Swahili Page 482

ਸੰਚਤ ਸੰਚਤ ਥੈਲੀ ਕੀਨ੍ਹ੍ਹੀ ॥
sanchat sanchat thailee keenHee.
In this way, even if he collected lot of wealth,
Kwa njia hii, hata iwapo amekusanya utajiri mwingi,

ਪ੍ਰਭਿ ਉਸ ਤੇ ਡਾਰਿ ਅਵਰ ਕਉ ਦੀਨ੍ਹ੍ਹੀ ॥੧॥
parabh us tay daar avar ka-o deenHee. ||1||
at the end God takes it away from him and gives it to someone else. ||1||
Mwishowe Mungu anamnyang’anya na kumpa mtu mwengine.

ਕਾਚ ਗਗਰੀਆ ਅੰਭ ਮਝਰੀਆ ॥
kaach gagree-aa ambh majhree-aa.
This human body is like an unbaked clay pot in the midst of water,
Mwili huu wa kibinadamu ni kama chungu cha udongo ambao haujaokwa katikati ya maji,

ਗਰਬਿ ਗਰਬਿ ਉਆਹੂ ਮਹਿ ਪਰੀਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
garab garab u-aahoo meh paree-aa. ||1|| rahaa-o.
similarly indulged in ego, one sinks in the world-ocean of vices. ||1||Pause||
vivyo hivyo akijihusisha katika ubinafsi, mtu anazama katika bahari-dunia ya dhambi. ||1||Sitisha||

ਨਿਰਭਉ ਹੋਇਓ ਭਇਆ ਨਿਹੰਗਾ ॥
nirbha-o ho-i-o bha-i-aa nihangaa.
In the ego of power, he becomes fearless and bold,
Katika ubinafsi wa mamlaka, anakuwa bila woga na jasiri,

ਚੀਤਿ ਨ ਆਇਓ ਕਰਤਾ ਸੰਗਾ ॥
cheet na aa-i-o kartaa sangaa.
the Creator, who is ever with him, does not even enter his thoughts.
Muumba, ambaye daima yupo naye, haingii hata katika fikira zake.

ਲਸਕਰ ਜੋੜੇ ਕੀਆ ਸੰਬਾਹਾ ॥
laskar jorhay kee-aa sambaahaa.
Even if he raises huge armies and collects arms
Hata iwapo yeye aanzilishe majeshi makubwa na kukusanya silaha

ਨਿਕਸਿਆ ਫੂਕ ਤ ਹੋਇ ਗਇਓ ਸੁਆਹਾ ॥੨॥
niksi-aa fook ta ho-ay ga-i-o su-aahaa. ||2||
when he breathes his last, his body becomes like a heap of dust. ||2||
Wakati anapumua kwa mara ya mwisho, mwili wake unakuwa kama marundo ya mchanga.

ਊਚੇ ਮੰਦਰ ਮਹਲ ਅਰੁ ਰਾਨੀ ॥
oochay mandar mahal ar raanee.
Even if he has lofty palaces, mansions and queen.
Hata iwapo ana makasri makuu, majumba na malkia.

ਹਸਤਿ ਘੋੜੇ ਜੋੜੇ ਮਨਿ ਭਾਨੀ ॥
hasat ghorhay jorhay man bhaanee.
Even if he has mind pleasing horses, elephants and garments
Hata iwapo ana farasi, tembo na mavazi ya kupendeza akili

ਵਡ ਪਰਵਾਰੁ ਪੂਤ ਅਰੁ ਧੀਆ ॥
vad parvaar poot ar Dhee-aa.
Even if he is blessed with a great family of sons and daughters.
Hata iwapo amebarikiwa na familia kuu ya wana na mabinti.

ਮੋਹਿ ਪਚੇ ਪਚਿ ਅੰਧਾ ਮੂਆ ॥੩॥
mohi pachay pach anDhaa moo-aa. ||3||
But ultimately engrossed in emotional attachment, the fool blinded by Maya perishes away to death. ||3||
Lakini mwishowe akivama katika kiambatisho cha kihisia, mpumbavu aliyepofushwa na Maya anakufa.

ਜਿਨਹਿ ਉਪਾਹਾ ਤਿਨਹਿ ਬਿਨਾਹਾ ॥
jineh upaahaa tineh binaahaa.
That God who created him destroyed him too.
Mungu huyo aliyemuumba anamwangamiza pia.

ਰੰਗ ਰਸਾ ਜੈਸੇ ਸੁਪਨਾਹਾ ॥
rang rasaa jaisay supnaahaa.
All his worldly pleasures and enjoyments faded away like a dream.
Raha na viburudisho vyake vyote vya kidunia vinafifia kama ndoto.

ਸੋਈ ਮੁਕਤਾ ਤਿਸੁ ਰਾਜੁ ਮਾਲੁ ॥ ਨਾਨਕ ਦਾਸ ਜਿਸੁ ਖਸਮੁ ਦਇਆਲੁ ॥੪॥੩੫॥੮੬॥
so-ee muktaa tis raaj maal. naanak daas jis khasam da-i-aal. ||4||35||86||
O’ Nanak, he alone remains free from the bonds of Maya, who has the everlasting power and wealth of Naam and on whom God is kind. ||4||35||86||
Ee nanak, yeye pekee anabaki huru kutoka vifungo vya Maya, ambaye ana nguvu na utajiri unaodumu milele wa Naam na ambaye Mungu ni mwema mwake.

ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:

ਇਨ੍ਹ੍ਹ ਸਿਉ ਪ੍ਰੀਤਿ ਕਰੀ ਘਨੇਰੀ ॥
inH si-o pareet karee ghanayree.
If we get too much in love with this Maya (worldly wealth and power),
Iwapo tupende Maya hii sana (utajiri na nguvu ya kidunia),

ਜਉ ਮਿਲੀਐ ਤਉ ਵਧੈ ਵਧੇਰੀ ॥
ja-o milee-ai ta-o vaDhai vaDhayree.
then the more we accumulate it the more we get attached to it.
Basi tunavyozidi kuikusanya ndivyo tunavyozidi kuambatishwa kwake.

ਗਲਿ ਚਮੜੀ ਜਉ ਛੋਡੈ ਨਾਹੀ ॥
gal chamrhee ja-o chhodai naahee.
Ultimately, when clinging to our neck, it doesn’t leave us,
Mwishowe, wakati inakwamilia kwa shingo yetu, haituachi,

ਲਾਗਿ ਛੁਟੋ ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਪਾਈ ॥੧॥
laag chhuto satgur kee paa-ee. ||1||
then we can get rid of it only by seeking the refuge of the true Guru. ||1||
basi tunaweza kuiondoa tu kwa kutafuta kimbilio cha Guru wa kweli.

ਜਗ ਮੋਹਨੀ ਹਮ ਤਿਆਗਿ ਗਵਾਈ ॥
jag mohnee ham ti-aag gavaa-ee.
Since the time I have renounced and cast away the love of Maya, the enticer of the world,
Tangu wakati nimekana na kutupa upendo wa Maya, mvutiaji wa dunia,

ਨਿਰਗੁਨੁ ਮਿਲਿਓ ਵਜੀ ਵਧਾਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
nirgun mili-o vajee vaDhaa-ee. ||1|| rahaa-o.
I have met that God who is free from the affects of Maya and I am in great spirit. ||1||Pause||
Nimekutana na Mungu huyo ambaye yu hutu kutoka athari za Maya nami ni mchangamfu sana. ||1||Sitisha||

ਐਸੀ ਸੁੰਦਰਿ ਮਨ ਕਉ ਮੋਹੈ ॥
aisee sundar man ka-o mohai.
This Maya is so beautiful that it captivates the human mind.
Maya ni nzuri sana hadi inavutia akili ya binadamu.

ਬਾਟਿ ਘਾਟਿ ਗ੍ਰਿਹਿ ਬਨਿ ਬਨਿ ਜੋਹੈ ॥
baat ghaat garihi ban ban johai.
It keeps its eye on human beings, whether they are on the road, at seashores, at home or in the wilderness.
Inakazia macho yake kwa binadamu, iwapo wako barabarani, kwenye pwani, nyumbani au nyikani.

ਮਨਿ ਤਨਿ ਲਾਗੈ ਹੋਇ ਕੈ ਮੀਠੀ ॥
man tan laagai ho-ay kai meethee.
It clings to everyone’s mind and body by posing as very sweet and charming.
Inajiambatisha kwa akili na mwili wa kila mtu kwa kujionyesha kama tamu na ya kuvutia mno.

ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਮੈ ਖੋਟੀ ਡੀਠੀ ॥੨॥
gur parsaad mai khotee deethee. ||2||
But by the Guru’s grace, I have realized that in reality it is very deceitful. ||2||
Lakini kwa neema ya Guru, nimegundua kwamba kwa uhalisia ni ya udanganyifu sana.

ਅਗਰਕ ਉਸ ਕੇ ਵਡੇ ਠਗਾਊ ॥
agarak us kay vaday thagaa-oo.
The forerunners of Maya, the vices, are also great deceivers.
Watangulizi wa Maya, maovu, pia ni walaghai wakuu.

ਛੋਡਹਿ ਨਾਹੀ ਬਾਪ ਨ ਮਾਊ ॥
chhodeh naahee baap na maa-oo.
They do not spare even their father or mother.
Hawaepuki hata mama au baba yao.

ਮੇਲੀ ਅਪਨੇ ਉਨਿ ਲੇ ਬਾਂਧੇ ॥
maylee apnay un lay baaNDhay.
They (vices) have enslaved their companions or acquaintances.
Wao (maovu) wameweka utumwani wendani na marafiki wao.

ਗੁਰ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਮੈ ਸਗਲੇ ਸਾਧੇ ॥੩॥
gur kirpaa tay mai saglay saaDhay. ||3||
But by the Guru’s Grace, I have subjugated them all. ||3||
Lakini kwa Neema ya Guru, nimewatiisha wote.

ਅਬ ਮੋਰੈ ਮਨਿ ਭਇਆ ਅਨੰਦ ॥
ab morai man bha-i-aa anand.
Now bliss prevails in my mind.
Sasa raha tele inadumu akilini mwangu.

ਭਉ ਚੂਕਾ ਟੂਟੇ ਸਭਿ ਫੰਦ ॥
bha-o chookaa tootay sabh fand.
My fear of vices is gone and all my bonds of Maya are snapped.
Hofu yangu ya maovu imeondoka na vifungo vyangu vyote vya Maya vimevunjwa.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਜਾ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪਾਇਆ ॥
kaho naanak jaa satgur paa-i-aa.
Nanak says, ever since I met and followed the teachings of the true Guru,
Nanak anasema, tangu nikutane na kufuata mafundisho ya Guru wa kweli,

ਘਰੁ ਸਗਲਾ ਮੈ ਸੁਖੀ ਬਸਾਇਆ ॥੪॥੩੬॥੮੭॥
ghar saglaa mai sukhee basaa-i-aa. ||4||36||87||
my heart and all other sensory organs are dwelling in peace. ||4||36||87||
moyo wangu na viungo vyote vingine vya hisi vinaishi kwa amani.

ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:

ਆਠ ਪਹਰ ਨਿਕਟਿ ਕਰਿ ਜਾਨੈ ॥
aath pahar nikat kar jaanai.
God’s devotee deems God near at all times.
Mtawa wa Mungu anafikiria Mungu kuwa karibu wakati wote.

ਪ੍ਰਭ ਕਾ ਕੀਆ ਮੀਠਾ ਮਾਨੈ ॥
parabh kaa kee-aa meethaa maanai.
Whatever God does, he deems that as the best thing.
Chochote Mungu anachofanya, anafikiria hicho kuwa kizuri kabisa.

ਏਕੁ ਨਾਮੁ ਸੰਤਨ ਆਧਾਰੁ ॥
ayk naam santan aaDhaar.
God‘s Name is the only support of the saints.
Jina la Mungu ni tegemezo ya pekee ya watakatifu.

ਹੋਇ ਰਹੇ ਸਭ ਕੀ ਪਗ ਛਾਰੁ ॥੧॥
ho-ay rahay sabh kee pag chhaar. ||1||
They always remain humble, as if they are the dust of the feet of all. ||1||
Daima wanabaki wanyenyekevu, kana kwamba wao ni mchanga wa miguu ya wote.

ਸੰਤ ਰਹਤ ਸੁਨਹੁ ਮੇਰੇ ਭਾਈ ॥
sant rahat sunhu mayray bhaa-ee.
O’ my brothers, listen about the description of the way of life of a saint,
Ee ndugu zangu, sikilizeni kuhusu maelezo ya mtindo wa maisha wa mtakatifu,

ਉਆ ਕੀ ਮਹਿਮਾ ਕਥਨੁ ਨ ਜਾਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
u-aa kee mahimaa kathan na jaa-ee. ||1|| rahaa-o.
his glory cannot be described. ||1||Pause||
utukufu wake hauwezi kuelezwa. ||1||Sitisha||

ਵਰਤਣਿ ਜਾ ਕੈ ਕੇਵਲ ਨਾਮ ॥
vartan jaa kai kayval naam.
The only sustenance for a saint is meditation on Naam.
Riziki ya pekee ya mtakatifu ni kutafakari kuhusu Naam.

ਅਨਦ ਰੂਪ ਕੀਰਤਨੁ ਬਿਸ੍ਰਾਮ ॥
anad roop keertan bisraam.
Singing praises of God, the embodiment of bliss, is the support of saint’s life.
Kuimba sifa za Mungu, udhihirisho ya raha tele, ndiyo tegemezo ya maisha ya mtakatifu.

ਮਿਤ੍ਰ ਸਤ੍ਰੁ ਜਾ ਕੈ ਏਕ ਸਮਾਨੈ ॥
mitar satar jaa kai ayk samaanai.
For him, friends and foes are all alike.
Kwake, marafiki na maadui ni sawa.

ਪ੍ਰਭ ਅਪੁਨੇ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਜਾਨੈ ॥੨॥
parabh apunay bin avar na jaanai. ||2||
Except his God, he does not recognize any other (god or goddess). ||2||
Isipokuwa Mungu wake, yeye hatambui (mungu au mungu-kike) mwengine.

ਕੋਟਿ ਕੋਟਿ ਅਘ ਕਾਟਨਹਾਰਾ ॥
kot kot agh katanhaaraa.
A saint has the power to destroy millions upon millions of sins of others.
Mtakatifu ana nguvu ya kuangamiza mamilioni ya dhambi za wengine.

ਦੁਖ ਦੂਰਿ ਕਰਨ ਜੀਅ ਕੇ ਦਾਤਾਰਾ ॥
dukh door karan jee-a kay daataaraa.
God’s saints are able to dispel sorrows and give spiritual life to others.
Watakatifu wa Mungu wanaweza kuondoa huzuni na kutoa uhai wa kiroho kwa wengine. \

ਸੂਰਬੀਰ ਬਚਨ ਕੇ ਬਲੀ ॥
soorbeer bachan kay balee.
They are brave to take on the vices and they are men of their word.
Wao ni jasiri kwa kukabiliana na maovu na wao ni wanaume wanaotenda wanachosema.

ਕਉਲਾ ਬਪੁਰੀ ਸੰਤੀ ਛਲੀ ॥੩॥
ka-ulaa bapuree santee chhalee. ||3||
Maya is helpless before the saints, therefore it is under their control. ||3||
Maya ni duni mbele ya watakatifu, hivyo basi ipo katika udhibiti wao.

ਤਾ ਕਾ ਸੰਗੁ ਬਾਛਹਿ ਸੁਰਦੇਵ ॥
taa kaa sang baachheh surdayv.
Even the heavenly angels long for the company of such a saint of God.
Hata malaika wa mbinguni wanatamani uandamano wa mtakatifu wa Mungu kama huyo.

ਅਮੋਘ ਦਰਸੁ ਸਫਲ ਜਾ ਕੀ ਸੇਵ ॥
amogh daras safal jaa kee sayv.
Blessed is his sight and fruitful is his service.
Umebarikiwa mwono wake na huduma yake ni yenye matokeo mema.

ਕਰ ਜੋੜਿ ਨਾਨਕੁ ਕਰੇ ਅਰਦਾਸਿ ॥
kar jorh naanak karay ardaas.
Nanak prays with folded hands,
Nanak anaomba kwa mikono mikunjufu,

ਮੋਹਿ ਸੰਤਹ ਟਹਲ ਦੀਜੈ ਗੁਣਤਾਸਿ ॥੪॥੩੭॥੮੮॥
mohi santeh tahal deejai guntaas. ||4||37||88||
O’ God, the Treasure of virtues, please bless me with the humble service of the saints ||4||37||88||
Ee Mungu, Hazina ya fadhila, tafadhali nibariki kwa huduma nyenyekevu ya watakatifu

ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:

ਸਗਲ ਸੂਖ ਜਪਿ ਏਕੈ ਨਾਮ ॥
sagal sookh jap aykai naam.
All kind of peace and comforts are attained by meditating on God’s Name.
Aina yote ya amani na starehe inapatwa kwa kutafakari kuhusu Jina la Mungu.

ਸਗਲ ਧਰਮ ਹਰਿ ਕੇ ਗੁਣ ਗਾਮ ॥
sagal Dharam har kay gun gaam.
All the merits of performing faith rituals are attained by singing God’s Praises.
Sifa zote za kufanya mila za imani zinapatwa kwa kuimba Sifa za Mungu.

ਮਹਾ ਪਵਿਤ੍ਰ ਸਾਧ ਕਾ ਸੰਗੁ ॥
mahaa pavitar saaDh kaa sang.
Extremely sanctifying is the company of the saint-Guru,
Uandamano wa mtakatifu-Guru una utakaso kamilifu,

error: Content is protected !!