ਜਿਸ ਕੀ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਸੁ ਕਰਣੈਹਾਰੁ ॥
jis kee sarisat so karnaihaar.
He, to whom this Universe belongs, is the Creator thereof.
Yeye, ambaye Ulimwengu huu ni miliki yake, ndiye Muumba wake.
ਅਵਰ ਨ ਬੂਝਿ ਕਰਤ ਬੀਚਾਰੁ ॥
avar na boojh karat beechaar.
Don’t think of anybody else but God to be the protector also of the universe.
Usifikirie mwengine ila Mungu kuwa mlinzi pia wa ulimwengu.
ਕਰਤੇ ਕੀ ਮਿਤਿ ਨ ਜਾਨੈ ਕੀਆ ॥
kartay kee mit na jaanai kee-aa.
The created cannot know the extent of the Creator.
Aliyeumbwa hawezi kujua kadiri ya Muumba.
ਨਾਨਕ ਜੋ ਤਿਸੁ ਭਾਵੈ ਸੋ ਵਰਤੀਆ ॥੭॥
naanak jo tis bhaavai so vartee-aa. ||7||
O’ Nanak, whatever pleases Him comes to pass. ||7||
Ee Nanak, chochote kinachompendeza Yeye kinatendeka.
ਬਿਸਮਨ ਬਿਸਮ ਭਏ ਬਿਸਮਾਦ ॥
bisman bisam bha-ay bismaad.
Whoever has gazed upon His wondrous wonder, is amazed!
Yeyote ambaye ametazama uzuri wake wa ajabu, amestaajabishwa!
ਜਿਨਿ ਬੂਝਿਆ ਤਿਸੁ ਆਇਆ ਸ੍ਵਾਦ ॥
jin boojhi-aa tis aa-i-aa savaad.
One who realized God, has enjoyed the bliss.
Yule ambaye amegundua Mungu, amefurahia raha tele.
ਪ੍ਰਭ ਕੈ ਰੰਗਿ ਰਾਚਿ ਜਨ ਰਹੇ ॥
parabh kai rang raach jan rahay.
God’s humble servants remain absorbed in His Love.
Watumishi wanyenyekevu wa Mungu wanabaki wamevama katika Upendo wake.
ਗੁਰ ਕੈ ਬਚਨਿ ਪਦਾਰਥ ਲਹੇ ॥
gur kai bachan padaarath lahay.
and through the Guru’s teachings, they obtain the commodity of Naam (love for God).
Na kupitia mafundisho ya Guru, wanapata bidhaa ya Naam (upendo kwa Mungu).
ਓਇ ਦਾਤੇ ਦੁਖ ਕਾਟਨਹਾਰ ॥
o-ay daatay dukh kaatanhaar.
They themselves become benefactors and removers of woes of others.
Wao wenyewe wanakuwa wafadhili na wanaondoa matatizo ya wengine.
ਜਾ ਕੈ ਸੰਗਿ ਤਰੈ ਸੰਸਾਰ ॥
jaa kai sang tarai sansaar.
In their company, the rest of world is saved.
Katika uandamano wao, dunia yote iliyobaki inakombolewa.
ਜਨ ਕਾ ਸੇਵਕੁ ਸੋ ਵਡਭਾਗੀ ॥
jan kaa sayvak so vadbhaagee.
Fortunate is the one who becomes servant of the devotee of God.
Amebahatika yule ambaye anakuwa mtumishi wa mtawa wa Mungu.
ਜਨ ਕੈ ਸੰਗਿ ਏਕ ਲਿਵ ਲਾਗੀ ॥
jan kai sang ayk liv laagee.
In the company of such a devotee, one becomes attuned to the Love of the One God.
Katika uandamano wa mtawa kama huyo, mtu anamakinikia Upendo wa Mungu Mmoja.
ਗੁਨ ਗੋਬਿਦ ਕੀਰਤਨੁ ਜਨੁ ਗਾਵੈ ॥
gun gobid keertan jan gaavai.
The devotee who sings the praises of God,
Mtawa anayeimba sifa za Mungu,
ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਨਾਨਕ ਫਲੁ ਪਾਵੈ ॥੮॥੧੬॥
gur parsaad naanak fal paavai. ||8||16||
O’ Nanak, by Guru’s grace receives the reward of Naam. ||8||16||
Ee Nanak, kwa neema ya Guru anapokea tuzo ya Naam.
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:
ਆਦਿ ਸਚੁ ਜੁਗਾਦਿ ਸਚੁ ॥
aad sach jugaad sach.
True One has existed from the beginning (from before time); He has existed since the beginning of the ages.
Yule Mmoja wa Kweli amekuwepo kutoka mwanzoni (kabla ya nyakati); Yeye amekuwepo tangu mwanzoni mwa enzi.
ਹੈ ਭਿ ਸਚੁ ਨਾਨਕ ਹੋਸੀ ਭਿ ਸਚੁ ॥੧॥
hai bhe sach naanak hosee bhe sach. ||1||
He is also True now (does exist in the present); O’ Nanak, He will also be True (exist) in the future
Yeye pia ni wa kweli wakati huu (yupo wakati huu uliopo) Ee Nanak, Yeye pia atakuwa wa Kweli (atakuwepo) wakati ujao
ਅਸਟਪਦੀ ॥
asatpadee.
Ashtapadee:
ਚਰਨ ਸਤਿ ਸਤਿ ਪਰਸਨਹਾਰ ॥
charan sat sat parsanhaar.
Eternal is God’s presence, and those who realize His presence also become eternal.
Wa milele ni uwepo wa Mungu, na wale wanaogundua uwepo wake pia wanakuwa wa milele.
ਪੂਜਾ ਸਤਿ ਸਤਿ ਸੇਵਦਾਰ ॥
poojaa sat sat sayvdaar.
Devotional worship of God is an ever lasting task, and those who perform such worship also become ever lasting (get out of the cycle of birth and death).
Ibada ya kujitolea kwa Mungu ni kazi inayodumu milele, na wale wanaofanya ibada kama hiyo pia wanadumu milele (wanaondoka kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kufa).
ਦਰਸਨੁ ਸਤਿ ਸਤਿ ਪੇਖਨਹਾਰ ॥
darsan sat sat paykhanhaar.
True is the sight of Him and those who behold Him also become true (become eternal and get out of the cycle of birth and death).
Wa Kweli ni mwono wake na wale wanaomtazama pia wanakuwa wa kweli (wanakuwa wa milele na wanatoka kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kufa).
ਨਾਮੁ ਸਤਿ ਸਤਿ ਧਿਆਵਨਹਾਰ ॥
naam sat sat Dhi-aavanhaar.
His Name is True, and True are those who meditate on it.
Jina lake ni la Kweli, na wale wanaotafakari kulihusu ni wa Kweli.
ਆਪਿ ਸਤਿ ਸਤਿ ਸਭ ਧਾਰੀ ॥
aap sat sat sabh Dhaaree.
He Himself is True, and True is all that He sustains.
Yeye Mwenyewe ni wa Kweli, na vya Kweli ni vyote ambavyo Yeye anatunza.
ਆਪੇ ਗੁਣ ਆਪੇ ਗੁਣਕਾਰੀ ॥
aapay gun aapay gunkaaree.
He Himself is the embodiment of virtue, and He is the bestower of virtue.
Yeye Mwenyewe ni udhihirisho wa fadhila, na Yeye ndiye mtawaza wa fadhila.
ਸਬਦੁ ਸਤਿ ਸਤਿ ਪ੍ਰਭੁ ਬਕਤਾ ॥
sabad sat sat parabh baktaa.
Eternal is His word and eternal becomes the one who utters that true word.
La Milele ni neno lake na yeyote anayetamka neno hilo la kweli pia anakuwa wa milele.
ਸੁਰਤਿ ਸਤਿ ਸਤਿ ਜਸੁ ਸੁਨਤਾ ॥
surat sat sat jas suntaa.
True is the deed of meditating on God, and true is the one who listens to the praises of God.
Kitendo cha kutafakari kuhusu Mungu ni cha milele, na wa kweli ni yule anayesikiliza sifa za Mungu.
ਬੁਝਨਹਾਰ ਕਉ ਸਤਿ ਸਭ ਹੋਇ ॥
bujhanhaar ka-o sat sabh ho-ay.
The one who knows that God is eternal, deems everything created by Him also as eternal.
Yule ambaye anajua kwamba Mungu ni wa milele, anafikiria kila kitu kilichoumbwa na Yeye kuwa cha milele pia.
ਨਾਨਕ ਸਤਿ ਸਤਿ ਪ੍ਰਭੁ ਸੋਇ ॥੧॥
naanak sat sat parabh so-ay. ||1||
O’ Nanak, God is eternal for sure! ||1||
Ee Nanak, kwa uhakika Mungu ni wa milele!
ਸਤਿ ਸਰੂਪੁ ਰਿਦੈ ਜਿਨਿ ਮਾਨਿਆ ॥
sat saroop ridai jin maani-aa.
One who has enshrined God, the Embodiment of Truth in his heart,
Yule ambaye amethamini Mungu, Udhihirisho wa Ukweli moyoni mwake,
ਕਰਨ ਕਰਾਵਨ ਤਿਨਿ ਮੂਲੁ ਪਛਾਨਿਆ ॥
karan karaavan tin mool pachhaani-aa.
has recognized God as the Cause of causes, the Root of all.
Ametambua Mungu kuwa Msingi wa misingi yote, Mzizi wa vyote.
ਜਾ ਕੈ ਰਿਦੈ ਬਿਸ੍ਵਾਸੁ ਪ੍ਰਭ ਆਇਆ ॥
jaa kai ridai bisvaas parabh aa-i-aa.
One whose heart is completely convinced (of the presence of God),
Yule ambaye moyo wake umeshawishika kabisa (kuhusu uwepo wa Mungu),
ਤਤੁ ਗਿਆਨੁ ਤਿਸੁ ਮਨਿ ਪ੍ਰਗਟਾਇਆ ॥
tat gi-aan tis man paragtaa-i-aa.
the true spiritual wisdom is revealed to him.
Hekima ya kiroho ya kweli inadhihirishwa kwake.
ਭੈ ਤੇ ਨਿਰਭਉ ਹੋਇ ਬਸਾਨਾ ॥
bhai tay nirbha-o ho-ay basaanaa.
Having come out of every fear, he lives without any fear.
Akiwa ametoka katika kila hofu, anaishi bila hofu yoyote.
ਜਿਸ ਤੇ ਉਪਜਿਆ ਤਿਸੁ ਮਾਹਿ ਸਮਾਨਾ ॥
jis tay upji-aa tis maahi samaanaa.
He is absorbed into the One from whom he originated.
Yeye amevama katika yule Mmoja ambaye aliasilia kutoka kwake.
ਬਸਤੁ ਮਾਹਿ ਲੇ ਬਸਤੁ ਗਡਾਈ ॥ ਤਾ ਕਉ ਭਿੰਨ ਨ ਕਹਨਾ ਜਾਈ ॥
basat maahi lay basat gadaa-ee. taa ka-o bhinn na kahnaa jaa-ee.
Just as something is blended with something else of its own kind (more of the same kind), the two cannot be differentiated (In the same manner, a devotee loses his identity and becomes the same as God when spiritually lifted and merged with God).
Kama vile kitu kinachanganyikana na kitu kingine cha aina yake (sanasana kitu cha aina sawa), hivyo viwili haviwezi kutofautishwa (kwa njia hiyo, mtawa anapoteza utambulisho wake na anakuwa sawa na Mungu wakati anainuliwa kiroho na kuungana na Mungu).
ਬੂਝੈ ਬੂਝਨਹਾਰੁ ਬਿਬੇਕ ॥
boojhai boojhanhaar bibayk.
Only an acute discerner understands it.
Mtambuzi makini pekee anaelewa hiyo.
ਨਾਰਾਇਨ ਮਿਲੇ ਨਾਨਕ ਏਕ ॥੨॥
naaraa-in milay naanak ayk. ||2||
O’ Nanak, in the same manner, those who have met God, have become one with Him. ||2||
Ee Nanak, kwa njia hiyo, wale ambao wamekutana na Mungu, wanaungana na Yeye.
ਠਾਕੁਰ ਕਾ ਸੇਵਕੁ ਆਗਿਆਕਾਰੀ ॥
thaakur kaa sayvak aagi-aakaaree.
The servant of God is obedient to Him.
Mtumishi wa Mungu ni mtiifu kwake.
ਠਾਕੁਰ ਕਾ ਸੇਵਕੁ ਸਦਾ ਪੂਜਾਰੀ ॥
thaakur kaa sayvak sadaa poojaaree.
The servant of God always adores Him.
Mtumishi wa Mungu daima anamtukuza Yeye.
ਠਾਕੁਰ ਕੇ ਸੇਵਕ ਕੈ ਮਨਿ ਪਰਤੀਤਿ ॥
thaakur kay sayvak kai man parteet.
The servant’s mind has complete faith in God.
Akili ya mtumishi wa Mungu ina imani kamilifu kwa Mungu.
ਠਾਕੁਰ ਕੇ ਸੇਵਕ ਕੀ ਨਿਰਮਲ ਰੀਤਿ ॥
thaakur kay sayvak kee nirmal reet.
Immaculate is the way of life of God’s devotee.
Safi ni mtindo wa maisha wa mtawa wa Mungu.
ਠਾਕੁਰ ਕਉ ਸੇਵਕੁ ਜਾਨੈ ਸੰਗਿ ॥
thaakur ka-o sayvak jaanai sang.
God’s servant believes that God is always with him.
Mtumishi wa Mungu anaamini kwamba Mungu daima yu naye.
ਪ੍ਰਭ ਕਾ ਸੇਵਕੁ ਨਾਮ ਕੈ ਰੰਗਿ ॥
parabh kaa sayvak naam kai rang.
God’s servant is always imbued with the love of Naam.
Mtumishi wa Mungu daima amejawa na upendo wa Naam.
ਸੇਵਕ ਕਉ ਪ੍ਰਭ ਪਾਲਨਹਾਰਾ ॥
sayvak ka-o parabh paalanhaaraa.
God is the Cherisher of His servant.
Mungu ndiye Mthamini wa mtumishi wake.
ਸੇਵਕ ਕੀ ਰਾਖੈ ਨਿਰੰਕਾਰਾ ॥
sayvak kee raakhai nirankaaraa.
The Formless God preserves the honor of His devotee.
Mungu asiye na Maumbile anahifadhi heshima ya mtawa wake.
ਸੋ ਸੇਵਕੁ ਜਿਸੁ ਦਇਆ ਪ੍ਰਭੁ ਧਾਰੈ ॥
so sayvak jis da-i-aa parabh Dhaarai.
His servant is one unto whom God shows mercy.
Mtumishi wake ni yule ambaye Mungu anamuonea huruma.
ਨਾਨਕ ਸੋ ਸੇਵਕੁ ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਮਾਰੈ ॥੩॥
naanak so sayvak saas saas samaarai. ||3||
O’ Nanak, such a servant remembers Him with every breath. ||3||
Ee Nanak, mtumishi kama huyo anamkumbuka Yeye kila wakati.
ਅਪੁਨੇ ਜਨ ਕਾ ਪਰਦਾ ਢਾਕੈ ॥
apunay jan kaa pardaa dhaakai.
He covers the shortcomings of His devotee.
Yeye anafunika upungufu wa mtawa wake.
ਅਪਨੇ ਸੇਵਕ ਕੀ ਸਰਪਰ ਰਾਖੈ ॥
apnay sayvak kee sarpar raakhai.
He surely preserves the honor of His servant.
Kwa uhakika anahifadhi heshima ya mtumishi wake.
ਅਪਨੇ ਦਾਸ ਕਉ ਦੇਇ ਵਡਾਈ ॥
apnay daas ka-o day-ay vadaa-ee.
He bestows glory on His devotee.
Yeye anatawaza utukufu kwa mtawa wake.
ਅਪਨੇ ਸੇਵਕ ਕਉ ਨਾਮੁ ਜਪਾਈ ॥
apnay sayvak ka-o naam japaa-ee.
He blesses His servant to meditate on Naam.
Yeye anabariki mtumishi wake kutafakari kuhusu Naam.
ਅਪਨੇ ਸੇਵਕ ਕੀ ਆਪਿ ਪਤਿ ਰਾਖੈ ॥
apnay sayvak kee aap pat raakhai.
He Himself preserves the honor of His servant.
Yeye Mwenyewe anahifadhi heshima ya mtumishi wake.
ਤਾ ਕੀ ਗਤਿ ਮਿਤਿ ਕੋਇ ਨ ਲਾਖੈ ॥
taa kee gat mit ko-ay na laakhai.
No one can estimate the high spiritual state of God’s devotee.
Hakuna mtu anaweza kukadiria hali ya juu ya kiroho ya mtawa wa Mungu.
ਪ੍ਰਭ ਕੇ ਸੇਵਕ ਕਉ ਕੋ ਨ ਪਹੂਚੈ ॥
parabh kay sayvak ka-o ko na pahoochai.
No one can equate with the servant of God,
Hakuna mtu anaweza kuwa sawa na mtumishi wa Mungu,
ਪ੍ਰਭ ਕੇ ਸੇਵਕ ਊਚ ਤੇ ਊਚੇ ॥
parabh kay sayvak ooch tay oochay.
because the devotees of God are highest of the high.
Kwa sababu watawa wa Mungu ni wa juu zaidi kwa wote.
ਜੋ ਪ੍ਰਭਿ ਅਪਨੀ ਸੇਵਾ ਲਾਇਆ ॥
jo parabh apnee sayvaa laa-i-aa.
One whom God applies to His service,
Yule ambaye Mungu anasajilisha kwa huduma yake,
ਨਾਨਕ ਸੋ ਸੇਵਕੁ ਦਹ ਦਿਸਿ ਪ੍ਰਗਟਾਇਆ ॥੪॥
naanak so sayvak dah dis paragtaa-i-aa. ||4||
O’ Nanak, that servant becomes renowned in every direction. ||4||
Ee Nanak, mtumishi huyo anakuwa maarufu katika pande zote.
ਨੀਕੀ ਕੀਰੀ ਮਹਿ ਕਲ ਰਾਖੈ ॥
neekee keeree meh kal raakhai.
If God infuses His power into a very weak human being (weak like a tiny ant),
Iwapo Mungu aweke nguvu yake katika binadamu mnyonge kabisa (mnyonge kama mchwa mdogo)
ਭਸਮ ਕਰੈ ਲਸਕਰ ਕੋਟਿ ਲਾਖੈ ॥
bhasam karai laskar kot laakhai.
then that person can reduce the armies of millions to ashes.
Basi mtu huyo anaweza kuangamiza majeshi ya mamilioni yawe majivu.
ਜਿਸ ਕਾ ਸਾਸੁ ਨ ਕਾਢਤ ਆਪਿ ॥
jis kaa saas na kaadhat aap.
The one whose life-breath, God does not take away;
Yule ambaye pumzi yake ya uhai, Mungu haichukui kutoka kwake;