ਸਚਿਆਰ ਸਿਖ ਬਹਿ ਸਤਿਗੁਰ ਪਾਸਿ ਘਾਲਨਿ ਕੂੜਿਆਰ ਨ ਲਭਨੀ ਕਿਤੈ ਥਾਇ ਭਾਲੇ ॥
sachiar sikh bahi satgur paas ghaalan koorhiar na labhe kitai thaa-ay bhaalay.
The true disciples stay in the true Guru’s presence and follow his teachings, but even when searched for, the false ones are not found anywhere.
Wanafunzi wa kweli wanaishi katika uwepo wa Guru wa kweli na kufuata mafunzo take, lakini hata wanapotafutwa wale walaghai hawapatikani popote.
ਜਿਨਾ ਸਤਿਗੁਰ ਕਾ ਆਖਿਆ ਸੁਖਾਵੈ ਨਾਹੀ ਤਿਨਾ ਮੁਹ ਭਲੇਰੇ ਫਿਰਹਿ ਦਯਿ ਗਾਲੇ ॥
jinaa satgur kaa aakhi-aa sukhaavai naahee tinaa muh bhalayray fireh da-yi gaalay.
Those who are not pleased with the Words of the True Guru – their faces are cursed, and they wander around, condemned by God.
Wale ambao hawapendezwi na Maneno ya Guru wa Kweli- nyuso zao zimelaaniwa,na wanatanga kote, wakiwa wamelaaniwa na Mungu.
ਜਿਨ ਅੰਦਰਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਨਹੀ ਹਰਿ ਕੇਰੀ ਸੇ ਕਿਚਰਕੁ ਵੇਰਾਈਅਨਿ ਮਨਮੁਖ ਬੇਤਾਲੇ ॥
jin andar pareet nahee har kayree say kichrak vayraa-ee-an manmukh baytaalay.
These self-conceited demons, who have no love for God, cannot be consoled for long.
Hawa mapepo wabinafsi, wenye hawana upendo kwa Mungu, hawawezi farijiwa kwa muda Mrefu.
ਸਤਿਗੁਰ ਨੋ ਮਿਲੈ ਸੁ ਆਪਣਾ ਮਨੁ ਥਾਇ ਰਖੈ ਓਹੁ ਆਪਿ ਵਰਤੈ ਆਪਣੀ ਵਥੁ ਨਾਲੇ ॥
satgur no milai so aapnaa man thaa-ay rakhai oh aap vartai aapnee vath naalay.
The one who follows the true Guru’s teaching, stays firm in faith, and spends his life in remembrance of God.
Yule anayefuata mafunzo ya Guru wa kweli huishi katika imani dhabiti na huishi maisha yake kwa ukumbusho wa Mungu.
ਜਨ ਨਾਨਕ ਇਕਨਾ ਗੁਰੁ ਮੇਲਿ ਸੁਖੁ ਦੇਵੈ ਇਕਿ ਆਪੇ ਵਖਿ ਕਢੈ ਠਗਵਾਲੇ ॥੧॥
jan naanak iknaa gur mayl sukh dayvai ik aapay vakh kadhai thagvaalay. ||1||
O’ Nanak, God unites some with the Guru and blesses them with peace and He separates out the cheats. ||1||
Ee Nanak, Mungu anaunganisha baadhi naye Guru na kuwabariki na amani na kutenga walaghai.
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru
Salok, Guru wa nne:
ਜਿਨਾ ਅੰਦਰਿ ਨਾਮੁ ਨਿਧਾਨੁ ਹਰਿ ਤਿਨ ਕੇ ਕਾਜ ਦਯਿ ਆਦੇ ਰਾਸਿ ॥
jinaa andar naam niDhaan har tin kay kaaj da-yi aaday raas.
They, within whom is the treasure of God’s Name, God has Himself accomplished their tasks.
Wale, ambao ndani yao hazina ya jina ya Mungu ipo,Mungu Mwenyewe amekamilisha majukumu yao.
ਤਿਨ ਚੂਕੀ ਮੁਹਤਾਜੀ ਲੋਕਨ ਕੀ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਅੰਗੁ ਕਰਿ ਬੈਠਾ ਪਾਸਿ ॥
tin chookee muhtaajee lokan kee har parabh ang kar baithaa paas.
Their dependence on humans is ended, because God is always on their side.
Utegemezi wao juu ya binadamu inaisha, kwa sababu Mungu ako upande wao kila wakati.
ਜਾਂ ਕਰਤਾ ਵਲਿ ਤਾ ਸਭੁ ਕੋ ਵਲਿ ਸਭਿ ਦਰਸਨੁ ਦੇਖਿ ਕਰਹਿ ਸਾਬਾਸਿ ॥
jaaN kartaa val taa sabh ko val sabh darsan daykh karahi saabaas.
When the Creator is on their side, then everyone is on their side. Beholding their vision, everyone applauds them.
Muumba akiwa upande wao, basi kila mtu ako upande wao. Kwa kutahamaki taswira, kila mtu anawashangalia.
ਸਾਹੁ ਪਾਤਿਸਾਹੁ ਸਭੁ ਹਰਿ ਕਾ ਕੀਆ ਸਭਿ ਜਨ ਕਉ ਆਇ ਕਰਹਿ ਰਹਰਾਸਿ ॥
saahu paatisaahu sabh har kaa kee-aa sabh jan ka-o aa-ay karahi rahraas.
Since all the kings and the emperors are all created by God, they all come and bow in reverence to the humble devotee of God.
Maana wafalme wote na kaisari wote wameumbwa na Mungu, wote wanakuja na kuinama kwa staha kwake muumini mnyenyekevu wa Mungu.
ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਕੀ ਵਡੀ ਵਡਿਆਈ ਹਰਿ ਵਡਾ ਸੇਵਿ ਅਤੁਲੁ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ॥
gur pooray kee vadee vadi-aa-ee har vadaa sayv atul sukh paa-i-aa.
This is the greatness of the perfect Guru, that by remembering the great God with loving devotion, the devotee of God has received immeasurable peace
Huu ni ukuu wa Guru kamili, ati kwa kukumbuka Mungu mkuu kwa mahuba ya upendo, muumini wa Mungu amepokea amani isiyopimika.
ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਦਾਨੁ ਦੀਆ ਹਰਿ ਨਿਹਚਲੁ ਨਿਤ ਬਖਸੇ ਚੜੈ ਸਵਾਇਆ ॥
gur poorai daan dee-aa har nihchal nit bakhsay charhai savaa-i-aa.
Through the perfect Guru, God gives the everlasting gift of His Name, which multiplies everyday.
Kwa njia ya Guru kamili,Mungu anapeana zawadi ya daima ya Jina lake, inayozidi kila siku.
ਕੋਈ ਨਿੰਦਕੁ ਵਡਿਆਈ ਦੇਖਿ ਨ ਸਕੈ ਸੋ ਕਰਤੈ ਆਪਿ ਪਚਾਇਆ ॥
ko-ee nindak vadi-aa-ee daykh na sakai so kartai aap pachaa-i-aa.
The slanderer, who cannot tolerate the glory of the devotee, is destroyed by the Creator Himself.
Yule mchongezi, ambaye hawezi stahimili utukufu wake muumini, anaangamizwa na Muumba mwenyewe.
ਜਨੁ ਨਾਨਕੁ ਗੁਣ ਬੋਲੈ ਕਰਤੇ ਕੇ ਭਗਤਾ ਨੋ ਸਦਾ ਰਖਦਾ ਆਇਆ ॥੨॥
jan naanak gun bolai kartay kay bhagtaa no sadaa rakh-daa aa-i-aa. ||2||
Nanak utters the virtues of the Creator, who has always been protecting the devotees.||2||
Nanak anatamka fadhila za Muumba ambaye amekua akilinda waumini.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
0
ਤੂ ਸਾਹਿਬੁ ਅਗਮ ਦਇਆਲੁ ਹੈ ਵਡ ਦਾਤਾ ਦਾਣਾ ॥
too saahib agam da-i-aal hai vad daataa daanaa.
O’ God, You are incomprehensible, compassionate, and great judicious bestower.
E’ Mungu, usiyeweza kueleweka, mkarimu na mtawaza mkuu mwenye ustaarabu.
ਤੁਧੁ ਜੇਵਡੁ ਮੈ ਹੋਰੁ ਕੋ ਦਿਸਿ ਨ ਆਵਈ ਤੂਹੈਂ ਸੁਘੜੁ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਭਾਣਾ ॥
tuDh jayvad mai hor ko dis naa aavee toohaiN sugharh mayrai man bhaanaa.
To me no one else seems as great; You are sagacious, and pleasing to my mind.
Kwangu hakuna mwingine anayeonekana mkuu; wewe ni mjuzi, na wakupendeza kwa mawazo yangu.
ਮੋਹੁ ਕੁਟੰਬੁ ਦਿਸਿ ਆਵਦਾ ਸਭੁ ਚਲਣਹਾਰਾ ਆਵਣ ਜਾਣਾ ॥
moh kutamb dis aavdaa sabh chalanhaaraa aavan jaanaa.
The emotional attachment to the family is transitory and is the reason for going into the cycles of birth and death.
Mapendeleo ya kihisia kwa familia ni fupi na ndio sababu ya kwenda kwa mzunguko wa uzazi na kifo.
ਜੋ ਬਿਨੁ ਸਚੇ ਹੋਰਤੁ ਚਿਤੁ ਲਾਇਦੇ ਸੇ ਕੂੜਿਆਰ ਕੂੜਾ ਤਿਨ ਮਾਣਾ ॥
jo bin sachay horat chit laa-iday say koorhi-aar koorhaa tin maanaa.
Thosewho attune their mind to any body except God, live in falsehood and false is their pride.
Wale wenye kuongoza fikira zao kwa mwili wowote pasi na Mungu, wanaishi kwa ulaghai na ulaghai ndio raha yao.
ਨਾਨਕ ਸਚੁ ਧਿਆਇ ਤੂ ਬਿਨੁ ਸਚੇ ਪਚਿ ਪਚਿ ਮੁਏ ਅਜਾਣਾ ॥੧੦॥
naanak sach Dhi-aa-ay too bin sachay pach pach mu-ay ajaanaa. ||10||
O’ Nanak, meditate on God’s Name with love and devotion because without Naam, the ignorant people go through spiritual death all their life.||10||
O’Nanak, tafakari juu ya Jina na Mungu kwa upendo na mahuba kwa sababu bila Naam, watu chachili wanapitia kifo Cha kiroho daima.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਅਗੋ ਦੇ ਸਤ ਭਾਉ ਨ ਦਿਚੈ ਪਿਛੋ ਦੇ ਆਖਿਆ ਕੰਮਿ ਨ ਆਵੈ ॥
ago day sat bhaa-o na dichai pichho day aakhi-aa kamm na aavai.
The person who doesn’t pay proper respect to the Guru at the first time,anything he says afterwards to cover his mistake, doesn’t do any good.
Yeyote ambaye hatoi taadhina kwake Guru kwa Mara ya kwanza, chochote anachonena baadaye kusetiri kosa lake, haifanyi wema wowote.
ਅਧ ਵਿਚਿ ਫਿਰੈ ਮਨਮੁਖੁ ਵੇਚਾਰਾ ਗਲੀ ਕਿਉ ਸੁਖੁ ਪਾਵੈ ॥
aDh vich firai manmukh vaychaaraa galee ki-o sukh paavai.
Such a wretched, self-willed wanders around double-minded; how can he find peace through mere words?
Mnyonye na mbinafsi Kama yule anazurura kote kwa uwili wa mawazo; anawezaje kupata amani kwa maneno tupu.
ਜਿਸੁ ਅੰਦਰਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਨਹੀ ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਸੁ ਕੂੜੀ ਆਵੈ ਕੂੜੀ ਜਾਵੈ ॥
jis andar pareet nahee satgur kee so koorhee aavai koorhee jaavai.
The one who has no love for the true Guru; he comes to and goes from the Gurdwara to show off or to please others.
Yule asiye na upendo kwa Guru wa kweli; anaingia na kutoka kwa Gurdwara kujionyesha kwa wengine au kufurahisha wengine.
ਜੇ ਕ੍ਰਿਪਾ ਕਰੇ ਮੇਰਾ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਕਰਤਾ ਤਾਂ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਨਦਰੀ ਆਵੈ ॥
jay kirpaa karay mayraa har parabh kartaa taaN satgur paarbarahm nadree aavai.
If my Creator-God shows mercy on him, then he sees God in the true Guru.
Ikiwa Muumba-Mungu wangu anaonyesha huruma kwake, basi anaona Mungu Kama Guru wa kweli.
ਤਾ ਅਪਿਉ ਪੀਵੈ ਸਬਦੁ ਗੁਰ ਕੇਰਾ ਸਭੁ ਕਾੜਾ ਅੰਦੇਸਾ ਭਰਮੁ ਚੁਕਾਵੈ ॥
taa api-o peevai sabad gur kayraa sabh kaarhaa andaysaa bharam chukhaavai.
Then he partakes the nectar of the Guru’s word, and all his dread, anxiety and doubt is dispelled.
Halafu anashiriki maji matamu ya neno la Mungu na hofu, na hangaiko na Shaka zinaondolewa.
ਸਦਾ ਅਨੰਦਿ ਰਹੈ ਦਿਨੁ ਰਾਤੀ ਜਨ ਨਾਨਕ ਅਨਦਿਨੁ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਵੈ ॥੧॥
sadaa anand rahai din raatee jan naanak an-din har gun gaavai. ||1||
O’ Nanak, the one who always sings the praises of God, remains in bliss ||1||
O’ Nanak, mwenye kuimba sifa za Mungu kila wakati, huishi kwa Raha.
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਗੁਰ ਸਤਿਗੁਰ ਕਾ ਜੋ ਸਿਖੁ ਅਖਾਏ ਸੁ ਭਲਕੇ ਉਠਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਧਿਆਵੈ ॥
gur satgur kaa jo sikh akhaa-ay so bhalkay uth har naam Dhi-aavai.
The one who calls himself a disciple of the True Guru, rising up in the early morning everyday, meditates on God’s Name with loving devotion.
Yeyote anayejiita mwanafunzi wa Guru wa kweli, akirauka mapema asubuhi kila uchao, akitafakari juu ya jina la Mungu kwa mahuba ya upendo.
ਉਦਮੁ ਕਰੇ ਭਲਕੇ ਪਰਭਾਤੀ ਇਸਨਾਨੁ ਕਰੇ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਸਰਿ ਨਾਵੈ ॥
udam karay bhalkay parbhaatee isnaan karay amrit sar naavai.
Making the effort of rising up in the early morning, takes a shower and then is so absorbed in remembering God as if bathing in the pond of divine nectar.
Kufanya juhudi za kurauka mapema asubuhi, anakoga na kujifyonza katika kukumbuka Mungu Kama kuoga katika kidimbwi Cha Maji agua matamu.
ਉਪਦੇਸਿ ਗੁਰੂ ਹਰਿ ਹਰਿ ਜਪੁ ਜਾਪੈ ਸਭਿ ਕਿਲਵਿਖ ਪਾਪ ਦੋਖ ਲਹਿ ਜਾਵੈ ॥
updays guroo har har jap jaapai sabh kilvikh paap dokh leh jaavai.
following Guru’s guidance, he meditates on God’s Name. this way all his sufferings due to any sins and vices are removed.
Kwa kufuata mwongozo wa Guru, anatafakari juu na jina la Mungu. Kwa njia hii, mateso yake yote kwa ajili ya dhambi na maovu yanaondolewa.
ਫਿਰਿ ਚੜੈ ਦਿਵਸੁ ਗੁਰਬਾਣੀ ਗਾਵੈ ਬਹਦਿਆ ਉਠਦਿਆ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਧਿਆਵੈ ॥
fir charhai divas gurbaanee gaavai bahdi-aa uth-di-aa har naam Dhi-aavai.
Later in the day he sings hymns of God’s praises and while doing daily chores he reflects on God’s Name.
Baadaye kwa siku, anaimba nyimbo za sifa za Mungu na kuakisi juu ya jina la Mungu anapofanya kazi zake.
ਜੋ ਸਾਸਿ ਗਿਰਾਸਿ ਧਿਆਏ ਮੇਰਾ ਹਰਿ ਹਰਿ ਸੋ ਗੁਰਸਿਖੁ ਗੁਰੂ ਮਨਿ ਭਾਵੈ ॥
jo saas giraas Dhi-aa-ay mayraa har har so gursikh guroo man bhaavai.
Such a Gursikh (disciple), who lovingly meditates upon God with each and every breath, is very pleasing to the Guru’s mind.
Yeyote Kama Gursikh(mfuasi), ambaye kwa upendo anatafakari juu ya Mungu kwa kila pumzi, anapendeza Sana katika fikira zake Guru.