Swahili Page 81

ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਹਰਿ ਪੀਵਤੇ ਸਦਾ ਥਿਰੁ ਥੀਵਤੇ ਬਿਖੈ ਬਨੁ ਫੀਕਾ ਜਾਨਿਆ ॥
amrit har peevtay sadaa thir theevtay bikhai ban feekaa jaani-aa.
They partake the nectar of Naam and become spiritually alive. They consider the taste of poisonous pleasures of the world as bland.
Wanashiriki nekta ya Naam na kuwa hai kiroho. Wanafikiria kionjo cha raha zenye sumu za dunia kuwa bila ladha.

ਭਏ ਕਿਰਪਾਲ ਗੋਪਾਲ ਪ੍ਰਭ ਮੇਰੇ ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਨਿਧਿ ਮਾਨਿਆ ॥
bha-ay kirpaal gopaal parabh mayray saaDhsangat niDh maani-aa.
When my God became merciful, I came to look upon the holy congregation as the divine treasure.
Wakati Mungu wangu alikuwa mwenye huruma, nilikuja kutazama ushirika takatifu kama hazina takatifu.

ਸਰਬਸੋ ਸੂਖ ਆਨੰਦ ਘਨ ਪਿਆਰੇ ਹਰਿ ਰਤਨੁ ਮਨ ਅੰਤਰਿ ਸੀਵਤੇ ॥
sarbaso sookh aanand ghan pi-aaray har ratan man antar seevtay.
The devotees always keep God’s precious Naam in their mind, and enjoy all the comforts and bliss of God’s love
Wafuasi daima wanaweka Naam yenye thamana ya Mungu akilini mwao, na kufurahia starehe na furaha tele ya upendo wa Mungu

ਇਕੁ ਤਿਲੁ ਨਹੀ ਵਿਸਰੈ ਪ੍ਰਾਨ ਆਧਾਰਾ ਜਪਿ ਜਪਿ ਨਾਨਕ ਜੀਵਤੇ ॥੩॥
ik til nahee visrai paraan aaDhaaraa jap jap naanak jeevtay. ||3||
O’ Nanak, they do not forsake God, their life’s support, even for a moment. They live their life by constantly remembering Him with loving devotion.
Ee Nanak, hawamwachi Mungu, nguzo ya maisha yao, hata kwa muda mfupi. Wanaishi maisha yao kwa kumkumbuka mara kwa mara kwa kujitolea kwa upendo.

ਡਖਣਾ ॥
dakh-naa.
Dakhana, is a language of southern punjab (Multan)
Dakhana, ni lugha ya Punjab kusini (Multan)

ਜੋ ਤਉ ਕੀਨੇ ਆਪਣੇ ਤਿਨਾ ਕੂੰ ਮਿਲਿਓਹਿ ॥
jo ta-o keenay aapnay tinaa kooN mili-ohi.
O God, You grant union to those whom You make Your own.
Ee Mungu, unaruzuku muungano kwa wale ambao unawafanya wawe wako.

ਆਪੇ ਹੀ ਆਪਿ ਮੋਹਿਓਹੁ ਜਸੁ ਨਾਨਕ ਆਪਿ ਸੁਣਿਓਹਿ ॥੧॥
aapay hee aap mohi-ohu jas naanak aap suni-ohi. ||1||
O’ Nanak, hearing Your Own Praises, You Yourself are entranced.
Ee Nanak, usikiapo sifa zako, Wewe mwenyewe unastaajabishwa.

ਛੰਤੁ ॥
chhant.
Chhant: a composition.
Chhant: mtungo.

ਪ੍ਰੇਮ ਠਗਉਰੀ ਪਾਇ ਰੀਝਾਇ ਗੋਬਿੰਦ ਮਨੁ ਮੋਹਿਆ ਜੀਉ ॥
paraym thag-uree paa-ay reejhaa-ay gobind man mohi-aa jee-o.
The devotees please God by their unlimited love and devotion.
Wafuasi wanampendeza Mungu kwa upendo na kujitolea kwao kusio na kikomo.

ਸੰਤਨ ਕੈ ਪਰਸਾਦਿ ਅਗਾਧਿ ਕੰਠੇ ਲਗਿ ਸੋਹਿਆ ਜੀਉ ॥
santan kai parsaad agaaDh kanthay lag sohi-aa jee-o.
By the grace of the Saints, a rare fortunate one embellishes his life in theembrace of the unfathomable God.
Kwa neema ya Watakatifu, mtu nadra mwenye bahati anapamba maisha yake katika kukumbatiwa na Mungu asiyeeleweka.

ਹਰਿ ਕੰਠਿ ਲਗਿ ਸੋਹਿਆ ਦੋਖ ਸਭਿ ਜੋਹਿਆ ਭਗਤਿ ਲਖ੍ਯ੍ਯਣ ਕਰਿ ਵਸਿ ਭਏ ॥
har kanth lag sohi-aa dokh sabh johi-aa bhagat lakh-yan kar vas bha-ay.
He who embellishes his life in the embrace of God. All his vices are dispelled and because of his unconditional devotion and love, God is always with him.
Yule anayepamba maisha yake katika kukumbatiwa na Mungu, dhambi zote zinaondolewa na kwa sababu ya ibada na upendo wake usio na masharti, Mungu daima yu naye.

ਮਨਿ ਸਰਬ ਸੁਖ ਵੁਠੇ ਗੋਵਿਦ ਤੁਠੇ ਜਨਮ ਮਰਣਾ ਸਭਿ ਮਿਟਿ ਗਏ ॥
man sarab sukh vuthay govid tuthay janam marnaa sabh mit ga-ay.
When God is pleased, the devotee is always in bliss and his cycle of birth and death is eliminated.
Wakati Mungu amependezwa, mfuasi daima yu katika furaha tele na mzunguko wake wa kuzaliwa na kufa unakwisha.

ਸਖੀ ਮੰਗਲੋ ਗਾਇਆ ਇਛ ਪੁਜਾਇਆ ਬਹੁੜਿ ਨ ਮਾਇਆ ਹੋਹਿਆ ॥
sakhee manglo gaa-i-aa ichh pujaa-i-aa bahurh na maa-i-aa hohi-aa.
In the company of devotees as he sings the praises of God, all his desires are fulfilled and he is not shaken by Maya (worldly illusions).
Katika kikundi cha wafuasi anapoimba sifa za Mungu, hamu zake zote zinatimizwa na hatikiswi na Maya (ndoto za kidunia).

ਕਰੁ ਗਹਿ ਲੀਨੇ ਨਾਨਕ ਪ੍ਰਭ ਪਿਆਰੇ ਸੰਸਾਰੁ ਸਾਗਰੁ ਨਹੀ ਪੋਹਿਆ ॥੪॥
kar geh leenay naanak parabh pi-aaray sansaar saagar nahee pohi-aa. ||4||
O’ Nanak, whom the beloved God has accepted, they are not affected by the this worldly-ocean of vices.
Ee Nanak, ambaye Mungu mpendwa amekubali, hawaathiriwa na hii bahari-dunia ya dhambi.

ਡਖਣਾ ॥
dakh-naa.
Dakhani: language of Multan
Dakhani: lugha ya Multan

ਸਾਈ ਨਾਮੁ ਅਮੋਲੁ ਕੀਮ ਨ ਕੋਈ ਜਾਣਦੋ ॥
saa-ee naam amol keem na ko-ee jaando.
God’s Name is invaluable and no one knows its worth.
Jina la Mungu haliwezi kukadiriwa na hakuna mtu anayejua thamana yake.

ਜਿਨਾ ਭਾਗ ਮਥਾਹਿ ਸੇ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਰੰਗੁ ਮਾਣਦੋ ॥੧॥
jinaa bhaag mathaahi say naanak har rang maando. ||1||
O’ Nanak, only they who are so predestined, enjoy the bliss of His union.
Ee Nanak, ni wale tu ambayo wameagiziwa mapema, wanaofurahia furaha tele ya muungano wake.

ਛੰਤੁ ॥
chhant.
Chhant: a composition
Chhant: utungo

ਕਹਤੇ ਪਵਿਤ੍ਰ ਸੁਣਤੇ ਸਭਿ ਧੰਨੁ ਲਿਖਤੀ ਕੁਲੁ ਤਾਰਿਆ ਜੀਉ ॥
kahtay pavitar suntay sabh Dhan likh-teeN kul taari-aa jee-o.
They who utter Naam become sanctified. Blessed are those who listen to His divine words. Those who write His praises, their entire family is saved.
Wale wanaotamka Naam wanatakaswa. Wamebarikiwa wale wanaosikiza maneno yake takatifu. Wale wanaoandika sifa zake, familia yao mzima inakombolewa.

ਜਿਨ ਕਉ ਸਾਧੂ ਸੰਗੁ ਨਾਮ ਹਰਿ ਰੰਗੁ ਤਿਨੀ ਬ੍ਰਹਮੁ ਬੀਚਾਰਿਆ ਜੀਉ ॥
jin ka-o saaDhoo sang naam har rang tinee barahm beechaari-aa jee-o.
They who are blessed with the company of Saints are imbued with God’s love and they lovingly meditate on God’s Name.
Wale ambao wanabarikiwa na kikundi cha watakatifu wanajawa na upendo wa Mungu na wanatafakari kwa upendo kuhusu Jina la Mungu.

ਬ੍ਰਹਮੁ ਬੀਚਾਰਿਆ ਜਨਮੁ ਸਵਾਰਿਆ ਪੂਰਨ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭਿ ਕਰੀ ॥
barahm beechaari-aa janam savaari-aa pooran kirpaa parabh karee.
They upon whom God has shown mercy, have reflected on the all-pervading God and have embellished their lives.
Wale ambao Mungu ameonesha huruma yake, wametafakari kuhusu Mungu anayeenea kote na wamepamba maisha yao.

ਕਰੁ ਗਹਿ ਲੀਨੇ ਹਰਿ ਜਸੋ ਦੀਨੇ ਜੋਨਿ ਨਾ ਧਾਵੈ ਨਹ ਮਰੀ ॥
kar geh leenay har jaso deenay jon naa Dhaavai nah maree.
Taking them under His protection, God has blessed them with his praises. They no longer have to wander through the cycle of birth and death.
Akiwachukua chini ya ulinzi wake, Mungu amewabariki kwa sifa zake. Kamwe hawapaswi kuzurura kupitia mzunguko wa kuzaliwa na kufa.

ਸਤਿਗੁਰ ਦਇਆਲ ਕਿਰਪਾਲ ਭੇਟਤ ਹਰੇ ਕਾਮੁ ਕ੍ਰੋਧੁ ਲੋਭੁ ਮਾਰਿਆ ॥
satgur da-i-aal kirpaal bhaytat haray kaam kroDh lobh maari-aa.
By meeting the merciful true Guru, they have destroyed their lust, anger and greed and their spiritual life has blossomed forth.
Kwa kukutana na Guru wa kweli mwenye huruma, wameangamiza usherati, hasira na tamaa na maisha yao ya kiroho yamenawiri kutoka hapo.

ਕਥਨੁ ਨ ਜਾਇ ਅਕਥੁ ਸੁਆਮੀ ਸਦਕੈ ਜਾਇ ਨਾਨਕੁ ਵਾਰਿਆ ॥੫॥੧॥੩॥
kathan na jaa-ay akath su-aamee sadkai jaa-ay naanak vaari-aa. ||5||1||3||
The virtues of the indescribable God cannot be described, and Nanak dedicate his life to Him.
Fadhila za Mungu asiyeweza kuelezwa haziwezi kuelezwa, na Nanak anaweka wakfu maisha yake kwa Mungu.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੪ ਵਣਜਾਰਾ
sireeraag mehlaa 4 vanjaaraa
Siree Raag, by the Fourth Guru, Vanajarao ~ The Merchant:
Siree Raag, na Guru wa nne, Vanajarao ~ Mfanya biashara.

ੴ ਸਤਿ ਨਾਮੁ ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar sat naam gur parsaad.
One eternal God. Realized by the Guru’s Grace:
Mungu Mmoja wa milele. Anayegunduliwa kwa Neema ya Guru.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਉਤਮੁ ਨਾਮੁ ਹੈ ਜਿਨਿ ਸਿਰਿਆ ਸਭੁ ਕੋਇ ਜੀਉ ॥
har har utam naam hai jin siri-aa sabh ko-ay jee-o.
Supreme is the Name of God who created all.
Kuu ni Jina la Mungu aliyeumba yote.

ਹਰਿ ਜੀਅ ਸਭੇ ਪ੍ਰਤਿਪਾਲਦਾ ਘਟਿ ਘਟਿ ਰਮਈਆ ਸੋਇ ॥
har jee-a sabhay partipaaldaa ghat ghat rama-ee-aa so-ay.
God sustains all beings and He pervades each and every heart.
Mungu anaendeleza viumbe vyote na Yeye anaenea katika kila moyo.

ਸੋ ਹਰਿ ਸਦਾ ਧਿਆਈਐ ਤਿਸੁ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥
so har sadaa Dhi-aa-ee-ai tis bin avar na ko-ay.
Always remember that God as there is no other besides Him.
Daima kumbuka Mungu huyo kwa sababu hakuna mwengine bali Yeye.

ਜੋ ਮੋਹਿ ਮਾਇਆ ਚਿਤੁ ਲਾਇਦੇ ਸੇ ਛੋਡਿ ਚਲੇ ਦੁਖੁ ਰੋਇ ॥
jo mohi maa-i-aa chit laa-iday say chhod chalay dukh ro-ay.
Those who keep their mind fixed on Maya (worldly illusions) regret their mistakes at the time of death, and depart leaving everything behind.
Wale wanaokwamisha akili zao kwa Maya (ndoto za kidunia) wanajuta makosa zao wakati wa kifo, na wanaondoka wakiacha kila kitu nyuma.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਧਿਆਇਆ ਹਰਿ ਅੰਤਿ ਸਖਾਈ ਹੋਇ ॥੧॥
jan naanak naam Dhi-aa-i-aa har ant sakhaa-ee ho-ay. ||1||
O Nanak, those who remembered God with loving devotion, God surely helps them in the end.
Ee Nanak, wale wanaokumbuka Mungu kwa kujitolea kwa upendo, Mungu kwa kweli anawasaidia mwishoni.

ਮੈ ਹਰਿ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥
mai har bin avar na ko-ay.
Besides God, I do not have anyone else to fall back on.
Pasi Mungu, sina mtu mwengine wa kurejea nyuma kwake.

ਹਰਿ ਗੁਰ ਸਰਣਾਈ ਪਾਈਐ ਵਣਜਾਰਿਆ ਮਿਤ੍ਰਾ ਵਡਭਾਗਿ ਪਰਾਪਤਿ ਹੋਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
har gur sarnaa-ee paa-ee-ai vanjaari-aa mitraa vadbhaag paraapat ho-ay. ||1|| rahaa-o.
O my merchant friend, only through great good fortune, God is realized in the Guru’s refuge.
Ee rafiki wangu mfanya biashara, ni kupitia tu bahati nzuri ambapo, Mungu anagunduliwa katika kimbilio cha Guru.

error: Content is protected !!