ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਦੂਖ ਰੋਗ ਭਏ ਗਤੁ ਤਨ ਤੇ ਮਨੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹਰਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਇ ॥
dookh rog bha-ay gat tan tay man nirmal har har gun gaa-ay.
By singing the praises of God my mind has become pure and all my sorrows and ailments have left my body.
Kwa kuimba sifa za Mungu akili yangu imekuwa safi na huzuni zangu zote na magonjwa yameondoka mwilini mwangu.
ਭਏ ਅਨੰਦ ਮਿਲਿ ਸਾਧੂ ਸੰਗਿ ਅਬ ਮੇਰਾ ਮਨੁ ਕਤ ਹੀ ਨ ਜਾਇ ॥੧॥
bha-ay anand mil saaDhoo sang ab mayraa man kat hee na jaa-ay. ||1||
Upon meeting the Guru a sense of bliss has prevailed in me and now my mind doesn’t wander anywhere. ||1||
Baada ya kukutana na Guru hisi ya raha tele imedumu ndani mwangu na sasa akili yangu haizururi popote.
ਤਪਤਿ ਬੁਝੀ ਗੁਰ ਸਬਦੀ ਮਾਇ ॥
tapat bujhee gur sabdee maa-ay.
O’ my mother, through the Guru’s Word the fire of worldly desires and vices has been quenched.
Ee mama yangu, kupitia Neno la Guru moto wa hamu za kidunia na maovu umezimwa.
ਬਿਨਸਿ ਗਇਓ ਤਾਪ ਸਭ ਸਹਸਾ ਗੁਰੁ ਸੀਤਲੁ ਮਿਲਿਓ ਸਹਜਿ ਸੁਭਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
binas ga-i-o taap sabh sahsaa gur seetal mili-o sahj subhaa-ay. ||1|| rahaa-o.
Intuitively I have met such a soothing and peace giving Guru that all my anguish and dread has disappeared. ||1||Pause||
kisilika nimekutana na Guru mtulivu na mpaji wa amani kama huyo kwamba maumivu na hofu yangu imepotea. ||1||Sitisha||
ਧਾਵਤ ਰਹੇ ਏਕੁ ਇਕੁ ਬੂਝਿਆ ਆਇ ਬਸੇ ਅਬ ਨਿਹਚਲੁ ਥਾਇ ॥
Dhaavat rahay ayk ik boojhi-aa aa-ay basay ab nihchal thaa-ay.
Since the time I have realized the one and only God, all my wanderings have ended and now I dwell in the state of equipoise.
Tangu wakati nimegundua Mungu mmoja na wa pekee, kuzurura kwangu kwote kumekwisha na sasa naishi katika hali ya usawa.
ਜਗਤੁ ਉਧਾਰਨ ਸੰਤ ਤੁਮਾਰੇ ਦਰਸਨੁ ਪੇਖਤ ਰਹੇ ਅਘਾਇ ॥੨॥
jagat uDhaaran sant tumaaray darsan paykhat rahay aghaa-ay. ||2||
O’ God, beholding the blessed vision of Your saints, the savior of the world from the vices, my worldly desires have ended and I remain satisfied. ||2||n
Ee Mungu, kwa kutazama mwono uliobarikiwa wa watakatifu wako, mwokozi wa dunia kutoka maovu, hamu zangu za kidunia zimekwisha na nimebaki nimeridhika.
ਜਨਮ ਦੋਖ ਪਰੇ ਮੇਰੇ ਪਾਛੈ ਅਬ ਪਕਰੇ ਨਿਹਚਲੁ ਸਾਧੂ ਪਾਇ ॥
janam dokh paray mayray paachhai ab pakray nihchal saaDhoo paa-ay.
O’ my mother, now with stable mind I have come to the Guru’s refuge; the sins of my many lives have become a thing of the past.
Ee mama yangu, sasa kwa akili dhabiti nimekuja kwa kimbilio cha Guru; dhambi za maisha yangu mengi zimekuwa jambo la hapo awali.
ਸਹਜ ਧੁਨਿ ਗਾਵੈ ਮੰਗਲ ਮਨੂਆ ਅਬ ਤਾ ਕਉ ਫੁਨਿ ਕਾਲੁ ਨ ਖਾਇ ॥੩॥
sahj Dhun gaavai mangal manoo-aa ab taa ka-o fun kaal na khaa-ay. ||3||
Intuitively my mind keeps signing the celestial praises of God, because it is confident that now it will not be consumed by the fear of spiritual death. ||3||
Kisilika akili yangu inaendelea kuimba sifa za mbinguni za Mungu, kwa sababu ina uhakika kwamba sasa haitakumbwa na hofu ya kifo cha kiroho.
ਕਰਨ ਕਾਰਨ ਸਮਰਥ ਹਮਾਰੇ ਸੁਖਦਾਈ ਮੇਰੇ ਹਰਿ ਹਰਿ ਰਾਇ ॥
karan kaaran samrath hamaaray sukh-daa-ee mayray har har raa-ay.
O’ my sovereign God, the giver of peace, all powerful and the Cause of causes,
Ee Mungu wangu mwenyezi, mpaji wa amani, mwenye nguvu zote na Msingi wa misingi yote,
ਨਾਮੁ ਤੇਰਾ ਜਪਿ ਜੀਵੈ ਨਾਨਕੁ ਓਤਿ ਪੋਤਿ ਮੇਰੈ ਸੰਗਿ ਸਹਾਇ ॥੪॥੯॥
naam tayraa jap jeevai naanak ot pot mayrai sang sahaa-ay. ||4||9||
Nanak is spiritually alive by meditating on Your Name. You are my continuous support. ||4||9||
Nanak yu hai kiroho kwa kutafakari kuhusu Jina lako. Wewe ni tegemezo yangu kila wakati.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Gutu wa Tano:
ਅਰੜਾਵੈ ਬਿਲਲਾਵੈ ਨਿੰਦਕੁ ॥
arrhaavai billaavai nindak.
The slanderer of saintly persons cries out in pain and bewails.
Mchongezi wa watu watakatifu analia kwa uchungu na kuomboleza.
ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਪਰਮੇਸਰੁ ਬਿਸਰਿਆ ਅਪਣਾ ਕੀਤਾ ਪਾਵੈ ਨਿੰਦਕੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
paarbarahm parmaysar bisri-aa apnaa keetaa paavai nindak. ||1|| rahaa-o
The slanderer has forgotten the Supreme God and suffers the consequences of his own bad deeds. ||1||Pause||
Mchongezi amesahau Mungu Mkuu na anateseka matokeo ya vitendo vyake mwenyewe vibaya.
ਜੇ ਕੋਈ ਉਸ ਕਾ ਸੰਗੀ ਹੋਵੈ ਨਾਲੇ ਲਏ ਸਿਧਾਵੈ ॥
jay ko-ee us kaa sangee hovai naalay la-ay siDhaavai.
If anyone associates with him, then he also gets in the habit of slandering.
Iwapo mtu yeyote ahusiane naye, basi yeye pia anapata tabia ya kuchongeza.
ਅਣਹੋਦਾ ਅਜਗਰੁ ਭਾਰੁ ਉਠਾਏ ਨਿੰਦਕੁ ਅਗਨੀ ਮਾਹਿ ਜਲਾਵੈ ॥੧॥
anhodaa ajgar bhaar uthaa-ay nindak agnee maahi jalaavai. ||1||
The slanderer carries such a heavy load of sins as if carrying an imaginary dragon and keeps suffering as if burning in the fire of slandering others. ||1||
Mchongezi anabeba mzigo mzito sana wa dhambi kana kwamba anabeba joka wa kuwaziwa na anaendelea kuteseka kana kwamba anachomeka katika moto wa kuchongeza wengine.
ਪਰਮੇਸਰ ਕੈ ਦੁਆਰੈ ਜਿ ਹੋਇ ਬਿਤੀਤੈ ਸੁ ਨਾਨਕੁ ਆਖਿ ਸੁਣਾਵੈ ॥
parmaysar kai du-aarai je ho-ay biteetai so naanak aakh sunaavai.
What happens to a slanderer in God’s court, that is what Nanak is telling and describing.
Nini kinatendekea mchongezi katika mahakama ya Mungu, hicho ndicho kile ambacho Nanak anasimulia na kueleza.
ਭਗਤ ਜਨਾ ਕਉ ਸਦਾ ਅਨੰਦੁ ਹੈ ਹਰਿ ਕੀਰਤਨੁ ਗਾਇ ਬਿਗਸਾਵੈ ॥੨॥੧੦॥
bhagat janaa ka-o sadaa anand hai har keertan gaa-ay bigsaavai. ||2||10||
The humble devotees of God are forever in bliss; singing God’s Praises, they always remain delighted. ||2||10||
Watawa wanyenyekevu wa Mungu wamo katika raha tele milele; kwa kuimba Sifa za Mungu, daima wanabaki wamefurahia.
ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੫ ॥
aasaa mehlaa 5.
Raag Aasaa, Fifth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Tano:
ਜਉ ਮੈ ਕੀਓ ਸਗਲ ਸੀਗਾਰਾ ॥
ja-o mai kee-o sagal seegaaraa.
(On behalf of that separated soul-bride, Guru Ji says): O’ my mother, Even when I decorated myself in every way,
(Kwa niaba ya roho-bi harusi huyo aliyetenganishwa, Guru Ji anasema): Ee mama yangu, hata wakati nilijipamba kwa kila namna,
ਤਉ ਭੀ ਮੇਰਾ ਮਨੁ ਨ ਪਤੀਆਰਾ ॥
ta-o bhee mayraa man na patee-aaraa.
still, my mind was not satisfied.
Bado, akili yangu haikuridhika.
ਅਨਿਕ ਸੁਗੰਧਤ ਤਨ ਮਹਿ ਲਾਵਉ ॥
anik suganDhat tan meh laava-o.
I applied innumerable types of perfumes to my body,
Nilipaka manukato mengi yasiyohesabika kwa mwili wangu,
ਓਹੁ ਸੁਖੁ ਤਿਲੁ ਸਮਾਨਿ ਨਹੀ ਪਾਵਉ ॥
oh sukh til samaan nahee paava-o.
still, I did not obtain even a tiny bit of that peace (which is obtained in union with husband-God).
Bado, sikupata hata kiasi kidogo cha amani hiyo (inayopatwa katika muungano na mume-Mungu).
ਮਨ ਮਹਿ ਚਿਤਵਉ ਐਸੀ ਆਸਾਈ ॥
man meh chitva-o aisee aasaa-ee.
Within my mind, I hold such a longing,
Ndani mwa akili yangu, nina hamu kama hiyo,
ਪ੍ਰਿਅ ਦੇਖਤ ਜੀਵਉ ਮੇਰੀ ਮਾਈ ॥੧॥
pari-a daykhat jeeva-o mayree maa-ee. ||1||
that I may remain spiritually alive by seeing my Beloved-God, O my mother. ||1||
kwamba nibaki hai kiroho kwa kuona Mpendwa-Mungu wangu, Ee mama yangu.
ਮਾਈ ਕਹਾ ਕਰਉ ਇਹੁ ਮਨੁ ਨ ਧੀਰੈ ॥
maa-ee kahaa kara-o ih man na Dheerai.
O mother, what should I do? This mind doesn’t rest in peace.
Ee mama, napaswa kufanya nini? Akili hii haipumziki kwa amani.
ਪ੍ਰਿਅ ਪ੍ਰੀਤਮ ਬੈਰਾਗੁ ਹਿਰੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
pari-a pareetam bairaag hirai. ||1|| rahaa-o.
The longing for the beloved has captivated it very much. ||1||Pause||
Hamu ya mpendwa imeivutia sana. ||1||Sitisha||
ਬਸਤ੍ਰ ਬਿਭੂਖਨ ਸੁਖ ਬਹੁਤ ਬਿਸੇਖੈ ॥ ਓਇ ਭੀ ਜਾਨਉ ਕਿਤੈ ਨ ਲੇਖੈ ॥
bastar bibhookhan sukh bahut bisaykhai. o-ay bhee jaan-o kitai na laykhai.
I feel that without the Husband-God, garments, jewelry, and the exquisite pleasures are of no avail.
Nahisi kwamba bila Mume-Mungu, mavazi, vito, na raha zinazofurahisha ni bure.
ਪਤਿ ਸੋਭਾ ਅਰੁ ਮਾਨੁ ਮਹਤੁ ॥
pat sobhaa ar maan mahat.
Even if I may enjoy, honor, fame, dignity and greatness,
Hata iwapo niweze kufurahia staha, umaarufu, adhama na ukuu
ਆਗਿਆਕਾਰੀ ਸਗਲ ਜਗਤੁ ॥
aagi-aakaaree sagal jagat.
and the entire world may become obedient to me,
Na dunia nzima inaweza kuwa na utiifu kwangu,
ਗ੍ਰਿਹੁ ਐਸਾ ਹੈ ਸੁੰਦਰ ਲਾਲ ॥
garihu aisaa hai sundar laal.
and live in a beautiful household as expensive as a jewel.
Na kuishi kwa nyumba nzuri yenye thamani ya juu kama kito.
ਪ੍ਰਭ ਭਾਵਾ ਤਾ ਸਦਾ ਨਿਹਾਲ ॥੨॥
parabh bhaavaa taa sadaa nihaal. ||2||
even then, I could only remain happy forever If I am pleasing to Husband-God. ||2||
hata wakati huo, naweza kuwa na furaha milele iwapo tu napendeza kwa Mume-Mungu.
ਬਿੰਜਨ ਭੋਜਨ ਅਨਿਕ ਪਰਕਾਰ ॥
binjan bhojan anik parkaar.
Even if I may be able to enjoy many kinds foods and delicacies,
Hata iwapo niweze kufurahia aina nyingi ya vyakula na vitoweo.
ਰੰਗ ਤਮਾਸੇ ਬਹੁਤੁ ਬਿਸਥਾਰ ॥
rang tamaasay bahut bisthaar.
and all kind of pleasures and entertainments,
na aina yote ya raha na viburudisho,
ਰਾਜ ਮਿਲਖ ਅਰੁ ਬਹੁਤੁ ਫੁਰਮਾਇਸਿ ॥
raaj milakh ar bahut furmaa-is.
I may have vast dominions and command over vast territories,
Naweza kuwa na milki kubwa na utawala wa maeneo makubwa,
ਮਨੁ ਨਹੀ ਧ੍ਰਾਪੈ ਤ੍ਰਿਸਨਾ ਨ ਜਾਇਸਿ ॥
man nahee Dharaapai tarisnaa na jaa-is.
still the mind doesn’t get satiated and its craving does not end.
Bado akili haitoshelezwi na tamaa yake haiishi.
ਬਿਨੁ ਮਿਲਬੇ ਇਹੁ ਦਿਨੁ ਨ ਬਿਹਾਵੈ ॥
bin milbay ih din na bihaavai.
Without meeting the Husband-God, this day of mine does not pass in peace.
Bila kukutana na Mume-Mungu, siku hii yangu haiishi kwa amani.
ਮਿਲੈ ਪ੍ਰਭੂ ਤਾ ਸਭ ਸੁਖ ਪਾਵੈ ॥੩॥
milai parabhoo taa sabh sukh paavai. ||3||
The soul-bride enjoys total bliss only when she unites with God. ||3||
Roro-bi harusi anafurahia raha tele kamili wakati tu anaungana na Mungu.
ਖੋਜਤ ਖੋਜਤ ਸੁਨੀ ਇਹ ਸੋਇ ॥
khojat khojat sunee ih so-ay.
After a long and arduous search, I have heard this news,
Baada ya kufatuta kugumu na kwa muda mrefu, nimesikia habari hii,
ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਬਿਨੁ ਤਰਿਓ ਨ ਕੋਇ ॥
saaDhsangat bin tari-o na ko-ay.
that without the Holy congregation, no one has ever crossed over the world ocean of vices.
Kwamba bila ushirika mtakatifu, hakuna mtu amewahi kuvuka bahari dunia ya dhambi.
ਜਿਸੁ ਮਸਤਕਿ ਭਾਗੁ ਤਿਨਿ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪਾਇਆ ॥
jis mastak bhaag tin satgur paa-i-aa.
The person who is preordained meets the true Guru.
Mtu ambaye ameagiziwa mapema anakutana na Guru wa kweli.
ਪੂਰੀ ਆਸਾ ਮਨੁ ਤ੍ਰਿਪਤਾਇਆ ॥
pooree aasaa man tariptaa-i-aa.
His hopes are fulfilled and his mind becomes satisfied.
Matumaini yake yanatimizwa na akili yake inaridhika.
ਪ੍ਰਭ ਮਿਲਿਆ ਤਾ ਚੂਕੀ ਡੰਝਾ ॥
parabh mili-aa taa chookee danjhaa.
When one realizes God, then the fire of his worldly desires gets quenched.
Wakati mtu anagundua Mungu, basi moto wa hamu zake za kidunia unazimwa.
ਨਾਨਕ ਲਧਾ ਮਨ ਤਨ ਮੰਝਾ ॥੪॥੧੧॥
naanak laDhaa man tan manjhaa. ||4||11||
O’ Nanak, that person has realized God within his heart. ||4||11||
Ee Nanak, mtu huyo amegundua Mungu ndani mwa moyo wake.