Swahili Page 632

ਅੰਤਿ ਸੰਗ ਕਾਹੂ ਨਹੀ ਦੀਨਾ ਬਿਰਥਾ ਆਪੁ ਬੰਧਾਇਆ ॥੧॥
ant sang kaahoo nahee deenaa birthaa aap banDhaa-i-aa. ||1||
None of these worldly things have accompanied anyone in the end, and you haveunnecessarily entrapped yourself in these worldly bonds. ||1||
Hakuna kati ya vitu hivi vya kidunia ambavyo vimeambatana na yeyote mwishowe, na wewe umejinasa bila sababu katika vifungo hivi vya kidunia.

ਨਾ ਹਰਿ ਭਜਿਓ ਨ ਗੁਰ ਜਨੁ ਸੇਵਿਓ ਨਹ ਉਪਜਿਓ ਕਛੁ ਗਿਆਨਾ ॥
naa har bhaji-o na gur jan sayvi-o nah upji-o kachh gi-aanaa.
You neither mediated on God, nor followed the Guru’s teachings and divine wisdom has not welled up in you.
Wewe hukutafakari kuhusu Mungu, wala hukufuata mafundisho ya Guru na hekima takatifu haijajaa ndani mwako.

ਘਟ ਹੀ ਮਾਹਿ ਨਿਰੰਜਨੁ ਤੇਰੈ ਤੈ ਖੋਜਤ ਉਦਿਆਨਾ ॥੨॥
ghat hee maahi niranjan tayrai tai khojat udi-aanaa. ||2||
The immaculate God dwells within your heart, but you have been searching for Him in wilderness. ||2||
Mungu safi anaishi moyoni mwako, lakini umekuwa ukimtafuta Yeye nyikani.

ਬਹੁਤੁ ਜਨਮ ਭਰਮਤ ਤੈ ਹਾਰਿਓ ਅਸਥਿਰ ਮਤਿ ਨਹੀ ਪਾਈ ॥
bahut janam bharmat tai haari-o asthir mat nahee paa-ee.
Wandering through so many lives, you have lost the game of life; you have not acquired wisdom to remain in equipoise for ending the cycle of birth and death.
Kwa kuzurura kupitia maisha mengi mno, umepoteza mchezo wa maisha; wewe hujapata hekima ya kusalia katika usawa kwa kutamatisha mzunguko wa kuzaliwa na kufa.

ਮਾਨਸ ਦੇਹ ਪਾਇ ਪਦ ਹਰਿ ਭਜੁ ਨਾਨਕ ਬਾਤ ਬਤਾਈ ॥੩॥੩॥
maanas dayh paa-ay pad har bhaj naanak baat bataa-ee. ||3||3||
O’ Nanak, the Guru has imparted this teaching, that now you have received this precious human body, you should remember God with adoration. |3||3|
Ee Nanak, Guru ametoa funzo hili, kwamba sasa umepokea mwili huu wa kibinadamu wenye thamani, wewe unapaswa kumkumbuka Mungu kwa utukufu,

ਸੋਰਠਿ ਮਹਲਾ ੯ ॥
sorath mehlaa 9.
Raag Sorath, Ninth Guru:
Raag Sorath, Guru wa Tisa:

ਮਨ ਰੇ ਪ੍ਰਭ ਕੀ ਸਰਨਿ ਬਿਚਾਰੋ ॥
man ray parabh kee saran bichaaro.
O’ my mind, come to God’s refuge and remember Him with adoration.
Ee akili yangu, kuja kwa kimbilio cha Mungu na umkumbuke Yeye kwa utukufu.

ਜਿਹ ਸਿਮਰਤ ਗਨਕਾ ਸੀ ਉਧਰੀ ਤਾ ਕੋ ਜਸੁ ਉਰ ਧਾਰੋ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jih simrat gankaa see uDhree taa ko jas ur Dhaaro. ||1|| rahaa-o.
Enshrine the praise of that God in your mind, meditating on whom even a prostitute like Ganika was emancipated. ||1||Pause||
Thamini sifa ya Mungu huyo akilini mwako, ambaye kwa kutafakari kwake hata kahaba kama Ganika alikombolewa. ||1||Sitisha||

ਅਟਲ ਭਇਓ ਧ੍ਰੂਅ ਜਾ ਕੈ ਸਿਮਰਨਿ ਅਰੁ ਨਿਰਭੈ ਪਦੁ ਪਾਇਆ ॥
atal bha-i-o Dharoo-a jaa kai simran ar nirbhai pad paa-i-aa.
By remembering whom the devotee Dhruv became immortal and received the status of fearlessness,
Kwa kumkumbuka Yeye mtawa Dhruv alikuwa na uzima wa milele na alipokea hadhi ya kutokuwa na woga,

ਦੁਖ ਹਰਤਾ ਇਹ ਬਿਧਿ ਕੋ ਸੁਆਮੀ ਤੈ ਕਾਹੇ ਬਿਸਰਾਇਆ ॥੧॥
dukh hartaa ih biDh ko su-aamee tai kaahay bisraa-i-aa. ||1||
Why have you forsaken that God from your mind, who is the destroyer of these kind of sorrows? ||1||
Kwa nini umeacha Mungu huyo kutoka akili yako, ambaye ndiye mwangamizi wa aina hii ya huzuni?

ਜਬ ਹੀ ਸਰਨਿ ਗਹੀ ਕਿਰਪਾ ਨਿਧਿ ਗਜ ਗਰਾਹ ਤੇ ਛੂਟਾ ॥
jab hee saran gahee kirpaa niDh gaj garaah tay chhootaa.
When the mythical elephant-Gaj cried for help and took to the refuge of God, the ocean of mercy, he escaped from the crocodile.
Wakati tembo Gaj wa kihadithi alililia usaidizi na kuchukua kimbilio cha Mungu, aliye bahari ya huruma, yeye alihepa kutoka kwa mamba.

ਮਹਮਾ ਨਾਮ ਕਹਾ ਲਉ ਬਰਨਉ ਰਾਮ ਕਹਤ ਬੰਧਨ ਤਿਹ ਤੂਟਾ ॥੨॥
mahmaa naam kahaa la-o barna-o raam kahat banDhan tih tootaa. ||2||
How much can I describe the glory of Naam? Uttering the Name of the all pervading God, the bonds of that elephant-Gaj were broken. ||2||
Ninaweza kueleza utukufu wa Naam kwa kiasi gani? Kwa kutamka Jina la Mungu anayeenea kote, vifungo vya tembo huyo Gaj vilivunjwa.

ਅਜਾਮਲੁ ਪਾਪੀ ਜਗੁ ਜਾਨੇ ਨਿਮਖ ਮਾਹਿ ਨਿਸਤਾਰਾ ॥
ajaamal paapee jag jaanay nimakh maahi nistaaraa.
Ajamall, who was known as a sinner throughout the entire world, he was saved in a moment by remembering God with adoration.
Ajamall, ambaye alijulikana kama mtenda dhambi duniani kote, yeye aliokolewa papo hapo kwa kumkumbuka Mungu kwa kumtukuza.

ਨਾਨਕ ਕਹਤ ਚੇਤ ਚਿੰਤਾਮਨਿ ਤੈ ਭੀ ਉਤਰਹਿ ਪਾਰਾ ॥੩॥੪॥
naanak kahat chayt chintaaman tai bhee utreh paaraa. ||3||4||
Nanak says, meditate on God, the wish-fulfilling jewel, so that you are also ferried across this dreadful worldly ocean of vices. ||3||4||
Nanak anasema, tafakari kuhusu Mungu, ambaye ndiye kito kinachotimiza matakawa, ili wewe pia uvukishwe bahari dunia hii mbaya wa dhambi.

ਸੋਰਠਿ ਮਹਲਾ ੯ ॥
sorath mehlaa 9.
Raag Sorath, Ninth Guru:
Raag Sorath, Guru wa Tisa:

ਪ੍ਰਾਨੀ ਕਉਨੁ ਉਪਾਉ ਕਰੈ ॥
paraanee ka-un upaa-o karai.
What kind of efforts should one make,
Mtu anapaswa kufanya aina ipi ya jitihada,

ਜਾ ਤੇ ਭਗਤਿ ਰਾਮ ਕੀ ਪਾਵੈ ਜਮ ਕੋ ਤ੍ਰਾਸੁ ਹਰੈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jaa tay bhagat raam kee paavai jam ko taraas harai. ||1|| rahaa-o.
to receive the devotional worship of the all pervading God and be able to eradicate the fear of death? ||1||Pause||
ili apokee ibada ya ujitoaji ya Mungu anayeenea kote na kuweza kutokomeza upga wa kifo?

ਕਉਨੁ ਕਰਮ ਬਿਦਿਆ ਕਹੁ ਕੈਸੀ ਧਰਮੁ ਕਉਨੁ ਫੁਨਿ ਕਰਈ ॥
ka-un karam bidi-aa kaho kaisee Dharam ka-un fun kar-ee.
What deeds, what knowledge, and what other deeds of righteousness one can practice?
Vitendo vipi, maarifa yapi, na vitendo vipi vingine vya uadilifu ndivyo ambavto mtu anaweza kutenda?

ਕਉਨੁ ਨਾਮੁ ਗੁਰ ਜਾ ਕੈ ਸਿਮਰੈ ਭਵ ਸਾਗਰ ਕਉ ਤਰਈ ॥੧॥
ka-un naam gur jaa kai simrai bhav saagar ka-o tar-ee. ||1||
What is that Naam blessed by the Guru, by meditating on which one may swim across this dreadful worldly ocean of vices? ||1||
Ni ipi Naam hiyo iliyobarikiwa na Guru, ambayo kwa kuitafakari mtu anaweza kuogelea akivuka bahari hii mbaya ya kidunia ya dhambi?

ਕਲ ਮੈ ਏਕੁ ਨਾਮੁ ਕਿਰਪਾ ਨਿਧਿ ਜਾਹਿ ਜਪੈ ਗਤਿ ਪਾਵੈ ॥
kal mai ayk naam kirpaa niDh jaahi japai gat paavai.
God’s Name alone is the treasure of mercy in this world, meditating on which one receives the supreme spiritual status.
Jina la Mungu pekee ndilo hazina ya huruma duniani, ambalo kwa kulitafakari mtu anapokea hadhi kuu ya kiroho.

ਅਉਰ ਧਰਮ ਤਾ ਕੈ ਸਮ ਨਾਹਨਿ ਇਹ ਬਿਧਿ ਬੇਦੁ ਬਤਾਵੈ ॥੨॥
a-or Dharam taa kai sam naahan ih biDh bayd bataavai. ||2||
No other deeds of righteousness are equal to meditating on Naam, the Vedas (scriptures of the Hindus) tell us this. ||2||
Hakuna vitendo vingine vya uadilifu ni sawa na kutafakari kuhusu Naam, Vedas (maandishi ya Wahindu) zinatuambia hivi.

ਸੁਖੁ ਦੁਖੁ ਰਹਤ ਸਦਾ ਨਿਰਲੇਪੀ ਜਾ ਕਉ ਕਹਤ ਗੁਸਾਈ ॥
sukh dukh rahat sadaa nirlaypee jaa ka-o kahat gusaa-ee.
God who is known as the Master of the universe is beyond any pain or pleasure and always remains detached from Maya.
Mungu ambaye anajulikana kama Bwana wa ulimwengu amezidi uchungu au raha yoyote na daima ametengwa kutoka Maya.

ਸੋ ਤੁਮ ਹੀ ਮਹਿ ਬਸੈ ਨਿਰੰਤਰਿ ਨਾਨਕ ਦਰਪਨਿ ਨਿਆਈ ॥੩॥੫॥
so tum hee meh basai nirantar naanak darpan ni-aa-ee. ||3||5||
O Nanak, God always dwells within you, like the image in a mirror. ||3||5||
Ee Nanak, Mungu daima anaishi ndani mwako, kama taswira kwenye kioo.

ਸੋਰਠਿ ਮਹਲਾ ੯ ॥
sorath mehlaa 9.
Raag Sorath, Ninth Guru:
Raag Sorath, Guru wa Tisa:

ਮਾਈ ਮੈ ਕਿਹਿ ਬਿਧਿ ਲਖਉ ਗੁਸਾਈ ॥
maa-ee mai kihi biDh lakha-o gusaa-ee.
O’ my mother, how can I recognize God, the Master of the universe?
Ee mama yangu, ninawezaje kumtambua Mungu, Bwana wa ulimwengu?

ਮਹਾ ਮੋਹ ਅਗਿਆਨਿ ਤਿਮਰਿ ਮੋ ਮਨੁ ਰਹਿਓ ਉਰਝਾਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mahaa moh agi-aan timar mo man rahi-o urjhaa-ee. ||1|| rahaa-o.
Because my mind is entangled in the intense worldly attachments and pitch darkness of spiritual ignorance. ||1||Pause||
Kwa sababu akili yangu imenaswa katika viambatisho kali vya kidunia na giza totoro ya ujinga wa kiroho. ||1||Sitisha||

ਸਗਲ ਜਨਮ ਭਰਮ ਹੀ ਭਰਮ ਖੋਇਓ ਨਹ ਅਸਥਿਰੁ ਮਤਿ ਪਾਈ ॥
sagal janam bharam hee bharam kho-i-o nah asthir mat paa-ee.
I have wasted away all my life in one doubt after the other, and have never obtained such wisdom which may keep my mind stable.
Nimeharibu maisha yangu yote katika shaka moja baada ya nyingine, na kamwe sijapata hekima ya kipekee ambayo inaweza kuimarisha akili yangu.

ਬਿਖਿਆਸਕਤ ਰਹਿਓ ਨਿਸ ਬਾਸੁਰ ਨਹ ਛੂਟੀ ਅਧਮਾਈ ॥੧॥
bikhi-aaskat rahi-o nis baasur nah chhootee aDhmaa-ee. ||1||
Day and night I remain engrossed in worldly riches and power and I have not been able to renounce my wickedness. ||1||
Mchana na usiku nasalia nimevama katika utajiri na nguvu ya kidunia na sijaweza kukana uovu wangu.

ਸਾਧਸੰਗੁ ਕਬਹੂ ਨਹੀ ਕੀਨਾ ਨਹ ਕੀਰਤਿ ਪ੍ਰਭ ਗਾਈ ॥
saaDhsang kabhoo nahee keenaa nah keerat parabh gaa-ee.
I never joined the holy congregation nor did I ever sing the praises of God.
Kamwe sikujiunga na ushirika mtakatifu wala sikuimba sifa za Mungu.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਮੈ ਨਾਹਿ ਕੋਊ ਗੁਨੁ ਰਾਖਿ ਲੇਹੁ ਸਰਨਾਈ ॥੨॥੬॥
jan naanak mai naahi ko-oo gun raakh layho sarnaa-ee. ||2||6||
O’ Nanak, I have no virtues at all; O’ God! keep me in Your refuge. ||2||6||
Ee Nanak, mimi sina fadhila zozote hata kidogo, Ee Mungu! Niweke katika kimbilio chako.

ਸੋਰਠਿ ਮਹਲਾ ੯ ॥
sorath mehlaa 9.
Raag Sorath, Ninth Guru:
Raag Sorath, Guru wa Tisa:

ਮਾਈ ਮਨੁ ਮੇਰੋ ਬਸਿ ਨਾਹਿ ॥
maa-ee man mayro bas naahi.
O’ my mother, my mind is not under my control.
Ee mama yangu, akili yangu haijadhibitiwa.

ਨਿਸ ਬਾਸੁਰ ਬਿਖਿਅਨ ਕਉ ਧਾਵਤ ਕਿਹਿ ਬਿਧਿ ਰੋਕਉ ਤਾਹਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
nis baasur bikhi-an ka-o Dhaavat kihi biDh roka-o taahi. ||1|| rahaa-o.
Day and night, it runs after poisonous worldly riches and power. How can I restrain it? ||1||Pause||
Mchana na usiku, inakimbilia utajiri na mamlaka yenye sumu ya kidunia. Ninawezaje kuizuia? ||1||Sitisha||

ਬੇਦ ਪੁਰਾਨ ਸਿਮ੍ਰਿਤਿ ਕੇ ਮਤ ਸੁਨਿ ਨਿਮਖ ਨ ਹੀਏ ਬਸਾਵੈ ॥
bayd puraan simrit kay mat sun nimakh na hee-ay basaavai.
Even after listening to the teachings of Vedas, Puranas, and Smritis (scriptures), one doesn’t enshrine these teachings in his heart even for an instant.
Hata baada ya kusikiliza mafundisho ya Vedas, Puranas, na Smritis (maandishi), mtu hathamini mafundisho haya moyoni mwake hata kwa muda mfupi.

ਪਰ ਧਨ ਪਰ ਦਾਰਾ ਸਿਉ ਰਚਿਓ ਬਿਰਥਾ ਜਨਮੁ ਸਿਰਾਵੈ ॥੧॥
par Dhan par daaraa si-o rachi-o birthaa janam siraavai. ||1||
He remains engrossed in thoughts about others’ wealth and women, and in that way he spends all his life in vain. ||1||
Yeye anabaki amevama katika fikira kuhusu utajiri na wanawake wa wengine, na kwa njia hiyo anaishi maisha yake yote bure.

ਮਦਿ ਮਾਇਆ ਕੈ ਭਇਓ ਬਾਵਰੋ ਸੂਝਤ ਨਹ ਕਛੁ ਗਿਆਨਾ ॥
mad maa-i-aa kai bha-i-o baavro soojhat nah kachh gi-aanaa.
Being intoxicated with Maya, he has gone insane and does not even understand a bit of spiritual wisdom.
Akiwa amelevya kwa Maya, yeye amepata kichaa na hata haelewi kiwango kidogo cha hekima takatifu.

ਘਟ ਹੀ ਭੀਤਰਿ ਬਸਤ ਨਿਰੰਜਨੁ ਤਾ ਕੋ ਮਰਮੁ ਨ ਜਾਨਾ ॥੨॥
ghat hee bheetar basat niranjan taa ko maram na jaanaa. ||2||
The immaculate God resides within the heart itself, but he doesn’t understand this secrete. ||2||
Mungu safi anaishi ndani mwa moyo wenyewe, lakini yeye haelewi siri hii.

error: Content is protected !!