ਰਾਖੁ ਸਰਣਿ ਜਗਦੀਸੁਰ ਪਿਆਰੇ ਮੋਹਿ ਸਰਧਾ ਪੂਰਿ ਹਰਿ ਗੁਸਾਈ ॥
raakh saran jagdeesur pi-aaray mohi sarDhaa poor har gusaa-ee.
O’ Beloved Master of the universe, please keep me under Your protection and fulfill my craving for Your blessed sight.
Ee Bwana Mpendwa wa ulimwengu, tafadhali niweke chini ya ulinzi wako na utimize hamu yangu ya mwono wako uliobarikiwa.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਕੈ ਮਨਿ ਅਨਦੁ ਹੋਤ ਹੈ ਹਰਿ ਦਰਸਨੁ ਨਿਮਖ ਦਿਖਾਈ ॥੨॥੩੯॥੧੩॥੧੫॥੬੭॥
jan naanak kai man anad hot hai har darsan nimakh dikhaa-ee. |2|39|13|15|67|
O’ God, even when You show Your sight for just a fleeting moment, a state of bliss prevails in the mind of the devotee Nanak. ||2||39||13||15||67||
Ee Mungu, hata wakati Wewe unaonyesha mwono wako kwa muda mfupi tu, hali ya raha tele inadumu akilini mwa mtawa Nanak.
ਰਾਗੁ ਆਸਾ ਘਰੁ ੨ ਮਹਲਾ ੫
raag aasaa ghar 2 mehlaa 5
Raag Aasaa, Second Beat, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Mpigo wa Pili, Guru wa Tano:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One eternal God. Realized by the grace of the true Guru:
Mungu Mmoja wa milele. Anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa kweli:
ਜਿਨਿ ਲਾਈ ਪ੍ਰੀਤਿ ਸੋਈ ਫਿਰਿ ਖਾਇਆ ॥
jin laa-ee pareet so-ee fir khaa-i-aa.
One who loves Maya, is ultimately ruined by Maya itself.
Yule anayependa Maya, mwishowe anaharibiwa na Maya yenyewe.
ਜਿਨਿ ਸੁਖਿ ਬੈਠਾਲੀ ਤਿਸੁ ਭਉ ਬਹੁਤੁ ਦਿਖਾਇਆ ॥
jin sukh baithaalee tis bha-o bahut dikhaa-i-aa.
Maya totally terrifies the one who hoards it carefully.
Maya inatisha kabisa yule anayeikusanya kwa makini.
ਭਾਈ ਮੀਤ ਕੁਟੰਬ ਦੇਖਿ ਬਿਬਾਦੇ ॥
bhaa-ee meet kutamb daykh bibaaday.
Being swayed by Maya, siblings, friends and relatives get into conflicts.
Wakishawishiwa na Maya, ndugu, marafiki na jamaa wanaingia katika migogoro.
ਹਮ ਆਈ ਵਸਗਤਿ ਗੁਰ ਪਰਸਾਦੇ ॥੧॥
ham aa-ee vasgat gur parsaaday. ||1||
By the Guru’s grace, Maya has come under my control. ||1||
Kwa neema ya Guru, Maya imekuja katika udhibiti wangu.
ਐਸਾ ਦੇਖਿ ਬਿਮੋਹਿਤ ਹੋਏ ॥
aisaa daykh bimohit ho-ay.
Even after seeing how Maya causes these disputes, all are captivated by it.
Hata baada ya kuona jinsi Maya imefanyiza mabishano hayo, wote wanavutiwa nayo.
ਸਾਧਿਕ ਸਿਧ ਸੁਰਦੇਵ ਮਨੁਖਾ ਬਿਨੁ ਸਾਧੂ ਸਭਿ ਧ੍ਰੋਹਨਿ ਧ੍ਰੋਹੇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
saaDhik siDh surdayv manukhaa bin saaDhoo sabh Dharohan Dharohay. ||1|| rahaa-o.
The ascetics, adepts, angels, and all human beings, except the saints, are deceived by Maya. ||1||Pause||
Wanaojinyima raha, stadi, malaika, binadamu wote, isipokuwa watakatifu, wanadanganywa na Maya. ||1||Sitisha||
ਇਕਿ ਫਿਰਹਿ ਉਦਾਸੀ ਤਿਨ੍ਹ੍ਹ ਕਾਮਿ ਵਿਆਪੈ ॥
ik fireh udaasee tinH kaam vi-aapai.
Many people wander around as recluse; to them it afflicts in the form of lust.
Watu wengi wanazurura kwote kama wapweke; kwao inawaathiri kwa muundo wa ukware.
ਇਕਿ ਸੰਚਹਿ ਗਿਰਹੀ ਤਿਨ੍ਹ੍ਹ ਹੋਇ ਨ ਆਪੈ ॥
ik saNcheh girhee tinH ho-ay na aapai.
Many householders amass Maya but it does not become their own.
Wenye nyumba wengi wanakusanya Maya lakini haikuwi yao wenyewe.
ਇਕਿ ਸਤੀ ਕਹਾਵਹਿ ਤਿਨ੍ਹ੍ਹ ਬਹੁਤੁ ਕਲਪਾਵੈ ॥
ik satee kahaaveh tinH bahut kalpaapai.
Many people call themselves as men of charity but it torments them terribly.
Watu wengi wanajiita wanaume wa kutoa kwa hisani lakini inawatesa vikali.
ਹਮ ਹਰਿ ਰਾਖੇ ਲਗਿ ਸਤਿਗੁਰ ਪਾਵੈ ॥੨॥
ham har raakhay lag satgur paavai. ||2||
God has saved me from the influence of Maya by directing me to the Guru’s refuge. ||2||
Mungu ameniokoa kutoka kwa ushawishi wa Maya kwa kunielekeza kwa kimbilio cha Guru.
ਤਪੁ ਕਰਤੇ ਤਪਸੀ ਭੂਲਾਏ ॥
tap kartay tapsee bhoolaa-ay.
Maya leads astray even the ascetics engaged in their penance.
Maya inapotosha hata wanaojinyima raha wanaojishughulisha katika toba yao.
ਪੰਡਿਤ ਮੋਹੇ ਲੋਭਿ ਸਬਾਏ ॥
pandit mohay lobh sabaa-ay.
Maya traps all the pundits in greed.
Maya inanasa wabukuzi wote katika tamaa.
ਤ੍ਰੈ ਗੁਣ ਮੋਹੇ ਮੋਹਿਆ ਆਕਾਸੁ ॥
tarai gun mohay mohi-aa aakaas.
The humans abiding by the three modes (vice, virtue and power) and the angels are being enticed by Maya.
Binadamu wanaotii mbinu tatu (dhambi, fadhila na nguvu) na malaika wanavutiwa na Maya.
ਹਮ ਸਤਿਗੁਰ ਰਾਖੇ ਦੇ ਕਰਿ ਹਾਥੁ ॥੩॥
ham satgur raakhay day kar haath. ||3||
The true Guru has saved me by giving me his support ||3||
Guru wa kweli ameniokoa kwa kunipa tegemezo yake
ਗਿਆਨੀ ਕੀ ਹੋਇ ਵਰਤੀ ਦਾਸਿ ॥
gi-aanee kee ho-ay vartee daas.
Maya serves a spiritually wise person like a servant.
Maya inatumikia mtu mwenye hekima ya kiroho kama mtumishi.
ਕਰ ਜੋੜੇ ਸੇਵਾ ਕਰੇ ਅਰਦਾਸਿ ॥
kar jorhay sayvaa karay ardaas.
Maya serves him like a humble servant and says,
Maya inamtumikia kama mtumishi mnyenyekevu na kusema,
ਜੋ ਤੂੰ ਕਹਹਿ ਸੁ ਕਾਰ ਕਮਾਵਾ ॥
jo tooN kaheh so kaar kamaavaa.
that “I would do whatever you want me to do”.
Kwamba “Nitafanya chochote unachotaka nifanye”.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖ ਨੇੜਿ ਨ ਆਵਾ ॥੪॥੧॥
jan naanak gurmukh nayrh na aavaa. ||4||1||
O’ Nanak, Maya says “I will not come near the Guru’s follower”. ||4||1||
Ee Nanak, Maya inasema “sitakaribia mfuasi wa Guru”.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਸਸੂ ਤੇ ਪਿਰਿ ਕੀਨੀ ਵਾਖਿ ॥
sasoo tay pir keenee vaakh.
My Husband-God has separated me from the mother-in-law (ignorance).
Mume-Mungu wangu amenitenganisha kutoka mama mkwe (ujinga) wangu.
ਦੇਰ ਜਿਠਾਣੀ ਮੁਈ ਦੂਖਿ ਸੰਤਾਪਿ ॥
dayr jithaanee mu-ee dookh santaap.
My younger and elder sister-in-law (hope and desire) have died in grief.
Dada-mkwe wangu mkubwa na mdogo (tumaini na hamu) wamekufa katika huzuni.
ਘਰ ਕੇ ਜਿਠੇਰੇ ਕੀ ਚੂਕੀ ਕਾਣਿ ॥
ghar kay jithayray kee chookee kaan.
My dependence on the elder brother-in-law (judge of righteousness) has ended.
Utegemezi wangu kwa ndugu-mkwe (hukumu ya uadilifu) umekwisha.
ਪਿਰਿ ਰਖਿਆ ਕੀਨੀ ਸੁਘੜ ਸੁਜਾਣਿ ॥੧॥
pir rakhi-aa keenee sugharh sujaan. ||1||
My clever and wise Husband-God has totally protected me. ||1||
Mume-Mungu wangu mwerevu na mwenye hekima amenilinda kikamilifu.
ਸੁਨਹੁ ਲੋਕਾ ਮੈ ਪ੍ਰੇਮ ਰਸੁ ਪਾਇਆ ॥
sunhu lokaa mai paraym ras paa-i-aa.
Listen, O people: I have enjoyed the love of God.
Sikizeni, Ee watu: nimefurahia upendo wa Mungu.
ਦੁਰਜਨ ਮਾਰੇ ਵੈਰੀ ਸੰਘਾਰੇ ਸਤਿਗੁਰਿ ਮੋ ਕਉ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਦਿਵਾਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
durjan maaray vairee sanghaaray satgur mo ka-o har naam divaa-i-aa.||1|| rahaa-o.
The true Guru has given me the gift of God’s Name, because of which I have killed all evil thoughts and vices. ||1||Pause||
Guru wa kweli amenipa tuzo ya Jina la Mungu, kwa sababu yake nimeua fikta zote mbaya na maovu. ||1||Sitisha||
ਪ੍ਰਥਮੇ ਤਿਆਗੀ ਹਉਮੈ ਪ੍ਰੀਤਿ ॥
parathmay ti-aagee ha-umai pareet.
First of all, I gave up the love of self-conceit.
Kwanza kabisa, nilikata tamaa ya upendo wa majivuno binafsi..
ਦੁਤੀਆ ਤਿਆਗੀ ਲੋਗਾ ਰੀਤਿ ॥
dutee-aa ti-aagee logaa reet.
Secondly, I renounced the ways of the world (customs and rituals).
Pili, nilikana njia za dunia (desturi na mila).
ਤ੍ਰੈ ਗੁਣ ਤਿਆਗਿ ਦੁਰਜਨ ਮੀਤ ਸਮਾਨੇ ॥
tarai gun ti-aag durjan meet samaanay.
Renouncing the three modes of Maya, I considered foes and friends as same.
Kwa kukana mbinu tatu za Maya, nilifikiria maadui na marafiki kuwa sawa.
ਤੁਰੀਆ ਗੁਣੁ ਮਿਲਿ ਸਾਧ ਪਛਾਨੇ ॥੨॥
turee-aa gun mil saaDh pachhaanay. ||2||
Finally, upon meeting the Guru I realized the fourth state, Turya, the state of divine bliss. ||2||
Mwisho, baada ya kukutana na Guru niligundua hali ya nne, Turya, hali ya raha tele takatifu.
ਸਹਜ ਗੁਫਾ ਮਹਿ ਆਸਣੁ ਬਾਧਿਆ ॥
sahj gufaa meh aasan baaDhi-aa.
Now I am dwelling in the state of equipoise.
Sasa ninaishi katika hali ya usawa.
ਜੋਤਿ ਸਰੂਪ ਅਨਾਹਦੁ ਵਾਜਿਆ ॥
jot saroop anaahad vaaji-aa.
In my mind now keeps playing the celestial music of God.
Akilini mwangu sasa mnaendelea kucheza muziki wa mbinguni wa Mungu.
ਮਹਾ ਅਨੰਦੁ ਗੁਰ ਸਬਦੁ ਵੀਚਾਰਿ ॥
mahaa anand gur sabad veechaar.
By reflecting on the Guru’s word, I am enjoying a feeling of supreme bliss.
Kwa kutafakari kuhusu neno la Guru, ninafurahia hisia ya raha tele kuu.
ਪ੍ਰਿਅ ਸਿਉ ਰਾਤੀ ਧਨ ਸੋਹਾਗਣਿ ਨਾਰਿ ॥੩॥
pari-a si-o raatee Dhan sohagan naar. ||3||
Being imbued with the love of my Beloved, I have become a blessed bride. ||3||
Kwa kujawa na upendo wa Mpendwa wangu, nimekuwa bi harusi aliyebarikiwa.
ਜਨ ਨਾਨਕੁ ਬੋਲੇ ਬ੍ਰਹਮ ਬੀਚਾਰੁ ॥
jan naanak bolay barahm beechaar.
Devotee Nanak is uttering the thoughts of divine wisdom.
Mtawa Nanak anatamka fikira za hekima takatifu.
ਜੋ ਸੁਣੇ ਕਮਾਵੈ ਸੁ ਉਤਰੈ ਪਾਰਿ ॥
jo sunay kamaavai so utrai paar.
One who listens this divine wisdom and acts upon it, swims across the world ocean of vices.
Yule anayesikiliza hekima takatifu na kutenda kulingana nayo, anaogelea akivuka bahari dunia ya dhambi.
ਜਨਮਿ ਨ ਮਰੈ ਨ ਆਵੈ ਨ ਜਾਇ ॥
janam na marai na aavai na jaa-ay.
He neither takes birth nor he dies and does not fall in the cycles of birth and death.
Yeye hazaliwi tena wala kufa na haanguki katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਹਰਿ ਸੇਤੀ ਓਹੁ ਰਹੈ ਸਮਾਇ ॥੪॥੨॥
har saytee oh rahai samaa-ay. ||4||2||
He always remains merged in God. ||4||2||
Daima anabaki ameungana na Mungu.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਨਿਜ ਭਗਤੀ ਸੀਲਵੰਤੀ ਨਾਰਿ ॥
nij bhagtee seelvantee naar.
The devotion to God, which is useful for one’s sou,l is like a loving bride,
Ujitoaji kwa Mungu, ambao unamanufaa kwa roho ya mtu, ni kama bi harusi mwenye upendo,
ਰੂਪਿ ਅਨੂਪ ਪੂਰੀ ਆਚਾਰਿ ॥
roop anoop pooree aachaar.
whose beauty is incomparable, and her character is perfect.
Ambaye urembo wake hauwezi kufananishwa, na silika yake ni kamili.
ਜਿਤੁ ਗ੍ਰਿਹਿ ਵਸੈ ਸੋ ਗ੍ਰਿਹੁ ਸੋਭਾਵੰਤਾ ॥
jit garihi vasai so garihu sobhaavantaa.
That house (heart) becomes praiseworthy in which she (devotional worship)resides.
Nyumba hiyo (moyo) inakuwa inayostahili sifa ambayo yeye (ibada ya ujitoaji) anaishi humo.
ਗੁਰਮੁਖਿ ਪਾਈ ਕਿਨੈ ਵਿਰਲੈ ਜੰਤਾ ॥੧॥
gurmukh paa-ee kinai virlai jantaa. ||1||
But only a rare Guru’s follower attains such a devotional worship.||1||
Lakini mfuasi nadra pekee wa Guru anapata ibada ya ujitoaji kama hiyo.
ਸੁਕਰਣੀ ਕਾਮਣਿ ਗੁਰ ਮਿਲਿ ਹਮ ਪਾਈ ॥
sukarnee kaaman gur mil ham paa-ee.
By following the Guru’s teachings, I have attained a disposition of doing good deeds as if I have a bride whose natural inclination is to do good deeds.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, nimepata mtazamo wa kutenda vitendo vizuri kana kwamba nina mke ambaye mwelekeo wake wa kiasili ni kutenda vitendo vizuri.