Swahili Page 290

ਸੋ ਕਿਉ ਬਿਸਰੈ ਜਿਨਿ ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਦੀਆ ॥
so ki-o bisrai jin sabh kichh dee-aa.
Why forget Him, who has given us everything?
Kwa nini umsahau, ambaye ametupa kila kitu?

ਸੋ ਕਿਉ ਬਿਸਰੈ ਜਿ ਜੀਵਨ ਜੀਆ ॥
so ki-o bisrai je jeevan jee-aa.
Why forget Him, who is the Life of the living beings?
Kwa nini umsahau, ambaye ndiye Uhai wa viumbe vinavyoishi?

ਸੋ ਕਿਉ ਬਿਸਰੈ ਜਿ ਅਗਨਿ ਮਹਿ ਰਾਖੈ ॥
so ki-o bisrai je agan meh raakhai.
Why forget Him, who preserves us in the fire of the womb?
Kwa nini umsahau, anayetuhifadhi katika moto wa chupa cha uzazi?

ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਕੋ ਬਿਰਲਾ ਲਾਖੈ ॥
gur parsaad ko birlaa laakhai.
Rare is the one who realizes this by the Guru’s Grace,
Nadra ni yule anayegundua haya kwa Neema ya Guru,

ਸੋ ਕਿਉ ਬਿਸਰੈ ਜਿ ਬਿਖੁ ਤੇ ਕਾਢੈ ॥
so ki-o bisrai je bikh tay kaadhai.
Why forget Him, who saves us from the poison of worldly illusions?.
Kwa nini umsahau, anayetuokoa kutoka sumu ya njozi za kidunia?

ਜਨਮ ਜਨਮ ਕਾ ਟੂਟਾ ਗਾਢੈ ॥
janam janam kaa tootaa gaadhai.
and reunites with Him the mortal separated from Him for countless lifetimes?
Na anaunganisha naye tena binadamu aliyetenganishwa kutoka kwake kwa kuishi kwingi kusikohesabika?

ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਤਤੁ ਇਹੈ ਬੁਝਾਇਆ ॥
gur poorai tat ihai bujhaa-i-aa.
The devotees,whom the perfect Guru has made to understand this essence,
Watawa, ambao Guru kamili amefanya waelewe kiini hiki,

ਪ੍ਰਭੁ ਅਪਨਾ ਨਾਨਕ ਜਨ ਧਿਆਇਆ ॥੪॥
parabh apnaa naanak jan Dhi-aa-i-aa.||4|||
O’ Nanak, they have meditated on their Master with love and devotion.
Ee Nanak, wametafakari kuhusu Bwana wao kwa upendo na ujitoaji.

ਸਾਜਨ ਸੰਤ ਕਰਹੁ ਇਹੁ ਕਾਮੁ ॥
saajan sant karahu ih kaam.
O’ my Saintly friends, take up this task,
Ee marafiki wangu Watakatifu, jishughulisheni na kazi hii,

ਆਨ ਤਿਆਗਿ ਜਪਹੁ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ॥
aan ti-aag japahu har naam.
of meditating on God’s Name and renounce all other ritualistic practices.
Ya kutafakari kuhusu Jina la Mungu na mkane mazoea mengine yote ya kimila.

ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਸੁਖ ਪਾਵਹੁ ॥
simar simar simar sukh paavhu.
Constantly meditate on God’s Name and enjoy the taste of bliss.
Mara kwa mara tafakari kuhusu Jina la Mungu na ufurahie kionjo cha raha tele.

ਆਪਿ ਜਪਹੁ ਅਵਰਹ ਨਾਮੁ ਜਪਾਵਹੁ ॥
aap japahu avrah naam japaavhu.
Meditate on Naam yourself and inspire others to do the same.
Tafakari kuhusu Naam mwenyewe na uhamasishe wengine wafanye hivyo pia.

ਭਗਤਿ ਭਾਇ ਤਰੀਐ ਸੰਸਾਰੁ ॥
bhagat bhaa-ay taree-ai sansaar.
By loving devotional worship, one crosses the world-ocean of vices.
Kupitia ibada ya kujitolea kwa upendo, mtu anavuka bahari-dunia ya dhambi.

ਬਿਨੁ ਭਗਤੀ ਤਨੁ ਹੋਸੀ ਛਾਰੁ ॥
bin bhagtee tan hosee chhaar.
Consider this human body wasted if there is no devotional worship of God.
Fikiria mwili huu wa binadamu kuwa umeharibika iwapo hakuna ibada ya kujitolea kwa Mungu.

ਸਰਬ ਕਲਿਆਣ ਸੂਖ ਨਿਧਿ ਨਾਮੁ ॥
sarab kali-aan sookh niDh naam.
Naam is the treasure of all good fortune and peace.
Naam ni hazina ya bahati yote njema na amani.

ਬੂਡਤ ਜਾਤ ਪਾਏ ਬਿਸ੍ਰਾਮੁ ॥
boodat jaat paa-ay bisraam.
Even the one drowning in vices, gets saved by meditating on Naam.
Hata iwapo mtu anazama katika maovu, anaokolewa kwa kuitafakari kuhusu Naam.

ਸਗਲ ਦੂਖ ਕਾ ਹੋਵਤ ਨਾਸੁ ॥
sagal dookh kaa hovat naas.
All sorrows vanish by remembering God.
Huzuni zote zinapotea kwa kumkumbuka Mungu.

ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਜਪਹੁ ਗੁਨਤਾਸੁ ॥੫॥
naanak naam japahu guntaas. ||5||
Therefore, O’ Nanak, meditate on the Naam, the treasure of virtues.
Hivyo basi, Ee Nanak, tafakari kuhusu Naam, hazina ya fadhila.

ਉਪਜੀ ਪ੍ਰੀਤਿ ਪ੍ਰੇਮ ਰਸੁ ਚਾਉ ॥
upjee pareet paraym ras chaa-o.
The one in whom has welled up love, affection and yearning for God,
Kwa yule ambaye ndani mwake mmejaa upendo, mapenzi na hamu ya Mungu,

ਮਨ ਤਨ ਅੰਤਰਿ ਇਹੀ ਸੁਆਉ ॥
man tan antar ihee su-aa-o.
desires only this gift of Naam.
Anatamani tuzo hii ya Naam pekee.

ਨੇਤ੍ਰਹੁ ਪੇਖਿ ਦਰਸੁ ਸੁਖੁ ਹੋਇ ॥
naytarahu paykh daras sukh ho-ay.
Beholding His Blessed Vision (following Guru’s advice), he feels blessed.
Akitazama Mwono wake Uliobarikiwa (kufuata ushauri wa Guru), yeye anahisi kubarikiwa.

ਮਨੁ ਬਿਗਸੈ ਸਾਧ ਚਰਨ ਧੋਇ ॥
man bigsai saaDh charan Dho-ay.
His mind blossoms in ecstasy by sincerely following the teachings of the Guru.
Akili yake inanawiri katika raha kuu kwa kufuata mafundisho ya Guru kwa unyoofu.

ਭਗਤ ਜਨਾ ਕੈ ਮਨਿ ਤਨਿ ਰੰਗੁ ॥
bhagat janaa kai man tan rang.
The mind and body of God’s devotees are infused with His Love.
Akili na mwili wa watawa wa Mungu umepandikizwa Upendo Wake.

ਬਿਰਲਾ ਕੋਊ ਪਾਵੈ ਸੰਗੁ ॥
birlaa ko-oo paavai sang.
Rare is the one who joins the company of such devotees of God.
Nadra ni yule anayejiunga na uandamano wa watawa wa Mungu kama hao.

ਏਕ ਬਸਤੁ ਦੀਜੈ ਕਰਿ ਮਇਆ ॥
ayk basat deejai kar ma-i-aa.
O’ God, mercifully bless us with this one gift,
Ee Mungu, kwa huruma tubariki na tuzo hii moja,

ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਨਾਮੁ ਜਪਿ ਲਇਆ ॥
gur parsaad naam jap la-i-aa.
so that by Guru’s Grace, we may be able to meditate on Your Name.
ili kwa Neema ya Guru, tuweze kutafakari kuhusu Jina lako.

ਤਾ ਕੀ ਉਪਮਾ ਕਹੀ ਨ ਜਾਇ ॥
taa kee upmaa kahee na jaa-ay.
His greatness cannot be described;
Ukuu wake hauwezi kuelezwa;

ਨਾਨਕ ਰਹਿਆ ਸਰਬ ਸਮਾਇ ॥੬॥
naanak rahi-aa sarab samaa-ay. ||6||
O’ Nanak, He is all pervading.
Ee Nanak, Yeye anaenea kote.

ਪ੍ਰਭ ਬਖਸੰਦ ਦੀਨ ਦਇਆਲ ॥
parabh bakhsand deen da-i-aal.
O’ all forgiving and merciful God of the meek,
Ee Mungu wa wapole mwenye msamaha kwa wote na mwenye huruma,

ਭਗਤਿ ਵਛਲ ਸਦਾ ਕਿਰਪਾਲ ॥
bhagat vachhal sadaa kirpaal.
O’ lover of meditation and ever merciful,
Ee mpenda wa kutafakari na mwenye huruma milele,

ਅਨਾਥ ਨਾਥ ਗੋਬਿੰਦ ਗੁਪਾਲ ॥
anaath naath gobind gupaal.
O’ the support of the support-less, protector of the world.
Ee tegemezo ya wanyonge, mlinzi wa dunia.

ਸਰਬ ਘਟਾ ਕਰਤ ਪ੍ਰਤਿਪਾਲ ॥
sarab ghataa karat partipaal.
O’ the sustainer of all beings.
Ee mtunzaji wa viumbe vyote.

ਆਦਿ ਪੁਰਖ ਕਾਰਣ ਕਰਤਾਰ ॥
aad purakh kaaran kartaar.
O’ the Primal Being, O’ the Creator of the universe.
Ee Kiumbe cha Asili, Ee Muumba wa ulimwengu.

ਭਗਤ ਜਨਾ ਕੇ ਪ੍ਰਾਨ ਅਧਾਰ ॥
bhagat janaa kay paraan aDhaar.
O’ the Support of life of the devotees.
Ee Tegemezo ya maisha ya watawa.

ਜੋ ਜੋ ਜਪੈ ਸੁ ਹੋਇ ਪੁਨੀਤ ॥
jo jo japai so ho-ay puneet.
Whoever meditates on You is sanctified,
Yeyote anayetafakari kukuhusu Wewe anatakaswa,

ਭਗਤਿ ਭਾਇ ਲਾਵੈ ਮਨ ਹੀਤ ॥
bhagat bhaa-ay laavai man heet.
while focusing the mind in loving devotional worship.
Wakati anamakinisha akili kwa ibada ya kujitolea kwa upendo.

ਹਮ ਨਿਰਗੁਨੀਆਰ ਨੀਚ ਅਜਾਨ ॥
ham nirgunee-aar neech ajaan.
we are meritless, ignorant, and malicious,
sisi hatuna ustahili, ni wajinga na waovu,

ਨਾਨਕ ਤੁਮਰੀ ਸਰਨਿ ਪੁਰਖ ਭਗਵਾਨ ॥੭॥
naanak tumree saran purakh bhagvaan. ||7||
O’ Nanak, pray and say, O’ God, we have come to Your sanctuary. ||7||
Ee Nanak, omba na useme, Ee Mungu, tumekuja katika pahali pako patakatifu.

ਸਰਬ ਬੈਕੁੰਠ ਮੁਕਤਿ ਮੋਖ ਪਾਏ ॥
sarab baikunth mukat mokh paa-ay. v
Consider one has received all the the heavenly comforts, liberation from vicesand deliverance from cycles of birth and death,
Fikiria mtu kuwa amepokea starehe zote za mbinguni, ukombozi kutoka dhambi na kutoka mizunguko ya kuzaliwa na kufa,

ਏਕ ਨਿਮਖ ਹਰਿ ਕੇ ਗੁਨ ਗਾਏ ॥
ayk nimakh har kay gun gaa-ay.
if one has sung the praises of God even for an instant.
Iwapo mtu ameimba sifa za Mungu hata kwa muda mfupi.

ਅਨਿਕ ਰਾਜ ਭੋਗ ਬਡਿਆਈ ॥
anik raaj bhog badi-aa-ee.
Consider one has received the powe of countless kingdoms, pleasures, and glory.
Fikiria mtu kuwa amepokea nguvu ya ufalme usioohesabika, raha na utukufu.

ਹਰਿ ਕੇ ਨਾਮ ਕੀ ਕਥਾ ਮਨਿ ਭਾਈ ॥
har kay naam kee kathaa man bhaa-ee.
who loves to sing the praises of God.
Anayependa kuimba sifa za Mungu.

ਬਹੁ ਭੋਜਨ ਕਾਪਰ ਸੰਗੀਤ ॥
baho bhojan kaapar sangeet.
Consider one has received all the worldly pleasure of beautiful clothes, tasty foods and soothing music
Fikiria mtu kuwa amepokea raha yote ya kidunia ya mavazi mazuri, vyakula vitamu na muziki tulivu

ਰਸਨਾ ਜਪਤੀ ਹਰਿ ਹਰਿ ਨੀਤ ॥
rasnaa japtee har har neet.
who always remembers God and utters God’s Name.
ambaye daima anamkumbuka Mungu na kutamka Jina la Mungu.

ਭਲੀ ਸੁ ਕਰਨੀ ਸੋਭਾ ਧਨਵੰਤ ॥
bhalee so karnee sobhaa Dhanvant.
The deeds of that person are virtuous, he earns glory and is spiritually wealthy,
Vitendo vya mtu huyo ni vyema, anapata utukufu na ni tajiri kiroho,

ਹਿਰਦੈ ਬਸੇ ਪੂਰਨ ਗੁਰ ਮੰਤ ॥
hirdai basay pooran gur mant.
in whose heart dwells Guru’s teachings.
Ambaye moyoni mwake mnaishi mafundisho ya Guru.

ਸਾਧਸੰਗਿ ਪ੍ਰਭ ਦੇਹੁ ਨਿਵਾਸ ॥
saaDhsang parabh dayh nivaas.
O God, grant me a place in the Company of the Holy.
Ee Mungu, niruzuku nafasi katika Uandamano wa Watakatifu.

ਸਰਬ ਸੂਖ ਨਾਨਕ ਪਰਗਾਸ ॥੮॥੨੦॥
sarab sookh naanak pargaas. ||8||20||
O’ Nanak, by abiding in whose company, all comforts become manifest |20||
Ee Nanak, ambao kwa kukaa katika uandamano wao, starehe zote zinadhihirika.

ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:

ਸਰਗੁਨ ਨਿਰਗੁਨ ਨਿਰੰਕਾਰ ਸੁੰਨ ਸਮਾਧੀ ਆਪਿ ॥
sargun nirgun nirankaar sunn samaaDhee aap.
The formless God Himself is the one who possesses all attributes and no attributes. He Himself remains in absolute meditation.
Mungu Mwenyewe asiye na maumbile ndiye anayemiliki sifa zote na pia hana sifa zozote. Yeye Mwenyewe anabaki katika utafakari kamili.

ਆਪਨ ਕੀਆ ਨਾਨਕਾ ਆਪੇ ਹੀ ਫਿਰਿ ਜਾਪਿ ॥੧॥
aapan kee-aa naankaa aapay hee fir jaap. ||1||
O’ Nanak, He Himself has created this universe and through His creation He meditates on Himself. ||1||
Ee Nanak, Yeye Mwenyewe ameumba ulimwengu na kupitia uumbaji wake Yeye anatafakari kuhusu Yeye Mwenyewe.

ਅਸਟਪਦੀ ॥
asatpadee.
Ashtapadee:

ਜਬ ਅਕਾਰੁ ਇਹੁ ਕਛੁ ਨ ਦ੍ਰਿਸਟੇਤਾ ॥
jab akaar ih kachh na daristaytaa.
When this world had not yet appeared in any visible form,
Wakati dunia hii haikuwa imetokea katika muundo wowote unaoonekana,

ਪਾਪ ਪੁੰਨ ਤਬ ਕਹ ਤੇ ਹੋਤਾ ॥
paap punn tab kah tay hotaa.
who then committed sins and performed good deeds?
Nani wakati huo alitenda dhambi na kutenda vitendo vizuri?

ਜਬ ਧਾਰੀ ਆਪਨ ਸੁੰਨ ਸਮਾਧਿ ॥
jab Dhaaree aapan sunn samaaDh.
When the God Himself was in profound meditation,
Wakati Mungu Mwenyewe alikuwa katika utafakari mkubwa,

ਤਬ ਬੈਰ ਬਿਰੋਧ ਕਿਸੁ ਸੰਗਿ ਕਮਾਤਿ ॥
tab bair biroDh kis sang kamaat.
then against whom were hate and jealousy directed?
Basi nani walielekezewa chuki na wivu?

ਜਬ ਇਸ ਕਾ ਬਰਨੁ ਚਿਹਨੁ ਨ ਜਾਪਤ ॥
jab is kaa baran chihan na jaapat.
When there was no color or shape of this world to be seen,
Waksti hakukuwa na rangiu au umbo wa dunia hii ya kuonekana,

ਤਬ ਹਰਖ ਸੋਗ ਕਹੁ ਕਿਸਹਿ ਬਿਆਪਤ ॥
tab harakh sog kaho kiseh bi-aapat.
then who experienced joy and sorrow?
Basi nani alihisi furaha na huzuni?

ਜਬ ਆਪਨ ਆਪ ਆਪਿ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ॥
jab aapan aap aap paarbarahm.
When the Supreme God was alone by Himself,
Wakati Mungu Mkuu alikuwa mwenyewe peke yake,

ਤਬ ਮੋਹ ਕਹਾ ਕਿਸੁ ਹੋਵਤ ਭਰਮ ॥
tab moh kahaa kis hovat bharam.
then where was emotional attachment, and who had doubts?
Basi kiambatisho cha kihisia kilikuwa wapi, na nani alikuwa na shaka?

error: Content is protected !!