ਸੇਵਾ ਸੁਰਤਿ ਸਬਦਿ ਚਿਤੁ ਲਾਏ ॥
sayvaa surat sabad chit laa-ay.
Then he focuses his mind in selfless service and the Guru’s word.
Kisha anamakinisha akili yake katika huduma isiyo na ubinafsi na neno la Guru.
ਹਉਮੈ ਮਾਰਿ ਸਦਾ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਮਾਇਆ ਮੋਹੁ ਚੁਕਾਵਣਿਆ ॥੧॥
ha-umai maar sadaa sukh paa-i-aa maa-i-aa moh chukaavani-aa. ||1||
Subduing ego, he sheds love for Maya and enjoys everlasting bliss.
Akishinda ubinafsi, anaondoa upendo wa Maya na kufurahia raha tele ya milele.
ਹਉ ਵਾਰੀ ਜੀਉ ਵਾਰੀ ਸਤਿਗੁਰ ਕੈ ਬਲਿਹਾਰਣਿਆ ॥
ha-o vaaree jee-o vaaree satgur kai balihaarni-aa.
And he says, I am forever devoted to the Guru,
Naye anasema, mimi najitolea milele kwa Guru.
ਗੁਰਮਤੀ ਪਰਗਾਸੁ ਹੋਆ ਜੀ ਅਨਦਿਨੁ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਵਣਿਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
gurmatee pargaas ho-aa jee an-din har gun gaavani-aa. ||1|| rahaa-o.
It is through the Guru’s teachings that a person is enlightened with divine wisdom, and he always sings praises of God.
Ni kupitia mafundisho ya Guru ambapo mtu anaangazwa na hekima takatifu, na daima anaimba sifa za Mungu.
ਤਨੁ ਮਨੁ ਖੋਜੇ ਤਾ ਨਾਉ ਪਾਏ ॥
tan man khojay taa naa-o paa-ay.
Only when one reflects upon the self (reflects on all his shortcomings) then one realizes Naam,
Wakati tu ambao mtu anatakafaru kuhusu nafsi yake (kutafakari mapungufu yake yote) kisha mtu anagundua Naam,
ਧਾਵਤੁ ਰਾਖੈ ਠਾਕਿ ਰਹਾਏ ॥
Dhaavat raakhai thaak rahaa-ay.
and thus restraining the wandering mind, he keeps it in check.
Na kisha anajizuia akili inayozurura, na kuidhibiti.
ਗੁਰ ਕੀ ਬਾਣੀ ਅਨਦਿਨੁ ਗਾਵੈ ਸਹਜੇ ਭਗਤਿ ਕਰਾਵਣਿਆ ॥੨॥
gur kee banee an-din gaavai sehjay bhagat karaavani-aa. ||2||
He always sings Gurbani (divine words) and intuitively remains engaged in God’s worship
Daima anaimba Gurbani (maneno takatifu) na kwa hisia na silika anabaki amejishughulisha katika ibada ya Mungu
ਇਸੁ ਕਾਇਆ ਅੰਦਰਿ ਵਸਤੁ ਅਸੰਖਾ ॥
is kaa-i-aa andar vasat asankhaa.
In this body dwells God, whose virtues are limitless.
Katika mwili huu mnaishi Mungu, ambaye fadhila zake hazina kikomo.
ਗੁਰਮੁਖਿ ਸਾਚੁ ਮਿਲੈ ਤਾ ਵੇਖਾ ॥
gurmukh saach milai taa vaykhaa.
By the Guru-granted wisdom, When one is able to realize God dwelling within.
Kwa hekima iliyotolewa na Guru, wakati mtu anaweza kugundua Mungu anayeishi ndani mwake.
ਨਉ ਦਰਵਾਜੇ ਦਸਵੈ ਮੁਕਤਾ ਅਨਹਦ ਸਬਦੁ ਵਜਾਵਣਿਆ ॥੩॥
na-o darvaajay dasvai muktaa anhad sabad vajaavani-aa. ||3||
Then, one rises beyond the apparent nine senses and realizes the tenth hidden sense, the door to liberation, and experiences the unstuck divine melody.
Kisha, mtu anazidi hisi tisa dhahiri na kugundua hisi ya kumi iliyofichwa, mlango wa ukombozi, na kuhisi melodia takatifu isiyo na mfano wake.
ਸਚਾ ਸਾਹਿਬੁ ਸਚੀ ਨਾਈ ॥
sachaa saahib sachee naa-ee.
Eternal is the Master, and eternal is His glory.
Wa milele ni Bwana, na ya milele ni utukufu wake.
ਗੁਰ ਪਰਸਾਦੀ ਮੰਨਿ ਵਸਾਈ ॥
gur parsaadee man vasaa-ee.
It is through the Guru’s grace that He is enshrined in the mind.
Ni kupitia neema ya Guru ambapo Yeye anawekwa vizuri akilini.
ਅਨਦਿਨੁ ਸਦਾ ਰਹੈ ਰੰਗਿ ਰਾਤਾ ਦਰਿ ਸਚੈ ਸੋਝੀ ਪਾਵਣਿਆ ॥੪॥
an-din sadaa rahai rang raataa dar sachai sojhee paavni-aa. ||4||
The person who always remains imbued with love of God, remains in God’s presence and obtains the understanding about righteous life.
Mtu ambaye daima anabaki amejawa na upendo wa Mungu, anabaki katika uwepo wa Mungu na kupata uelewa kuhusu maisha ya haki.
ਪਾਪ ਪੁੰਨ ਕੀ ਸਾਰ ਨ ਜਾਣੀ ॥
paap punn kee saar na jaanee.
The one who does not understand about sin and virtue.
Yule ambaye haelewi kuhusu dhambi na fadhila.
ਦੂਜੈ ਲਾਗੀ ਭਰਮਿ ਭੁਲਾਣੀ ॥
doojai laagee bharam bhulaanee.
Attached to duality, he wanders around deluded.
Akijiambatisha katika uwili, anazurura kote akiwa amepotoshwa.
ਅਗਿਆਨੀ ਅੰਧਾ ਮਗੁ ਨ ਜਾਣੈ ਫਿਰਿ ਫਿਰਿ ਆਵਣ ਜਾਵਣਿਆ ॥੫॥
agi-aanee anDhaa mag na jaanai fir fir aavan jaavani-aa. ||5||
The ignorant blind person does not know the true path of righteous life, and is consigned to cycle of birth and death
Mtu mjinga kipofu hajui njia ya kweli ya maisha ya haki, na ametupwa katika mzunguko wa kuzaliwa na kufa
ਗੁਰ ਸੇਵਾ ਤੇ ਸਦਾ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ॥
gur sayvaa tay sadaa sukh paa-i-aa.
The person who serves and follows the Guru’s teaching, finds eternal peace.
Mtu anayetumikia na kufuata mafundisho ya Guru, anapata amani ya milele.
ਹਉਮੈ ਮੇਰਾ ਠਾਕਿ ਰਹਾਇਆ ॥
ha-umai mayraa thaak rahaa-i-aa.
He keeps his ego and worldly attachments under control.
Anaweka ubinafsi na viambatisho vya kidunia chini ya udhibiti wake.
ਗੁਰ ਸਾਖੀ ਮਿਟਿਆ ਅੰਧਿਆਰਾ ਬਜਰ ਕਪਾਟ ਖੁਲਾਵਣਿਆ ॥੬॥
gur saakhee miti-aa anDhi-aaraa bajar kapaat khulaavani-aa. ||6||
Through the Guru’s word, the darkness of ignorance of mind is dispelled, and the heavy shutters of one’s mind are opened and one obtains divine wisdom.
Kupitia neno la Guru, giza ya ujinga akilini inaondolewa, na vifunga vya akili ya mtu vinafunguliwa na mtu anapata hekima takatifu.
ਹਉਮੈ ਮਾਰਿ ਮੰਨਿ ਵਸਾਇਆ ॥
ha-umai maar man vasaa-i-aa.
Subduing the ego, he kept the Guru’s word enshrined in the mind,
Akishinda ubinafsi, aliweka neno la Guru vizuri akilini,
ਗੁਰ ਚਰਣੀ ਸਦਾ ਚਿਤੁ ਲਾਇਆ ॥
gur charnee sadaa chit laa-i-aa.
and consciousnessly followed the Guru’s teachings.
Na kwa ufahamu akafuata mafundisho ya Guru.
ਗੁਰ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਮਨੁ ਤਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਨਿਰਮਲ ਨਾਮੁ ਧਿਆਵਣਿਆ ॥੭॥
gur kirpaa tay man tan nirmal nirmal naam Dhi-aavani-aa. ||7||
By the Guru’s grace, his mind and body become pure, and he keeps meditating on the immaculate Name of God.
Kwa neema ya Guru, akili na mwili wake ukawa safi, na anaendelea kutafakari kuhusa Jina safi la Mungu.
ਜੀਵਣੁ ਮਰਣਾ ਸਭੁ ਤੁਧੈ ਤਾਈ ॥
jeevan marnaa sabh tuDhai taa-ee.
O’ God, both life and death are in Your hands.
Ee Mungu, uhai na kifo kote kipo mikononi mwako.
ਜਿਸੁ ਬਖਸੇ ਤਿਸੁ ਦੇ ਵਡਿਆਈ ॥
jis bakhsay tis day vadi-aa-ee.
The one who is under Your Grace, You confer on him the glory of your Naam.
Yule ambaye yu chini ya Neema yako, unamtunukia utukufu wa Naam yako.
ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਧਿਆਇ ਸਦਾ ਤੂੰ ਜੰਮਣੁ ਮਰਣੁ ਸਵਾਰਣਿਆ ॥੮॥੧॥੨॥
naanak naam Dhi-aa-ay sadaa tooN jaman maran savaarni-aa. ||8||1||2||
O’ Nanak, you should always meditate on His Name, which can embellish your entire life from birth to death.
Ee Nanak, daima unafaa kutafakari kuhusu Jina lake, ambalo linaweza kupamba maisha yako yote kutoka kuzaliwa hadi kufa.
ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੩ ॥
maajh mehlaa 3.
Raag Maajh, by the Third Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Tatu:
ਮੇਰਾ ਪ੍ਰਭੁ ਨਿਰਮਲੁ ਅਗਮ ਅਪਾਰਾ ॥
mayraa parabh nirmal agam apaaraa.
My God is Immaculate, Inaccessible and Infinite.
Mungu ni safi, hawezi kufikiwa wala hana mwisho.
ਬਿਨੁ ਤਕੜੀ ਤੋਲੈ ਸੰਸਾਰਾ ॥
bin takrhee tolai sansaaraa.
Without any scale, He evaluates the merits and demerits of the people.
Bila mizani yoyote, anathathmini sifa na upungufu wa watu.
ਗੁਰਮੁਖਿ ਹੋਵੈ ਸੋਈ ਬੂਝੈ ਗੁਣ ਕਹਿ ਗੁਣੀ ਸਮਾਵਣਿਆ ॥੧॥
gurmukh hovai so-ee boojhai gun kahi gunee samaavani-aa. ||1||
The one who follows the Guru’s teachings understands this. By reciting thevirtues of God, he remains attuned to Him.
Yule ambaye anafuata mafundisho ya Guru anaelewa hii. Kwa kukariri fadhila za Mungu, anabaki amemakinikia Mungu.
ਹਉ ਵਾਰੀ ਜੀਉ ਵਾਰੀ ਹਰਿ ਕਾ ਨਾਮੁ ਮੰਨਿ ਵਸਾਵਣਿਆ ॥
ha-o vaaree jee-o vaaree har kaa naam man vasaavani-aa.
I dedicate myself to those, who enshrine God’s Name in their minds.
Najiweka wakfu kwa wale, wanaoweka vizuri Jina la Mungu akilini mwao.
ਜੋ ਸਚਿ ਲਾਗੇ ਸੇ ਅਨਦਿਨੁ ਜਾਗੇ ਦਰਿ ਸਚੈ ਸੋਭਾ ਪਾਵਣਿਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jo sach laagay say an-din jaagay dar sachai sobhaa paavni-aa. ||1|| rahaa-o.
Those who are devoted to the eternal God always remain watchful against the onslaughts of Maya and receive honor at God’s court.
Wale ambao wamejitolea kwa Mungu wa milele daima wanabaki waangalifu dshidi ya mashambulizi ya Maya na wanapokea heshima mahakamani pa Mungu.
ਆਪਿ ਸੁਣੈ ਤੈ ਆਪੇ ਵੇਖੈ ॥
aap sunai tai aapay vaykhai.
God Himself listens to prayers and takes care of everyone.
Mungu mwenyewe anasikiza maombi na kutunza kila mtu.
ਜਿਸ ਨੋ ਨਦਰਿ ਕਰੇ ਸੋਈ ਜਨੁ ਲੇਖੈ ॥
jis no nadar karay so-ee jan laykhai.
Those, upon whom He casts His Glance of Grace, become acceptable.
Wale, ambao anawapa Mtazamo wake wa Neema, wanaweza kukubalika.
ਆਪੇ ਲਾਇ ਲਏ ਸੋ ਲਾਗੈ ਗੁਰਮੁਖਿ ਸਚੁ ਕਮਾਵਣਿਆ ॥੨॥
aapay laa-ay la-ay so laagai gurmukh sach kamaavani-aa. ||2||
Only the one whom He blesses is imbued with His love and devotion, and through the Guru, meditates on God (practices truth in life).
Ni yule tu ambaye Yeye anabariki anajawa na upendo na kujitolea kwake, na kupitia kwa Guru, anatafakari kuhusu Mungu (kutenda ya kweli maishani).
ਜਿਸੁ ਆਪਿ ਭੁਲਾਏ ਸੁ ਕਿਥੈ ਹਥੁ ਪਾਏ ॥
jis aap bhulaa-ay so kithai hath paa-ay.
Where can that person find any support and guidance, whom God Himself puts on the wrong path?
Mtu huyo atapata wapi msaada au mwongozo wowote, ambaye Mungu mwenyewe ameweka kwenye njia isiyo sawa?
ਪੂਰਬਿ ਲਿਖਿਆ ਸੁ ਮੇਟਣਾ ਨ ਜਾਏ ॥
poorab likhi-aa so maytnaa na jaa-ay.
The pre-ordained destiny (based on their past deeds) cannot be erased.
Hatima iliyoagiziwa mapema (kulingana na vitendo vyao vya awali) haiwezi kufutwa.
ਜਿਨ ਸਤਿਗੁਰੁ ਮਿਲਿਆ ਸੇ ਵਡਭਾਗੀ ਪੂਰੈ ਕਰਮਿ ਮਿਲਾਵਣਿਆ ॥੩॥
jin satgur mili-aa say vadbhaagee poorai karam milaavani-aa. ||3||
Those who meet the True Guru are very fortunate and blessed, through His perfect mercy God unites them with Himself.
Wale ambao wanakutana na Guru wa kweli wana bahati mno na wamebarikiwa, kupitia huruma yake kamili Mungu anawaunganisha naye.
ਪੇਈਅੜੈ ਧਨ ਅਨਦਿਨੁ ਸੁਤੀ ॥
pay-ee-arhai Dhan an-din sutee.
The bride soul, who always remains engrossed in worldly pursuits in this world.
Roho kama bi harusi, ambaye daima anabaki amejiingiza katika harakati za kidunia duniani humu.
ਕੰਤਿ ਵਿਸਾਰੀ ਅਵਗਣਿ ਮੁਤੀ ॥
kant visaaree avgan mutee.
She has forgotten her Husband-God; she is abandoned because of her demerits.
Amesahau Mume-Mungu wake; yeye ameachwa kwa sababu ya kutostahili kwake.
ਅਨਦਿਨੁ ਸਦਾ ਫਿਰੈ ਬਿਲਲਾਦੀ ਬਿਨੁ ਪਿਰ ਨੀਦ ਨ ਪਾਵਣਿਆ ॥੪॥
an-din sadaa firai billaadee bin pir need na paavni-aa. ||4||
She always wanders around crying. Without the company of her Husband-God, she cannot get any spiritual peace.
Daima anazurura akilia. Bila uandamano wa Mume-Mungu wake hawezi kupata amani yoyote ya kiroho.
ਪੇਈਅੜੈ ਸੁਖਦਾਤਾ ਜਾਤਾ ॥
pay-ee-arhai sukh-daata jaataa.
The soul bride who realizes her Husband-God, the bestower of peace, in this world.
Roho kama bi harusi anayegundua Mume-Mungu wake, Mtawaza wa amani, duniani humu.
ਹਉਮੈ ਮਾਰਿ ਗੁਰ ਸਬਦਿ ਪਛਾਤਾ ॥
ha-umai maar gur sabad pachhaataa.
and by eradicating her ego, she recognizes her Husband-God through the Guru’s word .
na kwa kuangamiza ubinafsi wake, anatambua Mume-Mungu wake kupitia neno la Guru.
ਸੇਜ ਸੁਹਾਵੀ ਸਦਾ ਪਿਰੁ ਰਾਵੇ ਸਚੁ ਸੀਗਾਰੁ ਬਣਾਵਣਿਆ ॥੫॥
sayj suhaavee sadaa pir raavay sach seegaar banaavani-aa. ||5||
She bedecks herself with the ornaments of Naam, and always enjoys the company of her Husband-God in her heart.
Anajipamba kwa mapambo ya Naam, na daima anafurahia uandamano wa Mume-Mungu wake moyoni mwake.