ਸਚੁ ਸਚਾ ਰਸੁ ਜਿਨੀ ਚਖਿਆ ਸੇ ਤ੍ਰਿਪਤਿ ਰਹੇ ਆਘਾਈ ॥
sach sachaa ras jinee chakhi-aa say taripat rahay aaghaa-ee.
Those who have tasted the essence of the eternal God’s Name, remain satiated from the worldly desires.
Wale ambao wameonja kiini cha jina la Mungu wa milele, wanabaki kutokuwa na tamaa ya mambo ya ulimwengu.
ਇਹੁ ਹਰਿ ਰਸੁ ਸੇਈ ਜਾਣਦੇ ਜਿਉ ਗੂੰਗੈ ਮਿਠਿਆਈ ਖਾਈ ॥
ih har ras say-ee jaanday ji-o gooNgai mithi-aa-ee khaa-ee.
Only such persons know this taste of the elixir of God’s Name, but they cannot describe it, like the mute cannot describe the taste of the sweet candy.
Watu hawa tu ndio wajuao huu utamu wa hili jina la Mungu lenye nguvu, lakini hawawezi kueleza, kama vile bubu asivyoweza kueleza utamu wa pipi anaouhisi.
ਗੁਰਿ ਪੂਰੈ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਸੇਵਿਆ ਮਨਿ ਵਜੀ ਵਾਧਾਈ ॥੧੮॥
gur poorai har parabh sayvi-aa man vajee vaaDhaa-ee. ||18||
They, who have meditated on God’s Name through the teachings of the perfect Guru, remain in high spirits with delighted mind. ||18||
Wale ambao wametafakari kuhusu jina la Mungu kupitia kwa mafunzo ya Guru mkamilifu, wanazidi kuwa wachangamfu na wenye mawazo ya furaha. ||18||
ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਜਿਨਾ ਅੰਦਰਿ ਉਮਰਥਲ ਸੇਈ ਜਾਣਨਿ ਸੂਲੀਆ ॥
jinaa andar umarthal say-ee jaanan soolee-aa.
As only they who have a chronic ulcer within, know the sharpness of its pain,
Kama vile wanougua kutokana na vidonda sugu, ndio wajuao makali ya uchungu utokanao na shida hii,
ਹਰਿ ਜਾਣਹਿ ਸੇਈ ਬਿਰਹੁ ਹਉ ਤਿਨ ਵਿਟਹੁ ਸਦ ਘੁਮਿ ਘੋਲੀਆ ॥
har jaaneh say-ee birahu ha-o tin vitahu sad ghum gholee-aa.
similarly only the true devotees of God understand the pain of separation from their beloved God, and I dedicate myself to them forever.
ndivyo wafuasi wa kweli wa Mungu ndio tu wanaoelewa uchungu wa kutengana na Mungu Mwenyezi na hivyo basi, ninajikabidhi kwake milele daima.
ਹਰਿ ਮੇਲਹੁ ਸਜਣੁ ਪੁਰਖੁ ਮੇਰਾ ਸਿਰੁ ਤਿਨ ਵਿਟਹੁ ਤਲ ਰੋਲੀਆ ॥
har maylhu sajan purakh mayraa sir tin vitahu tal rolee-aa.
O’ God, unite me with such God loving person so that I may serve him with utmost humility.
Eh Mungu, niunganishe na mtu anayekupenda hivi ili niweze kukutumikia pamoja na yeye kwa unyenyekevu mkubwa.
ਜੋ ਸਿਖ ਗੁਰ ਕਾਰ ਕਮਾਵਹਿ ਹਉ ਗੁਲਮੁ ਤਿਨਾ ਕਾ ਗੋਲੀਆ ॥
jo sikh gur kaar kamaaveh ha-o gulam tinaa kaa golee-aa.
I am a humble servant of those disciples of the Guru who follow his teachings.
Mimi ni mtumishi mnyenyekevu, kati ya wale wafuasi wa Guru, anayefuata mafundisho yake.
ਹਰਿ ਰੰਗਿ ਚਲੂਲੈ ਜੋ ਰਤੇ ਤਿਨ ਭਿਨੀ ਹਰਿ ਰੰਗਿ ਚੋਲੀਆ ॥
har rang chaloolai jo ratay tin bhinee har rang cholee-aa.
They whose minds are imbued with God’s love, their bodies are also imbued in the love for God.
Walio na mawazo yalio imara kwa upendo wa Mungu pia wana miili iliyo imara katika upendo huu wa Mungu.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਨਾਨਕ ਮੇਲਿ ਗੁਰ ਪਹਿ ਸਿਰੁ ਵੇਚਿਆ ਮੋਲੀਆ ॥੧॥
kar kirpaa naanak mayl gur peh sir vaychi-aa molee-aa. ||1||
O’ Nanak, bestowing mercy, God has united them with the Guru and they have unconditionally surrendered themselves to the Guru. ||1||
Eh Nanak, utoaye huruma, Mungu amewaunganisha na Guru na wamejitoa kabisa kwake Guru.||1||
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਅਉਗਣੀ ਭਰਿਆ ਸਰੀਰੁ ਹੈ ਕਿਉ ਸੰਤਹੁ ਨਿਰਮਲੁ ਹੋਇ ॥
a-uganee bhari-aa sareer hai ki-o santahu nirmal ho-ay.
O’ saints, this body is full of vices: how can it be purified?
Enyi watakatifu, mwili huu umejawa na dhambi: unaweza kutataswa vipi?
ਗੁਰਮੁਖਿ ਗੁਣ ਵੇਹਾਝੀਅਹਿ ਮਲੁ ਹਉਮੈ ਕਢੈ ਧੋਇ ॥
gurmukh gun vayhaajhee-ah mal ha-umai kadhai Dho-ay.
By following Guru’s teachings, virtues are enshrined in the mind, and in this way one can wash out the dirt of egotism from within.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, maadili yanahifadhiwa katika akili zetu na hivyo basi uovu wa majivuno na kujisifu yanatolewa kwenda mbali na mawazo yetu.
ਸਚੁ ਵਣੰਜਹਿ ਰੰਗ ਸਿਉ ਸਚੁ ਸਉਦਾ ਹੋਇ ॥
sach vanaNjahi rang si-o sach sa-udaa ho-ay.
They who gather the wealth of God’s Name with love realize that it lasts forever.
Wale wanaopata utajiri wa Jina la Mungu kwa upendo hutambua kuwa linadumu milele.
ਤੋਟਾ ਮੂਲਿ ਨ ਆਵਈ ਲਾਹਾ ਹਰਿ ਭਾਵੈ ਸੋਇ ॥
totaa mool na aavee laahaa har bhaavai so-ay.
They never lose this wealth of Naam, but their profit is that God seems pleasing to them.
Hawawezi kamwe kuupoteza utajiri wa Naam, lakini manufaa yao ni kuwa wanaonyesha kufurahishwa na Mungu.
ਨਾਨਕ ਤਿਨ ਸਚੁ ਵਣੰਜਿਆ ਜਿਨਾ ਧੁਰਿ ਲਿਖਿਆ ਪਰਾਪਤਿ ਹੋਇ ॥੨॥
naanak tin sach vananji-aa jinaa Dhur likhi-aa paraapat ho-ay. ||2||
O Nanak, they alone amass the true wealth of Naam , who are blessed with such preordained destiny. ||2||
Eh Nanak, wao tu ndio wanaokusanya utajiri wa kweli wa Naam, waliojaliwa kubarikiwa kama iliyopangwa mapema.
ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:
Pauree:
ਸਾਲਾਹੀ ਸਚੁ ਸਾਲਾਹਣਾ ਸਚੁ ਸਚਾ ਪੁਰਖੁ ਨਿਰਾਲੇ ॥
saalaahee sach salaahnaa sach sachaa purakh niraalay.
I wish to only praise that unique eternal God who is worthy of praise.
Ninatamani kumsifu tu huyu Mungu wa kipekee wa milele na ambaye anastahili sifa.
ਸਚੁ ਸੇਵੀ ਸਚੁ ਮਨਿ ਵਸੈ ਸਚੁ ਸਚਾ ਹਰਿ ਰਖਵਾਲੇ ॥
sach sayvee sach man vasai sach sachaa har rakhvaalay.
I wish to meditate on the eternal God, who is the guardian of all, so that He dwells in my mind forever.
Nina tamaa ya kutafakari kuhusu huyu Mungu wa milele ambaye ni mlinzi wa wote,ili awe katika akili zangu milele.
ਸਚੁ ਸਚਾ ਜਿਨੀ ਅਰਾਧਿਆ ਸੇ ਜਾਇ ਰਲੇ ਸਚ ਨਾਲੇ ॥
sach sachaa jinee araaDhi-aa say jaa-ay ralay sach naalay.
Those who have truly remembered God with love, have merged with Him.
Waliomkumbuka, kwa kweli, Mungu kwa upendo wameunganika naye.
ਸਚੁ ਸਚਾ ਜਿਨੀ ਨ ਸੇਵਿਆ ਸੇ ਮਨਮੁਖ ਮੂੜ ਬੇਤਾਲੇ ॥
sach sachaa jinee na sayvi-aa say manmukh moorh baytaalay.
Those who have not meditated on God are foolish self-conceited demons.
Na wale ambao hawajawaza na kumfikiria Mungu ni pepo wapumbavu waliojivuna.
ਓਹ ਆਲੁ ਪਤਾਲੁ ਮੁਹਹੁ ਬੋਲਦੇ ਜਿਉ ਪੀਤੈ ਮਦਿ ਮਤਵਾਲੇ ॥੧੯॥
oh aal pataal muhhu bolday ji-o peetai mad matvaalay. ||19||
Like intoxicated drunkards, they utter meaningless prattle.||19||
Wanazungumza maneno yasiyo na maana kama walevi waliolewa chopi. ||19||
ਸਲੋਕ ਮਹਲਾ ੩ ॥
salok mehlaa 3.
Salok, Third Guru:
Salok, Guru wa tatu:
ਗਉੜੀ ਰਾਗਿ ਸੁਲਖਣੀ ਜੇ ਖਸਮੈ ਚਿਤਿ ਕਰੇਇ ॥
ga-orhee raag sulakh-nee jay khasmai chit karay-i.
The message of Gauree ragini (musical measure) is that a bride soul is good mannered only if she enshrines the Master-God in her mind.
Ujumbe wa Gauree ragini (kifungu cha mziki) ni kwamba roho ya bibi harusi ni nzuri tu na yenye tabia ya kupendeza akihifadhi na kukaa na Mungu Mkuu katika akili zake.
ਭਾਣੈ ਚਲੈ ਸਤਿਗੁਰੂ ਕੈ ਐਸਾ ਸੀਗਾਰੁ ਕਰੇਇ ॥
bhaanai chalai satguroo kai aisaa seegaar karay-i.
Her adornment should be appropriate to conduct herself in accordance with the true Guru’s will.
Mapambo yake yanafaa kuwa mwafaka ili kumwezesha kuendeleza shughuli zake sawasawa na mapenzi ya Guru wa kweli.
ਸਚਾ ਸਬਦੁ ਭਤਾਰੁ ਹੈ ਸਦਾ ਸਦਾ ਰਾਵੇਇ ॥
sachaa sabad bhataar hai sadaa sadaa raavay-ay.
The divine Word is the Master-God and she should ravish (meditate on) it, forever and ever
Hili Neno la kiungu ndio Mungu mkubwa na anafaakuliwazia neno hili milele na milele
ਜਿਉ ਉਬਲੀ ਮਜੀਠੈ ਰੰਗੁ ਗਹਗਹਾ ਤਿਉ ਸਚੇ ਨੋ ਜੀਉ ਦੇਇ ॥
ji-o ublee majeethai rang gahgahaa ti-o sachay no jee-o day-ay.
As the color of the dye becomes deep on boiling, simillarly when the soul-bride totally surrenders herself to the Master-God,
Kama jinsi vile rangi huongezeka kwa kina inapochemshwa, vivyo hivyo bibi harusi wa rohoni anapojisalimisha na kujitoa kwake Mungu mkuu,
ਰੰਗਿ ਚਲੂਲੈ ਅਤਿ ਰਤੀ ਸਚੇ ਸਿਉ ਲਗਾ ਨੇਹੁ ॥
rang chaloolai at ratee sachay si-o lagaa nayhu.
then she is deeply in love with God as if she is imbued with deep color of Naam.
basi anakuwa katika mapenzi ya dhati na Mungu kana kwamba ameloweshwa na rangi ya Naam.
ਕੂੜੁ ਠਗੀ ਗੁਝੀ ਨਾ ਰਹੈ ਕੂੜੁ ਮੁਲੰਮਾ ਪਲੇਟਿ ਧਰੇਹੁ ॥
koorh thagee gujhee naa rahai koorh mulammaa palayt Dharayhu.
Falsehood and deception doesn’t remain hidden, even if covered with false coating of truth.
Uongo na udanganyifu haufichiki milele, hata kama utafunikwa na mipako ionekanayo kuwa ya ukweli.
ਕੂੜੀ ਕਰਨਿ ਵਡਾਈਆ ਕੂੜੇ ਸਿਉ ਲਗਾ ਨੇਹੁ ॥
koorhee karan vadaa-ee-aa koorhay si-o lagaa nayhu.
False is the uttering of praises by those who love falsehood.
Wongo ni kule kutamka sifa na wanaopenda udanganyifu.
ਨਾਨਕ ਸਚਾ ਆਪਿ ਹੈ ਆਪੇ ਨਦਰਿ ਕਰੇਇ ॥੧॥
naanak sachaa aap hai aapay nadar karay-i. ||1||
O Nanak, He alone is True; and He Himself casts His Glance of Grace. ||1||
Eh Nanak, yeye pekee ndiye wa kweli; na yeye mwenyewe anaweka mtazamo wake kwa neema.||1||
ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:
ਸਤਸੰਗਤਿ ਮਹਿ ਹਰਿ ਉਸਤਤਿ ਹੈ ਸੰਗਿ ਸਾਧੂ ਮਿਲੇ ਪਿਆਰਿਆ ॥
satsangat meh har ustat hai sang saaDhoo milay pi-aari-aa.
The praises of God are sung in the holy congregation because there the saintly persons meet the Guru.
Sifa zake Mungu zinaimbwa katika ushirika mtakatifu kwa sababu hapo kuna watu watakatifu wanaokutana na Guru mwenyewe.
ਓਇ ਪੁਰਖ ਪ੍ਰਾਣੀ ਧੰਨਿ ਜਨ ਹਹਿ ਉਪਦੇਸੁ ਕਰਹਿ ਪਰਉਪਕਾਰਿਆ ॥
o-ay purakh paraanee Dhan jan heh updays karahi par-upkaari-aa.
Blessed are those human beings, who preach the teachings of the Guru for the good and welfare of others.
Wamebarikiwa wanadamu wanaohubiri mafundisho waliopewa na Guru kwa manufaa na wema wa watu wengine.
ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਦ੍ਰਿੜਾਵਹਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਸੁਣਾਵਹਿ ਹਰਿ ਨਾਮੇ ਜਗੁ ਨਿਸਤਾਰਿਆ ॥
har naam darirhaaveh har naam sunaaveh har naamay jag nistaari-aa.
By preaching they make them firmly believe in God’s Name, and thus, they emancipate the world.
Kwa mahubiri yao, wakawafanya kuwa imara katika kuamini Jina la Mungu na hivyo basi kuukomboa ulimwengu.
ਗੁਰ ਵੇਖਣ ਕਉ ਸਭੁ ਕੋਈ ਲੋਚੈ ਨਵ ਖੰਡ ਜਗਤਿ ਨਮਸਕਾਰਿਆ ॥
gur vaykhan ka-o sabh ko-ee lochai nav khand jagat namaskaari-aa.
Everyone longs to see the Guru; and the entire universe bows before him.
Kila mtu ana tamaa ya kumwona Guru; na ulimwengu wote wainama mbele zake.
ਤੁਧੁ ਆਪੇ ਆਪੁ ਰਖਿਆ ਸਤਿਗੁਰ ਵਿਚਿ ਗੁਰੁ ਆਪੇ ਤੁਧੁ ਸਵਾਰਿਆ ॥
tuDh aapay aap rakhi-aa satgur vich gur aapay tuDh savaari-aa.
O’ the Creator of the true Guru, You have hidden Yourself in the Guru, and You Yourself have embellished the Guru.
Ewe muumba wa Guru wa kweli, umejificha ndani ya Guru, na wewe mwenyewe umempamba na kumrembesha.
ਤੂ ਆਪੇ ਪੂਜਹਿ ਪੂਜ ਕਰਾਵਹਿ ਸਤਿਗੁਰ ਕਉ ਸਿਰਜਣਹਾਰਿਆ ॥
too aapay poojeh pooj karaaveh satgur ka-o sirjanhaari-aa.
O’ Creator, You Yourself adore the True Guru; and You inspire others to worship and adore him as well.
Eh muumba, wewe mwenyewe unamuabudu Guru wa kweli; na unawapa hanjamu wengine kumwabudu na kumuenzi pia.
ਕੋਈ ਵਿਛੁੜਿ ਜਾਇ ਸਤਿਗੁਰੂ ਪਾਸਹੁ ਤਿਸੁ ਕਾਲਾ ਮੁਹੁ ਜਮਿ ਮਾਰਿਆ ॥
ko-ee vichhurh jaa-ay satguroo paashu tis kaalaa muhu jam maari-aa.
If someone departs away from the true Guru, he is disgraced in the worldand he lives under the fear of death.
Ikiwa mtu atajitenga na Guru wa kweli, atafanyika mwenye kudharaulika hapa duniani na kisha kuishi katika hofu ya mauti.