Swahili Page 95

ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੪ ॥
maajh mehlaa 4.
Raag Maajh, by the Fourth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Nne:

ਹਰਿ ਗੁਣ ਪੜੀਐ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗੁਣੀਐ ॥
har gun parhee-ai har gun gunee-ai.
O’ my saintly friends, come let us join together and read and reflect on the God’s virtues.
Ee marafiki wangu watakatifu, kujeni tuungane na kusoma na kutafakari kuhusu fadhila za Mungu.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮ ਕਥਾ ਨਿਤ ਸੁਣੀਐ ॥
har har naam kathaa nit sunee-ai.
Let’s listen continually to the Sermon of Naam.
Acheni tusikize bila mwisho kwa mahubiri ya Naam.

ਮਿਲਿ ਸਤਸੰਗਤਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਏ ਜਗੁ ਭਉਜਲੁ ਦੁਤਰੁ ਤਰੀਐ ਜੀਉ ॥੧॥
mil satsangat har gun gaa-ay jag bha-ojal dutar taree-ai jee-o. ||1||
By singing His praises in the congregation of saintly persons, we can swim across the dreadful world-ocean of Maya.
Kwa kuimba sifa zake katika ushirika wa watu watakatifu, tunaweza kuogelea tukivuka bahari-dunia ya Maya inayoogofya.

ਆਉ ਸਖੀ ਹਰਿ ਮੇਲੁ ਕਰੇਹਾ ॥
aa-o sakhee har mayl karayhaa.
Come, O’ my (saintly) friends, let us create a congregation of Saints to realize union with God.
Kujeni, Ee marafiki wangu watakatifu, tuunde ushirike wa Watakatifu ili tugundue muungano na Mungu.

ਮੇਰੇ ਪ੍ਰੀਤਮ ਕਾ ਮੈ ਦੇਇ ਸਨੇਹਾ॥
mayray pareetam kaa mai day-ay sanayhaa.
Bring me a message from my Beloved.
Niletee ujumbe kutoka Mpendwa wangu.

ਮੇਰਾ ਮਿਤ੍ਰੁ ਸਖਾ ਸੋ ਪ੍ਰੀਤਮੁ ਭਾਈ ਮੈ ਦਸੇ ਹਰਿ ਨਰਹਰੀਐ ਜੀਉ ॥੨॥
mayraa mitar sakhaa so pareetam bhaa-ee mai dasay har narharee-ai jee-o. ||2||
Any person, who gives me the message of my beloved (God) and tells me His whereabouts is my dear friend, and brother.
Mtu yeyote, anayenipa ujumbe huo kutoka mpendwa (Mungu) wangu na aniambie mahali yupo ni tafiki wangu wa dhati, na ndugu yangu.

ਮੇਰੀ ਬੇਦਨ ਹਰਿ ਗੁਰੁ ਪੂਰਾ ਜਾਣੈ ॥
mayree baydan har gur pooraa jaanai.
The Guru only knows the agony of separation in my heart.
Guru anajua tu uchungu wa utengano moyoni mwangu.

ਹਉ ਰਹਿ ਨ ਸਕਾ ਬਿਨੁ ਨਾਮ ਵਖਾਣੇ ॥
ha-o reh na sakaa bin naam vakhaanay.
I cannot continue living without reciting the Naam.
Mimi siwezi kuendelea kuishi bila kukariri Naam.

ਮੈ ਅਉਖਧੁ ਮੰਤ੍ਰੁ ਦੀਜੈ ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਮੈ ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮਿ ਉਧਰੀਐ ਜੀਉ ॥੩॥
mai a-ukhaDh mantar deejai gur pooray mai har har naam uDhree-ai jee-o. ||3||
O’ my Guru give me the medicine of Naam to cure my agony of separation and ferry me across the world-ocean of vices.
Ee Guru wangu nipe dawa ya Naam kutibu uchungu wangu wa muungano na univushe bahari-dunia ya dhambi.

ਹਮ ਚਾਤ੍ਰਿਕ ਦੀਨ ਸਤਿਗੁਰ ਸਰਣਾਈ ॥
ham chaatrik deen satgur sarnaa-ee.
Like a humble Song-Bird, I have come to the refuge of the Guru.
Kama ndege wa wimbo mnyenyekevu, nimekuja kwa kimbilio cha Guru.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਬੂੰਦ ਮੁਖਿ ਪਾਈ ॥
har har naam boond mukh paa-ee.
Like Songbird Lounging for rain-water, Guru has placed a Drop of Naam in my mouth.
Kama ndege wa wimbo akitamani maji ya mvua, Guru ameweka tone la Naam mdomoni mwangu.

ਹਰਿ ਜਲਨਿਧਿ ਹਮ ਜਲ ਕੇ ਮੀਨੇ ਜਨ ਨਾਨਕ ਜਲ ਬਿਨੁ ਮਰੀਐ ਜੀਉ ॥੪॥੩॥
har jalniDh ham jal kay meenay jan naanak jal bin maree-ai jee-o. ||4||3||
The God is the ocean of Naam; I am just a fish in that water. Without Naamdevotee Nanak would die.
Mungu ni bahari ya Naam; mimi ni samaki tu katika maji hayo. Bila Naam mfuasi Nanak angekufa.

ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੪ ॥
maajh mehlaa 4.
Raag Maajh, by the Fourth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Nne:

ਹਰਿ ਜਨ ਸੰਤ ਮਿਲਹੁ ਮੇਰੇ ਭਾਈ ॥
har jan sant milhu mayray bhaa-ee.
Come, meet me, O’ my saintly friends,
Kujeni, mkutane nami, Ee marafiki wangu watakatifu,

ਮੇਰਾ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਦਸਹੁ ਮੈ ਭੁਖ ਲਗਾਈ ॥
mayraa har parabh dashu mai bhukh lagaa-ee.
Show me the way to my God, I am hungry and lounging to to meet Him!
Nionyeshe njia inayoelekea kwa Mungu, nina njaa na hamu ya kukutana naye!

ਮੇਰੀ ਸਰਧਾ ਪੂਰਿ ਜਗਜੀਵਨ ਦਾਤੇ ਮਿਲਿ ਹਰਿ ਦਰਸਨਿ ਮਨੁ ਭੀਜੈ ਜੀਉ ॥੧॥
mayree sarDhaa poor jagjeevan daatay mil har darsan man bheejai jee-o. ||1||
O’ my benefactor, the life of the world, fulfill this longing of mine: that I may be blessed to realize you, and my mind may be spiritually satiated.
Ee mfadhili wangu,uhai wa dunia, timiza hamu hii yangu: ndiposa niweze kubarikiwa kukugundua Wewe, na akili yangu itoshelezwe kiroho.

ਮਿਲਿ ਸਤਸੰਗਿ ਬੋਲੀ ਹਰਿ ਬਾਣੀ ॥
mil satsang bolee har banee.
Joining the congregation of saintly persons,remember and focus on God’s word.
Ukijiunga na ushirika wa watu watakatifu, kumbuka na umakinikie neno la Mungu.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਕਥਾ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਭਾਣੀ ॥
har har kathaa mayrai man bhaanee.
The Sermon of praises of God ,is pleasing and spiritually satisfying to my mind.
Mahubiri ya sifa za Mungu, inapendeza na kuridhisha kiroho akilini mwangu.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਹਰਿ ਮਨਿ ਭਾਵੈ ਮਿਲਿ ਸਤਿਗੁਰ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਪੀਜੈ ਜੀਉ ॥੨॥
har har amrit har man bhaavai mil satgur amrit peejai jee-o. ||2||
The nectar of God’s Naam is sweet to my mind.Meeting the Guru (in the congregation of saints), I enjoy this nectar and divine bliss.
Nekta ya Naam ya Mungu ni tamu kwa akili yangu. Kwa kukutana na Guru (katika ushirika wa watakatifu), nafurahia nekta hii na furaha tele ya kimungu.

ਵਡਭਾਗੀ ਹਰਿ ਸੰਗਤਿ ਪਾਵਹਿ ॥
vadbhaagee har sangat paavahi.
Only by great good fortune one obtains the company of the saintly persons.
Ni kwa bahati nzuri kuu pekee ambapo mtu anapata uandamani wa watu watakatifu.

ਭਾਗਹੀਨ ਭ੍ਰਮਿ ਚੋਟਾ ਖਾਵਹਿ ॥
bhaagheen bharam chotaa khaaveh.
Without this association, the unfortunate ones wander about in delusion, and suffer.
Bila uhusiano huu, wasio na bahati wanazurura katika uongo, na wanateseka.

ਬਿਨੁ ਭਾਗਾ ਸਤਸੰਗੁ ਨ ਲਭੈ ਬਿਨੁ ਸੰਗਤਿ ਮੈਲੁ ਭਰੀਜੈ ਜੀਉ ॥੩॥
bin bhaagaa satsang na labhai bin sangat mail bhareejai jee-o. ||3||
Without the good fortune, we can not find the company of saintly people, without such association, our mind is filled with worldly evils.
Bila bahati hiyo nzuri, hatuwezi kupata uandamano wa watu watakatifu, bila uhusiano kama huo, akili yetu inajawa na maovu ya kidunia.

ਮੈ ਆਇ ਮਿਲਹੁ ਜਗਜੀਵਨ ਪਿਆਰੇ ॥
mai aa-ay milhu jagjeevan pi-aaray.
Come and meet me, O’, Life of the World, my Beloved.
Kuja ukutane nami, Ee Uhai wa Dunia, Mpendwa wangu.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਦਇਆ ਮਨਿ ਧਾਰੇ ॥
har har naam da-i-aa man Dhaaray.
Please bless me with Your Mercy, and enshrine Naam, within my mind.
Tafadhali nibariki na Huruma yako, na uweke vizuri Naam, ndani mwa akili yangu.

ਗੁਰਮਤਿ ਨਾਮੁ ਮੀਠਾ ਮਨਿ ਭਾਇਆ ਜਨ ਨਾਨਕ ਨਾਮਿ ਮਨੁ ਭੀਜੈ ਜੀਉ ॥੪॥੪॥
gurmat naam meethaa man bhaa-i-aa jan naanak naam man bheejai jee-o. ||4||4||
God’s Naam has become pleasing to my mind. Yes, devotee Nanak’s mind is satiated with (the joy of God’s) Naam.
Naam ya Mungu imekuwa ya kupendeza kwa akili yangu. Ndio, akili ya mtawa Nanak imetoshelezwa na (furaha ya) Naam (ya Mungu).

ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੪ ॥
maajh mehlaa 4.
Raag Maajh, by the Fourth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Nne:

ਹਰਿ ਗੁਰ ਗਿਆਨੁ ਹਰਿ ਰਸੁ ਹਰਿ ਪਾਇਆ ॥
har gur gi-aan har ras har paa-i-aa.
Through the Guru and joining the company of saintly persons , I have realized the spiritual wisdom and have obtained the Sublime Essence of his message.
Kupitia kwa Guru na kwa kujiunga na uandamano wa watu watakatifu, nimegundua hekima ya kiroho na nimepata Kiini Tukufu cha ujumbe wake.

ਮਨੁ ਹਰਿ ਰੰਗਿ ਰਾਤਾ ਹਰਿ ਰਸੁ ਪੀਆਇਆ ॥
man har rang raataa har ras pee-aa-i-aa.
I have been bestowed with God’s Naam and my mind is imbued with His love.
Nimetawaziwa Naam ya Mungu na akili yangu imejawa na upendo wake.

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਮੁਖਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਬੋਲੀ ਮਨੁ ਹਰਿ ਰਸਿ ਟੁਲਿ ਟੁਲਿ ਪਉਦਾ ਜੀਉ ॥੧॥
har har naam mukh har har bolee man har ras tul tul pa-udaa jee-o. ||1||
Remembering the Name of the God, my mind is overflowing with the Sublime Essence of the His Love.
Kwa kukumbuka Jina la Mungu, akili yangu imefurika na Kiini Tukufu cha Upendo wake.

ਆਵਹੁ ਸੰਤ ਮੈ ਗਲਿ ਮੇਲਾਈਐ ॥
aavhu sant mai gal maylaa-ee-ai.
Come, O Saints, and lead me to my God’s Embrace.
Kujeni, Ee Watakatifu, na mniongoze kwa Kumbatio la Mungu wangu.

ਮੇਰੇ ਪ੍ਰੀਤਮ ਕੀ ਮੈ ਕਥਾ ਸੁਣਾਈਐ ॥
mayray pareetam kee mai kathaa sunaa-ee-ai.
Recite to me the Sermon of my Beloved.
Nikaririe Mahubiri ya Mpendwa wangu.

ਹਰਿ ਕੇ ਸੰਤ ਮਿਲਹੁ ਮਨੁ ਦੇਵਾ ਜੋ ਗੁਰਬਾਣੀ ਮੁਖਿ ਚਉਦਾ ਜੀਉ ॥੨॥
har kay sant milhu man dayvaa jo gurbaanee mukh cha-udaa jee-o. ||2||
O’ saints of God let’s meet, I can dedicate my mind to those Saints , who recite Guru’s Bani.
Ee watakatifu wa Mungu hebu tukutane, mimi naweza kuweka wakfu akili yangu kwa Watakatifu hao, ambao wanakariri Bani ya Guru.

ਵਡਭਾਗੀ ਹਰਿ ਸੰਤੁ ਮਿਲਾਇਆ ॥
vadbhaagee har sant milaa-i-aa.
By great good fortune, God has led me to meet the Guru.
Kwa bahati nzuri kuu, Mungu ameniongoza kukutana na Guru.

ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਹਰਿ ਰਸੁ ਮੁਖਿ ਪਾਇਆ ॥
gur poorai har ras mukh paa-i-aa.
and the Guru has placed the Sublime Essence of Naam in me.
na Guru ameweka Kiini Tukufu cha Naam ndani mwangu.

ਭਾਗਹੀਨ ਸਤਿਗੁਰੁ ਨਹੀ ਪਾਇਆ ਮਨਮੁਖੁ ਗਰਭ ਜੂਨੀ ਨਿਤਿ ਪਉਦਾ ਜੀਉ ॥੩॥
bhaagheen satgur nahee paa-i-aa manmukh garabh joonee nit pa-udaa jee-o. ||3||
The unfortunate ones are not blessed to meet the Guru, and the persons oblivious to the Guru’s teachings keep falling into cycles of birth and rebirth.
Wasio na bahati hawabarikiwi kukutana na Guru, na watu wasiotambua mafundisho ya Guru wanaendelea kuanguka ndani mwa mizunguko ya kuzaliwa na kuzaliwa upya.

ਆਪਿ ਦਇਆਲਿ ਦਇਆ ਪ੍ਰਭਿ ਧਾਰੀ ॥
aap da-i-aal da-i-aa parabh Dhaaree.
God, the Merciful, has Himself bestowed His Mercy.
Mungu, mwenye Huruma, Mwenyewe alitawaza Huruma yake.

ਮਲੁ ਹਉਮੈ ਬਿਖਿਆ ਸਭ ਨਿਵਾਰੀ ॥
mal ha-umai bikhi-aa sabh nivaaree.
With His mercy, he has completely washed off the dirt of ego and the poison ofMaya from the mind.
Kwa huruma yake, amesafisha kabisa uchafu wa ubinafsi na sumu ya Maya kutoka kwenye akili.

ਨਾਨਕ ਹਟ ਪਟਣ ਵਿਚਿ ਕਾਂਇਆ ਹਰਿ ਲੈਂਦੇ ਗੁਰਮੁਖਿ ਸਉਦਾ ਜੀਉ ॥੪॥੫॥
naanak hat patan vich kaaN-i-aa har laiNday gurmukh sa-udaa jee-o. ||4||5||
O’ Nanak, by molding one’s mind according to the Guru’s instructions, one experiences the divine bliss.
Ee Nanak, kwa kufinyanga akili ya mtu kulingana na maagizo ya Guru, mtu anahisi furaha tele takatifu.

ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੪ ॥
maajh mehlaa 4.
Raag Maajh,by the Fourth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Nne:

ਹਉ ਗੁਣ ਗੋਵਿੰਦ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈ ॥
ha-o gun govind har naam Dhi-aa-ee.
My mind longs to sing praises of God, and meditate on His Name.
Akili yangu inatamani kuimba sifa za Mungu, na kutafakari Jina lake.

ਮਿਲਿ ਸੰਗਤਿ ਮਨਿ ਨਾਮੁ ਵਸਾਈ ॥
mil sangat man naam vasaa-ee.
By joining the congregation of saintly persons, I may enshrine Naam in my heart.
Kwa kujiunga na ushirika wa watu watakatifu, naweza kuweka vizuri Naam moyoni mwangu.

ਹਰਿ ਪ੍ਰਭ ਅਗਮ ਅਗੋਚਰ ਸੁਆਮੀ ਮਿਲਿ ਸਤਿਗੁਰ ਹਰਿ ਰਸੁ ਕੀਚੈ ਜੀਉ ॥੧॥
har parabh agam agochar su-aamee mil satgur har ras keechai jee-o. ||1||
O’ God, the Master, inaccessible and unfathomable, with your blessings i can meet the Guru and enjoy the Sublime Essence of Naam.
Ee Mungu, Bwana, usiyefikika na usiyeeleweka, kwa baraka zako naweza kukutana na Guru na kufurahia Kiini Tukufu cha Naam.

error: Content is protected !!