Guru watu hao pekee wanagundua kusudi halisi la maisha ya binadamu ambao imeagiziwa hivyo kwenye hatima zao.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਯਾ ਜੁਗ ਮਹਿ ਏਕਹਿ ਕਉ ਆਇਆ ॥
yaa jug meh aykeh ka-o aa-i-aa.
Mortal has come into this world to meditate on God.
Binadamu amekuja duniani humu kutafakari kuhusu Mungu.

ਜਨਮਤ ਮੋਹਿਓ ਮੋਹਨੀ ਮਾਇਆ ॥
janmat mohi-o mohnee maa-i-aa.
But ever since birth, he has been allured by the enticing worldly wealth.
Lakini hata tangu kuzaliwa kwake, ameshawishiwa na utajiri wa kidunia unaovutia.

ਗਰਭ ਕੁੰਟ ਮਹਿ ਉਰਧ ਤਪ ਕਰਤੇ ॥
garabh kunt meh uraDh tap kartay.
In the mother’s womb, mortals meditate on God hanging upside down.
Katika tumbo la mama, binadamu wanatafakari kuhusu Mungu wakining’inia kichwa chini miguu juu.

ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਿਮਰਤ ਪ੍ਰਭੁ ਰਹਤੇ ॥
saas saas simrat parabh rahtay.
With each and every breath, they keep remembering God.
Kwa kila pumzi wanayopumua, wanaendelea kumkumbuka Mungu.

ਉਰਝਿ ਪਰੇ ਜੋ ਛੋਡਿ ਛਡਾਨਾ ॥
urajh paray jo chhod chhadaanaa.
But now, they are entangled in things which they must leave behind.
Lakini sasa, wamenaswa katika vitu ambavyo lazima waviache nyuma.

ਦੇਵਨਹਾਰੁ ਮਨਹਿ ਬਿਸਰਾਨਾ ॥
dayvanhaar maneh bisraanaa.
They forget the Great Giver from their minds.
Wanasahau Mpaji Mkuu kutoka akili zao.

ਧਾਰਹੁ ਕਿਰਪਾ ਜਿਸਹਿ ਗੁਸਾਈ ॥
Dhaarahu kirpaa jisahi gusaa-ee.
O’ Master of the universe, only the one upon whom You bestow Your mercy,
Ee Bwana wa ulimwengu, kwa yule tu ambaye unatawaza kwake huruma yako,

ਇਤ ਉਤ ਨਾਨਕ ਤਿਸੁ ਬਿਸਰਹੁ ਨਾਹੀ ॥੬॥
it ut naanak tis bisrahu naahee. ||6||
O Nanak, does not forget You, here or hereafter. ||6||
Ee Nanakj, hakusahau Wewe, humu na katika dunia itakayofuata.

ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:

ਆਵਤ ਹੁਕਮਿ ਬਿਨਾਸ ਹੁਕਮਿ ਆਗਿਆ ਭਿੰਨ ਨ ਕੋਇ ॥
aavat hukam binaas hukam aagi-aa bhinn na ko-ay.
It is according to God’s command that a person comes into this world and also perishes according to His command. No one is exempt from His order.
Ni kulingana na amri ya Mungu ambapo mtu anakuja duniani humu na pia anakufa kulingana na amari yake. Hakuna mtu ameepushwa kutoka kwa amri yake.

ਆਵਨ ਜਾਨਾ ਤਿਹ ਮਿਟੈ ਨਾਨਕ ਜਿਹ ਮਨਿ ਸੋਇ ॥੧॥
aavan jaanaa tih mitai naanak jih man so-ay. ||1||
O’ Nanak, this cycle of birth and death stops only for those in whose heart dwellsGod. ||1||
Ee Nanak, mzunguko huu wa kuzaliwa na kufa unatamatika tu kwa wale ambao moyoni mwao mnaishi Mungu.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਏਊ ਜੀਅ ਬਹੁਤੁ ਗ੍ਰਭ ਵਾਸੇ ॥
ay-oo jee-a bahut garabh vaasay.
These creatures have previously resided in many wombs.
Viumbe hao wamekaa katika vyupa vingi vya uzazi hapo awali.

ਮੋਹ ਮਗਨ ਮੀਠ ਜੋਨਿ ਫਾਸੇ ॥
moh magan meeth jon faasay.
Enticed by sweet worldly love, they have been trapped in reincarnations.
Wakivutiwa na upendo mtamu wa kidunia, wamenaswa katika kuzaliwa upya kwingi.

ਇਨਿ ਮਾਇਆ ਤ੍ਰੈ ਗੁਣ ਬਸਿ ਕੀਨੇ ॥
in maa-i-aa tarai gun bas keenay.
This Maya has kept them under control through its three modes.
Maya hii imewaweka kwenye udhibiti kupitia mbinu zake tatu.

ਆਪਨ ਮੋਹ ਘਟੇ ਘਟਿ ਦੀਨੇ ॥
aapan moh ghatay ghat deenay.
Maya has overpowered each and every heart by its allurement.
Maya imelemea kila moyo kwa mvutio wake.

ਏ ਸਾਜਨ ਕਛੁ ਕਹਹੁ ਉਪਾਇਆ ॥
ay saajan kachh kahhu upaa-i-aa.
O friend, tell me some remedy
Ee rafiki, niambie dawa fulani

ਜਾ ਤੇ ਤਰਉ ਬਿਖਮ ਇਹ ਮਾਇਆ ॥
jaa tay tara-o bikham ih maa-i-aa.
by which I may swim across this treacherous ocean of Maya.
Ambayo kwa kuitumia naweza kuogelea nikivuka bahari mbaya ya Maya.

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਸਤਸੰਗਿ ਮਿਲਾਏ ॥
kar kirpaa satsang milaa-ay.
Bestowing His mercy, those whom God unites with the holy congregation,
Akitawaza huruma yake, wale ambao Mungu anaunganisha na ushirika takatifu,

ਨਾਨਕ ਤਾ ਕੈ ਨਿਕਟਿ ਨ ਮਾਏ ॥੭॥
naanak taa kai nikat na maa-ay. ||7||
O Nanak, Maya (worldly attachment) does not even come near that person. ||7||
Ee Nanak, Maya (kiambatisho cha kidunia) haiji hata karibu na mtu huyo.

ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:

ਕਿਰਤ ਕਮਾਵਨ ਸੁਭ ਅਸੁਭ ਕੀਨੇ ਤਿਨਿ ਪ੍ਰਭਿ ਆਪਿ ॥
kirat kamaavan subh asubh keenay tin parabh aap.
Dwelling in everyone, it is God Himself who is doing and has done all good and bad deeds.
Akidumu katika kila mmoja, ni Mungu Mwenyewe anayetenda na ambaye ametenda vitendo vyote vizuri na vibaya.

ਪਸੁ ਆਪਨ ਹਉ ਹਉ ਕਰੈ ਨਾਨਕ ਬਿਨੁ ਹਰਿ ਕਹਾ ਕਮਾਤਿ ॥੧॥
pas aapan ha-o ha-o karai naanak bin har kahaa kamaat. ||1||
O’ Nanak, indulging in self-conceit, the animal like mortal thinks that he has done these deeds and does not realize that nothing can be done without God’s will.|1|
Ee Nanak, kwa kujihusisha katika majivuno binafsi, binadamu kama mnyama anafikiria kwamba amefanya vitendo hivyo na hagundui kwamba hakuna kitu kinaweza kufanywa bila mapenzi ya Mungu.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਏਕਹਿ ਆਪਿ ਕਰਾਵਨਹਾਰਾ ॥
aykeh aap karaavanhaaraa.
God Himself makes mortals do their good and bad deeds.
Mungu Mwenyewe anafanya binadamu wafanye vitendo vyao vizuri na vibaya.

ਆਪਹਿ ਪਾਪ ਪੁੰਨ ਬਿਸਥਾਰਾ ॥
aapeh paap punn bisthaaraa.
He Himself has spread the expanse of vices and virtues.
Yeye Mwenyewe ameeneza upanuzi wa dhambi na fadhila.

ਇਆ ਜੁਗ ਜਿਤੁ ਜਿਤੁ ਆਪਹਿ ਲਾਇਓ ॥
i-aa jug jit jit aapeh laa-i-o.
In this life, people are engaged in the task to which God has attached them.
Katika maisha haya, watu wamejishughulisha katika kazi ambayo Mungu amewateua.

ਸੋ ਸੋ ਪਾਇਓ ਜੁ ਆਪਿ ਦਿਵਾਇਓ ॥
so so paa-i-o jo aap divaa-i-o.
They receive what God Himself gives.
Wanapokea kile ambacho Mungu Mwenyewe anawapa.

ਉਆ ਕਾ ਅੰਤੁ ਨ ਜਾਨੈ ਕੋਊ ॥
u-aa kaa ant na jaanai ko-oo.
No one knows the limits of God’s virtues.
Hakuna mtu anajua vikomo vya fadhila za Mungu.

ਜੋ ਜੋ ਕਰੈ ਸੋਊ ਫੁਨਿ ਹੋਊ ॥
jo jo karai so-oo fun ho-oo.
Whatever He does, comes to pass.
Chochote anachofanya Yeye, kinatendeka.

ਏਕਹਿ ਤੇ ਸਗਲਾ ਬਿਸਥਾਰਾ ॥
aykeh tay saglaa bisthaaraa.
From the One Creator, the entire expanse of the universe has emanated.
Kutoka kwa Muumba Mmoja, upanuzi mzima wa ulimwengu umetokea.

ਨਾਨਕ ਆਪਿ ਸਵਾਰਨਹਾਰਾ ॥੮॥
naanak aap savaaranhaaraa. ||8||
O’ Nanak, it is He Himself who brings the mortals to the right path ||8||
Ee Nanak, ni Yeye Mwenyewe anayeleta binadamu kwa njia inayofaa.

ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:

ਰਾਚਿ ਰਹੇ ਬਨਿਤਾ ਬਿਨੋਦ ਕੁਸਮ ਰੰਗ ਬਿਖ ਸੋਰ ॥
raach rahay banitaa binod kusam rang bikh sor.
people remain engrossed in sensual pleasures; but the tumult of Maya (worldly pleasures) is like the dye of the safflower, which fades away all too soon.
Watu wanabaki wamevama katika raha za kihisia; lakini msukosuko wa Maya (raha za kidunia) ni kama rangi ya saflawa, inayofifia kwa muda mfupi sana.

ਨਾਨਕ ਤਿਹ ਸਰਨੀ ਪਰਉ ਬਿਨਸਿ ਜਾਇ ਮੈ ਮੋਰ ॥੧॥
naanak tih sarnee para-o binas jaa-ay mai mor. ||1||
O’ Nanak, seek God’s refuge, so that your selfishness and self-conceit may vanish. ||1||
Ee Nanak, tafuta kimbilio cha Mungu, ili uchoyo wako na majivuno yako binafsi yapotee.

error: Content is protected !!