ਆਸ ਮਨੋਰਥੁ ਪੂਰਨੁ ਹੋਵੈ ਭੇਟਤ ਗੁਰ ਦਰਸਾਇਆ ਜੀਉ ॥੨॥
aas manorath pooran hovai bhaytat gur darsaa-i-aa jee-o. ||2||
His hopes and desires are fulfilled, upon having a Vision of the Guru.
Matumaini na hamu zake zinatimizwa, baada ya kuwa na Njozi ya Guru.
ਅਗਮ ਅਗੋਚਰ ਕਿਛੁ ਮਿਤਿ ਨਹੀ ਜਾਨੀ ॥
agam agochar kichh mit nahee jaanee.
The limits of the Inaccessible and Unfathomable God cannot be known.
Vikomo vya Mungu asiyeweza kufikiwa wala asiyefahamika haviwezi kujulikana.
ਸਾਧਿਕ ਸਿਧ ਧਿਆਵਹਿ ਗਿਆਨੀ ॥
saaDhik siDh Dhi-aavahi gi-aanee.
Yoga-practitioners, the accomplished yogis, and divine scholars meditate on Him
Wataalamu wa Yoga, yogi waliofanikiwa na wasomi watakatifu wanamtafakati Yeye.
ਖੁਦੀ ਮਿਟੀ ਚੂਕਾ ਭੋਲਾਵਾ ਗੁਰਿ ਮਨ ਹੀ ਮਹਿ ਪ੍ਰਗਟਾਇਆ ਜੀਉ ॥੩॥
khudee mitee chookaa bholaavaa gur man hee meh paragtaa-i-aa jee-o. ||3||
God is revealed By the Guru in the mind of the devotee whose self-conceit is erased and doubt is removed.
Mungu anadhihirishwa na Guru akilini mwa mtawa ambaye majivuno yake binafsi yamefutwa na shaka kuondolewa.
ਅਨਦ ਮੰਗਲ ਕਲਿਆਣ ਨਿਧਾਨਾ ॥
anad mangal kali-aan niDhaanaa.
The treasures of bliss and joy comes to his mind, and he is liberated from the bonds of Maya.
Hazina ya raha tele na furaha inakuja akilini mwake, naye anakombolewa kutoka vifungo vya Maya.
ਸੂਖ ਸਹਜ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਵਖਾਨਾ ॥
sookh sahj har naam vakhaanaa.
The one who has remembered God, peace and poise comes in his mind.
Yule ambaye amekumbuka Mungu, amani na utulivu unakuja akilini mwake.
ਹੋਇ ਕ੍ਰਿਪਾਲੁ ਸੁਆਮੀ ਅਪਨਾ ਨਾਉ ਨਾਨਕ ਘਰ ਮਹਿ ਆਇਆ ਜੀਉ ॥੪॥੨੫॥੩੨॥
ho-ay kirpal suamee apnaa naa-o nanak ghar mein aa-i-aa jee-o. ||4||25||32||
O’ Nanak, on whom our Master becomes merciful, Naam comes to reside in that person’s heart.
Ee Nanak, kwa yule ambaye Bwana wetu anaonesha huruma, Naam inakuja kuishi moyoni mwa mtu huyo.
ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੫ ॥
maajh mehlaa 5.
Raag Maajh, by the Fifth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Tano:
ਸੁਣਿ ਸੁਣਿ ਜੀਵਾ ਸੋਇ ਤੁਮਾਰੀ ॥
sun sun jeevaa so-ay tumaaree.
O’ God, listening repeatedly about your praises, I feel spiritually rejuvenated.
Ee Mungu, kwa kusikiza sifa zako mara kwa mara, nahisi kusisimuliwa kiroho.
ਤੂੰ ਪ੍ਰੀਤਮੁ ਠਾਕੁਰੁ ਅਤਿ ਭਾਰੀ ॥
tooN pareetam thaakur at bhaaree.
You are my Beloved Supreme Master.
Wewe ndiwe Bwana wangu Mkuu Mpendwa.
ਤੁਮਰੇ ਕਰਤਬ ਤੁਮ ਹੀ ਜਾਣਹੁ ਤੁਮਰੀ ਓਟ ਗੋੁਪਾਲਾ ਜੀਉ ॥੧॥
tumray kartab tum hee jaanhu tumree ot gopaalaa jee-o. ||1||
O’ God, You alone know Your ways; I am living by Your support.
Ee Mungu, Wewe pekee unajua njia zako, naishi kwa msaada wako.
ਗੁਣ ਗਾਵਤ ਮਨੁ ਹਰਿਆ ਹੋਵੈ ॥
gun gaavat man hari-aa hovai.
Singing Your Glorious Praises, my mind is rejuvenated.
Kwa kuimba sifa zako tukufu, akili yangu inasisimuliwa.
ਕਥਾ ਸੁਣਤ ਮਲੁ ਸਗਲੀ ਖੋਵੈ ॥
kathaa sunat mal saglee khovai.
By listening to God’s praise, the dirt of vices from my mind is removed.
Kwa kusikiza sifa za Mungu, uchafu wa dhambi kutoka akili yangu unaondolewa.
ਭੇਟਤ ਸੰਗਿ ਸਾਧ ਸੰਤਨ ਕੈ ਸਦਾ ਜਪਉ ਦਇਆਲਾ ਜੀਉ ॥੨॥
bhaytat sang saaDh santan kai sadaa japa-o da-i-aalaa jee-o. ||2||
Joining the holy congregation, I meditate forever on the Merciful God.
Kujiunga na ushirika takatifu, natafakari milele kuhusu Mungu mwenye huruma.
ਪ੍ਰਭੁ ਅਪੁਨਾ ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਮਾਰਉ ॥
parabh apunaa saas saas samaara-o.
I lovingly remember my God with each and every breath.
Namkumbuka Mungu wangu kwa upendo kwa kila pumzi ninayopumua.
ਇਹ ਮਤਿ ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਮਨਿ ਧਾਰਉ ॥
ih mat gur parsaad man Dhaara-o.
By the Guru’s grace I have affirmed this wisdom in my mind.
Kwa neema ya Guru nimedhibitisha hekima hii akilini mwangu.
ਤੁਮਰੀ ਕ੍ਰਿਪਾ ਤੇ ਹੋਇ ਪ੍ਰਗਾਸਾ ਸਰਬ ਮਇਆ ਪ੍ਰਤਿਪਾਲਾ ਜੀਉ ॥੩॥
tumree kirpaa tay ho-ay pargaasaa sarab ma-i-aa partipaalaa jee-o. ||3||
O’ God, the merciful Sustainer of all, only by Your grace, one is enlightened with such divine knowledge.
Ee Mungu, Mtunzaji mwenye huruma wa vyote, kwa neema yako tu, mtu anaangazwa na maarifa takatifu kama hayo.
ਸਤਿ ਸਤਿ ਸਤਿ ਪ੍ਰਭੁ ਸੋਈ ॥
sat sat sat parabh so-ee.
God is forever True.
Mungu ni wa Kweli milele.
ਸਦਾ ਸਦਾ ਸਦ ਆਪੇ ਹੋਈ ॥
sadaa sadaa sad aapay ho-ee.
He has been and will always be self-existent.
Yeye amekuwepo na daima atakuwepo kwa hiara yake mwenyewe.
ਚਲਿਤ ਤੁਮਾਰੇ ਪ੍ਰਗਟ ਪਿਆਰੇ ਦੇਖਿ ਨਾਨਕ ਭਏ ਨਿਹਾਲਾ ਜੀਉ ॥੪॥੨੬॥੩੩॥
chalit tumaray pargat piaray daykh nanak bha-ay nihalaa jee-o. ||4||26||33||
O’ my Beloved God, Your wonders are obvious. Seeing them, Nanak is delighted.
Ee Mungu wangu mpendwa, miujiza yako ni dhahiri. Kwa kuiona, Nanak anafurahia.
ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੫ ॥
maajh mehlaa 5.
Raag Maajh, by the Fifth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Tano:
ਹੁਕਮੀ ਵਰਸਣ ਲਾਗੇ ਮੇਹਾ ॥
hukmee varsan laagay mayhaa.
By His Command, the rain of Naam begins to fall.
Kwa Amri yake, mvua wa Naam inaanza kunyesha.
ਸਾਜਨ ਸੰਤ ਮਿਲਿ ਨਾਮੁ ਜਪੇਹਾ ॥
saajan sant mil naam japayhaa.
When the Saints and friends join together and lovingly meditate on God’s Name.
Wakati Watakatifu na marafiki wanaungana na kutafakari kwa upendo kuhusu Jina la Mungu.
ਸੀਤਲ ਸਾਂਤਿ ਸਹਜ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਠਾਢਿ ਪਾਈ ਪ੍ਰਭਿ ਆਪੇ ਜੀਉ ॥੧॥
seetal saaNt sahj sukh paa-i-aa thaadh paa-ee parabh aapay jee-o. ||1||
They obtain soothing peace, poise, and bliss. God Himself has spiritually soothed their minds by eradicating the agony of vices.
Wanapata amani inayoburudisha, utulivu na raha tele. Mungu mwenyewe ametuliza akili zao kwa kuangamiza uchungu wa maovu.
ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਬਹੁਤੋ ਬਹੁਤੁ ਉਪਾਇਆ ॥
sabh kichh bahuto bahut upaa-i-aa.
(As a result of the rain of Naam in the holy congregation) God has produced abundance of all the spiritual virtues.
(Kutokana na mvua wa Naam katika ushirika takatifu) Mungu ametoa wingi wa fadhila zote za kiroho.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭਿ ਸਗਲ ਰਜਾਇਆ ॥
kar kirpaa parabh sagal rajaa-i-aa.
Granting His Grace, God has satiated all the saints.
Akiruzuku Neema yake, Mungu ametosheleza watakatifu wote.
ਦਾਤਿ ਕਰਹੁ ਮੇਰੇ ਦਾਤਾਰਾ ਜੀਅ ਜੰਤ ਸਭਿ ਧ੍ਰਾਪੇ ਜੀਉ ॥੨॥
daat karahu mayray daataaraa jee-a jant sabh Dharaapay jee-o. ||2||
O’ merciful Giver, when You shower Your bounties, all creatures and beings aresatiated, similarly the devotees are satiated when You shower the gift of Naam.
Ee Mpaji mwenye huruma, wakati unamimina fadhila zako, viumbe vyote na wanyama wametoshelezwa, sawia watawa wako wanatoshelezwa unapomimina tuzo ya Naam.
ਸਚਾ ਸਾਹਿਬੁ ਸਚੀ ਨਾਈ ॥
sachaa saahib sachee naa-ee.
Eternal is the Master, and everlasting is His Glory
Wa milele ni Bwana, na wa milele ni Utukufu wake
ਗੁਰ ਪਰਸਾਦਿ ਤਿਸੁ ਸਦਾ ਧਿਆਈ ॥
gur parsaad tis sadaa Dhi-aa-ee.
By the Guru’s Grace, I always remember him with loving devotion.
Kwa Neema ya Guru, daima namkumbuka kwa kujitolea kwa upendo.
ਜਨਮ ਮਰਣ ਭੈ ਕਾਟੇ ਮੋਹਾ ਬਿਨਸੇ ਸੋਗ ਸੰਤਾਪੇ ਜੀਉ ॥੩॥
janam maran bhai kaatay mohaa binsay sog santaapay jee-o. ||3||
All my fears of birth and death have been dispelled; emotional attachment, sorrow and suffering have been erased.
Woga wangu wote wa kuzaliwa na kufa umeondolewa; kiambatisho cha kihisia, huzuni na kuteseka kumefutwa.
ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਨਾਨਕੁ ਸਾਲਾਹੇ ॥
saas saas naanak saalaahay.
Nanak praises the God Almighty with each and every breath.
Nanak anasifu Mungu Mwenyezi kwa kila pumzi anachopumua.
ਸਿਮਰਤ ਨਾਮੁ ਕਾਟੇ ਸਭਿ ਫਾਹੇ ॥
simrat naam kaatay sabh faahay.
Remembering God with love and devotion, all bonds of Maya are cut away.
Kumkumbuka Mungu kwa upendo na kujitolea, vifungo vyote vya Maya vimevunjwa.
ਪੂਰਨ ਆਸ ਕਰੀ ਖਿਨ ਭੀਤਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਜਾਪੇ ਜੀਉ ॥੪॥੨੭॥੩੪॥
pooran aas karee khin bheetar har har har gun jaapay jee-o. ||4||27||34||
God has fulfilled all his desires in an instant and now he always sings His praises.
Mungu ametimiza hamuzake zote papo hapo na sasa anaimba sifa zake daima.
ਮਾਝ ਮਹਲਾ ੫ ॥
maajh mehlaa 5.
Raag Maajh, by the Fifth Guru:
Raag Maajh, na Guru wa Tano:
ਆਉ ਸਾਜਨ ਸੰਤ ਮੀਤ ਪਿਆਰੇ ॥
aa-o saajan sant meet pi-aaray.
Come, O my dear friends, Saints and companions,
Kujweni, Ee marafiki wangu wa dhati, Watakatifu na wendani wangu,
ਮਿਲਿ ਗਾਵਹ ਗੁਣ ਅਗਮ ਅਪਾਰੇ ॥
mil gaavah gun agam apaaray.
join together and sing the Praises of the Incomprehensible and Infinite God.
Muungane na kuimba sifa za Mungu asiyeeleweka na asiye na mwisho.
ਗਾਵਤ ਸੁਣਤ ਸਭੇ ਹੀ ਮੁਕਤੇ ਸੋ ਧਿਆਈਐ ਜਿਨਿ ਹਮ ਕੀਏ ਜੀਉ ॥੧॥
gaavat sunat sabhay hee muktay so Dhi-aa-ee-ai jin ham kee-ay jee-o. ||1||
Those who sing and listen these praises are liberated from bonds of Maya, so let’s remember the One who has created us all.
Wale wanaoimba na kusikiza sifa hizi wanakombolewa kutoka vifungo vya Maya, sasa hebu tumkumbuke yule Mmoja ambaye ametuumba sote.
ਜਨਮ ਜਨਮ ਕੇ ਕਿਲਬਿਖ ਜਾਵਹਿ ॥
janam janam kay kilbikh jaaveh.
The sins of countless births are dispelled.
Dhambi za kuzaliwa kwingi zinaondolewa.
ਮਨਿ ਚਿੰਦੇ ਸੇਈ ਫਲ ਪਾਵਹਿ ॥
man chinday say-ee fal paavahi.
and they receive the fruits of the mind’s desires.
Na wanapata matokeo ya hamu za akili zao.
ਸਿਮਰਿ ਸਾਹਿਬੁ ਸੋ ਸਚੁ ਸੁਆਮੀ ਰਿਜਕੁ ਸਭਸੁ ਕਉ ਦੀਏ ਜੀਉ ॥੨॥
simar saahib so sach su-aamee rijak sabhas ka-o dee-ay jee-o. ||2||
Remember the eternal God, our True Master, who gives sustenance to all.
Kumbuka Mungu wa milele, Bwana wetu wa kweli, anayetoa riziki kwa wote.
ਨਾਮੁ ਜਪਤ ਸਰਬ ਸੁਖੁ ਪਾਈਐ ॥
naam japat sarab sukh paa-ee-ai.
By lovingly meditating on God’s Name, all kind of peace is obtained.
Kwa kutafakari kwa upendo kuhusu Jina la Mungu, aina yote ya amani inapatikana.
ਸਭੁ ਭਉ ਬਿਨਸੈ ਹਰਿ ਹਰਿ ਧਿਆਈਐ ॥
sabh bha-o binsai har har Dhi-aa-ee-ai.
All worldly fears are erased, by remembering God with love.
Woga wote wa kidunia unafutwa, kwa kumkumbuka Mungu kwa upendo.
ਜਿਨਿ ਸੇਵਿਆ ਸੋ ਪਾਰਗਿਰਾਮੀ ਕਾਰਜ ਸਗਲੇ ਥੀਏ ਜੀਉ ॥੩॥
jin sayvi-aa so paar giramee kaaraj saglay thee-ay jee-o. ||3||
One who lovingly remembers God is able to cross the world-ocean of vices and and allhis affairs are resolved.
Yule anayemkumbuka Mungu kwa upendo anaweza kuvuka bahari-dunia ya dhambi na shughuli zake zote zinatatuliwa.
ਆਇ ਪਇਆ ਤੇਰੀ ਸਰਣਾਈ ॥
aa-ay pa-i-aa tayree sarnaa-ee.
O’ God, I have come to Your refuge;
Ee Mungu, nimekuja kwenye kimbilio chako;
ਜਿਉ ਭਾਵੈ ਤਿਉ ਲੈਹਿ ਮਿਲਾਈ ॥
ji-o bhaavai ti-o laihi milaa-ee.
Pleases, unite me with Yourself as You please.
Tafadhali niunganishe nawe inavyokupendeza.