ਚਰਨ ਸੇਵ ਸੰਤ ਸਾਧ ਕੇ ਸਗਲ ਮਨੋਰਥ ਪੂਰੇ ॥੩॥
charan sayv sant saaDh kay sagal manorath pooray.||3||
Following Guru’s teachings with humility, one’s all desires are fulfilled.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru kwa unyenyekevu, hamu zote za mtu zinatimizwa.
ਘਟਿ ਘਟਿ ਏਕੁ ਵਰਤਦਾ ਜਲਿ ਥਲਿ ਮਹੀਅਲਿ ਪੂਰੇ ॥੪॥
ghat ghat ayk varatdaa jal thal mahee-al pooray. ||4||
God is pervading in each and every heart. He is totally permeating the water, the land, and the sky.
Mungu anaenea katika kila moyo. Yeye anapenyeza kikamilifu kwa maji, ardhi na kwenye anga.
ਪਾਪ ਬਿਨਾਸਨੁ ਸੇਵਿਆ ਪਵਿਤ੍ਰ ਸੰਤਨ ਕੀ ਧੂਰੇ ॥੫॥
paap binaasan sayvi-aa pavitar santan kee Dhooray. ||5||
Those who lovingly meditated on God’s Name, the destroyer of sins by humbly following the teachings of the Guru, become immaculate.
Wale waliotafakari kwa upendo kuhusu Jina la Mungu, mwangamizi wa dhambi kwa kufuata mafundisho ya Guru kwa unyenyekevu, wanakuwa safi.
ਸਭ ਛਡਾਈ ਖਸਮਿ ਆਪਿ ਹਰਿ ਜਪਿ ਭਈ ਠਰੂਰੇ ॥੬॥
sabh chhadaa-ee khasam aap har jap bha-ee tharooray. ||6||
The entire world is pacified by meditating on God. The Master Himself has liberated the entire world from the agony of vices.
Dunia mzima inatulizwa kwa kutafakari kuhusu Mungu. Bwana mwenyewe amekomboa dunia mzima kutoka uchungu wa dhambi.
ਕਰਤੈ ਕੀਆ ਤਪਾਵਸੋ ਦੁਸਟ ਮੁਏ ਹੋਇ ਮੂਰੇ ॥੭॥
kartai kee-aa tapaavaso dusat mu-ay ho-ay mooray. ||7||
The Creator has done this justice that the evil-doers have died a spiritual death.They have become lifeless like stuffed animals.
Muumba ametenda haki hii kwamba watenda maovu wamekufa kifo cha kiroho. Wamekuwa wasio na uhai kama wanaserere.
ਨਾਨਕ ਰਤਾ ਸਚਿ ਨਾਇ ਹਰਿ ਵੇਖੈ ਸਦਾ ਹਜੂਰੇ ॥੮॥੫॥੩੯॥੧॥੩੨॥੧॥੫॥੩੯॥
naanak rataa sach naa-ay har vaykhai saada hajoray. ||8||5||39||1||32||1||5||39||
O’ Nanak, the one who remains attuned to the eternal Name of God, he always beholds His presence with him.
Ee Nanak, yule anayebaki amemakinikia Jina la milele la Mungu, daima anatazama uwepo wake pamoja naye.
ਬਾਰਹ ਮਾਹਾ ਮਾਂਝ ਮਹਲਾ ੫ ਘਰੁ ੪
baarah maahaa maaNjh mehlaa 5 ghar 4
The Twelve Months: Maajh Raag, by the Fifth Guru, Fourth Beat:
Miezi kumi na mbili: Maajh Raag, na Guru wa Tano, Mpigo wa Nne:
ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One Eternal God. realized by the grace of the True Guru:
Mungu Mmoja wa milele. Anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa Kweli:
ਕਿਰਤਿ ਕਰਮ ਕੇ ਵੀਛੁੜੇ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਮੇਲਹੁ ਰਾਮ ॥
kirat karam kay veechhurhay kar kirpaa maylhu raam.
O’ God, as a result of our deeds, we are separated from You. Please show Your mercy, and unite us with You.
Ee Mungu, kutokana na vitendo vyetu, tumetenganishwa kutoka Wewe. Tafadhali tuoneshe huruma yako, na utuunganishe nawe.
ਚਾਰਿ ਕੁੰਟ ਦਹ ਦਿਸ ਭ੍ਰਮੇ ਥਕਿ ਆਏ ਪ੍ਰਭ ਕੀ ਸਾਮ ॥
chaar kunt dah dis bharamay thak aa-ay parabh kee saam.
O’ God, we have wandered in all the four corners and ten directions. Now completely exhausted, we have come to Your refuge.
Ee Mungu, tumezurura katika pembe zote nne na mielekeo kumi. Sasa tukiwa tumechoka kabisa, tumekuja kwenye kimbilio chako.
ਧੇਨੁ ਦੁਧੈ ਤੇ ਬਾਹਰੀ ਕਿਤੈ ਨ ਆਵੈ ਕਾਮ ॥
Dhayn duDhai tay baahree kitai na aavai kaam.
Just as a cow, that yields no milk is of no use,
Kama vile ng’ombe, asiyetoa maziwa yoyote hana manufaa yoyote,
ਜਲ ਬਿਨੁ ਸਾਖ ਕੁਮਲਾਵਤੀ ਉਪਜਹਿ ਨਾਹੀ ਦਾਮ ॥
jal bin saakh kumlaavatee upjahi naahee daam.
and just as crop withers away without water and yields no income.
Kama vile mmea unanyauka bila maji na hauzalishi mapato yoyote.
ਹਰਿ ਨਾਹ ਨ ਮਿਲੀਐ ਸਾਜਨੈ ਕਤ ਪਾਈਐ ਬਿਸਰਾਮ ॥
har naah na milee-ai saajnai kat paa-ee-ai bisraam.
similarly, without union with God (our beloved spouse),how can we find any peace or comfort?
Sawia hayo, bila muungano na Mungu (mwenzi wetu mpendwa), tutawezaje kupata amani au starehe yoyote?
ਜਿਤੁ ਘਰਿ ਹਰਿ ਕੰਤੁ ਨ ਪ੍ਰਗਟਈ ਭਠਿ ਨਗਰ ਸੇ ਗ੍ਰਾਮ ॥
jit ghar har kant na pargata-ee bhath nagar say garaam.
The body and mind of a human (soul-bride) in whose heart God has not been revealed is like a burning furnace.
Mwili na akili ya binadamu (roho kama bi harusi) ambaye moyoni mwake Mungu hajadhihirishwa ni kama tanuru inayowaka.
ਸ੍ਰਬ ਸੀਗਾਰ ਤੰਬੋਲ ਰਸ ਸਣੁ ਦੇਹੀ ਸਭ ਖਾਮ ॥
sarab seegaar tambol ras san dayhee sabh khaam.
All embellishments, and fragrances along with her body seem worthless to her.
Mapambo yote, na manukato pamoja na mwili wake unaonekana kuwa bila thamana kwake.
ਪ੍ਰਭ ਸੁਆਮੀ ਕੰਤ ਵਿਹੂਣੀਆ ਮੀਤ ਸਜਣ ਸਭਿ ਜਾਮ ॥
parabh su-aamee kant vihoonee-aa meet sajan sabh jaam.
Without the presence of her Husband-God, even her friends and relatives appear as demons of death.
Bila uwepo wa Mume-Mungu wake, hata marafiki na jamaa wake wanaonekana kuwa kama pepo wa kifo.
ਨਾਨਕ ਕੀ ਬੇਨੰਤੀਆ ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਦੀਜੈ ਨਾਮੁ ॥
naanak kee banantee-aa kar kirpaa deejai naam.
O’ God, therefore Nanak prays: Please show us mercy by blessing us with Naam.
Ee Mungu, hivyo Nanak anaomba: tafadhali tuonee huruma kwa kutubariki kwa Naam.
ਹਰਿ ਮੇਲਹੁ ਸੁਆਮੀ ਸੰਗਿ ਪ੍ਰਭ ਜਿਸ ਕਾ ਨਿਹਚਲ ਧਾਮ ॥੧॥
har maylhu su-aamee sang parabh jis kaa nihchal Dhaam. ||1||
and unite me with that Husband-God, whose abode is eternal.
Na uniunganishe na huyo Mume-Mungu, ambaye makao yake ni ya milele.
ਚੇਤਿ ਗੋਵਿੰਦੁ ਅਰਾਧੀਐ ਹੋਵੈ ਅਨੰਦੁ ਘਣਾ ॥
chayt govind araaDhee-ai hovai anand ghanaa.
By remembering God with loving devotion in the month of chait (March-April) deep bliss arises in the mind.
Kwa kumkumbuka Mungu kwa kujitolea kwa upendo katika mwezi wa chait (Machi-Aprili) raha tele yenye kina inatokea akilini.
ਸੰਤ ਜਨਾ ਮਿਲਿ ਪਾਈਐ ਰਸਨਾ ਨਾਮੁ ਭਣਾ ॥
sant janaa mil paa-ee-ai rasnaa naam bhanaa.
But this Supreme bliss is achieved by reciting God’s praises in the holy congregation.
Lakini hii raha tele kuu inafanikishwa kwa kukariri sifa za Mungu katika ushirika takatifu.
ਜਿਨਿ ਪਾਇਆ ਪ੍ਰਭੁ ਆਪਣਾ ਆਏ ਤਿਸਹਿ ਗਣਾ ॥
jin paa-i-aa parabh aapnaa aa-ay tiseh ganaa.
Only coming of that persons in this world is counted as fruitful who has attained union with his God
Ni kuja kwa mtu huyo tu duniani humu kunahesabika kama kwenye mafanikio ambaye amepata muungano na Mungu wake.
ਇਕੁ ਖਿਨੁ ਤਿਸੁ ਬਿਨੁ ਜੀਵਣਾ ਬਿਰਥਾ ਜਨਮੁ ਜਣਾ ॥
ik khin tis bin jeevnaa birthaa janam janaa.
Because, to live without Him, even for an instant, is a waste of human birth.
Kwa sababu, kuishi bila Yeye, hata kwa muda mfupi, ni kuharibu kuzaliwa kwa ubinadamu bure.
ਜਲਿ ਥਲਿ ਮਹੀਅਲਿ ਪੂਰਿਆ ਰਵਿਆ ਵਿਚਿ ਵਣਾ ॥
jal thal mahee-al poori-aa ravi-aa vich vanaa.
That God who is pervading in the water, the land, all spaces and the forests,
Mungu huyo ambaye anaenea majini, ardhini, katika nafasi zote na nyikani,
ਸੋ ਪ੍ਰਭੁ ਚਿਤਿ ਨ ਆਵਈ ਕਿਤੜਾ ਦੁਖੁ ਗਣਾ ॥
so parabh chit na aavee kit-rhaa dukh ganaa.
if that all pervading God does not dwell in the mind of a person, then the spiritual sorrow of that person can not be described.
Iwapo Mungu huyo anayeenea kote haishi akilini mwa mtu, basi huzuni ya kiroho ya mtu huyo haiwezi kuelezwa.
ਜਿਨੀ ਰਾਵਿਆ ਸੋ ਪ੍ਰਭੂ ਤਿੰਨਾ ਭਾਗੁ ਮਣਾ ॥
jinee raavi-aa so parabhoo tinnaa bhaag manaa.
But very fortunate are those who have enjoyed the pleasure of union with God.
Lakini wamebahatika sana wale ambao wamefurahia raha ya muungano na Mungu.
ਹਰਿ ਦਰਸਨ ਕੰਉ ਮਨੁ ਲੋਚਦਾ ਨਾਨਕ ਪਿਆਸ ਮਨਾ ॥
har darsan kaN-u man lochdaa naanak pi-aas manaa.
O’ Nanak, my mind is yearning to be blessed with His Vision.
Ee Nanak, akili yangu inatamani kubarikiwa na Njozi yake.
ਚੇਤਿ ਮਿਲਾਏ ਸੋ ਪ੍ਰਭੂ ਤਿਸ ਕੈ ਪਾਇ ਲਗਾ ॥੨॥
chayt milaa-ay so parabhoo tis kai paa-ay lagaa. ||2||
I would fall at the feet (humbly serve) of the one who in the month of chait unites me with God.
Ningeanguka miguuni (kutumikiwa kwa unyenyekevu) pa yule ambaye katika mwezi wa chait ananiunganisha na Mungu.
ਵੈਸਾਖਿ ਧੀਰਨਿ ਕਿਉ ਵਾਢੀਆ ਜਿਨਾ ਪ੍ਰੇਮ ਬਿਛੋਹੁ ॥
vaisaakh Dheeran ki-o vaadhee-aa jinaa paraym bichhohu.
How can those soul-brides find solace and be happy in Vaishakh (April-May), who are in agony of separation from their husband-God ?
Hao roho kama bi harusi watawezaje kupata faraja na kufurahia katika Vaishakh (Aprili-Mei), ambao wamekumbwa na maumivu ya utengano kutoka Mume-Mungu wao?
ਹਰਿ ਸਾਜਨੁ ਪੁਰਖੁ ਵਿਸਾਰਿ ਕੈ ਲਗੀ ਮਾਇਆ ਧੋਹੁ ॥
har saajan purakh visaar kai lagee maa-i-aa Dhohu.
Forgetting their beloved friend God, they are attached to Maya.
Wakisahau rafiki Mungu wao mpendwa, wamejiambatisha kwa Maya.
ਪੁਤ੍ਰ ਕਲਤ੍ਰ ਨ ਸੰਗਿ ਧਨਾ ਹਰਿ ਅਵਿਨਾਸੀ ਓਹੁ ॥
putar kaltar na sang Dhanaa har avinaasee oh.
They do not realize that except the Eternal God, no son, wife, or worldly wealth shall keep them company at the end.
Hawagundui ya kwamba isipokuwa Mungu wa milele, hakuna mwana, mke, ama utajiri wa kidunia unaweza kuandamana nao mwishoni.
ਪਲਚਿ ਪਲਚਿ ਸਗਲੀ ਮੁਈ ਝੂਠੈ ਧੰਧੈ ਮੋਹੁ ॥
palach palach saglee mu-ee jhoothai DhanDhai moh.
Being entangled in false worldly pursuits, the entire humanity is spiritually dying.
Ukinaswa na harakati za uongo za kidunia, ubinadamu wote unakufa kiroho.
ਇਕਸੁ ਹਰਿ ਕੇ ਨਾਮ ਬਿਨੁ ਅਗੈ ਲਈਅਹਿ ਖੋਹਿ ॥
ikas har kay naam bin agai la-ee-ah khohi.
When one goes to the next world (God’s court ), except Naam, every other possession is taken away.
Wakati mtu anaenda kwa dunia inayofuata (mahakama ya Mungu), isipokuwa Naam, umiliki wote mwingine unanyang’anywa.
ਦਯੁ ਵਿਸਾਰਿ ਵਿਗੁਚਣਾ ਪ੍ਰਭ ਬਿਨੁ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥
da-yu visaar viguchnaa parabh bin avar na ko-ay.
Forgetting the Merciful God, they are ruined. Without God, there is no other at all, who can help.
Wakisahau Mungu mwenye huruma, wanaangamia. Bila Mungu, hakuna mwengine hata mmoja, ambaye anaweza kusaidia.
ਪ੍ਰੀਤਮ ਚਰਣੀ ਜੋ ਲਗੇ ਤਿਨ ਕੀ ਨਿਰਮਲ ਸੋਇ ॥
pareetam charnee jo lagay tin kee nirmal so-ay.
Those who remember God with love and devotion, they are respected in this world and the world hereafter.
Wale ambao wanamkumbuka Mungu kwa upendo na kujitolea, wanaheshimika katika dunia hii na dunia itakayofuata.