Swahili Page 901

ਸਭਿ ਕਾਰਜ ਤਿਨ ਕੇ ਸਿਧਿ ਹਹਿ ਜਿਨ ਗੁਰਮੁਖਿ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰਿ ॥
sabh kaaraj tin kay siDh heh jin gurmukh kirpaa Dhaar.
Those Guru’s followers upon whom God has bestowed His grace, all their affairs are successfully accomplished.
Wale wafuasi wa Guru ambao juu yao Mungu amekidhi neema yake, kadhia zao zinafanikiwa kikamilifu.

ਨਾਨਕ ਜੋ ਧੁਰਿ ਮਿਲੇ ਸੇ ਮਿਲਿ ਰਹੇ ਹਰਿ ਮੇਲੇ ਸਿਰਜਣਹਾਰਿ ॥੨॥
naanak jo Dhur milay say mil rahay har maylay sirjanhaar. ||2||
O’ Nanak, only those unite with God who are predestined and whom God unites with Himself. ||2||
Ee Nanak, wale pekee walioungana na Mungu walioamuliwa kimbele na ambao Mungu huunganisha naye Mwenyewe.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਤੂ ਸਚਾ ਸਾਹਿਬੁ ਸਚੁ ਹੈ ਸਚੁ ਸਚਾ ਗੋਸਾਈ ॥
too sachaa saahib sach hai sach sachaa gosaa-ee.
O’ God, You the eternal Master and true eternal Master of the world.
Ee Mungu, wewe uliye daima Bwana na kweli daima Bwana wa ulimwengu.

ਤੁਧੁਨੋ ਸਭ ਧਿਆਇਦੀ ਸਭ ਲਗੈ ਤੇਰੀ ਪਾਈ ॥
tuDhuno sabh Dhi-aa-idee sabh lagai tayree paa-ee.
Everyone meditates on Your Name and bow before You in humility.
Kila mtu hutafakari juu ya Jina Lako na kuinama mbele yako kwa unyenyekevu.

ਤੇਰੀ ਸਿਫਤਿ ਸੁਆਲਿਉ ਸਰੂਪ ਹੈ ਜਿਨਿ ਕੀਤੀ ਤਿਸੁ ਪਾਰਿ ਲਘਾਈ ॥
tayree sifat su-aali-o saroop hai jin keetee tis paar laghaa-ee.
Singing Your praise is a gracefully beautiful task and the one who has done, it has helped him to cross-over the worldly-ocean full of vices.
Kuimba juu ya sifa Zakoni jukumu nzuri na bora na yule aliyekwisha kuifanya, imemsaidia kuvuka bahari ya kidunia iliyojaa maovu.

ਗੁਰਮੁਖਾ ਨੋ ਫਲੁ ਪਾਇਦਾ ਸਚਿ ਨਾਮਿ ਸਮਾਈ ॥
gurmukhaa no fal paa-idaa sach naam samaa-ee.
You reward the efforts of the Guru’s followers by absorbing them in Your Name.
Unatuza juhudi za wafuasi wa Guru kwa kuwafyonza katika Jina lako.

ਵਡੇ ਮੇਰੇ ਸਾਹਿਬਾ ਵਡੀ ਤੇਰੀ ਵਡਿਆਈ ॥੧॥
vaday mayray saahibaa vadee tayree vadi-aa-ee. ||1||
O my Great Master, great is Your glorious greatness. ||1||
O Bwana wangu Mkuu, kubwa ni utukufu Wako mkuu.

ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Shlok, Fourth Guru:
Shlok, Guru wa nne:

ਵਿਣੁ ਨਾਵੈ ਹੋਰੁ ਸਲਾਹਣਾ ਸਭੁ ਬੋਲਣੁ ਫਿਕਾ ਸਾਦੁ ॥
vin naavai hor salaahnaa sabh bolan fikaa saad.
To praise anyone besides God is all a tasteless speech (without any bliss).
Kusifu mwingine yeyote kando ya Mungu ni usemi dufu.

ਮਨਮੁਖ ਅਹੰਕਾਰੁ ਸਲਾਹਦੇ ਹਉਮੈ ਮਮਤਾ ਵਾਦੁ ॥
manmukh ahaNkaar salaahday ha-umai mamtaa vaad.
Those self-conceited, who unduly praise others, are burdened by arrogance and ego, perpetuating only strife.
Wenye majivuno binafsi,na wanaosifu wengine isivyo lazima,wanalemewa na kiburi na kujiona, zinazoelekeza fitina.

ਜਿਨ ਸਾਲਾਹਨਿ ਸੇ ਮਰਹਿ ਖਪਿ ਜਾਵੈ ਸਭੁ ਅਪਵਾਦੁ ॥
jin saalaahan say mareh khap jaavai sabh apvaad.
Those whom they praise inevitably die, and all the strife comes to an end.
Wale ambao wanaowaabudu hufa bila kuepuka, na utesi wote hufika mwisho.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਗੁਰਮੁਖਿ ਉਬਰੇ ਜਪਿ ਹਰਿ ਹਰਿ ਪਰਮਾਨਾਦੁ ॥੧॥
jan naanak gurmukh ubray jap har har parmaanaad. ||1||
O’ Nanak, the Guru’s followers are saved (from unduly praising or slandering others) by lovingly meditating on God, the source of bliss.||1||
Ee Nanak, wafuasi wote wa Guru wanaokoka (kutokana na sifa zisizolazima ama kusingizia wengine) kwa kutafakari juu ya Mungu kwa upendo, aliye chanzo cha furaha.

ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Shlok, Fourth Guru:
Shlok, Guru wa nne:

ਸਤਿਗੁਰ ਹਰਿ ਪ੍ਰਭੁ ਦਸਿ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈ ਮਨਿ ਹਰੀ ॥
satgur har parabh das naam Dhi-aa-ee man haree.
O’ my true Guru, please tell me about the virtues of God, so that I may meditate on Him in my mind.
Ee Guru wangu wa kweli, tafadhali nisimulie kuhusu maadili ya Mungu, hivyo niweze kutafakari juu Yake kwa mawazo yangu

ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਪਵਿਤੁ ਹਰਿ ਮੁਖਿ ਬੋਲੀ ਸਭਿ ਦੁਖ ਪਰਹਰੀ ॥੨॥
naanak naam pavit har mukh bolee sabh dukh parharee. ||2||
O’ Nanak, so immaculate is God’s Name, uttering It would end all my pains. ||2||
Ee Nanak, jina la Mungu linapendeza, kulitaja huweza kunimalizia uchungu wangu wote.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਤੂ ਆਪੇ ਆਪਿ ਨਿਰੰਕਾਰੁ ਹੈ ਨਿਰੰਜਨ ਹਰਿ ਰਾਇਆ ॥
too aapay aap nirankaar hai niranjan har raa-i-aa.
O’ my formless, immaculate, Sovereign God, You are all by Yourself.
Ee Mungu wangu Mwenyezi, usiye na maumbile, uliye safi kabisa, Wewe u peke yako.

ਜਿਨੀ ਤੂ ਇਕ ਮਨਿ ਸਚੁ ਧਿਆਇਆ ਤਿਨ ਕਾ ਸਭੁ ਦੁਖੁ ਗਵਾਇਆ ॥
jinee too ik man sach Dhi-aa-i-aa tin kaa sabh dukh gavaa-i-aa.
O’ my True Master, those who have lovingly meditated on You with single-minded devotion, You have dispelled all their sorrows.
Ewe Bwana wangu wa Kweli, wale ambao kwa upendo wanatafakari juu yako kwa mahuba ya umoja wa mawazo, wewe umewaondolea majonzi yao.

ਤੇਰਾ ਸਰੀਕੁ ਕੋ ਨਾਹੀ ਜਿਸ ਨੋ ਲਵੈ ਲਾਇ ਸੁਣਾਇਆ ॥
tayraa sareek ko naahee jis no lavai laa-ay sunaa-i-aa.
You have no rival anywhere, whom we might consider closely like You.
Hauna mpinzani popote, tunayeweza kumfananisha nawe.

ਤੁਧੁ ਜੇਵਡੁ ਦਾਤਾ ਤੂਹੈ ਨਿਰੰਜਨਾ ਤੂਹੈ ਸਚੁ ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਭਾਇਆ ॥
tuDh jayvad daataa toohai niranjanaa toohai sach mayrai man bhaa-i-aa.
O’ God, You are the only Giver as great as Yourself, You are eternal and immaculate, and You are pleasing to my mind.
Ee Mungu, wewe ndiwe pekee mpaji mkuu kama wewe Mwenyewe,Wewe u mwema milele, na Unafurahisha kwa mawazo yangu.

ਸਚੇ ਮੇਰੇ ਸਾਹਿਬਾ ਸਚੇ ਸਚੁ ਨਾਇਆ ॥੨॥
sachay mayray saahibaa sachay sach naa-i-aa. ||2||
O’ my eternal Master, eternal is Your glory. ||2||
Ee Bwana wangu daima, Ukuu wako ni wa milele.

ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Shlok, Fourth Guru:
Shlok, Guru wa nne:

ਮਨ ਅੰਤਰਿ ਹਉਮੈ ਰੋਗੁ ਹੈ ਭ੍ਰਮਿ ਭੂਲੇ ਮਨਮੁਖ ਦੁਰਜਨਾ ॥
man antar ha-umai rog hai bharam bhoolay manmukh durjanaa.
The self-conceited evil persons are deluded by doubt because of the disease of ego within their mind.
Watu waovu wenye majivuno binafsi wanapofushwa na shaka kwa sababu ya ugonjwa wa kujiona katika akili zao.

ਨਾਨਕ ਰੋਗੁ ਗਵਾਇ ਮਿਲਿ ਸਤਿਗੁਰ ਸਾਧੂ ਸਜਨਾ ॥੧॥
naanak rog gavaa-ay mil satgur saaDhoo sajnaa. ||1||
O’ Nanak, get rid of this malady of ego by meeting and following the advice of true Guru in the holy congregation. ||1||
Ee Nanak, ondoa gonjwa hili la kujiona kwa kukutana na kufuataushauri wa Guru wa Kweli katika ushirika mtakatifu.

ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:

ਮਨੁ ਤਨੁ ਰਤਾ ਰੰਗ ਸਿਉ ਗੁਰਮੁਖਿ ਹਰਿ ਗੁਣਤਾਸੁ ॥
man tan rataa rang si-o gurmukh har guntaas.
The mind and body of the Guru’s follower remains imbued with the Love of God, the treasure of virtues.
Akili na mwili wa mfuasi wake Guru unabaki kukolezwa katika upendo wa Mungu, hazina ya maadili.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਸਰਣਾਗਤੀ ਹਰਿ ਮੇਲੇ ਗੁਰ ਸਾਬਾਸਿ ॥੨॥
jan naanak har sarnaagatee har maylay gur saabaas. ||2||
O’ Nanak, blessed by the Guru such a person remains in God’s refuge and Godunites that person with Him. ||2||
Ee Nanak, kubarikiwa naye Guru ni yeyote anayebaki ndani ya kimbilio la Mungu Mungu anaunganisha huyo mtu naye. ||2||

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਤੂ ਕਰਤਾ ਪੁਰਖੁ ਅਗੰਮੁ ਹੈ ਕਿਸੁ ਨਾਲਿ ਤੂ ਵੜੀਐ ॥
too kartaa purakh agamm hai kis naal too varhee-ai.
O’ God, You are the creator, present in Your creation and still incomprehensible. With whom may we compare You?
Ee Mungu, wewe ndiwe Muumba, uko katika maumbo yako na bado huwezi kueleweka. Tukulinganishe na nani?

ਤੁਧੁ ਜੇਵਡੁ ਹੋਇ ਸੁ ਆਖੀਐ ਤੁਧੁ ਜੇਹਾ ਤੂਹੈ ਪੜੀਐ ॥
tuDh jayvad ho-ay so aakhee-ai tuDh jayhaa toohai parhee-ai.
(O’ God,) You alone are like Yourself, we would say so if there was anyone else as great as You.
(Ee Mungu,) wewe pekee uko kama Mwenyewe, tungesema hivyo ikiwa mwingine angekua mkuu kama wewe.

ਤੂ ਘਟਿ ਘਟਿ ਇਕੁ ਵਰਤਦਾ ਗੁਰਮੁਖਿ ਪਰਗੜੀਐ ॥
too ghat ghat ik varatdaa gurmukh pargarhee-ai.
O’ God, You are the one, permeating each and every heart; but this is revealed only to the one who follows the Guru’s teachings
Ee Mungu, Wewe ndiye, unarishai kila roho; lakini hili linadhihirika kwa wale wanaofuata mafunzo ya Guru.

ਤੂ ਸਚਾ ਸਭਸ ਦਾ ਖਸਮੁ ਹੈ ਸਭ ਦੂ ਤੂ ਚੜੀਐ ॥
too sachaa sabhas daa khasam hai sabh doo too charhee-ai.
You are the True Master of all; You are the highest of all.
Wewe ndiwe kweli Bwana wa wote; Ndiwe mkuu wa wote.

ਤੂ ਕਰਹਿ ਸੁ ਸਚੇ ਹੋਇਸੀ ਤਾ ਕਾਇਤੁ ਕੜੀਐ ॥੩॥
too karahi so sachay ho-isee taa kaa-it karhee-ai. ||3||
O’ the eternal God, whatever You do, only that is what happens, so why should we grieve? ||3||
E’ Mungu wa milele, chochote unafanya, pekee ndicho kinachotukia, kwa nini tuhuzunike? ||3||

ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Shlok, Fourth Guru:
Shlok, Guru wa nne

ਮੈ ਮਨਿ ਤਨਿ ਪ੍ਰੇਮੁ ਪਿਰੰਮ ਕਾ ਅਠੇ ਪਹਰ ਲਗੰਨਿ ॥
mai man tan paraym piramm kaa athay pahar lagann.
I wish that at all the time, my mind and body may remain imbued with the love of my Beloved God.
Natumai kuwa wakati wote, mwili na fikira zangu zibaki katika upendo wa Mpendwa Mungu wangu.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਕਿਰਪਾ ਧਾਰਿ ਪ੍ਰਭ ਸਤਿਗੁਰ ਸੁਖਿ ਵਸੰਨਿ ॥੧॥
jan naanak kirpaa Dhaar parabh satgur sukh vasann. ||1||
O’ Nanak, those upon God bestows mercy, dwell in peace blessed by the true Guru. ||1||
Ee Nanak, wale juu yao Mungu hukidhi rehema, huishi kwa amani kwa kubarikiwa naye Guru wa kweli.

ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Shlok, Fourth Guru:
Shlok, Guru wa nne:

ਜਿਨ ਅੰਦਰਿ ਪ੍ਰੀਤਿ ਪਿਰੰਮ ਕੀ ਜਿਉ ਬੋਲਨਿ ਤਿਵੈ ਸੋਹੰਨਿ ॥
jin andar pareet piramm kee ji-o bolan tivai sohann.
Those within whom is the Love of their Beloved God, look beautiful as they speak.
Wale ambao ndani mwao kuna upendo wa Mungu wao Mpendwa, huonekana wazuri wanaponena.

ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਆਪੇ ਜਾਣਦਾ ਜਿਨਿ ਲਾਈ ਪ੍ਰੀਤਿ ਪਿਰੰਨਿ ॥੨॥
naanak har aapay jaandaa jin laa-ee pareet pirann. ||2||
O’ Nanak, that beloved God who has imbued them with this love, Himself knows about the mystery of this love. ||2||
Ee Nanak, Mungu mpendwa ambaye amewakawiza kwa upendo, Mwenyewe anajua kuhusu siri ya huu upendo.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਤੂ ਕਰਤਾ ਆਪਿ ਅਭੁਲੁ ਹੈ ਭੁਲਣ ਵਿਚਿ ਨਾਹੀ ॥
too kartaa aap abhul hai bhulan vich naahee.
O’ Creator, You are infallible and never make any mistake.
Ee Muumba, wewe haubabaishwi na kamwe hufanyi kosa lolote.

ਤੂ ਕਰਹਿ ਸੁ ਸਚੇ ਭਲਾ ਹੈ ਗੁਰ ਸਬਦਿ ਬੁਝਾਹੀ ॥
too karahi so sachay bhalaa hai gur sabad bujhaahee.
O’ God, through the Guru’s word You make us understand, that whatever You do is truly good.
Ee Mungu, kwa njia ya neno lake Guru, unatuwezesha kuelewa, kuwa chochote unachofanya ni nzuri kweli.

ਤੂ ਕਰਣ ਕਾਰਣ ਸਮਰਥੁ ਹੈ ਦੂਜਾ ਕੋ ਨਾਹੀ ॥
too karan kaaran samrath hai doojaa ko naahee.
You are capable of doing and getting everything done, besides You there is no other at all.
Una uwezo wa kufanya na kuwezesha kila kitu kufanyika, kando yako hakuna mwingine kabisa.

ਤੂ ਸਾਹਿਬੁ ਅਗਮੁ ਦਇਆਲੁ ਹੈ ਸਭਿ ਤੁਧੁ ਧਿਆਹੀ ॥
too saahib agam da-i-aal hai sabh tuDh Dhi-aahee.
O’ merciful Master, You are incomprehensible and everyone meditates on You.
Ee Bwana mwenye huruma, hauwezi kueleweka na kila mtu hutafakari juu yako.

error: Content is protected !!