ਜਿਤਨੀ ਭੂਖ ਅਨ ਰਸ ਸਾਦ ਹੈ ਤਿਤਨੀ ਭੂਖ ਫਿਰਿ ਲਾਗੈ ॥
jitnee bhookh an ras saad hai titnee bhookh fir laagai.
The more one tastes the worldly pleasures, the more intense craving one feels for these pleasures.
Mtu anavyozidi kuonja raha za kidunia, ndivyo anavyohisi tamaa kali zaidi ya raha hizo.
ਜਿਸੁ ਹਰਿ ਆਪਿ ਕ੍ਰਿਪਾ ਕਰੇ ਸੋ ਵੇਚੇ ਸਿਰੁ ਗੁਰ ਆਗੈ ॥
jis har aap kirpaa karay so vaychay sir gur aagai.
That person surrenders completely to the Guru, on whom God shows mercy.
Mtu huyo anajisalimisha kikamiligu kwa Guru, ambaye Mungu anaonea huruma.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਰਸਿ ਤ੍ਰਿਪਤਿਆ ਫਿਰਿ ਭੂਖ ਨ ਲਾਗੈ ॥੪॥੪॥੧੦॥੪੮॥
jan naanak har ras taripti-aa fir bhookh na laagai. ||4||4||10||48||
O’ Nanak, that person is satiated with the elixir of God’s Name and then the craving for worldly wealth doesn’t afflict him again. ||4||4||10||48||
Ee Nanak, mtu huyo anatoshelezwa na dawa ya Jina la Mungu na kisha tamaa ya utajiri wa kidunia haimathiri tena.
ਗਉੜੀ ਬੈਰਾਗਣਿ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee bairaagan mehlaa 4.
Raag Gauri Bairagan, Fourth Guru:
Raag Gauri Bairagan, Guru wa Nne:
ਹਮਰੈ ਮਨਿ ਚਿਤਿ ਹਰਿ ਆਸ ਨਿਤ ਕਿਉ ਦੇਖਾ ਹਰਿ ਦਰਸੁ ਤੁਮਾਰਾ ॥
hamrai man chit har aas nit ki-o daykhaa har daras tumaaraa.
O’ God, Within my conscious mind is the constant longing for You; how can I behold Your blessed vision?
Ee Mungu, ndani mwa akili yangu yenye fahamu kuna hamu inayodumu yako Wewe; nitawezaje kutazama mwono wako uliobarikiwa?
ਜਿਨਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਲਾਈ ਸੋ ਜਾਣਤਾ ਹਮਰੈ ਮਨਿ ਚਿਤਿ ਹਰਿ ਬਹੁਤੁ ਪਿਆਰਾ ॥
jin pareet laa-ee so jaantaa hamrai man chit har bahut pi-aaraa.
One who has imbued me with this love knows that God is very dear to my mind.
Yule ambaye amenijazia upendo huu anajua ya kwamba Mungu anathaminiwa sana akilini mwangu.
ਹਉ ਕੁਰਬਾਨੀ ਗੁਰ ਆਪਣੇ ਜਿਨਿ ਵਿਛੁੜਿਆ ਮੇਲਿਆ ਮੇਰਾ ਸਿਰਜਨਹਾਰਾ ॥੧॥
ha-o kurbaanee gur aapnay jin vichhurhi-aa mayli-aa mayraa sirjanhaaraa. ||1||
I dedicate myself to my Guru who has united me with my Creator from whom I was separated. ||1||
Najiweka wakfu kwa Guru wangu ambaye ameniunganisha na Muumba wangu ambaye nilikuwa nimetenganishwa kutoka kwake.
ਮੇਰੇ ਰਾਮ ਹਮ ਪਾਪੀ ਸਰਣਿ ਪਰੇ ਹਰਿ ਦੁਆਰਿ ॥
mayray raam ham paapee saran paray har du-aar.
O’ my God, I am a sinner seeking refuge at Your door,
Ee Mungu wangu, mimi ni mtenda dhambi anayetafuta kimbilio mlangoni pako.
ਮਤੁ ਨਿਰਗੁਣ ਹਮ ਮੇਲੈ ਕਬਹੂੰ ਅਪੁਨੀ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mat nirgun ham maylai kabahooN apunee kirpaa Dhaar. ||1|| rahaa-o.
perhaps showing mercy, You might unite a sinner like me with You. ||1||Pause||
labda ukionyesha huruma, unaweza kuunganisha mtenda dhambi kama mimi nawe. ||1||Sitisha||
ਹਮਰੇ ਅਵਗੁਣ ਬਹੁਤੁ ਬਹੁਤੁ ਹੈ ਬਹੁ ਬਾਰ ਬਾਰ ਹਰਿ ਗਣਤ ਨ ਆਵੈ ॥
hamray avgun bahut bahut hai baho baar baar har ganat na aavai.
O’ God, my sins are so many that these cannot be counted and I end up committing these sins again and again.
Ee Mungu, dhambi zangu ni nyingi mno hadi haziwezi kuhesabika na najipata nimezitenda tena na tena.
ਤੂੰ ਗੁਣਵੰਤਾ ਹਰਿ ਹਰਿ ਦਇਆਲੁ ਹਰਿ ਆਪੇ ਬਖਸਿ ਲੈਹਿ ਹਰਿ ਭਾਵੈ ॥
tooN gunvantaa har har da-i-aal har aapay bakhas laihi har bhaavai.
O’ God, You are the treasure of virtues and very compassionate; You pardon people when it so pleases You.
Ee Mungu, Wewe ndiwe hazina ya fadhila na mkarimu mno; Wewe unasamehea watu wakati unaokupendeza.
ਹਮ ਅਪਰਾਧੀ ਰਾਖੇ ਗੁਰ ਸੰਗਤੀ ਉਪਦੇਸੁ ਦੀਓ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਛਡਾਵੈ ॥੨॥
ham apraaDhee raakhay gur sangtee updays dee-o har naam chhadaavai. ||2||
God saved me, the sinner, by putting me in the company of the Guru whotaught me that God’s Name liberates a person from vices. ||2||
Mungu alinikomboa, mtenda dhambi, kwa kuniweka katika uandamano wa Guru ambaye alinifunza ya kwamba Jina la Mungu linakomboa mtu kutoka dhambi.
ਤੁਮਰੇ ਗੁਣ ਕਿਆ ਕਹਾ ਮੇਰੇ ਸਤਿਗੁਰਾ ਜਬ ਗੁਰੁ ਬੋਲਹ ਤਬ ਬਿਸਮੁ ਹੋਇ ਜਾਇ ॥
tumray gun ki-aa kahaa mayray satiguraa jab gur bolah tab bisam ho-ay jaa-ay.
O’ my true Guru, I cannot describe your virtues because as soon as I utter the word Guru, my mind goes into ecstasy.
Ee Guru wangu wa kweli, siwezi kueleza fadhila zako kwa sababu punde tu ninapotamka neno Guru, akili yangu inafikia hali ya raha kuu.
ਹਮ ਜੈਸੇ ਅਪਰਾਧੀ ਅਵਰੁ ਕੋਈ ਰਾਖੈ ਜੈਸੇ ਹਮ ਸਤਿਗੁਰਿ ਰਾਖਿ ਲੀਏ ਛਡਾਇ ॥
ham jaisay apraaDhee avar ko-ee raakhai jaisay ham satgur raakh lee-ay chhadaa-ay.
The True Guru has saved and liberated me from the vices, who else can save a sinner like me?
Guru wa kweli ameniokoa na kunikomboa kutoka dhambi, nani mwengine anaweza kuokoa mtenda dhambi kama mimi?
ਤੂੰ ਗੁਰੁ ਪਿਤਾ ਤੂੰਹੈ ਗੁਰੁ ਮਾਤਾ ਤੂੰ ਗੁਰੁ ਬੰਧਪੁ ਮੇਰਾ ਸਖਾ ਸਖਾਇ ॥੩॥
tooNgur pita tooNhai gur maataa tooNgur banDhap mayraa sakhaa sakhaei. ||3||
O’ God, You are my Guru-father, my Guru-mother, my Guru-kin, my friend and my mate.||3||
Ee Mungu, Wewe ndiwe Guru-baba yangu, Guru-mama yangu, Guru-jamaa yangu, rafiki na mwenzie wangu.
ਜੋ ਹਮਰੀ ਬਿਧਿ ਹੋਤੀ ਮੇਰੇ ਸਤਿਗੁਰਾ ਸਾ ਬਿਧਿ ਤੁਮ ਹਰਿ ਜਾਣਹੁ ਆਪੇ ॥
jo hamree biDh hotee mayray satiguraa saa biDh tum har jaanhu aapay.
O’ my True Guru, you yourself know what used to be my situation.
Ee Guru wangu wa Kweli, wewe mwenyewe unajua kilichokuwa hali yangu.
ਹਮ ਰੁਲਤੇ ਫਿਰਤੇ ਕੋਈ ਬਾਤ ਨ ਪੂਛਤਾ ਗੁਰ ਸਤਿਗੁਰ ਸੰਗਿ ਕੀਰੇ ਹਮ ਥਾਪੇ ॥
ham rultay firtay ko-ee baat na poochh-taa gur satgur sang keeray ham thaapay.
I used to wander helplessly and no one cared for me. By bringing me into the company of the true Guru, a worm like me has been exalted.
Nilikuwa nazurura bila usaidizi na hakuna aliyenijali. Kwa kunileta katika uandamano wa Guru wa kweli, minyoo kama mimi nimeinuliwa juu.
ਧੰਨੁ ਧੰਨੁ ਗੁਰੂ ਨਾਨਕ ਜਨ ਕੇਰਾ ਜਿਤੁ ਮਿਲਿਐ ਚੂਕੇ ਸਭਿ ਸੋਗ ਸੰਤਾਪੇ ॥੪॥੫॥੧੧॥੪੯॥
Dhan Dhan guroo naanak jan kayraa jit mili-ai chookay sabh sog santaapay. ||4||5||11||49||
O’ Nanak, great is the Guru, meeting and following his teachings, all the sorrows and troubles have come to an end.||4||5||11||49||
Ee Nanak, Guru ni mkuu, kwa kukutana na kufuata mafundisho yake, huzuni na shida zote zimetamatika. ||4||5||11||49||
ਗਉੜੀ ਬੈਰਾਗਣਿ ਮਹਲਾ ੪ ॥
ga-orhee bairaagan mehlaa 4.
Raag Gauri Bairagan, Fourth Guru:
Raag Gauri Bairagan, Guru wa Nne:
ਕੰਚਨ ਨਾਰੀ ਮਹਿ ਜੀਉ ਲੁਭਤੁ ਹੈ ਮੋਹੁ ਮੀਠਾ ਮਾਇਆ ॥
kanchan naaree meh jee-o lubhat hai moh meethaa maa-i-aa.
My life is engrossed in the love for wealth and woman; attachment with this worldly love seems sweet to me.
Maisha yangu yamevama katika upendo wa utajiri na mwanamke; kiambatisho kwa huu upendo wa kidunia kinaonekana kuwa tamu kwangu.
ਘਰ ਮੰਦਰ ਘੋੜੇ ਖੁਸੀ ਮਨੁ ਅਨ ਰਸਿ ਲਾਇਆ ॥
ghar mandar ghorhay khusee man an ras laa-i-aa.
My mind is attached to the worldly pleasures and gets delighted looking at the nice houses, palaces and horses.
Akili yangu imeambatishwa kwa raha za kidunia na inafurahia ikitazama nyumba mzuri, majumba na farasi.
ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਚਿਤਿ ਨ ਆਵਈ ਕਿਉ ਛੂਟਾ ਮੇਰੇ ਹਰਿ ਰਾਇਆ ॥੧॥
har parabh chit na aavee ki-o chhootaa mayray har raa-i-aa. ||1||
O’ my sovereign God, the thought of remembering You does not even enter my mind, I wonder how could I be liberated from these worldly attachments?||1||
Ee Mungu wangu Mwenyezi, fikira ya kukukumbuka Wewe hata haiingii akilini mwangu, nashangaa jinsi naweza kukombolewa kutoka viambatisho hivi vya kidunia?
ਮੇਰੇ ਰਾਮ ਇਹ ਨੀਚ ਕਰਮ ਹਰਿ ਮੇਰੇ ॥
mayray raam ih neech karam har mayray.
O’ my God, these are my sinful deeds.
Ee Mungu wangu, hivi ndivyo vitendo vyangu vyenye dhambi.
ਗੁਣਵੰਤਾ ਹਰਿ ਹਰਿ ਦਇਆਲੁ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਬਖਸਿ ਅਵਗਣ ਸਭਿ ਮੇਰੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gunvantaa har har da-i-aal kar kirpaa bakhas avgan sabh mayray. ||1|| rahaa-o.
O’ God, You are the treasure of virtues and kindness; have mercy on me and pardon my sins. ||1||Pause||
Ee Mungu, Wewe ndiwe hazina ya fadhila na ukarimu; nihurumie na usamehe dhambi zangu. ||1||Sitisha||
ਕਿਛੁ ਰੂਪੁ ਨਹੀ ਕਿਛੁ ਜਾਤਿ ਨਾਹੀ ਕਿਛੁ ਢੰਗੁ ਨ ਮੇਰਾ ॥
kichh roop nahee kichh jaat naahee kichh dhang na mayraa.
I have no beauty, no social status and even my conduct is not righteous.
Sina uzuri wowote, wala hadhi ya kijamii na hata silika yangu siyo adilifu.
ਕਿਆ ਮੁਹੁ ਲੈ ਬੋਲਹ ਗੁਣ ਬਿਹੂਨ ਨਾਮੁ ਜਪਿਆ ਨ ਤੇਰਾ ॥
ki-aa muhu lai bolah gun bihoon naam japi-aa na tayraa.
Devoid of virtue, what shall I speak of myself, who has never meditated on Your Name?
Bila fadhila yoyote, nitazungumza nini kujihusu, ambaye sijawahi kutafakari kuhusu Jina lako?
ਹਮ ਪਾਪੀ ਸੰਗਿ ਗੁਰ ਉਬਰੇ ਪੁੰਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਕੇਰਾ ॥੨॥
ham paapee sang gur ubray punn satgur kayraa. ||2||
If a sinner like me has been saved, it is because of the generous blessing of the true Guru and the holy congregation.||2||
Iwapo mtenda dhambi kama mimi ameokolewa, ni kwa sababu ya baraka karimu ya Guru wa kweli na ushirika takatifu.
ਸਭੁ ਜੀਉ ਪਿੰਡੁ ਮੁਖੁ ਨਕੁ ਦੀਆ ਵਰਤਣ ਕਉ ਪਾਣੀ ॥
sabh jee-o pind mukh nak dee-aa vartan ka-o paanee.
God gave me soul, body,mouth, nose and water to use.
Mungu alinipa roho, mwili, mdomo, pua na maji ya kutumia.
ਅੰਨੁ ਖਾਣਾ ਕਪੜੁ ਪੈਨਣੁ ਦੀਆ ਰਸ ਅਨਿ ਭੋਗਾਣੀ ॥
ann khaanaa kaparh painan dee-aa ras an bhogaanee.
He gave me food to eat, clothes to wear and other pleasures to enjoy.
Alinipa chakula, mavazi ya kuvaa na raha nyingine ya kufurahia.
ਜਿਨਿ ਦੀਏ ਸੁ ਚਿਤਿ ਨ ਆਵਈ ਪਸੂ ਹਉ ਕਰਿ ਜਾਣੀ ॥੩॥
jin dee-ay so chit na aave pasoo ha-o kar jaane. ||3||
But I do not even remember the One who gave me all this, and like an animal I think that I obtained these things on my own. ||3||
Lakini hata sikumbuki yule Mmoja aliyenipa haya yote, na kama myama nadhani nilipata haya yote mimi mwenyewe.
ਸਭੁ ਕੀਤਾ ਤੇਰਾ ਵਰਤਦਾ ਤੂੰ ਅੰਤਰਜਾਮੀ ॥
sabh keetaa tayraa varatdaa tooN antarjaamee.
O’ God, whatever happens is according to Your will and You are the inner knower of hearts.
Ee Mungu, chochote kinachotendeka ni kulingana na mapenzi yako na Wewe in mjuzi wa ndani ya mioyo.
ਹਮ ਜੰਤ ਵਿਚਾਰੇ ਕਿਆ ਕਰਹ ਸਭੁ ਖੇਲੁ ਤੁਮ ਸੁਆਮੀ ॥
ham jant vichaaray ki-aa karah sabh khayl tum su-aamee.
O’ God, since this world is Your play, what can we helpless creatures do?
Ee Mungu, kwani dunia hii ni mchezo wako, sisi viumbe wanyonge tunaweza kufanya nini?
ਜਨ ਨਾਨਕੁ ਹਾਟਿ ਵਿਹਾਝਿਆ ਹਰਿ ਗੁਲਮ ਗੁਲਾਮੀ ॥੪॥੬॥੧੨॥੫੦॥
jan nanak haat vihaajhi-aa har gulam gulaamee. ||4||6||12||50||
Devotee Nanak is the most humble servant of Your devotees, as if he has sold himself to the holy congregation. ||4||6||12||50||
Mtawa Nanak ni mtumishi mnyenyekevu kabisa kwa watawa wako, kana kwamba amejiuza kwa ushirika takatifu.